UST MAZINGE NA UST SHAFII WAWAPA WAKATI MGUMU WAKIRISTO MASWALI TATA NA MAJIBU YALINYO YA UST SHAFII

  Рет қаралды 10,888

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 36
@Muhindojamaldin-r1r
@Muhindojamaldin-r1r 4 ай бұрын
Taqbir Allah aqbar 🙏💞👍👍👍 shukran kwa kazi mnayo ifanya masheikh wetu Allah awalipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy ya
@RajabIbrahim-qz5mc
@RajabIbrahim-qz5mc 3 ай бұрын
1a
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 3 ай бұрын
Allah akbar
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Alhamdulilah kwakuwa mimi nimuislam ❤Alhamdulilah ❤
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 4 ай бұрын
Masha Allah Ustaz
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 4 ай бұрын
❤❤❤ Takbriiiiiiiii Allahu Akbar ❤❤
@amoursalum797
@amoursalum797 4 ай бұрын
Suala uloulizwa sahihi usilalamike yesu mtu si mtu, umekubali kuwa mtu inamaana waongo mnaposema yesu Mungu
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Maombi yetu kwenu waadhiri, tunapata raha zaidi kama mtakumbuka kutumia lugha nzuri. Wala kutumia lugha nzuri hakutakupunguzieni sifa wala uwezo.
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 4 ай бұрын
😅muyahudi kachemka😅😅😅😅
@SaidMgeni
@SaidMgeni 4 ай бұрын
Inna Lillah wainnailaihi Rajiun in
@MohamedMeja
@MohamedMeja 4 ай бұрын
Ndigu zetu wakristo hawajui wanalo Sema jibu watoa wao
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 4 ай бұрын
Kumbe kuna wayahudi hata hamniambiii😅😂😂😂
@estakenia
@estakenia 3 ай бұрын
😂 😂 mlishindwa na hoja za wakristo , mnapapasa tu
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 4 ай бұрын
Hawa wakisto ni sumun bukmun hawajui kitu wapoteza mda tu Wanatapatapa Kuni za kesho hawa
@AbdulRahman-ds5iq
@AbdulRahman-ds5iq 4 ай бұрын
Myahud kachemka
@SostenesMabala-tt8pt
@SostenesMabala-tt8pt 4 ай бұрын
Umesha jibu maneno mengi ya nini? Mnatudanganya tu hakuna lolote uwislam ndo ukweri
@kimanzingei109
@kimanzingei109 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣sasa hivi ndivyo mliwapa wakristo muda mgumu kweli🙄🙄🙄🙄. nilishangaa sana kuona unachelewa na hukupenda kupewa dakika mingi katika mhadhara kwa kuwa huna hoja kabisa.
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 3 ай бұрын
Tunafurahi sana kama mtatulizana na kuwa watulivu peaneni nasaha.
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Huyu mwanakemwa nae ni mwalimu ???😂😂😂 wakristo kuwemi serious jamani
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 4 ай бұрын
Kumbe Tanzania kuna wayahudi hata hamniambii😂😂
@ramadhankilango9088
@ramadhankilango9088 4 ай бұрын
Nyie wenyeviti mnashindwa kuongoza kwa kua anaejibu hata akisema mambo tofauti na swali hamumstopishi na kumkumbusha muktaza wa swali
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
yani uyo myahudi hana akili jibu kashalitoa yesu ni m2 sasa kingine ni nini tena
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
😅😅 hichi kibano walichochezea wakristo hawata kisahau si cha kawaida
@kassimswaleh1571
@kassimswaleh1571 3 ай бұрын
Assalam aleikum, mimi nashangaa katka mjadala wa dini ya uisilam na cristo siku zote akuna pastor anaekubali uisilamu wala akuna shekhe anaekubali cristo...! Hii imekaaje?
@georgejEzekiel
@georgejEzekiel 3 ай бұрын
Inatakiwa mtu akimjibu swal aulizwe Kama hajaelewa ilu aeleweshwe jaman
@josephkalonga550
@josephkalonga550 3 ай бұрын
Yesu slimwambia " Mama ninakwenda kwa Baba yangu ndio Mungu na Ndio Mungu wenu" . Sasa mbona Maria hakumwambia Mungu sio Baba yako.?
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 3 ай бұрын
Majibu ya Myahudi amebomoa kambi ya wayebusi
@saadnaim5518
@saadnaim5518 4 ай бұрын
Twaomba ajitokeze Mtu Atutafsirie anachosemaNDACHA HATUMFAHAMU
@GcFd-s8t
@GcFd-s8t 3 ай бұрын
Jamna sikio la kufa alisikii dawa
@qaswidanetwork2024
@qaswidanetwork2024 Ай бұрын
Jina la mungu wa yesu ni nani..?
@SaidiMrisho-e8b
@SaidiMrisho-e8b 3 ай бұрын
Hawana lolote hao walokole wanatetea tuu maslahi yao tuu ya kidunia
@kimanzingei109
@kimanzingei109 3 ай бұрын
unapiga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ukiwa kwa nyumba lakini in public hauna hoja.
@IbraMgoneke
@IbraMgoneke 4 ай бұрын
No
@kimanzingei109
@kimanzingei109 3 ай бұрын
the grace you muslims have for now to know the truth and turn away from idolatry is a big one. but you take it for granted. a time is coming when the gospel will nolonger be preached to perishing people like you and the end time come and the son of man returns in his second coming that only his father and our father know. you will mourn and weep but the grace period will have ended. The same Ndacha you are taking as a comedian, the words he uses to tell you will be used to judge you. Ndacha is just like john the baptist who came preaching in the wilderness for people to turn away from their evil ways of living and of worship that satan had convinced them to live and they understood the voice of God in that man, To you muslims and other fake christians ndacha is your John the baptist.
@young_brother27
@young_brother27 4 ай бұрын
Huwezi kuwa muhadhiri wa kiislamu na usiwe mchawi, pia kujizima data ili uendelee kupoteza muda hadi dakika za mkristo ziushe ashuke jukwaani ndo ujikute mshindi. Mengine huwa tunayapotezea tu
@AlhajNahato
@AlhajNahato 4 ай бұрын
Uchawi hauhiaiani na uislamu ,,,Sikiliza hoja zingatia kinachozungumzwa upate kujua ukweli ni upi na uongo ni upi
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 67 М.