ROMAN CATHOLICS

  Рет қаралды 73,969

NABII ELIYA ILYAAS

NABII ELIYA ILYAAS

4 жыл бұрын

Пікірлер: 294
@ombenimalaki6749
@ombenimalaki6749 Жыл бұрын
Enendeni Ulimwenguni Mkayahubiri Mataifa na kuwabatiza kwa jina la baba na Mwana na Roho mtakatifu na kuwafunza kuyafuata yote niliyowafundisha na mimi nipo pamoja na ninyi mpaka mwisho wa Dahari .Amen.
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 9 ай бұрын
ubatizo wa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu Sio ubatizo sahih soma biblia ndugu yangu
@user-ey9uj4wq7h
@user-ey9uj4wq7h 9 ай бұрын
Pia Kumwamini Bikira Maria Siyo Upagani. Inamfurahisha sana Yesu. Na hii Dunia tulipofikia ni kwa Maombezi ya Bikira Maria tu Twaweza kuwa salama. Watu wasali Rozari nyingi hasa wakati huu. Yesu atafanya Muujiza wa amani ya Dunia. Hajakaa Kimya soon mtaona Mama Bikira Maria atafanya kitu kwaajili ya Dunia. Maria Mama wa Maraifa yote Utuombee. Amina.
@petermatabwa2133
@petermatabwa2133 9 ай бұрын
Maria alishakufa miaka mingi sana
@janeobure3006
@janeobure3006 8 ай бұрын
​@@petermatabwa2133mkombozi wetu ni YESU siyo maria.
@NeemaLwila-en9oo
@NeemaLwila-en9oo Ай бұрын
Sio jua hilo shekhe,ni ekarist takatifu, Mungu mwana katika maumbo ya mkate na divai
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 жыл бұрын
UTATU MTAKATIFU Baba Mwana na Roho Mtakatifu. BABA Ndiye Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote Duniani, vinavyo onekana na visivyo onekana wakiwemo wanadamu. MWANA ndiye Yesu Kristu aliyekuja Duniani kupitia Maria kuwakomboa Wanadamu kwa sadaka ya kuuawa msalabani ROHO MTAKATIFU ndio ahadi ya Yesu kwa wanadumu, kua ndiye atakae kua nasi wanadamu. Hao Watatu Wote ni Mmoja, kwa maana ni Mungu Huyo Huyo. Ni Mwenyezi Mungu aliye na majina matatu kulingana na nyakati na matendo yake. Ndilo chimbuko la UTATU MTAKATIFU. (Mungu Mmoja aliye na Nafsi Tatu) Aliye Mkristo Wa Kweli Anaelewa Haya..
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Жыл бұрын
Edward umeeleza sahihi kabisa, Mungu ni mmoja na huo utatu ni task zikizotendwa kwa nyakati tofauti lkn Mungu ni yeye yuleyule ambaye ni NIKO. Kwa hiyo si sahihi kusema Yesu si Mungu kama wengine wanavyoamini
@mikausho8938
@mikausho8938 2 жыл бұрын
Kuna tuvitabu katusoma ila Tatizo mwamba anachanganya sana mafaili😁😁 ukizubaa anakupiga
@rweboildephoncy9814
@rweboildephoncy9814 8 ай бұрын
Hamna kitu hapa mpotoshaji ww
@BonifaceMasalapilu
@BonifaceMasalapilu 3 ай бұрын
Unampenda sana Mungu Nabii Eliya. Natamani MUMGU akusaidie Yesu ajifunue kwako ktk uhalisia wake wote ili umjue kuwa hakika YEYE NI MUNGU
@michaelfrancis1914
@michaelfrancis1914 4 жыл бұрын
Mungu akulinde na akupe nguvu za kuritangaza neno la mungu hakika maneno haya Yana uzito wa ajabu hivyo watu vigum kukuelewa angesema hayo mzungu wange yaamini mengi yamefichwa kwenye vitabu .....god bless you
@melchzedekackim8360
@melchzedekackim8360 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
Kazi ya Mungu Baba kuumba, kazi ya Mungu Roho Mtakatifu kutakatifuza, kazi ya Mungu Mwana ni kuokoa ulimwengu wewe unabisha sasa Bible ni ya Romani halafu unakuwa mjeuri
@emmanueledward2681
@emmanueledward2681 8 ай бұрын
Ikiwa ni kuumba ... IWEJE Yesu katika YOHANA 1 anaeleza kuwa vyote vilifanyika kwake yeye!?
@gabrielmassawe354
@gabrielmassawe354 3 ай бұрын
Kwa kuwa yeye ni Mungu, na huwezi kugawanya nafsi ya BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU. Ukisoma kitabu cha Mwanzo kwenye Biblia, Mw. 1: 26 imeandikwa; Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.’’ Hakusema nimfanye bali tumfanye. Mwombe ROHO MTAKATIFU Akufunulie haya yasiyoweza kuelezeka kwa fikra za kibinadamu. IMANI tu ndiyo itakayokupa amani ya Moyo. Mungu hachunguziki, ana aminika na kueleweka pekee. Ni hiari yako kuamini au kupuuza. Katika Yeremia 31.31-34, imeandikwa; 31“Wakati unakuja,” asema BWANA, “nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda. 32Halitafanana na agano nililofanya na baba zao wakati nilipowashika mkono na kuwaongoza watoke Misri, kwa sababu walivunja agano langu, ijapokuwa nilikuwa mume kwao,” asema BWANA. 33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya wakati ule,” asema BWANA. “Nitaweka sheria yangu ndani yao na kuiandika katika mioyo yao. Nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 34Mtu hatamfundisha tena jirani yake, au mtu kumfundisha ndugu yake akisema, ‘Umjue BWANA Mungu,’ kwa sababu wote watanijua mimi, kuanzia aliye mdogo kabisa kwao hata aliye mkuu sana,’’ asema BWANA. “Kwa sababu nitausamehe uovu wao na sitazikumbuka dhambi zao tena. Barikiwa sana. @@emmanueledward2681
@amosfabian8326
@amosfabian8326 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana umenifanya nielewe zaidi.
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 8 ай бұрын
Yesu anapo sema.unasemaje nikuonyeshe baba wakati umeniona alikuwa anamaanisha nn.na pia maana ya Emmanuel maana yake nn.Yesu n Mungu alie jifunua katika mwili.kwa hiyo yesu n Mungu.
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 8 ай бұрын
WW UNAKUFURU SANA LAKINI SUBILI KIDOGO HILO JICHO LIFUMBE...MAJUTO AYO YOTAKUSADIA KITU CHOCHOTE
@kiwiacasmir6141
@kiwiacasmir6141 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaa nabiii huwa unanitoa usingizin mnoo
@spiritualman_7
@spiritualman_7 4 жыл бұрын
Mimi niwashauri, unapotoa comments, chonchonde, usitukane wala kuhukum maana, ck ikifika ukaambiwa kutoa ushahidi, hautoweza, tuwe na busara!
@hemedmahmoudhemed-kv9im
@hemedmahmoudhemed-kv9im Жыл бұрын
ndio kabixa
@alenimgaya3889
@alenimgaya3889 2 жыл бұрын
Hapa niwachache sana tunamelewa huyu mtumishi Asante Sanaa endelea kuwaamsa watu mana hawaelewa chochote maskini yamungu
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
Kwanini umetilia shaka kwamba wachache ndo watakaoelewa au unajua kwamba anaongea utumbo
@acstv7185
@acstv7185 2 жыл бұрын
Ulipo simama ni sahihi kabisa mkuu.nakupenda
@Life10061
@Life10061 2 жыл бұрын
Kukataa yesu siyo MUNGU wakati vitabu vya manabii vinasema (nabii isaya9:6
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
Hujja tumwa Na Mungu yeyote tena uangalie hujulikani mwislamu wala mkristo pole neema ya Mungu ikutafute
@emanuelyupinna6133
@emanuelyupinna6133 3 жыл бұрын
Mm.namujua
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 жыл бұрын
Mungu aliumba watu,,,,,makundi nliyatengeneza wenyewe
@user-ke6me9yk5s
@user-ke6me9yk5s 7 ай бұрын
Hapo Nabii unapotosha. Yesu ni Mungu na Mwana wa Mungu. Aliwaambia wanafunzi wake mkiniona mm mmemuona Baba. Maana alisema mi ni ndani ya Baba na Baba ndani yangu. Tena amepewa urifhi wa ufalme na jina kuu lipitalo majina yote ambalo ni Yesu. Kwa maana hiyo Mungu muumba mbingu na nchi(Baba) ni Yesu. So Acha kudanganya bro.
@softrecoverytech5323
@softrecoverytech5323 2 жыл бұрын
Me nngepewa mamlaka ya kumiliki bunduki we mbwa nngekuua nyau ulolaaniwa ww, unamuona Mungu shoga ako akulete nabii mwny kichwa km embe ng'ong'o, macho hayana ushirikiano . Yan we jamaa ckupendi wallah
@Expedito2512
@Expedito2512 8 ай бұрын
Maskini huyu jamaa hajui kitu anapotoshaaa!!
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
We mzee nakuchukia sana ungekuwa karibu na mimi ungekuta una majeraha mengi sana upo hapa kwa ajili ya kupotosha ? Si uhubiri tu pasipo kutaja Dini za watu. Hubiri kwamba watu waache dhambi na si kuongelea ya watu
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 3 ай бұрын
Vita vyetu siyo juu ya damu na nyama, usimpige mwili wake kwa mambo ya imani ni ushetani.
@kelvinmpanda-ms2ik
@kelvinmpanda-ms2ik 2 ай бұрын
Upo sahihi sana wanaopinga hawasomi Biblia
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 8 ай бұрын
Yesu siyo mungu wala. Mtoto wa mungu ! Usichanganye watu
@shazminefeysal6951
@shazminefeysal6951 4 жыл бұрын
kama unakubaliana na mm kwamba jamaa mpotoshaji gonga like za kutosha
@hermanemmanuel1953
@hermanemmanuel1953 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYqVZoKnaJd1n5Y
@johnnsomi9726
@johnnsomi9726 4 жыл бұрын
Nabii eliyas ni mpumbavu
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Huwa nampinga kwa hoja baadhi lakini hii lecture anaongea ukweli kwa zaidi 90% . Hivi vitu vinazungumzwa sana na vina ushahidi ndani ya biblia, siasa, uchumi nk.
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
Kwa kweli nakubaliana nawe 💯. Historia na tafiti zake ni za Wikipedia kabisa. Dah! 🤔
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
We ujui kitu Mungu kumuona siyo jambo dogo acha kuiponda Roman ili upate umaarufu si unaweza tu kutumia njia nyingine
@nicklasndabiyeho6650
@nicklasndabiyeho6650 9 ай бұрын
Umeongea baadhi ya ukweli lkn kusema Yesu siyo Mungu umechemka, Yesu ndio Mungu mkuu kaselome tito 2:13, isaya 9:6, Ufunuo 1:7-9,
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 Жыл бұрын
Jamaa, anajitahidi na story za changamsha genge
@user-ey9uj4wq7h
@user-ey9uj4wq7h 9 ай бұрын
Hizi nyakati Mtu asipokuwa makini atapotea na hakuna wa kukurudisha. Yesu Kristu ni Nafsi ya pili ya Mungu na ni Mungu sawa na Baba. Na Roho Mtakatifu ni Nafsi ya tatu ya Mungu pia sawa na Mungu Baba na Mwana. Na matokeo na ukweli huu utauona ukiwa na mahusiano ya karibu nao. Ushindi tuupatao tunapowaita siyo wa kawaida. Na Matokeo kadhaa wa kadha Yesu akijidhihilisha wa awapendao kama Padre Pio, Thresia wa Mtoto Yesu , Mt. Faustina na wengine wengi. Wanashuhudia haya. Iweje nyakati hizo za mwisho/ hatarishi tujifunze kuwa siyo Mungu? Mungu ajitetee mwenyewe. Amina.
@nicklasndabiyeho6650
@nicklasndabiyeho6650 9 ай бұрын
Hapana sio hvyo
@user-ws1lx5li1x
@user-ws1lx5li1x 3 ай бұрын
Bora hakuna mtume alitoka tanzania Wala mtu mwema Mana wajuwaji Sana 😅😅😅
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 3 жыл бұрын
Mzee, nilifikiri unafanyaga utafiti wa vitu, lakini kwa kweli historia na Ukweli hapo imekupiga chenga kwa mbali sana. Wasomi na watafiti wa kihistoria hapo watakutoa nduki! Haya mambo tunayajua mara kumi kuliko unavyoelezea hapo, na hizi terminology za Kilatini achana nazo tu maana unaenda chaka.
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 9 ай бұрын
Jamaa ana mafundisho magumu usipokuwa makini humuelewi kabisa. SoMo hili ni k.v ni jipya sana katika akili yangu.
@norbertlilungulu5018
@norbertlilungulu5018 2 жыл бұрын
Mtumishi kwa kweli mimi ninalupenda sana Kwa nondo zako lakin kuna mambo baadhi sio kweli kabisa kusema bikira Maria pia ni nafs ya Mungu alafu kusema wakristu hatuamin kusema Yesu si Mungu bali ni mwana wa Mungu! Mbona sis wa Rc tunaamin Yesu kristu ni mwana wa Mungu! Pia sis hatuajudu jua tunaabudu Ekarist takatifu ambayo inawekwa mule kwenye kile chomho unakiita jua! Yapo mambo kweli yalimapokeo ambayo sasa kanisa linayapitia kuona yanayanyiwa kazi
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 8 ай бұрын
Watu hawa wanatumia akili ya ndani sana huwez wagundua ukiwa ordinary
@fikrimgaya2649
@fikrimgaya2649 2 жыл бұрын
Yesu sio mungu yesu ni mwana wa mungu
@wilfredihago8453
@wilfredihago8453 2 жыл бұрын
Sio kosa lako nikosa lauelewa wako,tunaposema Mungu mwana,maana yake ametoka katika Mungu,maana yake nisehemu ya nafsi ya Mungu aliyo ifanyakuwamwanadamu akaiweka katika tumbo la mariamu ikawa mwanadamu ilikila aiaminiye akombolewa asiye iamini amesha potea,
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Sasa mwana wa Mungu hawezi kuitwa Mungu ? ni sawa tu nakuseme mtoto wa paka si paka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Una akili ndogo sana
@baylonmugenyi2953
@baylonmugenyi2953 Жыл бұрын
Nabii ilyaas/ eliya MAANA YA PAGAN KWA KI GREEK NI MTU WA MTAA. WAACHA UDANGANYIFU
@SalumOthman-qr3lc
@SalumOthman-qr3lc 2 ай бұрын
Hhhhh hili jamaa ongo ata historia ya mtume Muhammad haijui linadanganya tuu hapa wape watu pumba baba
@franksimonngole8481
@franksimonngole8481 Жыл бұрын
Huyu mchungaji wa uchochoroni chenga kichwani.
@ulayaz
@ulayaz 4 жыл бұрын
tatizo lako huna elimu, unakurupuka tu, kaa usomeshwe uelewe hivi vitu sio rahisi kama unavyodhani. Nakushauri nenda kasome kwanza halafu ukubali kufundishwa na watu wenye elimu acha upumbavu
@SalumOthman-qr3lc
@SalumOthman-qr3lc 2 ай бұрын
Hhhh eti kaingizwa roho Mungu ukurasa wa mitume na manabii alishaufunga ww icho cheo kakupa nani
@sapiamosi3285
@sapiamosi3285 Жыл бұрын
My mentor nakukubali Sana.
@nabiiilyaaseliya2551
@nabiiilyaaseliya2551 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mpendwa
@franksimonngole8481
@franksimonngole8481 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni wale matapeli yanayoibuka mtaani
@JosephWilliam-pt4fm
@JosephWilliam-pt4fm Жыл бұрын
Nabii Elia ni mmoja hakufa hakuna nabii wa kujiita cku hz kibao
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 8 ай бұрын
Kama hujui din au huna elimu yadin, usimpinge hyu bhna, mm naskiliza mafundisho
@Kassa-fl3yh
@Kassa-fl3yh 8 ай бұрын
Ndugu yesu ni mjumbe wa mungu.lakini atasisi ktk kanisaletu tunajua mungu yupo.nayesu ni mjumbe wake
@eddieplatnumz5959
@eddieplatnumz5959 Ай бұрын
MUNGU ANISAMEHE ILA WEWE JAMAA KWA JINSI ULIVYOKUWA HAUNA AKILI NA MAFUNDISHO YA UONGO NASEMA WAZI WAZI WEWE NI MATAKO SANA
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 8 ай бұрын
Ubarikiwe Neno langu ni mchango wa PESA itakayowezesha hiyo elimu unayotoa
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 8 ай бұрын
Unasema kweli Mtumishi😮😮
@NeroForte_
@NeroForte_ 2 жыл бұрын
NAOMBA UANDIKE WARAKA au kitabu kikubwa sana kisomwe miaka na miaka
@abdallahfaida926
@abdallahfaida926 2 жыл бұрын
Mimi sijui kitu Ila jamaa atanye fibet na pasta wapingane kwa hoja
@thomasnzioka5601
@thomasnzioka5601 4 жыл бұрын
Nabii eliya acha kusema emetumwa na Mungu kila wakati,matendo yako yatasema tu
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
We siyo mkirsto acha habari za uongo ushindwe katika Jina la Yesu
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 жыл бұрын
Kumbuka ww ninabii Elia,,usitumie lugha za kihuni,,eti kidume,,kidume ndo nn bwana elia
@nicklasndabiyeho6650
@nicklasndabiyeho6650 9 ай бұрын
Ukweli nliouona ni kuwa Mungu ana nafsi moja tu na vyeo vyake vitatu vya baba, mwana na roho mtakatifu na jina lake moja Bwana Yesu kristo, Mungu hana nafsi tatu huo ni upagani wa kuzimu
@shazminefeysal6951
@shazminefeysal6951 4 жыл бұрын
yan naapo bado unazidi kukauka tu mwili na bado shauli ya upotoshaji wako mwenyezi mungu atakuadhilisha mchana kweupe na huo unabii wako wa uwongo embu toka acha kumchezea mungu
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
ROMA hii na ile ina tofauti gani? Nenda kasikilize lecture iliofanywa na Doug Bachelor inaitwa "New Pope Old Prophecy" katika mkutano huu walialikwa Watu wa madhehebu tofauti. Mimi ni mkristo lakini nilishangaa sana yapo mengi tulikwisha fanya. Usibishebishe tu, anaweza kuwa muongo jana akawa mkweli leo. Huwa na mpinga sana na sipendelei lecture zake lakini amezungumza ukweli kwa zaidi ya 95%
@AKWILINEKAWISHE
@AKWILINEKAWISHE 8 ай бұрын
Anaota huyo.
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 9 ай бұрын
Aisee Mtumishi Nabii Elisi una elimu kubwa ,mm binafsi nakuelewa sana na ninafuatilia sana elimu hii unayoitoa
@MohamedAfdhal-xq3jh
@MohamedAfdhal-xq3jh 8 ай бұрын
Kueni makini na madajali kabla dajali mwenyewe kuna madajali 30 eatajitokeza watakua naushawishi mkubwa sana na watu watawafata
@gmwjwilliam3576
@gmwjwilliam3576 4 жыл бұрын
Atukuzwe mungu, ukweli utabaki kua wazi!!
@godphreypriest9714
@godphreypriest9714 3 жыл бұрын
Fundisha watu kwanni nyota ya david ipo i ktk ya mwezi na kwanii hii symbol ipo pale msikitini ?
@richardtasia1035
@richardtasia1035 8 ай бұрын
Hiyo pope aloshika sio jua ni mkate jaman acha kuongopea watu
@AKWILINEKAWISHE
@AKWILINEKAWISHE 8 ай бұрын
Mungu amsamehe mpotoshaji huyu.Kamezeshwa wapi maudanganyifu hayo?
@user-ey9uj4wq7h
@user-ey9uj4wq7h 9 ай бұрын
Hilo siyo jua jamani, jamani, jamani.
@mshindotv8475
@mshindotv8475 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu amesema wamekufuru waliosema masihi yani nabii issa ibunu Allah mwana wamungu vipi utuambie tuamini kuwa issa sio mungu ila nimwanawe mwanawamungu wakati Allah ameshakataza tena kwakusema amekufuru atakae amini ivyo wewe pia nimiongoni mwa hao uwasemao
@El-khaydarys
@El-khaydarys 4 жыл бұрын
Exactly! That's from the Qur-an, wallaah amekufuru atakae amini hvo
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 4 жыл бұрын
Musa mwenyewe alikuwa mpagani kabla hajamjua Mungu. kinachowachanganyaga nyinyi wachungaji feki ni Roma ile ya kipagani had kuja kuwa Roma inayomjua Mungu someni vitabu na muwe na akili
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
ROMA hii na ile ina tofauti gani? Nenda kasikilize lecture iliofanywa na Doug Bachelor inaitwa "New Pope Old Prophecy" katika mkutano huu walialikwa Watu wa madhehebu tofauti. Mimi ni mkristo lakini nilishangaa sana yapo mengi tulikwisha fanya. Usibishebishe tu, anaweza kuwa muongo jana akawa mkweli leo. Huwa na mpinga sana na sipendelei lecture zake lakini amezungumza ukweli kwa zaidi ya 95%..
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 2 жыл бұрын
Safi sana! Hapo kweli
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 ай бұрын
Katoliki alisemi maria ni mungu. Hayo ya kwako
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 9 ай бұрын
Uko nyuma ya calender man !!!!!!
@lasttrumpettv1784
@lasttrumpettv1784 7 ай бұрын
Utatu ni neno la Mungu. Yesu ni neno la Mungu na ni Mungu hiyo ni biblia siyo Roman Catholic. Acha kudanganya watu
@AkitakaHuwa
@AkitakaHuwa 8 ай бұрын
Tatizo unachanganya uongo na ukweli kwa ambaye hajasoma akafuata kila ulisemalo lazima apotee muogope Mungu ndugu yangu
@jacksonmartinez1107
@jacksonmartinez1107 8 ай бұрын
Umo kwenye kingeleza usiende baki umu umu kwenye kiswahili mzee
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 8 ай бұрын
Kweli tukiwambia jamani tumwabudu Mungu hawaelewi
@sadickcheyo2324
@sadickcheyo2324 8 ай бұрын
Mungu atusaidie tuelewe
@philemonmwasyika2462
@philemonmwasyika2462 4 жыл бұрын
Ametumwa na waisilam kuvuruga imani ya wakristo
@hassammohammed5046
@hassammohammed5046 3 жыл бұрын
Waislam c wamemfukuza uyo uyo bwana haelewekii ndugu
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 9 ай бұрын
Waislamu wepi? Katika Uislam tunamtambua Yesu ni binadamu name nabii, wakati yeye anasema Yesu ni mwana wa mungu
@majigeedward955
@majigeedward955 8 ай бұрын
Kama kunakaukwelihivi ebu nisaidiwe kujua zaidi tukowapi sasaa
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 2 жыл бұрын
Hilo siyo jua ni Ekaristi takatifu
@evelynmumia5246
@evelynmumia5246 9 ай бұрын
Haezi elewa kabisa
@SalumOthman-qr3lc
@SalumOthman-qr3lc 2 ай бұрын
Kwanz tafadhali tunakuomba usiongee kitu kuhusu quran maana huijui ongea kile ulichokua na elimu nacho
@allynotimwaimu9907
@allynotimwaimu9907 7 ай бұрын
Unaongea vitu vizito sana hakuna jasiri anaweza kuongea hivyo bila kudhuriwa, wamuulize askofu Ngogo na Imani Petro kilichowakuta
@HalfanMaulid
@HalfanMaulid 9 ай бұрын
Baadhi ya vitu vipo sawa lakini uchambuzi wako utakuwa sawa ikiwa utashirikisha usilam
@joachimluhamo3042
@joachimluhamo3042 4 жыл бұрын
mkristu wa kweli ni yup mimi hawa nakusikiliza sana ila leo umezingua wewe hujulikani unaamini nini huamini utatu mtakatifu du halafu unasema unamwamini yesu kwa taarifa yako utatu mtakatifu umejieleza vizuri sana ndani ya biblia jitahidi Sana kusoma
@emanuelyupinna6133
@emanuelyupinna6133 3 жыл бұрын
Alla.syo.mungu
@telesiasaga5621
@telesiasaga5621 2 жыл бұрын
Kwenye biblia yooote hakuna sehemu imeandika utatu MTAKATIFU, hya si jina tuuuu??? Lkni zaidi ni kia hata tusipojua kua kuna utatu twalitambua kuna Mungu.sawa??
@eddieplatnumz5959
@eddieplatnumz5959 Ай бұрын
YAANI WEWE HAUJUI HISTORIA YA KANISA NA HAUJUI LOLOTE UNALOLIONGEA KICHWA MAJI KABISA WEWE YAAANI AISEEE IFIKE MAHALI SISI WAKRISTO BASI HAWA WANAOJIITA MANABII HATA WAWE WANASOMA THEOLOGY KIDOGO
@awdhiamiri7451
@awdhiamiri7451 8 ай бұрын
BABA NAKUKUBALI ILE MBYA
@user-ik4jj5gb6h
@user-ik4jj5gb6h 8 ай бұрын
Hivi bila Roman catholic we ungekuwepo Maana unaongea kwa hisani ya waromani
@johnluganda4770
@johnluganda4770 3 жыл бұрын
Hivi unatumiwa na roho wamungu au roho wa shetani?
@ruthclark9166
@ruthclark9166 3 жыл бұрын
Thank you, for sharing with us it's all the truth well done keep it up brilliant.
@godphreypriest9714
@godphreypriest9714 3 жыл бұрын
Mjinga anaamini kila neno,ila mwenye hekima huchunguza sana
@ayubkikula4565
@ayubkikula4565 Жыл бұрын
We can go out and have some
@stevenerasto817
@stevenerasto817 8 ай бұрын
Jesus is my only God,kama siyo Mingu bas atajua jinsi ya kunisaidia kujieleza kwa huyo Mungu mwingine ila for now wacha nimuabudu yeye tu
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Жыл бұрын
Imani moja siyombiri
@alfhatstaday1778
@alfhatstaday1778 Жыл бұрын
Iviwew unjiita nabii
@assengatvonline1448
@assengatvonline1448 9 ай бұрын
Jamani hawa wakatoliki wanapigwa vita jamani.... kila kona wanapigwa vita, wakristo wenzao na hata wale wasio wakristo wanapambana nao... mhhh. lakini cha kushangaza bado wana exist na bado wanazidi kua juu... kwanini?????
@DevyMtanza-fc2nn
@DevyMtanza-fc2nn 10 ай бұрын
Amina
@petromachanga29
@petromachanga29 3 жыл бұрын
Wakristo wenzangu tazameni mwalim anajamba mchana
@giftmusa6543
@giftmusa6543 8 ай бұрын
Yaani mie nikiona mtu anasali roma namuona hana akili
@francisjohanes3027
@francisjohanes3027 8 ай бұрын
Acha kupotosha imani unatumia na devals power
@jacobkambo6619
@jacobkambo6619 2 жыл бұрын
Mwalimu ukueli unapeana but unabii yatimia ama upo uweso ya kusimamiza
@calebisaiah3891
@calebisaiah3891 4 жыл бұрын
Kama huyu Ni nabii eliya hata ukimpinga atasimama tu na Kama anajitawaza basi ataishatu na eliya atakuja bt anaonge ukweli Mimi nitangalia mwisho wake Wala sio mwanzo
@simonnyambuka8275
@simonnyambuka8275 9 ай бұрын
We bwege unapotosha watu
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 2 жыл бұрын
Kaka endelea kuwaibia,ipi kama Roman Catholic.Imani,shule na afya.Angalia tz.Wana Makanisa mangapi.wana Hospitali ngapi.wana vituo vya afy a vingapi.wana shule ngapi.wana vyuo vikuu vingapi.wewe na we nnnnnnnbnnnnn wewe ni maneno. Roma Catholic hawatakujibu,ila wamekushinda na watakushinda.Huwezi. j
@mustaphamasobe8343
@mustaphamasobe8343 2 жыл бұрын
Kidume anapigwaje?
@okkanje1321
@okkanje1321 4 жыл бұрын
Hakuna unabii ulio nao Bali ni ubaali unakusumbua
@kushahalabani7878
@kushahalabani7878 4 жыл бұрын
Joe nakumbaliana na wewe
@joegoldamz6319
@joegoldamz6319 4 жыл бұрын
Yeah ni swala la kutulia na kuangalia jinsi dunia inaviotawaliwa na utawala wa ki Mungu na Wa kishetani maandiko yanasema Shetani atawashinda watakatifu woote mpaka aushike mji mtakatifu wa Mungu hapa Duniani ambao kwa mujibu wa Biblia na kwa mujibu wa ukweli ni Yerusalem ila kwa mujibu wa Saudia ni Macca, ambao sio kweli , shetani ataukamata mji wa Yerusalem ndio maana Marekani kupitia utawala wa Donald Trump wamehamisha ubalozi wao kutoka Tel Aviv kwenda Yerusalem kupitia United Nations General Assembly ya hapa majuzi tu ila Urusi, Iran na baadhi ya mataifa mengine wamekataa kwakua mkakati wa marekani na Israel mi kuiteka Palestina nzima nzima na kuifanya kuwa Israel nchi ya ahadi ambayo ni uongo Yesu alivokuja Mara kwanza ilikua ni Palestina ila kwa sasa Palestina kwakua Ni watu wa pole watu wa Mungu ambao Iran na Urusi zinawatetea sana tu ila kwakua ufunuo umesema itafika mda Shetani yaani Israeli ambayo ina Wayahudi fake waliomkataa Yesu na kumsulubu wakishirikiana na wa Rumi wataushika mji wa Yerusalem na kumuweka mungu wao ili watu woote wamuabudu huyo mungu wao audanganyae ulimwengu ambae kwa coroan anaitwa Masihi Jaadal na hapo hapo ndipo Mungu wa Mbinguni hatokubali mji wake ambao sio Macca Bali Yerusalem uwe mikononi mwa Lucifer ndipo atamtuma tena Yesu na si Muhammad wala si Eliya wala si Yohana Bali Yesu Kristo Biblia inasema siku hio hata Malaika wa Mbinguni hawaijui hata Yesu mwenyewe haijui, Bali Mungu pekeake ndipo atamtuma Yesu aje kumuangamiza Masihi Jaadal na kuhukumu ulimwengu. Wafu woote watafufuka na Yesu ndie atakae hukumu na koroan inasema yeye ndie Hakim muadilifu . watu tumedanganywa ndugu zangu tukumbuke kuwa dunia inatawaliwa na waongo wanao control media, ma campuni ya kuchapisha wakishirikiana na majini ambao ni waongo pia na baba yao ambae ni baba wa uongo ni Iblis.
@hermanemmanuel1953
@hermanemmanuel1953 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nYqVZoKnaJd1n5Y
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 3 жыл бұрын
Very strong. Hii ni The best lecture
@gasperchacha1838
@gasperchacha1838 6 ай бұрын
You're being cheated and you concur....
@augustiriwa3805
@augustiriwa3805 Жыл бұрын
Lk
YATUPASA KUSHUKURU, AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR, COPYRIGHT RESERVED 2013
4:44
Ambassadors of Christ Choir
Рет қаралды 13 МЛН
HAMZA ISSA NO 2 MIHOJA MIZITO ILIYOMUANGAMIZA NABII FEKI
57:37
Saimu gwao Online tv
Рет қаралды 320 М.
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 59 МЛН
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
L'Empire khazar et les origines du peuple juif I Passé sauvage
19:56
Passé sauvage
Рет қаралды 577 М.
MNYAMA WA KWANZA KATIKA UFUNUO 13 NI UINGEREZA. ALIPIGANA NA WATAKATIFU.
46:38
WATU WALIOFANIKIWA WALIZINGATIA MAMBO MATANO
43:41
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 90 М.
KAMA UKO KWENYE NDOA  TAFADHALI ZINGATIA HAYA BY MWL MWAKASEGE:
3:01
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 148 М.
HARAKATI ZA DINI MOJA DUNIANI ZAHUSISHWA NA MIKUTANO YA VIONGOZI WA DINI TANZANIA.
8:46
Archbishop Prof. Sylvester Gamanywa
Рет қаралды 51 М.
SILAHA MUHIMU WAKATI WA CHANGAMOTO YOYOTE MAISHANI
40:42
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 58 М.
FAHAMU HAKI, VITA, NA UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA || PASTOR GEORGE MUKABWA  ||PART 2 || 29/02/2024
1:29:37
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 2,4 М.