SASA NYIE MNATARAJIA KUONA MGUNDA ANAISUMBUA TIMU AMBAYO NDIO KIPENZI CHAKE?
@SaidJumanne-j1e22 сағат бұрын
Kwahyo minziro nae akikutana na yanga atafungwa tu kwa kuiachia yanga sababu yanga ndyo timu ya mapenz yke
@DStarTz-if2ko21 сағат бұрын
Kwahiyo Zahara alikuwa anawaachia yanga
@SaidJumanne-j1e16 сағат бұрын
Tujbu sasa
@josephmbiaji662522 сағат бұрын
Over 2.5 nampa simba .. iwe mvua iwe jua tunashinda nyingi
@edgarcruzee522316 сағат бұрын
Jemedar Hongera Unaongea kama msomi au Mwenye Akiri sio huyo sura mbaya na maneno yake ya hovyo
@allymtapera537021 сағат бұрын
Nyie Muna vituko hivi mgunda mwategemea aisumbue Tim ya moyo wake kiakili inakuja
@stanastana319922 сағат бұрын
Namungo 3 simba 0
@abednego387619 сағат бұрын
Jemedari anachambua timu kwa kuichamba 😅
@TwahirBurhanКүн бұрын
PILI MMILIKI NA MLEZI WA NAMUNGO MH.WAZIRI NI MNAZI TENA LIALIA WA SIMB....HAKUNA USHINDANI WOWOTE HOAPO
@SelemaniMsuya-q8n22 сағат бұрын
Mbona huulizi GSM kufadhili baadhi ya vilabu
@EliyaJelemiya21 сағат бұрын
Uliza pia azamu kuwekeza ligi zima@@SelemaniMsuya-q8n
@suleimansalum404921 сағат бұрын
Kweli kabisaaa
@taseleli918119 сағат бұрын
Kwa hiyo Mwinyi Zahera alikuwa anawaachia Utopolooo maana alishakuwaga coacher wenu kumbe alikuwa anawaachia eeeeeh yaani danganya toto kumbe ndo mnatuambia mfanyavyo 😂😂😂😂
@edwardjikono20 сағат бұрын
NAMUNGO WAMEUZA MECHI
@josephfrank444619 сағат бұрын
😂😂ndio lazima tununue
@DStarTz-if2ko22 сағат бұрын
Nimefurah mgunda kwenda kule natamani jamaa awaoge simba
@suleimansalum404921 сағат бұрын
Tawi la Simba hilo
@JustinMwakalukila16 сағат бұрын
Tawi la simba lkn mwaka jana ilikuwa sale pale uhuru stadium
@silvesterrichardhelenya131921 сағат бұрын
Ningekuwa mgunda ningewaambia wachezi wote wasikabe wafungwe kumi
@HarunakiongoziMohamed23 сағат бұрын
Inabidi yanga nao wahame ligi maana namungo.timu ya wazir mkuu.nani mpenzi wa simba
@SelemaniMsuya-q8n22 сағат бұрын
Singida waziri wa fedha vs Yanga hehehe
@deogratiusGodfrey22 сағат бұрын
Au sio
@taseleli918119 сағат бұрын
Namungo ilikuwa na Zahera aliewahi pia kuwa coach wa Yanga so alikuwa anawaachia Utopoloooo eeeehhh
@suleimansalum404921 сағат бұрын
Hakuna lolote hapo ni mipango tu ya kuipatia Simba points za ziada pia na mfuniko
@taseleli918119 сағат бұрын
Kwa hiyo ulitaka ukaifundishe wewe hiyo Namungo? Mbona mwinyi Zahera alishawahi kufanya kazi utopoloni Ina maana alipocheza na Yanga alikuwa anawaachia? Yaani Utopolooo duuuuu