JENERALI ULIMWENGU ANENA HAYA MBELE YA VIONGOZI WA DINI KUHUSU HAKI ZA BINADAMU

  Рет қаралды 18,250

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

7 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 23
@MosesSurwejo-gj8sp
@MosesSurwejo-gj8sp 5 ай бұрын
Mzee general naomba mawasiliano umenikuna Sana unavyo ongelea haki kwa Kila mtu nami ni mwana harakati hizo
@user-dk9iw7fb1h
@user-dk9iw7fb1h 7 ай бұрын
Hongera kwa hotuba hivyo.inaumiza moyo wangu.
@philibertsimon
@philibertsimon 7 ай бұрын
You are very correct
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 7 ай бұрын
Jenerali siku zote umekuwa unaongea fact sana. Huo ni ukweli mchungu😢😢ambao watu ni lazima waukubali😮
@farhatfatma12
@farhatfatma12 7 ай бұрын
Kitu kimoja siku hizi nimegundua wasikizaji katika midahala , mikutano na hata kwenye harusi utakuta watu wameinamia Simu zao na laptop wakionekana wako na shughuli muhimu zaidi katika simu zao na laptop kuliko kile walichoitiwa. Hakika kwa maoni yangu naona kama ni kutokua na heshima juu ya mzungumzaji.
@brightmsalya
@brightmsalya 7 ай бұрын
Haki Guru of all times
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 7 ай бұрын
Hizi haki za binadamu si za kusherehekea. Kwani, zilipotangazwa, binadamu walikuwa ni wanaume weupe wenye kumilki mali na si wanawake au watu wengine ambao hawakuwa weupe wenye kumilki mali. Ndiyo maana waafrika waliendelea kukaa chini ya ukoloni kwa sababu hizi haki za 'binadamu' hazikuwahusu
@user-dk9iw7fb1h
@user-dk9iw7fb1h 7 ай бұрын
Alikuwa mtu was Tabora Kijiji Ipole wilaya sikonge kwa sasa
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 7 ай бұрын
Alternator 24 to DC Brashness Motor
@csato9415
@csato9415 7 ай бұрын
Kama huna nguvu ya kupambana na anayeonea wengine basi, kemea karipia, onya, na nuna @jenerali ulimwengu voice.
@estermpagama9664
@estermpagama9664 7 ай бұрын
Generali mwl ?Nyerere ni kiongozi na alikuwa binadamu alifanya kazi zake ndivyo Mungu alivyo muongoza sisi tunamuombea tunamkumbuka hatutamsahau vizazi vitajifunza kwake mapungufu yake yaacheni mnatukera
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 7 ай бұрын
Sema anakukera wewe siyo anawakera.
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 7 ай бұрын
Anawakera na nani? watu wengine kwa nini mnapenda kuzima mawazo ya mtu? kwa nini mnapenda chanya tu hasi hamtaki? kwa nini ukereke kwa mawazo huru na yanayotolewa sehem huru? huu ni upuuzi mkubwa sana,
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 7 ай бұрын
Waliopo madarakani wasikie sauti hizi.Kiburi mara nyingi hakina mwisho mwema.
@br.samwelmparange4986
@br.samwelmparange4986 7 ай бұрын
Nakubaliana nawe General kuwa kabla ya kumtangaza kuwa Mwenyeheri tumtafute Kati ya wanasiasa waliomtangulia Kama kuna aliye au waliyekuwa wenyeheri. Lakini ikumbukwe pia hakuna lisilokuwa na mwanzo wake. Basi Kama ndivo hivo iwe huyo ndiyo Mwenyeheri WA kwanza mwanasisisa. Kabisa lisiogope wala lisione aibu kuchukiaaamuzi hayo Kwa vigezo vya kuwa ni mwanasisisa aliyesimama kidete kwenye WEMA. ( Kutokuwa mwizi muuaji n.k) pamoja na madhaifu yakutokuwa mwanademokrasia Kama wengi wanavyomstanabaisha. Vigezo vya kikatoliki vinavyoweza kumfikisha hapo kwenye Uenyeheri vitumike Kama vilivyo. Na Kama Niaminivyo mm Mungu atadhihirisha bila Shaka yo yote kuwa Mtumishi wake ana hadhi gani! Ee Mwenyezi Mungu mwingiwa Rehema utudhihirishie Kwa Hilo liloko kwenye mawazo yetu sisi watoto wako tunaloliwaza juu ya Mwanao Julius Nyerere . Amina.
@LukingaMakanda-pz6xd
@LukingaMakanda-pz6xd 7 ай бұрын
😂😂😂
@egdldm4981
@egdldm4981 7 ай бұрын
Kiuhalisia bado nchi hii haijapata uhuru. Uhuru tunaojivunia kuwa tuliupata mwaka 1961 kimsingi tulibadilisha rangi tu ya watawala maana mkoloni mweusi anafanya yale yale aliyoyaasisi mkoloni mweupe. Kwa nini tusiwaondoe hawa wakoloni tulionao sasa yaani Serikali na mihimili yake yote pamoja na chama kikongwe CCM ili tuanze upya? Swali kwako Jenerali Ulimwengu!.
@peemoneybags410
@peemoneybags410 7 ай бұрын
Archana na Israel wee ongea ya kwako Palestina wanastahili kushughulikiwa na Israeli Go read the BIBLE
@seifalzakwan5663
@seifalzakwan5663 7 ай бұрын
Nonsense
@user-dk9iw7fb1h
@user-dk9iw7fb1h 7 ай бұрын
Hongera kwa hotuba hivyo.inaumiza moyo wangu.
@user-dk9iw7fb1h
@user-dk9iw7fb1h 7 ай бұрын
Hongera kwa hotuba hivyo.inaumiza moyo wangu.
@user-dk9iw7fb1h
@user-dk9iw7fb1h 7 ай бұрын
Hongera kwa hotuba hivyo.inaumiza moyo wangu.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 27 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 170 МЛН
24 podcast: Sme v kaviarni - Guma na tupej ceruzke
1:29:11
Televízia JOJ
Рет қаралды 43 М.
What is ChatGPT doing...and why does it work?
3:15:38
Wolfram
Рет қаралды 2,1 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН