Haki Elimu ndio ilifanya kazi zake vizuri mno ilileta elimu kwa raia hata kwa maandishi na kutuma posta, lkn twaweza aah kwa upande wangu hakuna kitu hapó
@jitathminitv3429 Жыл бұрын
Nidhamu sio kunyamaza❤
@norahappolus8994 Жыл бұрын
English please Jen my friend.
@adenmwakalobo760 Жыл бұрын
Naam, mjadala mujarab kabisa wa masuala yetu ktk nchi yetu. Ninakubaliana kabisa na ndg Rakesh kuhusu umuhimu wa kujitolea kwa ajili ya nchi. Lakini nadhani kwa sasa hivi, kwa kiwango cha mparaganyiko kilichopo huko serikalini (NA HASA IKULU ILIVYO PANGO LA WALANGUZI HIVI SASA), tukazanie jambo moja tu nalo ni UWAJIBIKAJI. Tuweke taratibu thabiti za uwajibikaji kuanzia IKULU penyewe na kushuka chini kwa watendaji wengine. Hilo likikaa sawa, hata kujitolea kutatokea kwa vile sote tutaridhika na kuiona nchi kama yetu sote kweli, na siyo ya Rais na genge lake ambapo anafanya atakavyo kwa faida yake na walio karibu naye!! Tusisitize na tudai KATIBA MPYA ili tuuondoe huu 'uvundo' wa Rais-Mungu unaotusumbua sana na kudumaza kila kitu😢
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
NCHI AMBAYO ILIJENGEKA KUFUNDISHA RAIA WAWE WAOGA KUJADILI MAMBO YA MSINGI BAHATI MBAYA WANANCHI WACHACHE WALIPOONA NI HATARI WALIPOJARIBU KUHOJI WALIADHIBIWA😢
@HezroniJonh Жыл бұрын
Watu kama hawa ndiyo wanaoitajika ktk serikali zetu ubinafsi umetujaa
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Ni kweli kunyamaza si nidhamu
@hollojuma9538 Жыл бұрын
Hakika maoni mazuri Sana ilituondokane nahiihali tunatakiwa tuwe nawatu Kama nyie kifupi selekari hasikilizi wananchi
@dr.salimnasser8701 Жыл бұрын
Uongozi wa kibabe unatokana na chama tawala kuona kukubalika kwao kwa wananchi kunapungua kila uchao