Hali ya Siasa 2024 ni Ya Matumaini au Mashaka? Jenerali Ulimwengu Awapa Somo Vyama Vya Upinzani| S23

  Рет қаралды 9,793

The Chanzo

The Chanzo

6 ай бұрын

Katika mazungumzo haya Jenerali Ulimwengu na mwandishi wa habari Sammy Awami wamechambua mwelekeo wa hali ya siasa kwa mwaka 2024, na kujadili kwa kina joto la kisiasa lilivyopanda mapema mwanzo wa mwaka baada ya chama cha upinzani CHADEMA kutangaza maandamano kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi.
Sambamba na hilo, Ulimwengu ametoa somo kwa vyama vya upinzani na wanamageuzi wengine nchini juu ya mambo ya kuzingatia katika mapambano yao kama kweli wanataka kuleta mageuzi yatakayolenga kujenga taifa linalozingatia siasa safi na utawala unaojali haki, utu na uhuru wa raia.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 30
@kiishful
@kiishful 6 ай бұрын
Hongereni.Its always great listening in to such empowering views from some of the smartest analysts(Mr JU and Sammy) from different generations.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 6 ай бұрын
Asante sana muzee wetu kwa kipindi hiki kinacho tuleteya watu mahiri na mashuhuri kwa kutuelimisha na kutuhabarisha, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@richardhezron2588
@richardhezron2588 6 ай бұрын
Kiukweli tanzania tunajituma sana kufanya kazi ila umoja hatuna
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm 5 ай бұрын
Sawa mchimba mitaro nakula pilau kuku lakini ikimpata ishu ya kufanyiwa upasuwaj hospital ndio utajua kama Kuna Amani au laa
@Sangaadam
@Sangaadam 6 ай бұрын
Mazungumzo mazuri sana yamejaa contents za kutosha.... Naomba siku moja umuite Mzee Wasira ili uongee nae haswa kuhusu Mustakabali wa Katiba Mpya na Uteuzi waTume ya Uchaguzi ( kuteuliwa na Kiongozi (Rais) mmojawapo ambae anashiriki kwny Uchaguzi huo huo)
@albertkamala6843
@albertkamala6843 6 ай бұрын
Naam siasa zinatuhusu sisi sote..ndio maisha..yanaweza kuwa mabaya au mzr!!
@albertclement7847
@albertclement7847 6 ай бұрын
Asante mzee
@paulhintay6916
@paulhintay6916 6 ай бұрын
Good........
@davidmwandiga3465
@davidmwandiga3465 6 ай бұрын
Vyombo vya ulinzi na usalama havitundei haki kwa kukilinda chama tawala wakati wa uchaguzi tuonane 2024/2025 Mungu atatenda haki.
@ozld4864
@ozld4864 6 ай бұрын
Fikra komavu na mahiri tunazipata sasa bila lazima ya kusoma gazeti RAI/Raia Mwema. Hongera sana JU. Kwa miaka.mingi umekuwa ukielimisha jamii ya yetu ya Tanzania.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 ай бұрын
TZ inaongozwa nawatu washamba sana yaani nikituko kuwanaserikali yaainahii kwenye dunia yasasa,tunazalilikaduniani huko,tunawatu waajabu sana eemungu tusaidiye utujariye watu wenyeroho zamungu watuongoze
@peterkafipa6515
@peterkafipa6515 6 ай бұрын
Jenerali mungu akupe afya njema tuendere kuelimika
@fabby1181
@fabby1181 6 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@jumasaleiman
@jumasaleiman 6 ай бұрын
Kipindi kuzur sana sana
@fatmajafar8275
@fatmajafar8275 6 ай бұрын
Jeneral ulimwengu nakuku balisana
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 6 ай бұрын
Labda na wao ni mbwa sababu mbwa anazaa mbwa..
@suleimansheikh
@suleimansheikh 6 ай бұрын
Ww ni hzina,lkn haituithamin.mawazo na mtazamo wako niwa dhahabu
@azizbashir
@azizbashir 6 ай бұрын
HAPANA SEHEMU KUBWA YA TZ NI MABANTU NA MABANTU WANA ASILI YA UOGA NA UNAFIKI WAKENYA WANAKULA VIZUR LKN UKICHUNGU RIFT VALLEY PROVINCE MASAI TURKANA BORA SOMAL IKIMHUZI ANAONA KABUR TZ SISI PIA NYERERE ALITUPA MARADHI OBOFOBIAN MARADHI YA UOGA
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 6 ай бұрын
Nchi za Kusini - Mashariki na Mashariki ya Mbali [Taiwan, Korea Kusini, Thailand, Malayasia, Indonesia ba Ufilipino ba hata Singapore] hazikujengeka kwa kupeperusha bendera ya demokrasia na heshima ya haki za binadamu au utawala bora. Nyingi zilikuwa ni kinyume kabisa na hayo tunayohubiriwa kuwa ni tunu za utawala bora!
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 6 ай бұрын
Je,zilijengeka katika misingi ya unafiki na wizi wa mali za umma!? Hizi Nchi ulizozitaja zimejengeka kwa kufuata Misingi dhabiti ya Haki. Hakuna Nchi hata moja ya Waafrika Weusi ambayo imesimama katika misingi dhabiti ya haki bin haki. Hila,unafiki,uongo,uvivu na wizi wa viwango tofauti..... !!!?
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 ай бұрын
Ebufafanua zaidi tukwelewe unazanikwamfumohuu usiyoajibisha mafisadi utawezajekupiga hatua,??je wewe nimwizi wamali zamma Au wewe nichawa waccm Au wewe nimupumbavu hunaakili yakufikilia nakutambuwa hayamambo,
@frankminga9307
@frankminga9307 6 ай бұрын
Generali naona hali halisi ya mtanzania wa chini bado hujaijua vizuri
@user-cg4dq8wy6r
@user-cg4dq8wy6r 6 ай бұрын
Tatizo kubwa zaidi ni kua imani ya wana nchi kua hivyo vyama vya siasa vya upinzani wakishinda wataleta hayo mageuzi wanayo ahidi? Mpaka sasa katika nchi nyingine za kiafrika hakuna killichofanyika. Wanabbadilika watawala tu halafu wizi na ulafi uko pale pale.
@Fred-Ma
@Fred-Ma 6 ай бұрын
Kwa mfano nchi gani?
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 6 ай бұрын
Unamaanisha ccm waendelee kuiba nakuiba mpakakiama,wewemshenzi
@paulhintay6916
@paulhintay6916 6 ай бұрын
Leo......sielewi huu mdahalo
@1961nungwi
@1961nungwi 6 ай бұрын
Huu sio mdahalo, ni maongezi. Yanatujadili sisi wa TZ na Hali zetu. Kama huelewi, Ina maana pia huelewi hali yetu kama Nchi na WanaNchi
@jumasaleiman
@jumasaleiman 6 ай бұрын
Kipindi kuzur sana sana
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 60 М.
eLA 2011 Plenary Speech: Jenerali Ulimwengu
24:38
ICWE
Рет қаралды 8 М.