JESHI LA POLISI LIMEMUHOJI AFANDE FATMA KIGONDO KUSIKA KUWATUMA VIJANA KUBAKA NA KUMLAWITI BINTI

  Рет қаралды 20,383

UHURU MEDIA ONLINE

UHURU MEDIA ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 10
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 18 күн бұрын
Kweli mwana wa mwenzio kumfanyia hivyo. Ungemtafuta kama mwanao umuonye. Mwanaume muhuni hawezi acha tabia yake ya kutaka vibinti vidogo. Maana wewe ushakua mtu mzima
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 18 күн бұрын
Kwa kweli na mabinti wadogo wanabeba mizigo mikubwa kuliko uwezo wao watafika wamechoka
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 16 күн бұрын
Mtu mzima ovyooo
@beinafuu6219
@beinafuu6219 18 күн бұрын
Kumbe hata polis wanagomea mahakama a.mbona wanasemaga kueshim sheria au wao hawamo.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 18 күн бұрын
Wasiojulikana mko wapi huyu afande amefanya kitu mbaya sana hebu mwangalieni angalieni je?inafaa apelekwe katavi au
@HOSEAHALLAN-tt3gx
@HOSEAHALLAN-tt3gx 18 күн бұрын
Tunaitaji katiba jama ujiga umezidi polisi awafai vigogo selakalini wanatumia vibaya sasa tumeyoka sanatu
@beinafuu6219
@beinafuu6219 18 күн бұрын
Shimo hilo.walichimba sijui.md gan jaman duh.kiukweli watu sio poa
@MwashumuNassoro
@MwashumuNassoro 18 күн бұрын
Sio kweli acha kumtetea huyo afande kafanya vibaya au nduguyo
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 15 күн бұрын
Hapana hyo amezungumzia Yale mauwaji ya kuzikwa wakiwa hai ​@@MwashumuNassoro
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 18 күн бұрын
Mueken ndan mnatuambia ivyo iri turidhike
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 91 М.
Searching for African Indians in India, Siddi People, Siddi Village
10:30