JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako.

  Рет қаралды 31,158

G Online

G Online

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
⚡Swali la Leo⚡ Kipi kinachokusumbua kusave pesa? Niandikie kwenye comment chini
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 4 жыл бұрын
@neno Elimu tv jifanye Kama huyaoni
@ramadhanrashidali7056
@ramadhanrashidali7056 3 жыл бұрын
Sawa Sawa Kuna baadhi ya majukumu yapotezee kaa nayo Mbali sana usiyabebe moyoni Ivo unaweza kufny yako
@marthakulanda2029
@marthakulanda2029 2 жыл бұрын
Mshara wangu niraki Moja rakini uwana pewa Hera na wateja kama Asante Kwa uduma nzuri
@oswardmwalukasa6948
@oswardmwalukasa6948 2 жыл бұрын
Kiswahili Kizuri cha kusave ni kuweka akiba badala ya kuhifadhi pesa. Asante kwa somo zuri
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 2 жыл бұрын
Asante
@t.altamtamia5806
@t.altamtamia5806 4 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa ushauri wako mzuri
@mbutolwemwakambonja9132
@mbutolwemwakambonja9132 2 ай бұрын
Ni vigumu kutunza bidhaa nyingi bei iko juu
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 4 жыл бұрын
Mimi inanisaidia sana na nathamini pesa ndogo inanifanya nifike Mbali huwa nasevu 5000 mpaka 10000 Kwa mwaka Nikija kuangalia Daa Naweza Hata kumsomesha Mwanangu shule za academic
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 9 ай бұрын
Mimi kinanishinda ku save money ni,I work and I work hurt but I have 6children and I’m a widow Mother,najikuta ninacho kitumikia ni kulipa bills na stock ndani ya watoto kula mwezi mzima,watoto mavazi,najikuta pesa yote natumikia inaishia hivyo kila mwezi,Nina wasichana 5na mwanaume umoja,mwanaume hanipi shida hawa wanawake sasa,mara mama I need my hair done sijuwi nguo,sijuwi mafuta najikuta natumikia wenyewe.naona nikisema sina ndiyo pale analeta mawazo mabaya,I want to look for boyfriend.naomba ushauri pls🙏
@ElimikaTz
@ElimikaTz 4 жыл бұрын
Big up sana.. well said💪🏽 tunapaswa kujifunza matumizi mazuri ya mapato yetu na kuweka hakiba.
@veronicamussa7306
@veronicamussa7306 4 жыл бұрын
Kinacho nisumbua nimatumizi ya hela bila mahesabu mwisho wa siku nilicho fanya cha maana hamna
@Resam01
@Resam01 2 жыл бұрын
Ni video nzur😊🤝
@aminaibrahim3656
@aminaibrahim3656 3 жыл бұрын
Nice motivation
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Thanks
@ibramligo7813
@ibramligo7813 2 жыл бұрын
Kaka mm beting inanisumbua sana najalibu kuacha nashinda unanixhaulu nifanyaje
@peterthomas7674
@peterthomas7674 Жыл бұрын
Kuwa na nidhamu ya pesa
@regnaldgadi9924
@regnaldgadi9924 4 жыл бұрын
Ninasevu sana ila bado sijapata wazo zuri za kuzitumia ili ziniongezee kipato
@ChristineRobert-i6k
@ChristineRobert-i6k 4 ай бұрын
Mimi na save ila nikipatwa na kitu najipata nimetumia hadi mtaji😢natamani ni save bila kungusa
@dedeElly-ml8wm
@dedeElly-ml8wm 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@fatamaalhabsi3464
@fatamaalhabsi3464 4 жыл бұрын
Mshahara wangu milioni moja habaki
@williammpiluka9952
@williammpiluka9952 Жыл бұрын
Umesemau kweli wanabadli chakazi wanawezaku wekaaslimya yakpato chake 20
@lucysimon431
@lucysimon431 Жыл бұрын
Mh nataman kwel Ila ikifika lak3 natumia yoteee
@marysiyame4275
@marysiyame4275 2 жыл бұрын
kinachonishida nashidwa kutunza pesa namshahara wakawaida ila matumizi mengi
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 2 жыл бұрын
Pole nitakusaidia ili kwenye video inayofuata
@mariamuhady6257
@mariamuhady6257 2 жыл бұрын
Mie kwa mwezi napata laki saba je na nina familia ya watu 7 je nifanyeje
@mfswcb5837
@mfswcb5837 4 жыл бұрын
nmekuelew
@omarykandolo7293
@omarykandolo7293 3 жыл бұрын
Kaka nimekuelewa kaka
@bahatikengese744
@bahatikengese744 2 жыл бұрын
Bro me ni fundi ujenzi sawa na huwa na jitaidi sana kutunza hela lakini kitu cha nikitunza hela kazi zinakosekana na Yan Hadi hela iishee ndio na weza kupata kazi nikishikaa hela nikitunza kzi sipaji inaniuma sana
@mudymuzungu3388
@mudymuzungu3388 Жыл бұрын
Ushauri wanguh pesa ndan haikai na kitu kikubwa zaid nakushauri jaribu kununua asset ambapo itakufanya uweze kuigeuza kuwa pesa ambapo utahitaji
@Mpakauseme
@Mpakauseme 11 ай бұрын
kwasababu haujajua nini maana ya kitu ulichonacho, na hiyo ndio shida kubwa kwa watu wengi ulimwenguni kutokujua walichonacho kama ujuzi fulani , au uimbaji , uchezaji mpira , uigizaji na ata kazi ya ujuzi wako , pole sana ndugu. Ujuzi ni sehemu ya mwanya wakwenda utakapo kuwa tajiri au kuwa mtu wa kawaida ilo ni chaguo lako , sasa unaujuzi na hauna ela katika nchi ya asili yako mwenyewe tena yenye ardhi nzuri na fulsa za kila aina aisee pole sana , nianani aliyekuwambia ela ya mtaji unatunza amgali u bado katika utafutaji ebu litafakari ili arafu chukua hatua kabla mda haujakutupa mkono 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mrbaraka4326
@mrbaraka4326 3 жыл бұрын
Kaka ninaingiza 25000_30000 kwa siku katika biashara yangu ,niweke akiba kiasi gani hapo?
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Kaka kusave kidogo kidogo nakushauri anza kuweka akiba asilimia 30 ya hiyo 30000/= ambayo ni shillingi 12000/=
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 2 жыл бұрын
Asilimia 30 ya 30000 ,ni 12000?
@wilisonwilliam6484
@wilisonwilliam6484 3 жыл бұрын
Starehe za ujana
@simpozeboy9490
@simpozeboy9490 3 жыл бұрын
Kaka habar mimi nalipwa lak na nusu per month, naish dar, nashndwa kabsa kusev akiba ata 10% nashndwa maana kipato
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Linapokuja suala la kuweka akiba si lazima 10% niliyoisema ila unaweza anza kidogo hata 5% au save hata 1% ya mshahara wako.
@khamismussa1719
@khamismussa1719 3 жыл бұрын
Uvutji WA sigara
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 жыл бұрын
Acha unaharibu afya yako.
@bekahassan1313
@bekahassan1313 4 жыл бұрын
Mi fund Umeme huwa nashindwa kutumia kanuni ya 30,20,50 daaah
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 жыл бұрын
Si kila mtu anaweza kutumia kanuni mbalimbali zinazotumiwa na watu wengine. Labda unashindwa kutumia kanuni ya 30/20/50 kwasababu ya kipato chako pia na nidhamu yako ya pesa katik hilo. Jaribu kubadilisha mfumo ya kusave pesa zako, mifumo ipo mingi sana na angalia ipi inakufaa .Fanya experiment kwa mwezi mmoja na angalia ipi ni nzuri zaidi kwako.Unaweza
@eddymondsilvester6283
@eddymondsilvester6283 4 жыл бұрын
Siwez kuxhik pes
NJIA YA KUONGEZA PESA ZAIDI - JOEL NANAUKA
7:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 57 М.
JINSI YA KUWEKA AKIBA YA FEDHA 2021
16:04
G Online
Рет қаралды 28 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 21 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 269 М.
NJIA RAHISI ZA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA
14:47
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
Jinsi ya Kusave Pesa Hata Kama Huna Pesa
10:41
Dr. Said Said
Рет қаралды 807
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 34 М.
Umuhimu Kuweka Akiba - Joel Nanauka
5:46
Joel Nanauka
Рет қаралды 38 М.
NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA
8:50
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 5 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 15 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 21 МЛН