As was seen on Clouds TV during "Brands and Cities Tv Show Series
Пікірлер: 125
@hildababyabdullah56274 жыл бұрын
Nimekuelewa Akhy mawazo mazr mashaallah wallah nitafanyia kazi maana nipo njiani kufungua biashara inshaallah
@zanzibaronlytv34707 жыл бұрын
vjana wenzang kwann tufuatilie sana skendo za wanamiziki ila vit kma iv hatuvishuhulikii
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Agri Halym asante kwa wazo Zuri sana. Tuwasaidie vijana wenzetu kwa Kushare link ya video kwa whatsapp groups na mitandao mingine ya kijamii
@yesayamwalukuta74536 жыл бұрын
haaahaa kweli kaka umenifurahxha
@doreenmalesi60396 жыл бұрын
BUSNA tv ukweli mm huwafiatilia ila ndio nimepata hii sitarudi kwa muziki tena
@salymtarimo43515 жыл бұрын
Yap
@felicianchuwa67325 жыл бұрын
Thanks
@successpathnetwork7 жыл бұрын
That's very true people don't think proximity. the opportunities around us... start where you are with what you have! #GreatTalk my brother
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Ezden Jumanne Thank you my brother
@pendofesto37616 жыл бұрын
God bless you
@kelvinjohn68516 жыл бұрын
Brother Luvanda asante sana kwa inspiration ila nlikuwa naomba kujua ntakupataje physically naamini nimepata mentor. Plllz sir i mean it.!
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
kelvin john Dar Free Market Mall 1st Floor Room F11
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Napenda sana kuangalia hizi video,maana ni mbadala wangu wa kusoma vitabu,yaani nikikosa kusoma vitabu napenda kusikiliza hivi motivational videos.
@kimataedina23747 жыл бұрын
Thank you so much,,,, only God knows how much you have inspired me,,,,be blessed brother
@opactv52157 жыл бұрын
Naamini sijachelewa!!!
@susanruo80877 жыл бұрын
I wonder how I didn't see this before.... Soo inspiring...... Am not too late thou
@josephalack78885 жыл бұрын
Daah!! Nimekuelewa bro big up sana kwa uwelimishaji unao tuwezesha👏👏👏👏👏
@Blandine81 Жыл бұрын
Merci beaucoup mon frère ❤️👌(Asante sana kakayangu )
@alfeokaguo16635 жыл бұрын
mr luvanda hongera san for inspiring me nimejifunza kitu kizuli sana.
@christinarichard675 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana kiukweli najifunza Sana tena pakubwa mno!!!! Hizi video mi zinanikuza kiakili na kunikomaza Asante Sana barikiwa
@vumiliandomba36046 жыл бұрын
asante sana, endelea kutufundisha as vijana
@korneliolaizer77557 жыл бұрын
May The LIVING GOD BLESS you much sir Anthony.
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
kornelio laizer a Big Amen to that.
@adamphilipo21495 жыл бұрын
Correct nimekukubali
@ilyasaziz8895 жыл бұрын
Jazaakallahu khairan ya Akhy hakika nazidi kupata elimu na jinzi ya kuanza biashara
@kwizerabusumbingabo785 жыл бұрын
you a very important person person in africa thanks for your advises
@zakyahya46455 жыл бұрын
Asante xn kaka umenifungua nilikua nawaza xn kuhusu biashara ya kufanya Nimejikuta Nisha kua mwepesi wa kuwaza
@danielmboje87515 жыл бұрын
iko vizuri sana tusaidie kuelewa maana tunacho fikiri sivyo kilivyo.
@emanuelbayo39035 жыл бұрын
So Good motivation
@pascalmethod92717 жыл бұрын
Very inspiring Bro thank you for the tips and keep it up with a good work! Inspire youth by a fellow youth
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
pascal method my pleasure
@joycefelix90477 жыл бұрын
Thank you Very much Brother, this is awesome
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
JOYCE FELIX My pleasure
@kingdog49325 жыл бұрын
thank you for your best advice
@stephanokisimbo8407 жыл бұрын
THIS IS AWSOME SIR, I LEARNED SOMETHING IN IT. 🙏🙏
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Wakishua Stevie My pleasure
@mwaminiiddi83104 жыл бұрын
Thanks a lot my brother nimekuelewa sana
@angelpima52864 жыл бұрын
👍👍👍nimekuelewa
@elishagiligili7 жыл бұрын
Living Word sir. thank you & stay blessed my mentor
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Elisha Giligili Amen and thank you
@marypeter30625 жыл бұрын
nimeshaliona tatizo naanza kufanya kazi kesho asubuhi
@m.mmarckus62985 жыл бұрын
Asante sana kaka,ni muda wakujiandaa nifanye kitu gani
@raymondjimmy27126 жыл бұрын
Haki Bro umeni Inspire Kinyama nyama Mwenye Akili katoka na Kitu kwenye Darasa la leo Be Blessed
@faithanindo44846 жыл бұрын
Thank u very much my brother am glad have really advised me coz I want to start a smart business
@bujsaudaselemani55624 жыл бұрын
Shukurani sana kaka
@juliethkahwa30477 жыл бұрын
Asantee sana Jaman,
@zuberimaulidi77174 жыл бұрын
Pamja sana kk
@ashajane30934 жыл бұрын
Thank you
@gosaizaka14956 жыл бұрын
daaah luvundaa mm naitaji ushauri maana nimeajiliwaa ila ndoto yangu natamani nijiajiri kwa kufanya busness nifanyaje maana naumiza kichwaa sanaaa
@neemadastan83904 жыл бұрын
Wazo langu pia
@omaiim40144 жыл бұрын
Hongera baba kwa mafunzo mazuri
@amosibushaija48084 жыл бұрын
Tunashukuru sana kaka kwa hilo somo nimelielewa sana
@beatricepantaleo62825 жыл бұрын
You touch me much brother be blessed
@rehemageorge95066 жыл бұрын
Asante yaani wewe ukifungua chuo dah. Tutakuja wengi
@ahmadimkumba1895 жыл бұрын
Rehema George asant xn
@yassins57907 жыл бұрын
Asante sana
@shaneeshanee7417 жыл бұрын
Shukran;unatupa moyo
@shabanmahamud92156 жыл бұрын
broo I'm big up xana👍👍👍👍👍👍👍
@linnahmakopa65395 жыл бұрын
Somo lako zuri Asante
@abrahammolla81884 жыл бұрын
Asante sana kaka nimekuelewa sana
@SoSo-kw2kw5 жыл бұрын
Kaka asante sana reo ndio nakufatilia lakini nimeiona tu hii video moja lakini nimejikuta nimeisha pata biashala yakufanya asante Sana sifatilii tena umbea wamitandaoni nikiingia tuu umu nakusikiliza ww tu
@erickmsallenge37247 жыл бұрын
great
@aliebrahim94234 жыл бұрын
Luvanda nipe technique moja tu,kwani napenda sana kuwa motivational speaker.Nipe technique moja tu ambayo itakuwa general kabisa.
@calelisatalia38217 жыл бұрын
Thanks bro for good idea
@enockyohana68566 жыл бұрын
Nimebadirik mnoo kuputia maneno yako asant
@zamzamhamisi73326 жыл бұрын
Shukran sana umeniamsha
@paschalithabiti94456 жыл бұрын
Zamzam Hamisi inatisha kakaangu
@grandgtg80946 жыл бұрын
Kuna watu wenye tuna MAWAZO mengi creative, but financial status tunafeli
@zainabuchiwanga70234 жыл бұрын
Nemependa
@rashidikalabi97157 жыл бұрын
now days tangu nilipoanza kufuatilia events zako you tube najikuta nimeanza kusimama sabb nililala sana kwa kuviziaga mshahara mdogo sana kila mwisho wa mwezi.....
@latifaali7795 жыл бұрын
Nc
@getrudenyamvula35116 жыл бұрын
thanks bro from kenya
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
Getrude Reda Bravo! Thank you for watching
@annastaziakibole56037 жыл бұрын
mm ni mfanyakaz wa ndani Niko nnje ya nchi napenda San kufanya biashara naamini nitafata ushauri wako
@eliudkamugisha91095 жыл бұрын
Nimeipenda xana
@lucymtega42885 жыл бұрын
Samahani Mimi in musichana wa miaka 20 ninamtaji wa million moja je naweza kufungua duka LA vitenge
@kolthoomkolthoom25166 жыл бұрын
Nimekukubali kinomanoma nahisi nitafanyamabadiliko kwenye mtaa wangu asante
@farajasanga4666 жыл бұрын
nimeelew bro
@kelvinfugara43027 жыл бұрын
I am following you brother
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Kelvin Fugara Thank you
@zuhuramike13994 жыл бұрын
Amen
@kadikmctv75785 жыл бұрын
hahaa... dahhh. zigo kw familia. ......😀😀😀🙌
@ibrahimzuberi10295 жыл бұрын
NAKUELEWA SANA MKUU ITS 3RD WEEK NW NAKUSKILIZA ,BARIKIWA SANA
@irinesilver83086 жыл бұрын
daah asante sana
@christinangossi46697 жыл бұрын
🙏🙏point ya mwsho
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
christina ngossi Shukrani
@iam_mobam6 жыл бұрын
Thenx broo
@naimanurdin28465 жыл бұрын
Jamani namba ya Luvanda naomba plz mana haki naitaji kuwa mfanyabiashara Naitaji ushauri wa hali ya juu jamani
@keshukakurubay12736 жыл бұрын
Endelea kutupa elimu tunakupata vizuri
@mihayokasakulilo94536 жыл бұрын
fact
@shaabanramadhan67705 жыл бұрын
Hivi ndo vitu vyakusikiliza
@sonmtalika45515 жыл бұрын
Siku nilipoamini kuwa naweza fanikiwa mwenye maisha yangu pale nilipokakupigia simu na kuipokea jambo ambalo ckulifilia kama lingetokea kwangu. nothing is called "CAN'T"
@naimanurdin28465 жыл бұрын
Son my Friend naomba na mimi namba yake jamanii naitaji ushauri juu yake plz kaka
@kicksrepublic26005 жыл бұрын
Big up sana bro! 👊
@hamisilaini96882 жыл бұрын
big up my brother
@justineombela17276 жыл бұрын
Brother mimi nimeshaanza biashara lakini naona kama inayumba nifabyaje
@shabaniathumani59947 жыл бұрын
kaka luvanda unapatikana wapi
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
Shabani Athumani Dar Free Market Mall 1st Floor
@emmanuelmalele14396 жыл бұрын
Good
@zakayosethi31515 жыл бұрын
njema
@marthaaugust44396 жыл бұрын
hallow Mr , Mimi nimeshajipanga kuhusu ideas za business but zinahtaji garama sana , so nahis nahtj mtaj , ila sina pesa yakuanzia , so that nakuomba hata unitafutie mdhamini wakunidhamin hata kwa msaada
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
Martha August Unahitaji kuangalia hii video yangu nyingine kzbin.info/www/bejne/e3uogqeXdsp2sJo
@kadikmctv75785 жыл бұрын
vipi kama upo dodoma... tupige kazi... nahitaji msaidizi online marketing
@kalistabruno93684 жыл бұрын
@@kadikmctv7578 me apa
@roserichard18265 жыл бұрын
Kitu kikubwa nahitaji kuelewa kaka yangu yote hayo nayaweza je nitapataje Wateja??
@maishatzmartin54685 жыл бұрын
ninatakiwa niwe na vgezo gani ili nisajili biashara yangu
@hejopansimon52177 жыл бұрын
Ila kweli lkn je Ntaanza naxhngp
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
Hejopan Simon bofya hapa kzbin.info/www/bejne/e3uogqeXdsp2sJo itakusaidia jinsi ya kuanza