Kwa mwezi ni vizuri kuanza kusave 10% ya mshahara wako, kwahiyo kama unapokea 24,000 basi save 2400. Matumizi ya lazima itakuwa 50% ambayo itakuwa 12,000. Matumizi ya ziada 30% ambayo itakuwa 7200. KWA MAELEZO ZAIDI JINSI YA KUANDAA BAJETI check hii video yangu kzbin.info/www/bejne/fqCqqHV6qc2tqbs
@lichadavid76777 жыл бұрын
mungu abariki kazi ya mikono yako
@annabenpol38664 жыл бұрын
Nimeipenda hii...
@kamandab79767 жыл бұрын
Ongera Dadangu nimependa elimu yako keep doing it
@ggabo32227 жыл бұрын
checkhizipia
@raysalsalym61797 жыл бұрын
ubarkiwe. mungu akupe umri. nme gain hpo
@ramadio9685 жыл бұрын
Raysal Salym
@samsan95tvlaizer597 жыл бұрын
good job my ccter nakupendaga bure
@CHIEFBARUTV-e5e6 жыл бұрын
vizuri sana
@empoweredentrepreneurworld74466 жыл бұрын
Good Good Godbless you
@sundaymariba3606 жыл бұрын
Asante mamaa
@masomoyakarne51226 жыл бұрын
Umenisaidia madam!
@happyedson14065 жыл бұрын
Barikiwa mom
@erickdioniz82772 жыл бұрын
Safi
@erickmsallenge37247 жыл бұрын
Asante,somo zuri
@mwandoimma1236 жыл бұрын
Nc one
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
ww mdio mwanamke bora
@shedsmicharazo73086 жыл бұрын
Naomba NAMBA zako mwaya
@davidphares53167 жыл бұрын
mi namajukum home family yote inaniangalia mm mshahara wangu kwa mwezi laki 3 na nipo oman nifanyeje ili nipate kumalizia nyumba yangu hatua niliyofikia nipo kwenye kench lakini hizo kench hata kununua bado cjui napunguza vipi hiyo bajet
@MegatHomeSwahili7 жыл бұрын
Jitahidi kupitia Matumizi yako na kuacha Matumizi yasio ya lazima. Angalia ni mambo gani ambao ni muhimu na yenye thamani kwenye maisha yako na familia yako. Mambo yasio yalizima acha ili uweze kusave. Kama umeshajibana vyakutosha basi tafuta kipato cha ziada au endelea na ujenzi taratibu kadiri ya uwezo wako.
@renaldakamugishazeramulake9407 жыл бұрын
David Phares weeeee laki 3! Huo mshahara laki 3 ulishazuiliwa na ubarozi. KM unakuja kwa mara ya kwanza OMAN mshahara ni laki 450, yaani unatakiwa upewe rial 80 ZIDISHA mara 5500 unapata Tsh .Km laki 470. Unaporudi mara ya pili km ni tajiri huyo huyo anatakiwa akupe riali 100. WAOMBE kwa upole waeleze una wazazi na watoto wote wanakutegemea ukiona hawataki waambie Mimi kazi basi narudi nyumbani walahi utaongezwa japo km alikuwa anakupa 60, atakuwa 75 au 70. Mimi niko Oman pia napata rial 150, tena kwa kazi za ndani ila Jumba ni kubwa sana. Wetu wangu ni 4, ijumaa ndio wanakuja watoto wake 5.
@gloriachristianshirima50016 жыл бұрын
Huko oman unafanya nn usirud kama unapokea laki 3'bora urudi
@fofomohammed62536 жыл бұрын
David Phares Mimi pia tupo sawa kwenye majukumu
@rahimaaaaa86996 жыл бұрын
MmmmTz hakuna kazi za mshahara laki 3? Mbona unatuma aibu ndg yangu.
@RED-kr5vc6 жыл бұрын
viti vinacheza au vinaitikia? sijaelewa
@joyceabdallah4657 жыл бұрын
We ni noumaaa😂😂😂
@valentinamussa42127 жыл бұрын
je ukiwa na madeni unaweza kusave kweli
@MegatHomeSwahili7 жыл бұрын
Swali nzuri, Kama una deni basi panga utaratibu wa kulipa hilo deni kwa muda maalum wakati pia unasave kidogo. Kwani tharura hazikwepeki na ni vizuri kujiandaa kwa kuwa na akiba.
@marizianasumba71107 жыл бұрын
Asante sana dada
@rahmasellemani45637 жыл бұрын
mashaallah
@shabanchuma78327 жыл бұрын
Mchanganuo nimeupenda
@nyanzalakaporo25047 жыл бұрын
SAFI SANA NIME KUELEWA SANA.
@ahdahmed83836 жыл бұрын
Safisana
@jerryjuma13392 жыл бұрын
namba yako ya WhatsApp ni ipi dada yangu? Kuna kitu nataka tuongee
@mussasuleiman.21986 жыл бұрын
Asant dd
@victormkello95757 жыл бұрын
bless
@shabanmahamud92156 жыл бұрын
nice
@aikasolomon77817 жыл бұрын
thank u
@josephatjohn21256 жыл бұрын
samahani kuuliza sasa kama utakuwa unaweka akiba kwanza alafu siku ikitokea tatizo kubwa si itakulazimu kutumia kiasi chote na akiba yako itakuwa imekwisha?
@MegatHomeSwahili6 жыл бұрын
+Josephat John huo ndio umuhimu wa kuweka Akiba, tatizo likitokea hauadhiriki kwani umeshajipanga kukabiliana na hilo tatizo. Alafu unaanza kusave tena kwa matatizo ya mbeleni.
@hamisa34476 жыл бұрын
ndugu jitahidi uku unaweka akiba uku unafanya kitu maana ata mie nilikuwa naweka ila likaja tatizo yote ikaishaa yaan nusu weka nusu tumia
@faridahussein3505 жыл бұрын
Je unawezaje kulipa madeni na wakati huohuo ukaweka akiba, na bado familia inakutegema wewe?
@MegatHomeSwahili5 жыл бұрын
Hapo ndio unatakiwa kuangalia jambo ngani ni muhimu Kwanza, kwa mfano wako unaweza kusaidia familia Kwanza kadri ya uwezo wako, Kisha panga utaratibu wa kulipa madeni, halafu weka akiba.
@sylvanussebastian62097 жыл бұрын
Ccta hiyo njia ya tano inanihusu na ya pili
@misckkoba72246 жыл бұрын
Sylvanus Sebastian bigup sis asante kwa elimu bora
@jastinnyatano40496 жыл бұрын
Sijapoteza muda kukusikiliza
@MegatHomeSwahili6 жыл бұрын
+Jastin Nyatano Nafurahi kusikia hivyo 😊
@jerryjuma13392 жыл бұрын
namba yako ya WhatsApp ni ipi dada yangu? Kuna kitu nataka tuongee