Hii video mara ya kwanza kuiona mwaka jana ilipopostiwa tu ikabidilisha mtazamo wangu na ndio kipindi nilichokua natajiandaa kuoa na wakati huo nilikua na ujenzi wa mahali pa kukaa na mke wangu mtarajiwa kupitia video nikaweza kufanya savings kila siku mpaka mwishoni mwa mwaka nimefanikiwa kujenga nyumba vyumba viwili moja master na jiko na nikafanikiwa kuoa na sasa nimefungua duka dogo tu ila hii hua naitazama sana inanipa nguvu sana hasa ninapoona majukumu mengi kuliko kipato kiukweli imenisaidia sana i wish siku moja tuonane
Ungekuwa Doctor ungesaidia watu, lakin umekuwa life couch Kwa watu wengi zaidi na kubadilisha maisha ya watu wengi zaid ikiwemo Mimi.....zaidi ya ambavyo ungekuwa doctor;....GOD BLESS U MORE & MORE THAN TODAY
@kato_tz6 жыл бұрын
Kuanzia leo tarehe 25/06/2018 saa 23:44 usiku naahidi nitaanza kutumia hii kanuni na kuna siku tutakutana nikupe ushuhuda. I am one of the people wanaotumia tumia tu hela bila kujua inaenda wapi, Siku hizi napenda kujifunza sana kuhusu pesa na tabiaa zake. All I need is money jamani. This will be my all time slogan. Barikiwa sana brother Joel kwa kujitoa kwako kwa ajiri yetu. Change from now on will not be an option.
@davidchriss9618 Жыл бұрын
Ni miaka minne sasa imepita.. tupe update yako
@Jayshakii Жыл бұрын
😂😂
@kato_tz Жыл бұрын
@@davidchriss9618 aisee ndugu since then a lot has happened Naweza sema now am 10x better as I promissed kaka.
@AlfredMushi-lw6cf Жыл бұрын
tupe mrejesho mzee
@saiguraniedward67169 ай бұрын
Nipe mrejesho ndugu yangu....umefanikiwa?
@clarasabutoke28616 жыл бұрын
Asante sana Mungu akuinue unanibariki sana najifunza mno.nimechelewa kukufahau but tangu nimekufaham na kukusikiliza mylife yanabadilika positively daily
@calvinmastorytv89973 жыл бұрын
Clara namba yako tafadhali Kuna fursa tushirikishane
@eliudimwigi83686 жыл бұрын
Binafsi Mimi Eliudi hii Kanuni ya Elizabeth Warren ya 50|30|20 inanifaa na naweza kuimudu vizuri nikijibana. Joel MUNGU akubariki sana Kaka yangu.
@joelnanauka6 жыл бұрын
Eliudi Mwigi pamoja sana Eliudi,tuendelee kujifunza
@emmanuelkache16826 жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri wako!! Ni vizuri kupata mawasiliano yako.Ubarikiwe
@edwineedison7896 жыл бұрын
@@joelnanauka ase kaka nakukubali kwa elimu yako ubalikiwe sana
@eltonmnunga82285 жыл бұрын
Joel, naweza kupata mawasiliano yako ya moja kwa moja, naitwa Elton, mamba yangu ya simu ni 0717 064050
@alistidesngaiza39164 жыл бұрын
@@joelnanauka ,.,.,.,.
@bakarimuhammad62515 жыл бұрын
Asante sana nimekuwelewa sana somo zuri naomba uzidi kutufunguwa mawazo tunajisahau sana
@mazabasamson60296 жыл бұрын
Ahsante sana kaka kwa somo zuri.....kuna mambo yalikua yananiendea tofauti kuhusu matumizi ya pesa japo nilikua naona napanga bajeti vzur ila kwa somo nililolipata kwako nahisi nitakua vzur "thnx lot br0
@habibuabrahamani93896 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu. Nadhani hii inanifaa kabisa. kuna mfumo mmoja huo wa asilimia niliutumia, ila nadhani 20% ilizidi katika sehemu ya investment and saving. Nilipunguza wants nikaongeza saving. and I have achieved my 15 days goals, in May, this year. It really work out brother.
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Thanks brother MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana
@sheilamrogoro86418 ай бұрын
Asante sana kaka Joel .somo hili litanisaidia sana kubadiliaha maisha yangu.kweli pesa tunapata ila bila milango na bajet ni kazi bure
@hapsaally18603 жыл бұрын
Nakuitaga doctor wa brain, naamini kama mwili unavoitaji matunzo chakula, mavazi n.k vilevl ubongo nao unaitaji chakula tena kwa kila cku, sitoacha kukuombea kila niombapo dua kwa M/Mungu kwan ni hakika umenishibisha kichwa yangu ipo inafanya kazi sawaswa ni kwavile hujui tu umenitoa wap na naamini tupo wengi sio mim tu! Tunakuombea sana 🙏🙏
@JojoLomalisa9 ай бұрын
Amen ,on point hii inanihusu mimi kabisa ..nakuwa na roughly kwenye matumizi ya pesa ila now nimejifunza na kufata kanuni na taratibu ili nifanikiwe
@salehhassan874 жыл бұрын
50:30:20 Hii ipo vzr sana nimeipenda na Nikijaaliwa nitaanza kuifanyia kazi mwezi huu nilionao Ahsante sana kaka Kwa kutufunua macho .
@rosemngongo106 жыл бұрын
asante sana kaka kwa elimu nzuri ingawa mimi natumia mtindo mwingine wa kupanga bajeti ila kuna vitu nimevipata kutoka kwako ambavyo naweza kutumia ili kuboresha upangaji wangu wa bajeti katika mtindo wangu Mungu akubariki sana.
@shafannaftary94852 жыл бұрын
Asant sana bro mi nilichelewa sana sana kufatilia hivi vitu,nahisi kwa jinsi nilivyofanya matumiz yasiyokuwa na mana sasa inatosha Mungu awabariki saana wewe na Ezden jumanne,tangia nilivyoanza kuwafatilia kuna kuna vitu nmeshaingiza katka akili yangu.thank you very much brother.
@eliatowela44844 жыл бұрын
Wow nmeelewa vzurii sanaa nitajitahid kufanya kama nilivo elewa sikujua kabisaa
@ibrahimwapili88516 жыл бұрын
Kaka Elim uliyo nipa ni kubwa sana kiasi kwamba umenifanya nijitambue sana Asante sana Mungu Akubariki
@dannywanjara47806 жыл бұрын
Ndugu umechangia kubadili mfumo wa maisha yangu kias kikubwa sana nlikua napata pesa lakin aikai. kumbe lifestyle ndio ilikua mchawi wangu mkubwa ila taratib nimeanza kusogea ktk kuepuka vitu visivo vya lazima
@SuperKibwana6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Coach, kwa haya mafunzo. Hii kanuni ni nzuri na inamfaa kila anyetaka kupata maendeleo ya kweli katika maisha yake.
@erickleon94604 жыл бұрын
Somo nzuri saana kaka yaani mungu azidi kukuweka tuzidi kujifunza vingikutoka kwako yaani weacha tu
@jemomandua61414 жыл бұрын
Asante braza
@T1tanGamingCsgoMore5 жыл бұрын
Idea yako ni nzuri sana na natamani ningeweza kujua kabla ningekuwa mbali lakini sasa nshajichanganya na madeni mengi na mshahara hautoshi. Sijui nifanye vipi Dr.
@luccabosslugendo97226 жыл бұрын
nimekuelewq vyema japo kipato changu hakina uhakika was moja kwamoja..basi nitajtahd kubajet kile ntakachopata kwa mwezi ili niishi kwa hiyo kanuni ya 50/30/20 nimeipenda mungu akubariki kaka joe
@joelnanauka6 жыл бұрын
Lucca Boss Ameen ahsnate sana pamoja
@samweliathumani16726 жыл бұрын
Lucca Boss kaza kaza mzee bb
@saifhamed11106 жыл бұрын
Nashukuru sn umenisaidia kwa sehemu kubwa sn
@agliventures6 жыл бұрын
.
@barisasaji86692 жыл бұрын
Ashsante Sana brother kwa somo zuri kuhusu bajeti hakika MUNGU azidi kukuwezesha katika kazi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍👍
@janethkomba44852 жыл бұрын
Nashukuru Sanaa kwakunierimisha mahan mimshaara kilaa nikipata unatumika wote pasipo kuweka Akiba🙏
@abdoulkarim29643 жыл бұрын
Kwa kweli nazidi kuelimika kila siiku maana mambo ni meengi mnoo yakubadilisha katika maisha yaangu asante saana
@cainewilliam52366 жыл бұрын
Broh, you are geneous I'm telling you. It's only today that i have seen your KZbin channel and i have watched almost 10 of your videos. Actually i have learned a lot. Thanks a lot.
@joelnanauka6 жыл бұрын
Caine William Thanks for visiting and kindly invite others also
@yakobosengasu80736 жыл бұрын
Broo nitakupataje ninashida na namba yako
@benmagungu6144 жыл бұрын
Asante kwa Somo Mwalimu . Nimechelewa sana kujua hili somo . Naanza kulifanyia kazi
@AbubakarKhalphan Жыл бұрын
Ahsante sana kka kwa elmuyako ningum sana kupanga bajet hii mwenyewe bila kuumiza kchwa nashkuru sana umentoa usingzin mungu akubaliki uzdi kutuelmisha zaid nazai kwa kanuni ya 50/30/20 nashkur sana kaka
@kulwamadaha1613 Жыл бұрын
Yananifaa sana nimekukuwa napoteza pesa nyingi sana bila kujua zimeenda wapi naomba msaada wako zaidi
@yebaclavery17736 жыл бұрын
Nmejifunza kitu hapo bwana Joe.... Ngoja nipige hesabu then ntakwambia.... Good idea.... God bless you.
@maulidihamadi69284 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka namefatilia somo lako saiv niko vzr kidogo tofauti na mwanzo naamin bado sijacherewa kaka
@njuka35153 жыл бұрын
Asante sana kwa Somo nitafanya hivyo na nitakupa majibu ndani ya miezi mitatu ijayo
@minzamaduhu90422 жыл бұрын
Kaka umenifungua macho Leo Asante endelea kunifunza
@husseinsmash24166 жыл бұрын
Hongera sana kaka Joel Arthur Nanauka nimeipenda hii kanuni ya 50/30/20. Naamini nitaweza kuifanyia kazi na mungu anixaydie
@bryanfrank56022 жыл бұрын
Ah kaka asante sana yan apa umenifungua nimeelewa kabisa na izo asilimia ni sahihi kabisa
@nassoromussa24235 жыл бұрын
Dah! Sio kitoto hili somo. Yn leo ndio nimepata jibu la kauli yako "mafanikio sio bahati "
@leahnkwija92735 жыл бұрын
No sijachelewa sana naweza anza sasa ahsante kaka Mungu akubariki
@ombeniyusufu8494 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Bwana kwa mchango wako wa elimu ya uchumi.
@jacksonmambwe84163 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo zuri kuanzia Leo nimumin wa mafundisho yako
@brucemwanamawe10826 жыл бұрын
mwl naomba kujua pia kama kanuni hii inaweza ikawa Na msaaada hasa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanao pata boom...Na wafanye nini ili kuitumia Na kuendelea zaidi...mungu akubariki sana
@johnngimba76155 жыл бұрын
It's very gud 👍👍👍 Mungu akuongoze Uzidi kutupa uwelewa juu ya maendeleo yetu
@lidyanapegwa81543 жыл бұрын
Nashukuru kaka, kwa mafundisho mazuri ya namna ya kupanga bajeti imenisaidia kibaki na akiba kwa kila mwezi
@pudensianalinwatu53205 жыл бұрын
Najuta kuchelewa kunifahamu hii account ur the best kaka
@mbwigzobotz2686 жыл бұрын
iyo naifanyia kazi kaka nimekuelewa sana na itanisaidia sanaa
@rebecamlindwa29136 жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuri sasa ntatumia pesa vizur
@samweldaniel3774 Жыл бұрын
Brother umezungumza fact kabisa vitu vya muhimu Sana kwenye maisha yenye mafanikio
@hassanbakari15096 жыл бұрын
Nzuri sanaa huwo mfumo mm nautumia sanaa huwo mfumo mshahara wangu natumia thuludhi 1/3 ya mshahara wangu ,kwa mfano kwenye elfu 15000 natumia 5000 kwa mwezi iliyo baki na sevu
@teachersulley93436 жыл бұрын
Asante sana hii video nimeangalia zaidi ya marra 10
@ossmansanga96053 жыл бұрын
nimeipenda sana iyo toka nimeijua iyo kipato changu nimekuwa kwa kas saanaaa
@AdamShamkoma-bs7zs Жыл бұрын
Ahsante kaka nimejifunza na nitaanza kukiwekea akiba kuanzia sasa
@niccohgordon41255 жыл бұрын
nashukuru sana mkuu sasa nazidi kuelewa zaid na napata vitu ving sana kutoka kwako.
@olivehaika86686 жыл бұрын
asante sana kwa video hii nimejifunza kitu kikubwa mno, bila kuchelewa naanza kufanyia kazi
@isayamgeni1696 жыл бұрын
Kujitambua nakumuheshimu mungu maana tamaa nauvivuwakufikili nimatesokwangu .....mungunibariki nifikiemarengo
@zizuhmanizo25704 жыл бұрын
Daaa broo heshima kwako mungu akulipe kwakupa umri mrefu wenekheri nawewe
@komboomar96606 жыл бұрын
nimependa darsa zuri sana inafaa kuifata kwa matumizi god my brother
Inawezekana kabisa my brother ahsante kwa somo zuri
@mzizirashid7093 жыл бұрын
Asante Ningelijua Mapema Hii Njia Naamini Sasa iv Ningekuwa Mbali Sanaaaa ... Lakin Hata Hivyo Bado Sijachelewa Sana Asante sana Brother Joel
@getrudamathias54172 жыл бұрын
Iki O lol oooh I koo9 O lol love it and it Ok took okoool to beo a o it Thankshanks Ô Ok f
@getrudamathias54172 жыл бұрын
Thanks I'll look look to I Ok Thanks No m to oK Looking Okoool thank look . To on ok
@getrudamathias54172 жыл бұрын
O ok oo look o ok on 9olo look I look like moo Thanks so kok Mo like
@getrudamathias54172 жыл бұрын
O or do.o to9 I l I look like look o look ok om look
@getrudamathias54172 жыл бұрын
I'IllI'Illpl ok I look look I'll ok look o oIol moon . oo
@sarahmruma73016 жыл бұрын
nimejifunza kitu hapa ubarikiwe sana kaka...na amin nitapata mabadiliko kwa kufuata hii kanuni
@lucydaniel34565 жыл бұрын
Asante kaka nko kwenye biashara kwa miaka 5 sasa sisogei huenda huyu ndo mchawi wangu dah aisee
@marymaiko66056 жыл бұрын
namshukur Mungu kwa kweli nina bajet nzur Ila kichwaz kwa ubavu wangu ndo shida hajui kabisa hata moja kati ya hayo naumia
@bueno18184 жыл бұрын
Siku zote Najifunza sana kutoka kwako! We ni mwalimu haswa! Endelea kutufundisha Mungu atakuzidishia maarifa na mafanikio tele!!
@athanasdoffa7896 Жыл бұрын
Kazi nzuri thanks for ur formular
@deusjosephat85546 жыл бұрын
Asante sana,je kwa mfano ninapokea mshahara Kila mwisho wa mwezi lakini mala mojamoja inaweza tokea nikapata hla nje ya mshahara je hii ambayo sijaipigia bajeti nitaipangiliaje
@mwengekavuya77892 жыл бұрын
Asante rafiki nina fatilia sana vidéos zako na zina ni elimisha sana congratulations
@akidaally28352 жыл бұрын
Thanks brother it makes me feel as if I was loosing my money since I didn't have any plan of savings before coming to your page.
@AlexJefwa4 ай бұрын
Asante xana br... Joel...... nimejifunza kitu
@theresialumanyika3794 жыл бұрын
Asante Nimepata kukifunza Na naamini nitatumia pesa vyema
@hassanovajunior69725 жыл бұрын
Ultimate Lifetime Money Plan 50-30-20 is my life system #SeeYouatTheTop my Brother 🙏🙏
@josephboniface62095 жыл бұрын
Broh# Mungu azidi kuku Bless#
@issajy1955 жыл бұрын
Kwel kabisa This is very plain mungu akubariki sana
@nasraomari48186 жыл бұрын
Safi Sana ninaweza kabisa mungu akulipe kwa some hili
@mrsrm95403 жыл бұрын
Yaan umenisaidia sana ktk Hilo shukran sana mungu akubarik
@syliviastephen54766 жыл бұрын
Asante sana Kaka, nimejifunza kitu japo kwangu matumizi ni zaidi ya 60%
@agnesslucas47442 жыл бұрын
Asante sana nimecherewa kujua jaman
@zakariashaury50052 жыл бұрын
Asante sana kaka nakufatilia sana umebadil muelekeo wangu
@sotelisichula92106 жыл бұрын
toka nimeanza kusikiliza vipindi vyako vimenibadirisha sana kimaisha asante sana mwalimu kwa kunipa mwanga na muongozo was maisha yangu
@ruphysambaya32886 жыл бұрын
Mimi brother nimekuelewa sanaa pia mim nimjasiriamali naona hii principle ni njema sanaa kwangu naomba nipate kufahamu mengi pia ningeomba uwe msimamizi wangu ktk biashara.
@yonathanimkama8872 жыл бұрын
Nmepata kitu Cha msingi sn! it's good
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka , nikirudi tz nitakutafuta, ninamengi nahitaji msaada Wako Wa Karibu,
@KazimotoChristopher10 ай бұрын
Inawezekana kabisa kaka elimu unayotoa nikubwa Sana.
@alphoncekagoshi9416 жыл бұрын
Asante, nimechukua hio 50/30/20
@judithsalvatory28925 жыл бұрын
Mungu alikuumba kwa kusudi maalum kaka na Mungu azidi kukuinuwa, unatupatia zawadi hizi bila malipo yo yote kwa upendo huu unaotuonyesha.Sisi shukurani zetu inabidi tununue sana sana vitabu vyako. Niko Zanzibar kwa Sasa je nitavipataje japo vitatu vya aina mbali mbali.Barikiwa sana kaka.
@brianjohnson3851 Жыл бұрын
Hi
@sadick-sebastian40526 жыл бұрын
Asante saana Kaka kwa ujumbe mzito juu ya budgeting
@calvinmastorytv89973 жыл бұрын
Habari yako sadicki naomba namba yako kaka
@gabrieltesha89942 жыл бұрын
Nimeandalia leo hiii video yako lakini somo limenijenga sana bro ubarikiwe uwe na moyo huo huo wa kutuelimisha Mungu akubariki sana bro
@agneshiza72292 жыл бұрын
Duh!Uko vizur kaka Asante
@robertemmanuel59226 жыл бұрын
Dah Kaka Asante Sana umenifungua akiri Mungu akubariki
@elizabethmahenge4654 жыл бұрын
Nimefurahia Sana mafundisho yako ubarikiwe
@joycejohn95854 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe maan umenitoa kwenye shimo nilikuwa nateseka kumbe mchawi n mm mwenyewe
@leahzephrine8123 жыл бұрын
Asante kaka Mungu akubariki sana sana
@sofiakhamis2026 жыл бұрын
Hii kanuni inanifaa sana asante ubarikiwe
@msovelatv79166 жыл бұрын
ahsante Napenda nijifunze zaidi mwalim
@assamwakasanga35706 жыл бұрын
asantee San kak Joel Arthur nanauka nimeipenda San kanuni ya savings, investment more savings 20+20=40 nitafurahi San nikifik kwenye 40 Mungu akubariki San kak Nanauka na pia ninashukuru San vitabu nimepata, kughailisha, tabia 12 nimefurahiii San siku ya Leo
@joelnanauka6 жыл бұрын
Assa Mwakasanga hongera sana Assa,naamini kwa kuzingatia haya tutapata mabadiliko ya kifedha
@sadikathumani10035 жыл бұрын
Nimekuelew sana nijifunza kitu kizuri nitakifanyia kazi haraka iwezekanavyo.
@emanuelyfrances30532 жыл бұрын
Asante sana brother, God bless you.
@neemakayombi36526 жыл бұрын
Asante kwa kunipita elimu,natamani kuwa na mpangilio wa kipato changu
@ramadhanmuniru61674 жыл бұрын
Nzuri Sana Iyo kk nahanza kufanyiha kazi
@michaelmichael77586 жыл бұрын
Brother Mungu akubariki sana, hii fomula ndio mara ya kwanza nakutana nayo kupitia ww ipo safi sana. Naanza kuitumia kuanzia leo. Mungu akubariki sana kaka.
@pascalinabasso48413 жыл бұрын
Somo zuri sanaa kwa maendeleo ya kila hatua ya mafanikio