Jinsi ya Kupika Maandazi/Maandazi ya Kupasuka

  Рет қаралды 41,749

Fooddiary Tz

Fooddiary Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@claraprosper8642
@claraprosper8642 11 ай бұрын
Nice❤
@RoseSirikwa-ie3cy
@RoseSirikwa-ie3cy 8 ай бұрын
Maandazi ni mazuri,hongera dada
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Shukran dear
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo 11 ай бұрын
Imefanywa vizuri sana
@fooddiarytz
@fooddiarytz 5 ай бұрын
Ahsante
@NeemaMwambazi
@NeemaMwambazi 2 ай бұрын
Je! Maji yawe ya moto? Au vuguvugu?
@esterdanford5563
@esterdanford5563 6 ай бұрын
Hamira kwa kukadiria kijiko ni kijiko kipi?
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Kijiko cha chakula dear
@esterdanford5563
@esterdanford5563 6 ай бұрын
@@fooddiarytz asante dear
@LusiaBraison
@LusiaBraison 3 ай бұрын
Kwan ucpo weka nazi kuna shida
@MelabuDevidi
@MelabuDevidi 6 ай бұрын
Nimependa
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Ahsante
@jamesfrancis5302
@jamesfrancis5302 11 ай бұрын
Je km cna Nazi inakuwaj
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Tumia maziwa au maji
@YussufMugisha-l5l
@YussufMugisha-l5l Ай бұрын
Hakun mweny amekuskia venye unaongea Ivo kwani umetoka usingizi hauwez ongea pole pole Yani reeeeeerrrrrrrrr haraka ushamaliza. Aaa
@AntoniaMarco-sy8bm
@AntoniaMarco-sy8bm 5 ай бұрын
@dariamama5206
@dariamama5206 11 ай бұрын
Ndan yanatok vzr lkn ganda la juu linakuwa gumu tena kama ukila kesho ndio balaa nakosea wap
@fooddiarytz
@fooddiarytz 11 ай бұрын
Pima vipimo kwa usahihi
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Moto mkali
@devothabahati6548
@devothabahati6548 8 ай бұрын
Kwa kg 2 natumia Amira kiasi gani na chapa simba kiasi gani kiasi gani na chapa mananda kiasi gani maziwa kiasibgani.
@fooddiarytz
@fooddiarytz 6 ай бұрын
Piga tuu hesabu kwa unga Huu na vipimo hivi
@YussufMugisha-l5l
@YussufMugisha-l5l Ай бұрын
Shida yako unaongea sana Si uongee pole pole ili tuskie
MAANDAZI YA BIASHARA MATAMU SANA NA LAINI‼️
8:26
Hadija Sheban
Рет қаралды 483 М.
How to make Soft and Fluffy Chapati | Soft Layered Chapati | Paratha | Roti
17:35
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 54 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 131 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 198 МЛН
Maandazi | Jinsi Ya Kupika Maandazi Laini Sana
4:00
Mapishi rahisi
Рет қаралды 168 М.
The most delicious breakfast bread I've ever made! Incredibly simple and fast.
9:33
Jinsi Ya Kupika HalfKeki Za Biashara Zenye Faida Kubwa
5:34
Caroline Haro
Рет қаралды 90 М.
Kaimati Rahisi sana na Nzuri Mnoo
5:32
Malkia Foods
Рет қаралды 14 М.
HALF KEKI ZA CHAPA MAANDASHI TAMU SANA
4:48
keki plus
Рет қаралды 325 М.
MAANDAZI YA BIASHARA UNGA KILO NNE/FOUR(4KG) MAANDAZI RECIPE
8:50
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 119 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 54 МЛН