Kajitka Video hii utajifunza na kuna Jinsi ya Kuweka njia ya malipo na kuzitoa Pesa kutoka KZbin Utajifunza Jinsi ya Kuset njia ya malipo Kuthibitisha eneo unaloishi ili uweze kutumiwa Pesa zako
Пікірлер: 182
@JEZZATZ6 жыл бұрын
Kaka you are the best , mimi nimeanza hizi harakati mwezi ulio pita umenitia moyo sana na wewe ni mtu pekee ambaye umekuwa wazi umeonyesha kuwa kuna fursa kwa vijana naopenda kuwa youtuber
@wasamaliamedia60202 жыл бұрын
Thanks sana broo nitumie namba yako ya call live
@Jimmymedia- Жыл бұрын
Naomba namba yako KAKA
@chrisonlinetv16776 жыл бұрын
kaka unajua sana mpaka basi daaaah nice tutorial
@AzariEliakimAcademy6 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa hii video.
@haykermrema6 жыл бұрын
Rich asante sana kwa hii video na zote ulizofanya,,wewe ni mtu pekee unaetufunza sana kuhusu payments..am happy nimepata kitu na kujifunza
@OTVTANZANIA4 жыл бұрын
Kweli ameogea kitu
@wiliamungulu53836 ай бұрын
Asante sana umenifungua vitu vingi kwenye hii video yako
@dottojumanne16876 жыл бұрын
Asante sana kk kwa maelekezo hebu naomba maelekezo ya njia rahisi ya kununua plugs au software mbalimbali kwanye mtandao
@emahitube6 жыл бұрын
Nice Work Brother Endelea kuelimisha Jamii.
@mambotv12332 жыл бұрын
Mungu akubariki
@pastorekchannel80963 жыл бұрын
Very good explanation
@dmginfo24705 жыл бұрын
Bro umeelezea vizuri Sana nimekuelewa, unamoyo wa upendo si watu wote wanaeza kuelekeza issue kama hizi za pesa, ubarikiwe Sana bro
@website37552 жыл бұрын
Umfanikiw ww
@hoftimely89644 жыл бұрын
Well said bro.
@kaizachifu10465 жыл бұрын
Asante Sana rich star
@happynesskaaya84955 жыл бұрын
Asante mi bado sana huko ila nimejikuta tu naangalia
@kaizachifu10465 жыл бұрын
Safi kabisa bana rich ster
@okboychanneltv55395 жыл бұрын
Basis mi nilifikili masihara tu kumbe, kuna mzunguko daaa, broo, nashukuru umenitoa gizani,
@Justinaija5 күн бұрын
KAKA NAOMBA NAMBA YAKO YA WHATSAPP
@titosovela95984 жыл бұрын
Daah unaeleweka sana
@kapiligistudio93102 жыл бұрын
pamoja sana nitazid kufatilia.
@mwanaafrika_tz5 жыл бұрын
Nina Shida na Wewe nakupataje?
@lilianmafanikio96565 жыл бұрын
Nakupaje mimi namaswali mengi sana
@richmstv-chennel97222 жыл бұрын
Shukrani Sana kaka
@SHADAMWANGILI Жыл бұрын
asante kwa kutuelimisha teacher rich nilikuwa na swali ni ili ukwepe kit KINACHO lita Invalid Streck ya kwenye hii KZbin ni vitu gani vya kufanya
@mbaloplatnumz6463 жыл бұрын
Asantekka kk
@Burudaniburudani1272 жыл бұрын
Jinsi ya kutengeneza AdSense account unafanyaje???
@shamimbashuaieb55692 жыл бұрын
Thank you brother
@mboy86 Жыл бұрын
Asante sana kupokea pesa ni mpaka uwe na zakuanzia
@Richstartz Жыл бұрын
Hapana
@jozeefire58883 жыл бұрын
Nice work
@WCB5752 жыл бұрын
Kaka ni jambo zuri kutoa msaada wa. Kuelekeza
@jboy98133 жыл бұрын
Nakubar kk
@PhanuelyJumaАй бұрын
Thank you
@maalimbembeog30505 жыл бұрын
Mimi nimefungua mashallah watu wanaangalia lkn sijajua nafanyaje ili nilipwe naomba unisahidie kaka
@simulizi12392 жыл бұрын
At a me pia
@kdazzy9967 Жыл бұрын
Safiii sana
@FaruMediaTz3 жыл бұрын
Ahsantee
@MtupoliMtupoli Жыл бұрын
Ahsante
@Yuzzowgrapher5 жыл бұрын
subscribe kama unapenda lyrics videos
@KukuVillage4 жыл бұрын
Habari richard, nashukuru Mungu umekuwa mwanga wa mwazo kabisa kunisaidia kuhusu payments. In short am your content viewer. SWALI: 1. hilo sanduku la barua ni lazima nimiliki mimi? 2. Je kama nitatumia lingine umuhimu wake ni upi? Je baada ya kupokea PIN watakuja kunitumia chochote kupitia hilo sanduku la barua? Nauliza hivyo kwasababu sina sanduku. Na nataka nitumie la taasisi. 3. Tofauti na equit bank ni bank zipi nyingine naweza tumia ambazo ziko friendly (hazina mausumbufu yasiyo na maana) Naweza kuzitumia? NIJIBU TAFADHALI MAANA AM IN THE PROCESS .
@KukuVillage4 жыл бұрын
@@Richstartz asante sana.
@mosskbeatz624711 ай бұрын
amazing
@Richstartz10 ай бұрын
Thank you! Cheers!
@Producer_Graphics3 жыл бұрын
Kaz iendeleee kaka
@suleimandilungatz56314 жыл бұрын
Thanks bro
@benjamenbaraka82892 жыл бұрын
Safi natamani na mi unifungulie vp inawezekana
@khaleedpiere50296 жыл бұрын
Bro Rich nilikuwa naomba kama unaweza ukatufundisha hatua ya mwanzo kabisa jinsi ya kufungua KZbin Chanel, jinsi ya kuweka account yako kibiashara ili uweze kulipwa,masharti ya kufanya ulipwe na KZbin, jinsi ya kuthibitisha na kuweka njia za malipo hayo mambo ya Google AdSense, jinsi ya kulipwa kwa viewers au inakuaje mpaka mtu unalipwa yani A-Z jinsi ya kufanya yote kama ww unavyofanya. Amina thana
@ptElimu12346 жыл бұрын
Khaleed Piere.
@PastorsTz2 жыл бұрын
Good
@FavorbJoseph-dz8yl7 ай бұрын
Asante
@lightskyboy25063 жыл бұрын
Blo.swar langu vyuazingapi mwanzo wamalipo
@SennyFleva_14 жыл бұрын
Asante.
@hawaynatimam9824 жыл бұрын
Mzunguko mkubwa sana
@tamtamcommedy481 Жыл бұрын
Nitumie namba Yako kaka nakutegemea sana mana mimwenyew nipo njiani namengi yaku zungumza nawew
@maswi_magige3 жыл бұрын
Kaka TZ viewer 1000 na sawa na dola gapi
@kimodomsafitz Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mjasiliatv Жыл бұрын
Je kama mpo watu WA 3 mpo kama media channel hiii imekaaje,kipoke pesa,ama mfumo upoje
@jumaabel63222 жыл бұрын
Asant sana kwa kutupa elimu hii Mimi ndio Niko naanza naomba namba ako ya simu ya whatsap nikucheki kwa maelezo zaid
Natamani kuisajili chaneli yangu ila cjajua namna ya kufanya ili niwe nalipwa na You Tube, nisaidie
@MAPAMBANOOPTION4 ай бұрын
Kaka naomba namba yako ya simu
@riziwaniramadhani6280 Жыл бұрын
Brother Nina video tayari zimeanza kuwa namatangazo japo subscriber wachache je ntakuwa kwenyenjia yamalipolipo? Pianiwakaribishe watazamaji zaidi kujionea mnaweza kujifunza kitu
@UtamuOnlinechanel8 ай бұрын
Kwenye google adsense account ID yao yapili profile account nataka unifahamishe
@Madmadtalent11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@brightsidemultimedia52956 жыл бұрын
..Braza Rich kufunguaa ni lazima mpaka uwe na website..? @richstar
@rupindongwakudabwa10762 жыл бұрын
SAMAHANI BROTHER TAFADHALI NAOMBA NIJIBU KWANI NIKITAKA KUSAJILIWA NA KZbin ILI NIANZE KULIPWA KWANI NI RAZIMA NIENDE BASATA?🙏🙏🙏🙏NAOMBA NIJIBU
@kdazzy9967 Жыл бұрын
Naomba unisaidie mm nime post nyimbo yangu ktk Chanel yng nashangaa aitaki kuweka comment nisaidie kwa ilo kiongozi
@freyzb64104 жыл бұрын
Vgezo ambavyo mtu unavyo takiwa kukidhi ni aje ili uanze kulpwa hasa kwenye subscribers na viewers??
@umojastudio2tabuhaji9782 жыл бұрын
Kaka mimi nishafunguaga mdakidogo KZbin ilasio yamalipo nasina akaut ya benki je nifanyeje iliniifungue akaut ya malipo nayataingia wapi
@yougmaasaibos92242 жыл бұрын
Mbona nashindwa kuvizt KZbin yangu
@hashimgola862 Жыл бұрын
Mimi ndio naanza brother Leo kama ya kumi NINI nifanye
@kitabuchamashairi14144 жыл бұрын
Iyo dolar 100 ni sawa na kua na viwers wangapi ili uipate hiyo?
@vnhcstudios19435 жыл бұрын
Nawezaje kuondoa copyright bro
@isumbizeyn9834 жыл бұрын
Kaka, Mtu Mmoja akitazama video ulopost KZbin wanakulipa ngapi Yaani view Mmoja shingapi au Dola ngapi
@sylverstartz47594 жыл бұрын
na je unaweza ukatengeneza acount ya malipo hata kama ndo kwanza umeanza .kutumia?
@AmilyNgosile5 жыл бұрын
Habar, mm Nina channel yangu, lakin kupata viewers imekua changamoto, naomba nisaidie.
@djkabby7394 жыл бұрын
Ongeza Juhudi
@godymobiletech33284 жыл бұрын
Richstar naomba contact yako nataka instrumental nzuri niwe natumia kwenye tutorial zangu mkuu
@official_issa Жыл бұрын
Kaka rich mimi nashindwa kufunguwa acaunt ya mlipo je nifanyaje naomba msada wako kaka
Mimi naomba nijuwe nitafanyaje kufahamu kiasi cha pesa nilicho nacho kwenye KZbin channel yangu
@wizzyhatuawest91913 жыл бұрын
Vizuli san
@sbboy37223 жыл бұрын
hivi kama ndo naanza kunanamna ya kubust vigezo
@MAFUNZOMEDIAamj Жыл бұрын
Mm mbona Nina subscribe 1000 Masa 4000 lakin silipwi
@Richstartz Жыл бұрын
Kwa sababu channel yako haijawa monetized
@MAFUNZOMEDIAamj Жыл бұрын
@@Richstartz Kwan ww unaiona
@MAFUNZOMEDIAamj Жыл бұрын
@@Richstartz ok
@Richstartz Жыл бұрын
@@MAFUNZOMEDIAamj Ndiyo naiona
@muhayatzs.5475 Жыл бұрын
Broooo me naitaji namba Yako kama itaweze kana
@sellah46035 жыл бұрын
Kaka naomba no zako nashid unisaidie
@kwiz97324 жыл бұрын
iwapoo umee funguaa account jee unaaa wezaa kujaa badilii mail
@konyongonapatrickmapacha42042 жыл бұрын
Kaka vp kuhusu kutoa pesa kwa njia ya mpesa pekee
@Jpmwambaa4 ай бұрын
Vp kaka
@issaqualityelectronicstz93462 жыл бұрын
Habar ni mgeni you tube. Nahitaji kufungua account yangu
@zuchubeby3753 жыл бұрын
naomba ushauli
@Richstartz3 жыл бұрын
Karibu
@denismassawe56385 жыл бұрын
Hayo matangazo unayapata wapi kwenye Chanel yako
@ziadatv46194 жыл бұрын
Rich naomba ufundishe jinsi ya kucope wordpress
@bwarukaherbalclinic492 жыл бұрын
Kaka Nina shida nipe namba yako kuna kitu sijakuelewa
@AbdalaSaideChiapo Жыл бұрын
Hiyo pesa unaweza ukatolea kwenye akaunti ya PayPal?
@maikowatz32542 жыл бұрын
Kaka namimi nifungurie Chari bas
@ceciliaivia4894 жыл бұрын
Mimi sijafungua natamani Sana niwe na channel yangu sijui nianzeje na faa kumlipa mtu anichue video na pia ku edit ama Ni fanye Nini Niko Kenya nisaidie ili ni faulu kufungua channel yangu
@benziproduction32346 жыл бұрын
Umesema Tanzania tunatumia wiretransfer au cheque swali langu je paypal inatumika Tanzania au vipi ? Na kama haitumiki ni kwanini ? Tunaomba tutorial ya kujisajili paypal kwa kutumia card ya bank ya Tanzania