Рет қаралды 6,113
Jinsi ya kuwekeza kwenye soko la hisa na kupata faida ni mada muhimu kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye soko la hisa
Unaweza kuwa mmoja wa watu waliobahatika kupata pesa nyingi na unahitaji kuwekeza lakini hufahamu wapi kuwekeza
Unaweza kuweka pesa bank au unaweza kununua nyumba, shamba, gari nk
Kuna fursa nyingi za kuwekeza lakini inabidi ufahamu baadhi ya uwekezaji huzalisha pesa nyingi kuliko uwekezaji mwengine
Jambo la msingi ambalo inabidi ufahamu ni kuwa, uwekezaji ambao unazalisha pesa nyingi, mara nyingi huwa una hatari ya kupoteza pesa, kuliko uwekezaji unaozalisha pesa kidogo
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: ali-mwambola-s...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
KZbin: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali