JINSI YA KUZITAMBUA ROHO ZIFUATILIAZO(LAANA ZA UKOO)|Day1_Semina Kahama na Mch.Amiel Katekela

  Рет қаралды 53,263

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@florencendatila9183
@florencendatila9183 2 жыл бұрын
Uyu mchungaji ushuuda wake alielezea vzr hakuacha kitu yani alieeleza kwa mapana Mungu ambariki da
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
I would love Amiel to visit my country Kenya he's knowledgeable ...alot to learn from him ....promover you HV shared lots of testimonies but this is unique and very deep
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
As I was listening,I started scrolling to read the comments and he's like "let me use Irene let me leave Amina alone,and I see your comment,nimechekaaaa. God bless you sis
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
@neema yatosha🤣🤣🤣
@tracyangells7595
@tracyangells7595 2 жыл бұрын
I Agree he should visit Kenya!! But hii Kutaja Irene Majina yetu Aisee Hatari kweli 🤣🤣
@velonikamipata5747
@velonikamipata5747 2 жыл бұрын
@@tracyangells7595 ubalikiwe na ntakuwa pamoja na nyie usiku walewo sasita no likuwa pamoja na we we ubalikiwe kweli no meona mukono was bwana ntakuwa pamoja na nyie
@everlynemiriam5943
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Yaaa exactly dear he has 2we re lost our country is in danger
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" mnaozuia speed yangu ya kumpenda Mungu nawapiga kila wasimamizi,nawapiga nawapiga nawapiga nawapiga nawapiga kwa jina la YESU KRISTO katika jina la YESU nawasaga nawafanya sio kitu juu ya nchi yangu,achia kwa jina la YESU
@dokasa9176
@dokasa9176 2 жыл бұрын
Watching from Saudi Arabia Dorcah Bonareri,ushuhuda wako Mchungaji ulinipa moyo sana na kunitia nguvu ktk maombi,naona hakuna uchawi unaomzidi Yesu wangu hata uwe wa ngazi ya juu
@helmashimba7761
@helmashimba7761 2 жыл бұрын
Mch Amieli tunakupenda🌿🙌🏽🙌🏽
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
🤍
@GraceMgalla-w6z
@GraceMgalla-w6z 3 ай бұрын
Amen mchungaji nakufatilia sanaa nabarikiwa mno
@LukasNdaji
@LukasNdaji 4 ай бұрын
Mungu akubariki katekela
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Wao...am blessed am blessed,🙏hakuna kabisa dawa ya makosa ya kututakasa hila damu yake YESU🙏nimeimba nanyi hadi mwisho.......barikiweni sana kanisa la bwana na mtumishi wa mungu....mungu na akuzidishie baraka zake.🙏
@mindenlightenment
@mindenlightenment 2 жыл бұрын
Tunakupenda mch Amieli🤍🙌
@rakaieva5472
@rakaieva5472 2 жыл бұрын
Amani ya Bwana wetu Yesu kristo iwe nasi sote Mchungaji Amiell Asante sana Mungu akubariki sana tunashukuru kwa mafundisho haya shukurani.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 7 ай бұрын
Mchungaji ,uko vizuri,sasa na wewe mch.Umezìjuaje hizo nyimbo si ina mana na wewe ulisikiliza.Hapo umenichanganya!!!
@RhianShauri-h8r
@RhianShauri-h8r 4 ай бұрын
Uwe juu jiwe la yesu
@sallymumia8425
@sallymumia8425 2 жыл бұрын
Amen,amen,napokea katika jina,la yesu kristo.asante yesu.mubarikiwe sana,nimeomba nanyi na najua nimekwekwa huru
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana najifunza mengi
@CaroBakx
@CaroBakx 2 жыл бұрын
Asante sana Jacktan na Mch. Amiel kwa kurudi tena!!! Please muendelee, Mungu na Awabariki sana milele na milele, Amen.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@leahbhoke8718
@leahbhoke8718 2 жыл бұрын
Ameeen Mtumishi Ubarikiwe saaana nimepona kwa Jina la Yesu Kristo 🙏🙏🙏
@AidaKantara
@AidaKantara 2 ай бұрын
Tuna kupenda sana Amiel katekela,tuna thamani kukuona siku moja , kwani ulitumiwa na mungu baba
@eliminamichael9567
@eliminamichael9567 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@beatricebukuru7821
@beatricebukuru7821 2 жыл бұрын
Naomba mungu unifungue rwahuo umasikini niko osereriya rakini umasikini hauishi nakwambia mungu kweri namuomba anifungue hizorana zafamiri
@Fightermsuguly
@Fightermsuguly Жыл бұрын
Barikiwa sanaa mtumishi me nakuelewaga sanaa
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen and Amen glory to be God barikiwa sana mutumishi pamoja na Promover TV.
@gadmat88
@gadmat88 Жыл бұрын
Mchungaji barikiwa Mwenye masikio na asikie
@noellanduwimana51
@noellanduwimana51 2 жыл бұрын
Yoo mutumishi Emiel ubarikiwe sana mutumikie Bwana amekutowa mbali
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Jamani ndio naanza na ninapata kucheka hivi😂😂😂😂😂😂hii nafwatilia hadi mwisho.😂😂nipate kubarikiwa kwanza,kicheko naiachia ndani.barikiwa sana mchungaji ......following.🙏
@peninahmwendwa2519
@peninahmwendwa2519 2 жыл бұрын
Niukweli atujui walichokifanya huo mababu mungu atuondolee matesho
@muamedsaidi3350
@muamedsaidi3350 2 жыл бұрын
Amen amen mungu aendele kukumbuka
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu
@MamaSharma-y9y
@MamaSharma-y9y 5 ай бұрын
Ubarikiwe
@annamwaipopo9485
@annamwaipopo9485 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@filbertbaseka2522
@filbertbaseka2522 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@margretokuku8220
@margretokuku8220 2 жыл бұрын
Mungu.nipiganie.pigana.na.madui.zangu.mungu.nishike.mkono
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji Amiel na mtumishi JACKTAN
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" kweli nazidi kupata ufahamu wa hali ya juu,najifunika kwa damu ya YESU kristo kama kuna kila mashitaka juu yangu nayapasua kila vifuniko vya tabia upinzani wa kila namna nausaga natuma malaika wa kapasua mashitaka yao kila kona
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu najifunika kwa damu yako takatifu
@violetkamonya7628
@violetkamonya7628 Жыл бұрын
We well you to Kenya Amen,🇰🇪
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Mtumishi karibu arusha
@millicentnaliaka
@millicentnaliaka 2 жыл бұрын
Pamoja kesho mubarikiwe sana watumishi
@monikaangelina9843
@monikaangelina9843 2 жыл бұрын
Tumebarikiwa sana
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" kila malango ya kichawi na wachawi na waganga mapepo majini malango ya kuzimu yanayo nisimamia nawafuata kusini kaskazini mashariki magharibi,pga kwa jina la YESU kristo ,piga achia akili achia utashi achia uchumi achia taifa langu, nawasaga vipande vipande katika jina la YESU ....,.
@annacharles2842
@annacharles2842 2 жыл бұрын
Good job Jackatan GOD Bless you
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@milkamalavaga1002
@milkamalavaga1002 2 жыл бұрын
Amen baba
@apostlejoshuakuhanda5524
@apostlejoshuakuhanda5524 2 жыл бұрын
Glory to God!
@jamesmhagale8794
@jamesmhagale8794 2 жыл бұрын
Awesome testimony, be blessed men of living God
@lucykarebe1567
@lucykarebe1567 2 жыл бұрын
Asante mtumishi, waweza kutuelezea kiini cha ugonjwa wa kulemaza upande mmoja wa mwili, stroke hasa kwa wazee
@folekagohjl2690
@folekagohjl2690 2 жыл бұрын
Amen amen choma
@paschalpaul5793
@paschalpaul5793 2 жыл бұрын
amina
@annamulenda6652
@annamulenda6652 2 жыл бұрын
Pamoja.. Asante sana Mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana...
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi umeeleza vizur wengi tuna changamoto kama hizi
@lugendodaniel5266
@lugendodaniel5266 2 жыл бұрын
Injili Safi Sana
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
Injili ya majini
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
@@aroundtheworld4173 unayafuga maana unaumia 🤣
@fezakabala6589
@fezakabala6589 2 жыл бұрын
Ubarikiwe saana baba 🇨🇩🇨🇩🇨🇵🇨🇵
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Mchungaji amieli uko wapi ,, tunakuitaji injili isonge mbele 🔥🔥🔥
@beatricebukuru7821
@beatricebukuru7821 2 жыл бұрын
Barikia sana mutumishi wamungu nayesu azidi kukubariki
@jameskotte-endtimegospel
@jameskotte-endtimegospel Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@michaelfabian5888
@michaelfabian5888 2 жыл бұрын
Ameen Mchungaji Amiel
@edithajohn4563
@edithajohn4563 2 жыл бұрын
Labda kwa wengine,sio kwetu tulip ndani ya Kristo,Yesu akiwa ndani yako hakuna kinakufatilia,na kama nguvu ya msalaba imeshindwa kuondoa wewe ni nani hata ufunge na kuomba.
@evainnocent9520
@evainnocent9520 2 жыл бұрын
Yoote nikweli tupu Mchungaji ulioongea juu yangu mim nafamilia zangu. Nanimeokoka mim peke yangu katika ukoo Wangu nafamilia yangu ulioongea. Ninapambana mpka najiuliza mbona sitoboi nanikitoboa navutwaaaa tiiiiii lakin Dawa yao imepatikana Asant Mungu. Vita sio yangu niyako Bwana
@annamwaipopo9485
@annamwaipopo9485 2 жыл бұрын
Amen
@barakamanu1514
@barakamanu1514 2 жыл бұрын
Muumba wa vyote akubariki na kukupigania Jacktan. asante sana, tunatamani kumsikiliza zaidi mtu huyu.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Powerful 🔥
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Napokea kufunguliwa kwa jina la Yesu
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 2 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@AngelAfrica-w5x
@AngelAfrica-w5x 2 жыл бұрын
Jesus!!!... thank u Lord Jesus 🙏
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu ktk kazi yake barikiwa mchungaji amiel na kaka Jactan
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@helenbahati8038
@helenbahati8038 2 жыл бұрын
Amani ya Bwana ikuzunguke
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Kwa somo hili nimegundua tuna laana ya ukoo,kwetu kila mtu yuko kivyake mashangazi,baba wadogo wakubwa hivyo duuu hata wako mjini kwenye boma hawaji Mungu atusaidie kweli.maana hata mawasiliano huwa hamna
@eliamamilo8974
@eliamamilo8974 2 жыл бұрын
Najengwa
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Watu wa kenya twaeza changa kupitia mpesa je ya wezekana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Ndio yawezekana.Wasiliana nasi tukuelekeze
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
" walipo niweza kwa chakula kwa mavazi wawe ndugu jamaa au marafiki niachie Mimi na familia yangu na ndugu zangu,napiga mishale ya moto kila wachawi na wasimamizi wanaonisimamia kila walinzi wa kila namna nawasaga
@sharonwalubengo7628
@sharonwalubengo7628 2 жыл бұрын
Huyu pastor kufanyia mtu deliverance ni rahisi manake akisha kuangalia hali yako akiomba anauwezo wa kufahamu kiini na jini au pepo linalokusumbua kisha alikemee moja kwa moja
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
DELIVERANCE NI MPAKA UWE TAYARI MOYONI MWAKO KUWA DELIVERED MAANA NI KILA KITU UNACHIMBUA NDIPO UUWEKWE HURU SI YEYE AKUOMBEE TU ETI UTAKUWA DELIVERED,NEVER EVER
@mandyaltrfawi1507
@mandyaltrfawi1507 2 жыл бұрын
Amen Amen
@machariakahia3697
@machariakahia3697 2 жыл бұрын
Sipendi tena naogopa kabisa hii ya mkono ishara ya kuonyesha tatu bwana katekela anatunimia sana.(vindole tatu juu huku umekuja kigaja na kindole cha kwanza). Pliz nijibu,wacha kuitumia.
@jackiemuyiyi5296
@jackiemuyiyi5296 2 жыл бұрын
Pastor stand with me in prayers
@frankinspired6486
@frankinspired6486 2 жыл бұрын
Jacktan na Amiel asanteni kwa kurudi tena, mafunzo yenu mazuri..
@bonifasemmanuel4700
@bonifasemmanuel4700 2 жыл бұрын
Inatakiwa huyu mchungaji ,aongezewe ulinzi ktk ulimwengu wa Roho,
@phakundigervas1360
@phakundigervas1360 2 жыл бұрын
Je kukojoa kitandani kwa watoto wa m miaka hadi 10 yaweza kuwa ni shida ya nguvu za giza?
@jackiemuyiyi5296
@jackiemuyiyi5296 2 жыл бұрын
Nimejifunza na nitazidi kujifunza mengi toka kwa Mchungaji
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
Halafu hizi injili za kuzimu sio za ufalme wa Mungu. Sasa madhaabhu zimetawaliwa na WACHAWI. Haya ni mafundisho potofu yasiyo na msingi wa maandiko. Tunahitaji kumjua Mungu na zaido kujulikana naye, sio habari za akina subiyani. Aliyeshuka kuzimu no Yesu Krisro pekee, wengine ni roho zidanganyazo.
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Inaonekana unayajua yote Kama YESU Kristo Ni mtakatifu alifuata Nini kuzimu wewe ndio umedanganya na wachungaji wako umekalili Yale uliyofundishwa Huwezi kupigana Vita bila kujua adui yako yukoje utakuwa mjinga tu
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 2 жыл бұрын
Hiyo ni kwa upande wako mpendwa lakin kupitia haya mafundisho kuna mtu anajifunza kitu kuwa hii hali ninayopitia nashughulika na shetan kwa namna ipi Kuna baadhi ya magonjwa mpaka leo hii watu wanajua ni mipango ya MUNGU ama ni ya kupona hospital kumbe ni mateso ya shetani
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@magdalenapeter6106 anataka injili laini tu ,mie sikuwa najua kama ndugu yetu upande wa pili anafuga jini,nimejua kupitia shuhuda kama hizi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
tena wewe si mpentecoste kama unaleta Injili za kutokujifunza Ulimwengu Ulivyo,mfuate Gwajima akufundishe namana ya kuifahamu Elimu dunia ili umshinde shetani,hata MuisLAMU HAPENDI WOKOVU ILA MANENO YA mUNGU ANAYASOMA ILI KESHO AJUE NAMNA YA KUKUPOTEZA KUPITIA ANDIKO LILE LILE ,SASA WEWE NI NANI USIMJUE HUYO SHETANI,ACHA SIE TUJUFUNZE,WEWE ULIYEMALIZA WOKOVU PANDA KWA YESU,UMEMALIZA KAZI
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 ni mfuate Gwajima? Nionyeshe kwwnye maandiko ni wapi imenenwa hivyo!! Kristo ndio mfano wetu ndugu, imerupasa kufuata mafundisho yake peke yake. Huyu muislamu unayemtuhumu kuwa anadoma neno ili akupoteze ni kwa sababu wote wawili wewe na yeye anasoma katika mwili na wala hampokei uongozi wa Roho Mtakatifu. Hapo inaongea kimwili na sio kiroho. Tafuta sana kuongozwa na Roho na sio kina Gwajima wanaotetea uchawi hadharani tena madhabahuni. Tafuta mafundisho yake ya mtemiHangaya kwa mfano tu wa hivi karibuni. Amina
@melckizedecktemba5373
@melckizedecktemba5373 2 жыл бұрын
Napataje namba yake jamani, natamani aje kanisani kwangu ayuimarishe Kwa shuhuda zake
@Gospo_beats
@Gospo_beats 2 жыл бұрын
🙏
@askofufredrickbwaja9296
@askofufredrickbwaja9296 2 жыл бұрын
Namba ya huyo mtumishi ni muhimu.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
ANGALIA KWENYE REPLY YA PROMOVER TV IPO
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
Tu naomba namba zamchungaji
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
+255756275511
@Elizabeth-777-r3p
@Elizabeth-777-r3p 2 жыл бұрын
Tanks
@patricianyale2652
@patricianyale2652 2 жыл бұрын
Promover TV nitumie no .ya mchungaji katekela na link ya kujiunga kwa geoup
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 2 жыл бұрын
Natamani kujua hapo wapi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
KAHAMA
@nicholaskiragu2797
@nicholaskiragu2797 2 жыл бұрын
Nauliza tu. Huyu mtumishi anaitwa Ezekiel ako Kenya wa new life church anauzua watu maji matakatifu ya uponyanji Ni wa Mungu? ama anatumia uchawi?nilikuwa nataka kwenda huko kuyanunua juu ndoa yangu na make wangu inashinda.
@resurrectionandlifeministry
@resurrectionandlifeministry 2 жыл бұрын
Nunua BIBLE na usome, sio kitamba
@nicholaskiragu2797
@nicholaskiragu2797 2 жыл бұрын
@@resurrectionandlifeministry oookay
@davidamwai2478
@davidamwai2478 Жыл бұрын
Zoea kufunga na kuombea ndoa
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Nitapataje namba ya mtumishi wapendwa?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
+255756275511
@joysshow9460
@joysshow9460 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbe pia wewe unajua hizo nyimbo.tetema🤣🤣🤣🤣
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 2 жыл бұрын
KTK SOMO LAKO KUHUSIANA NA NGUVU YA MSALABA ULISEMA ROMANI KATOLIKI NI KANISA LA MUNGU; SIJAELEWA KWA MISINGI IPI. NAOMBA UFAFANUZI TAFADHALI JUU YA KAULI YAKO HII YA KUWA RC NI KANISA LA MUNGU. PLEASE.
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
Haiwezwkani kuwa na ROHO MTAKATIFU halafu ukawa na mapepo. HIYO SI MAANDIKO!! Hii injili "special kwa Afrika" itapoteza wengi. Hakuna sehemu maandiko yanaagiza kuwaombea mabaya wengine.
@mwigarleysaid5406
@mwigarleysaid5406 2 жыл бұрын
Wewe injili yako Niya Wapi?
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 2 жыл бұрын
Wewe utakuwa agent wa shetani nakushauri penda kusikiliza kuliko kuongea si kila kitu unajua
@aroundtheworld4173
@aroundtheworld4173 2 жыл бұрын
@@rehemaabinelynyagawa2878 asante kwa majibu haya ya kipepo. Soma neno la Mungu nawe utaishi, amina.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@aroundtheworld4173 inawezekana huelewi kwa nini Mkristo wa kweli anapigana vita?kwani anakuwa hana Roho Mttakatifu??mwisho utatuambia anayeugua hana Wokovu,shetani yupo kazini anmpitia yeyote,hatulingani tu nguvu ya kuwa na Huyo Roho mtakatifu au nguvu ya kumfukuza huyo pepo akija hapo lazima utavamiwa tu,sikiliza jinsi shetani anavyofanya kazimujue na wewe mkristo wa Kweli nguvu yako iwe zaidi ya Hiyo nguvu ya mapepo
@samwelimwalindu4026
@samwelimwalindu4026 2 жыл бұрын
Uliza akueleweshe so kuahutumu
@JasmineMilima-e7m
@JasmineMilima-e7m Ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi
@Ntirampeba
@Ntirampeba Жыл бұрын
Amen
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
KWANINI YESU ALIZALIWA
32:30
REV.GABRIEL SULLE
Рет қаралды 112
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16