Pt4_"Nilivyosimikwa kuwa kiongozi wa wachawi Gamboshi" | USHUHUDA WA ALIYEZALIWA AKIWA MGANGA MCHAWI

  Рет қаралды 7,797

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@ZengoSimon
@ZengoSimon 13 күн бұрын
Amina sana mtumishi wa BWANA, Nina furaha kubwa sana moyoni kusikia ushuhuda huu, yote uliyopitia ni kwa ajiri ya kutuimarisha sisi ambao imani yetu iko nusu nusu; (ufunuo 3;1-3). Bwana akuzidishe na kuzidi katika imani.
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 13 күн бұрын
Inatakiwa tubadilike masuala ya kuwa nusu nusu yatatuponza
@WeriDaniel-zq2ds
@WeriDaniel-zq2ds 12 күн бұрын
Amina 🎉
@HappynessmafuruMafuru
@HappynessmafuruMafuru 12 күн бұрын
Kweli kabisa
@felixBenos
@felixBenos 12 күн бұрын
Amina mtumishi Mungu azidi kukupigania katika njia zako zote.
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 13 күн бұрын
Kweli kuna Mungu mbinguni,mtetezi na msaada wa watu wake❤❤❤,sitakuacha Yesu.Kumbe makovu ya shetani yanafutika lkn ya Majeraha uliyotiwa na Mungu hayafutiki.❤❤❤ MUNGU wetu ni moto ulao.
@WeriDaniel-zq2ds
@WeriDaniel-zq2ds 12 күн бұрын
Amina 🎉
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 12 күн бұрын
Nirehemu Mwenyezi Mungu hakika huu ushuhuda ni moto ....inafanya nikae ndani Yesu Kristo Amen
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 12 күн бұрын
Hi inathibitisha ukwel kwamba uislamu ni dini ya sheitani kwa maana imetoa waislamu wengi kuja kwa Jesu na kumtumikia bwana Jesu Kristo na kutuelimisha zaidi na zaidi ,
@jannyrose5367
@jannyrose5367 12 күн бұрын
Amen, Yesu ni mfalme wa wafalme,Halelluja
@petroludovick
@petroludovick 10 күн бұрын
Ni kweli kabisa Yesu ndio kimbilio la milele
@AgnesMnkande-u5x
@AgnesMnkande-u5x 12 күн бұрын
Hongera Sana mtumishi wa Mungu, Asante kwa ushuhuda mzuri, Mungu akuinue katika viwango vya juu
@agnethapaul6057
@agnethapaul6057 3 күн бұрын
Yesu ni Bwana na mwokozi , ni makusudi ya mbigu tusikie na tuokolewe, azidi kukuntunza mtumishi wa Mungu.
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 12 күн бұрын
Yesu ni nuru ya ulimwengu, Yohana 8:12. Amen. Namshukuru Bwana Yesu Katika maisha yangu yote. Nampenda Bwana Yesu!!! Amen!!!
@EstherDamian-xo2fz
@EstherDamian-xo2fz 13 күн бұрын
Hongereni sana promover tv, natiwa nguvu sana katika imani ya kristo
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 13 күн бұрын
Promover Jana mmenitesa sana nimeshinda you tube kutafuta part 4 sikupata mpaka usiku!! But Asante sana Sasa nimeona nafuatilia kwa ukaribu sana na mnanibariki sana MUNGU awabariki sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz 12 күн бұрын
Pole sana na Asante sana kwa kufatilia
@asiimweperfect7053
@asiimweperfect7053 3 күн бұрын
Amina
@Gindi-v7g
@Gindi-v7g 13 күн бұрын
Barikiwa mtumishi,aliye na mwana ana ushuhuda❤
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 11 күн бұрын
Yesu kwangu hakuna cha kunitenga na Upendo wako... iwe taabu au mateso ya aina gani kwako Baba nitafika salama. Asante Yesu, shetani na umaskini wako nipishe nipite kwangu hauna nafasi. Urembo wa dunia hii, nyimbo za kubanjuka utajiri wa dunia hii vyote vina mwisho tukimbilie Yesu ndiye ngome salama. Karibuni Bwana wa mabwana anarudi na mawingu, kila licho litamuona...... jiulize!!! Utamuona au dhambi zako zitakusongesha mbali naye? Jitahidi leo uache vyote umfuate Yesu. Mbarikiwe sana wanapromover kwa jambo hili mnalofanya.
@reachelchemtai2604
@reachelchemtai2604 10 күн бұрын
Amen Sana mtumishi wa mungu nashukuru sana kwa ushuhuda zuri Sana. asente Sana jactan Msafiri
@SarahWilson-g2u
@SarahWilson-g2u 13 күн бұрын
Hakika huu ushuhuda unajenga sana,, ubarikiwe mtumishi jaktani
@linvi_chemutai
@linvi_chemutai 13 күн бұрын
Kabisa❤
@PromovertvTz
@PromovertvTz 13 күн бұрын
Amen
@issabellnjambi8136
@issabellnjambi8136 12 күн бұрын
​@@PromovertvTz Mtumishi Jacktan,Huyu Mtumishi Akitoa Kitabu Nataka Pia Omar Shee, Asante Mtumishi Jacktan Nilipata Kitabu Cha Amiel Mwokozi Wetu YESU KRISTO Akubariki Sana 🙏
@LeviMeshach
@LeviMeshach 12 күн бұрын
Tuleteeni part4 ya huyu mchungaji. Tunabarìkiwa sana
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 13 күн бұрын
Amen amen ubarikiwe kwakutuokowa
@SarahJackson-q1n
@SarahJackson-q1n 11 күн бұрын
Amina kubwa Yesu ndiyo kinga yetu daima Yesu ni mkuu sana kuliko kitu chochote duniani nampenda huyu Yesu
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 10 күн бұрын
Asante bwana yesu kuniokoa nisaidie nishinde dhambi na ulimwengu 😢😢😢
@MagdalenaJoshua-s6b
@MagdalenaJoshua-s6b 13 күн бұрын
Natamani nione hayo makofu uliyochezea hahahaaa chezea YESU wew ubarikiwe kwa ushuhuda huu umeniinua sana kiroho
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 10 күн бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa mungu.
@LeverianNgosha
@LeverianNgosha 8 күн бұрын
Amina sana 🦁🦁🦁
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 11 күн бұрын
Ameeeeen YESU ni mwema
@JosephKibona-j3u
@JosephKibona-j3u 12 күн бұрын
Mbarikiwe wote mliofanikisha ushuhuda huu kutufikia hata tulipo mbali
@HappinessMwambapa
@HappinessMwambapa 8 күн бұрын
Huu ushuhuda unakuza imani kama wa Mchungaji Amieli katekela, YESU azidi kuwatunza Sana Sana, Jactani Bwana YESU azidi kukutunza Sana Sana
@kibetmitei4022
@kibetmitei4022 11 күн бұрын
Asante Yesu, utatulinda usiku na mjana
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 12 күн бұрын
Leo nimefunguka sana wadada wakiambiwa juu ya urembo hawataki kusikia MUNGU awafungue wadada ni viziwi hawasikii kabisa
@geitandelwa299
@geitandelwa299 10 күн бұрын
Kanisa liliangukia hapa.penye mapambo
@RehemaMtono
@RehemaMtono 13 күн бұрын
Usalama wetu ni kwa YESU KRISTO tu basi
@JohnNgige-r9y
@JohnNgige-r9y 13 күн бұрын
Hicho kitabu ulicho kipata kuzimu ni Quran, full stop. Kitabu wanach kiogopa kukitaja kuzimu ni Bibilia.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 10 күн бұрын
Haaa ni kazi sana kwa shetani kubayaaa
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 13 күн бұрын
Jamani kiboko chawachawi yesu pekeyake yesu nisaidiye nisije nikafa bila wewe
@RehemaMtono
@RehemaMtono 13 күн бұрын
Mnakula mpaka chakula nyumbani mwa watu heee MUNGU tusaidie hakika
@Nabatabita6873
@Nabatabita6873 13 күн бұрын
Mabanzi ni mbao
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 13 күн бұрын
Kitabu ni Bibilia
@AjuaeGwimile
@AjuaeGwimile 13 күн бұрын
YESU niwewe peke yako uliye stahili na mwenye nguvu ya kuwapa watu kustahili Kwa rehema zako. Niwewe MUNGU wakweli unayetembea na PROMOVER TV.
@SarahJackson-q1n
@SarahJackson-q1n 11 күн бұрын
Ndoma huwa siwaamini waganga mana mganga mkuu ni Yesu
@annkim2690
@annkim2690 13 күн бұрын
Kanuni na Sheria za Yesu ndio watu wanashindwa kuziishi lakini wokovu na Yesu mbona Raha wengi wanaishia kumtaja Yesu lakini Sheria na kanuni wa waziishi basi watabaki kusikiza shuhuda za watu
@NicoleMakaveli-wr6mm
@NicoleMakaveli-wr6mm 10 күн бұрын
N imagn kanuni za yesu kristo ni rahisi saana
@NeemaMwashambwa-s4g
@NeemaMwashambwa-s4g 13 күн бұрын
Namba za simu jaman za mtumishi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 10 күн бұрын
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE SANA
@GodfreyLazaro-bu8cy
@GodfreyLazaro-bu8cy 11 күн бұрын
Naomba yesu anisaidie jamani
@geitandelwa299
@geitandelwa299 10 күн бұрын
YESU NI NI BWANA. ASANTE SANA
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 11 күн бұрын
Hivi nin maana ya gamboshi ???❓
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Umeona Sasa! Umesababisha ajali, musoma, barabarani watu wanagongwa na magari tunalaumu madereva Kumbe nyie! Halafu Leo eti umefungua Kanisa eti linawaumini wachache. Mwendawazimu Gani huyo atakuja kwenye Kanisa la mchawi! Makanisa rasmi hayapo au?
@RodahAdonice-dz4sm
@RodahAdonice-dz4sm 10 күн бұрын
Kuna mtu naishi nae hapa kwangu anatumia sana mafuta ma maji kutoka kwa manabii alianza kuwapaka wanangu nikamsopisha aachane na watoto atumie yeye kama yeye mimi wanangu nawaombea na kuwafunika damu ya YESU KRISTO
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Pumbavu zako wewe umedhiuru maisha ya watu halafu Leo unajifanya kutuhubiria. Kama umeokoka zirudishe roho za watu wote uliowapoteza. Muombe Yesu wako awafufue wote uliowaua Kwa ushirikina wako.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 12 күн бұрын
@daudipartson, wewe katika maisha yako hujawahi kumkosea Mungu? Unadhani kuua tu ndiyo dhambi kubwa zaidi? Dhambi zote mwisho ni jehanam ikiwemo hasira na kutukana. Isitoshe uchawi ni kifungo cha uovu kama ilivyo uzinzi tamaa nk. Bila neema ya Yesu hutoki ng'o.
@RabbitsFarmer
@RabbitsFarmer 12 күн бұрын
Tubu daudi
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Ndugu kumbuka UBAYA wa hao watu wanawadhuru watu wema tu na kuwawinda wachaji wazuri tu na kuwaangamiza. Why? Kwanini wasiwaue majambazi wanaoitesa jamii???
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Mfano: Yule Binti mzuri wa Yesu, mcha Mungu, walitaka wamuulie kisimani, wakati makahaba, wezi, majambazi, wauaji, watekaji wanatesa mtaani, kwanini waswale nyama hao ili duniani kujae watu wema na wacha Mungu tuuu! Mi naumia sana watu wema ndo walengwa wa wachawi, wahalifu wanaishi Kwa raha mstarehe duniani. Why? Inamaana Mungu aliumba Dunia waishi wahalifu Kwa amani then wema wafe mapema.???
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 12 күн бұрын
​@@daudipartson1417mbona unakuwa kama si msomaji wa biblia, hujui falsafa ya shetani kwamba ni kuua, kuchinja na kuharibu.!? Yesu alikuja ili tuwe na uzima. Wachawi ni watu sawa nawewe, wametekwa na shetani na kutumikishwa na roho ya uchawi kwa lazima. Ukiwakasirikia kana kwamba ni utashi wao tunakosea ndiyo sababu Yesu alisema mpende adui yako. Tafsiri yake adui yako siyo mtu bali ni ile roho mbaya inayotenda kazi ndani ya huyo mtu. Ukiwa na mtazamo huu hutopigana vita vya mwilini bali utapigana kiroho na ushindi wako utakuwa karibu na wewe. Ukimwangalia mchawi kwa jicho la mwilini utamchukia sana na chuki yako ndiyo anguko lako.
@ElizabethMuia-ro9yh
@ElizabethMuia-ro9yh 13 күн бұрын
CHENYE KINAFURAHISHA NA TAZANIA NI,WALIOKUWA MAGWIJI WA UCHAWI AKINA MOSES KULOLA NA MOSES MAGEMBE, NA WEGINEO NDIO MAGWIJI WA INRI SAA HII NA WEGINEO KWA KWELI YESU NDIYE KIBOGO YA GUVU ZA GIZA,WAPEDWA KWA YESU KUNA RAHA NJOONI KWAKE WAPEDWA
@Gindi-v7g
@Gindi-v7g 13 күн бұрын
Umemwacha wapi Katekela ❤🎉
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 12 күн бұрын
Hao ni sehemu ndogo ya uliowasikia mtandaoni. Je wasio na mtandao ni wangapi?
@annkim2690
@annkim2690 13 күн бұрын
Mtumishi ungewacha kuhubiri uka base katika ushuhuda Tu ndio ushuhuda uende mbio
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Mimi namheshimu Mtumishi aliezaliwa, akakua, akasoma na kumaliza shule, akaenda vyuo vya uchungaji, akaanzisha huduma ya Mungu na kututangazia wokovu. Siyo nyie mliotangulia kuuua mamia Kwa maelfu ya watu, Hadi shetani akawatema ndo Leo mjifanye eti watumishi wa Mungu. Shenzi zenu.
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 12 күн бұрын
YESU hakuja kuwatafuta wenye haki bali wenye dhambi hivi wewe unaaminije theolojia pasipo kuamini kuwa roho mtakatifu anaeza kukuelimisha mbona kama unajizima data
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 12 күн бұрын
Shetani anawezaje kukutema? Unatatizo kweli huyu alikuwa mtumishi wa shetani akipigana na kanisa akashindwa vitani na sasa ni mateka wa Yesu. Mtu anapotolewa gizani ni ushindi kwa ufalme wa Mungu. Chuki uliyonayo kwa waliokombolewa inamaanisha hujui hata kazi ya Yesu msalabani uko kinyume na wokovu.
@ZengoSimon
@ZengoSimon 12 күн бұрын
Kasome habari ya mtume Paul; matendo 7:54-60; 8:1-3; na nyaraka zake utajifunza. Shetani hajawahi kutema: Mungu ameruhusu sisi kujaribiwa, lakini pia ametupa uhuru wa kuchagua na anatupenda sana (isaya 49:15); Kila jambo linatokea kwa kusudi chini ya jua (mhubiri3:1). Mungu anatumia watumishi kama hawa kama shuhuda kamili kwa ajili ya kuuokoa ulimwaengu.
@evelynekomba7216
@evelynekomba7216 11 күн бұрын
Pole
@AgnessIbrahim-nt1kr
@AgnessIbrahim-nt1kr 10 күн бұрын
Ungetuambia hivo vitabu ili tupone
@annkim2690
@annkim2690 13 күн бұрын
Mambazi nini
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 12 күн бұрын
Ni mfano wa mbao lakini ni Nene Nene Sana kuliko mbao za kawaida mengine Huwa na ile ngozi ya juu ya mti yaani magome wengi Sana huyatumia hayo mabanzi kutengeneza mabanda ya kufugia nguruwe au ng'ombe wa maziwa.
@daudipartson1417
@daudipartson1417 12 күн бұрын
Mimi NAWACHUKIA mno nyie wote mnaojifanya mmeokoka baada ya kufanya madhara makubwa Kwa watu. Umelisha watu vinyesi vya wanyama, umeua umevunja Ndoa umefukuzisha watu kazi, umezuia riziki zao maisha yao halafu eti Leo nikufuate ni Mtumishi. Maendelamu mkubwa wewe!
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 13 күн бұрын
Vitabu ulivyo kuja navyo mmoja wapo ni Quran
@JaneDoe-hf3zy
@JaneDoe-hf3zy 13 күн бұрын
Je ni Nini maana ya gamboshi
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 12 күн бұрын
@ JaneDoe gamboshi ni neno hutumiwa zaidi na jamii ya kisukuma nchini Tanzania kwa tafsiri nyingine ni eneo lisiloonekana kwa macho la ulimwengu wa Giza.
@issabellnjambi8136
@issabellnjambi8136 12 күн бұрын
Inamanisha makao makuu ya uchawi wa wachawi.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 421 М.
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН