JK Asimulia Alivyokutana na Michael Jackson, Rihanna na 50 Cent

  Рет қаралды 42,840

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akieleza namna alivyokutana na wasanii wakubwa na ilivyomsukuma kusaidia wasanii wa Tanzania

Пікірлер: 60
@NyakiMollel
@NyakiMollel 8 ай бұрын
Man of the people😏
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 2 жыл бұрын
Unajuwa maisha, lazima uweze ku balance kazi na starehe uishi, Hii ndio Dunia ya kuishi na ku enjoy.
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 жыл бұрын
Hapo mzee kikwete swali la kumuuliza muziki wamemfikisha anapenda muziki sana
@yonas.johnson
@yonas.johnson 2 жыл бұрын
Jk 🙌
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 8 ай бұрын
Raha zako
@musasabuu2808
@musasabuu2808 2 жыл бұрын
Kweli kwenye maisha Kuna mda wa starehe cyo Kaz mda wte
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 жыл бұрын
Inna lillah wainna illahy rajiuun
@onesettv8749
@onesettv8749 2 жыл бұрын
😂
@monstermonster3649
@monstermonster3649 2 жыл бұрын
Tatufa hela wewe, secondly jikite kwenye channels za dini acha kupangia watu maisha.
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
Hahaha,,,MJ hajapata kutokea kbs yani
@bern1229
@bern1229 2 жыл бұрын
Upo safi MZEE.nataman ungerudi tena uwe RAIS usaidie waliopo mtaani angalau upunguze wimbi la wasio na ajira
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Labda awe Rais wa ukoo wako pumbavu
@bern1229
@bern1229 2 жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 hahahaha..bwana kabwela..hyo ndo rais nlotokea kumuelewa na huo n mtazamo wangu ko ustake tkalngana sawa ndg..
@jiweg-unit1048
@jiweg-unit1048 2 жыл бұрын
Ndugu yako Nini ??? Nina sure jk akifa watanzania 70%au 65% watapiga mziki Kwa furaha usiku mzima Na Mimi Ni mmojawapo
@queenofpossibility325
@queenofpossibility325 8 ай бұрын
😂😂😂😂❤❤❤
@richardpatrick3590
@richardpatrick3590 2 жыл бұрын
Music ni burudaniiiiii
@isaaabdala7016
@isaaabdala7016 Жыл бұрын
Kuna.muda wa kazi.na.sasa.anapunzika kazi.kubwa.amefanya.nchi.hii.hakuna wa.kufananisha.nae.hapa
@Jal210
@Jal210 2 жыл бұрын
Wewe umeshakuwa Al haji hutakiwi kuwa na mambo haya au ulikwenda kinafiki tu kuhiji
@danielmartinnapiya8802
@danielmartinnapiya8802 2 жыл бұрын
Anaongelea maisha yake ya nyuma,don’t be dumb
@Jal210
@Jal210 2 жыл бұрын
@@danielmartinnapiya8802 I'm not going to hurt him, he is not even support to talk about the past.
@monstermonster3649
@monstermonster3649 2 жыл бұрын
@@Jal210 Concentrate with your own life challenges dummy, who the hell are you to dictate on how people should be living?
@Myplusbee
@Myplusbee 2 жыл бұрын
@@Jal210 And stop being a sanctimonious piece of shit!
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
@@danielmartinnapiya8802 ,,,,,his own life at the expenses of poor citizens!!
@markjason2035
@markjason2035 2 жыл бұрын
Mzee anawakumbusha kuwa ni wimbo huu sio nyimbo hii
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 2 жыл бұрын
Zungumzia bomba la mafuta
@fauzhaji7149
@fauzhaji7149 2 жыл бұрын
50 cents ..lol
@romanamassawe814
@romanamassawe814 2 жыл бұрын
Baba unazingua
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 жыл бұрын
Hapa jk kaongea pumba tupu
@lirastanley390
@lirastanley390 2 жыл бұрын
acheni chuki bunafsi unajua kwann kazungumza?si aliulizwa ndio sbb aliongea na kusimuliamengi badala ya kumuwishi mazur ktk siku yake ya kuzaliwa kwakuwa alikua kiongoz wetu imara mpenda watu na katuachia nchi ikiwa salama pasina kuwa na machafuko eti mnamdis hv sisi watanzania tutapenda lini na kusifia vya kwetu...?
@stephensteve9299
@stephensteve9299 2 жыл бұрын
Mwenzenu kakutana na 10 cent nyie mnatuambia 50 cent. Hizo 40 cent mlizoongeza mmezitoa wapi? Au ndo chumvi??
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 2 жыл бұрын
Hahahahah🤣🤣🤣
@monstermonster3649
@monstermonster3649 2 жыл бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 Wamezidisha 10cent x 5 ndiyo wakapata 50cent kwa maana ya kwamba kakutana na 10cent mara tano ndiyo ikawa hiyo 50 Cent.
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 2 жыл бұрын
@@monstermonster3649 🤣🤣 72 si mchezo kala chumvi. Lazima aanze kuwa babu
@monstermonster3649
@monstermonster3649 2 жыл бұрын
@@mohamedhamismagoraonlinetv459 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwasamiladldm7557
@mwasamiladldm7557 2 жыл бұрын
Zungumzia ugumu wa maisha ya mtanzania.
@HusseinRj
@HusseinRj 2 жыл бұрын
Zungumzia wewe
@abuu_tv
@abuu_tv 2 жыл бұрын
Wakat n bday yake acha akumbuke Raha zake shida zako ustaw wa jamii
@mwasamiladldm7557
@mwasamiladldm7557 2 жыл бұрын
@@abuu_tv Huenda labda unanizidi hata hizo shida zenyewe,unjitutumua mtandaoni.
@abuu_tv
@abuu_tv 2 жыл бұрын
@@mwasamiladldm7557 ndio na zimudu si zangu ww usilalamikie mtu
@aaaaaah290
@aaaaaah290 2 жыл бұрын
MAISHA MAGUMU UNAYO WEWE SIO KILA MTANZANIA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Mzee wa kujisahau mla bata fisadi haoni hata aibu kuongea upumbavu huo
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 жыл бұрын
hizo ni moment zilizotokea kwenye maisha yake vitu vya kawaida sana tatizo umaskin unatusababisha tuwe na chuki za kisenge senge sasa ww km huna cha kuwasimuia vizazi vyako kaa hvy hvy ndo nyie utaskia baba yako niliteseka nilikula mihogo as if mihogo kitu cha ajabu
@jaxnales
@jaxnales 2 жыл бұрын
Tafuta hela mzee.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
@@ChoroTesla bwege wewe hata hujitambui kama zingekuwa hela zake nani angesema Ila ni hela za Watanzania masikini , na siku ccm ikiondolewa madarakani hawa wote watashitakiwa kwa kuwaongea watz umasikini, utakuwa kizazi cha wafisadi wewe au huyu ni shemeji yako
@didimhutila8985
@didimhutila8985 2 жыл бұрын
Aibu sana sio sili,yaani mzee anajisifia kula batA?watanzania??
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 2 жыл бұрын
Zungumzia hata bagamoyo bandari tukusikie lione
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 2 жыл бұрын
Sanga wewe ndo mpumbavu kabisa, Ina maana huyu si binadamu, mpaka akalie siasa tu, Unajua nyie makafili hamna akili kabisaa.
@peterlucas7246
@peterlucas7246 2 жыл бұрын
Amani nini maana ya kafiri?
@johnmike6059
@johnmike6059 2 жыл бұрын
Raisi gani mpenda starehe ndo maana unaitwa fisadi amjui mtanzania wa hali ya chini anaishi vipi mnajiona nyie na familia zenu ipo sikuyenu
@nathanwakitaa8875
@nathanwakitaa8875 2 жыл бұрын
Raisi yuko wapi!? Punguza makasaliko bob
@danielmartinnapiya8802
@danielmartinnapiya8802 2 жыл бұрын
Mlaumu baba ako mzazi sio kikwete
@johnmike6059
@johnmike6059 2 жыл бұрын
@@danielmartinnapiya8802 mpuuz mmoja ww acha kitako mwiba ww utaolew
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 жыл бұрын
Huyo babu alileta umasikini haswa Tz na ufisadi mkubwa miaka yake alichokuwa anajua ni kusafiri tu Johnny walker 💩💩🤮🤮🤮
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 2 жыл бұрын
Wengi tumepata Ajira kipindi chake
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 557 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
JACKSON WA KIZAZI KIPYA - KINSHASA - COMEDY
25:34
Jackson Wakizazi Kipya
Рет қаралды 46 М.
Mwana FA: Sina tatizo na Diamond Platnumz na wala simchukii
4:32
Dizzim Online
Рет қаралды 68 М.
JK Alivyomkana Membe | Amuelezea Magufuli
5:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 75 М.
Katt Williams Unleashed | CLUB SHAY SHAY
2:46:05
Club Shay Shay
Рет қаралды 80 МЛН