Рет қаралды 316
PBZ PL | Ilikuwa ni sare ya mabao 2-2 kati ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar, JKU SC dhidi ya Muembe Makumbi City kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar.
Ilikuwa ni mechi ya kuhitimisha msimu wa 2023/24 na ilikuwa ni maalum kwa JKU kukabidhiwa kombe lao la ubingwa....