Like nyingi kwa joel kama unamkubali na unamfatilia uyu mwamba
@becamrindoko Жыл бұрын
Ajengewe Mnara wake
@agnesspaul1866 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@abdulrahmanali1482 Жыл бұрын
🌍 📚 kaka Joel huu ni wakati wako wa kutusomesha ila kufahamu inategemea sisi mda⌚wetu na fahamu zetu Ahsan'te sana kaka Joel kwa taaluma unayotupatia 📚🌍
@pendosalehe8941 Жыл бұрын
Mungu akutunze Kakaangu mzuri,utumishi wako ni baraka Kwa wengi.
@tibafactsonlinetv Жыл бұрын
Leo umenifanya nicheke kwa sauti kubwa saaaaana ! ubarikiwe sana kaka
@neemamsaki1111 Жыл бұрын
Yani Coach unanifaa kila inapoitwa leo…mwaka jana nilikumbana na hao watu walitaka kunikalia hadi kichwani nikasema mda wakuwa nanyinyi umeisha, namshukuru Mungu kukutana na vipindi vyako humu KZbin vimeiniinua sana na sijakata tamaa nazidi kusonga mbele Mungu azidi kukubariki na kukutunza kwaajili ya watu wengi waamke watimize Ndoto zao.
@lilowandiba3263 Жыл бұрын
Joel umenitoa mbali sana mwenyezi mungu akuinue zaidi na zaidi utimize malengo yako rafiki
@SaimonKazimoto-xt1zo Жыл бұрын
Watu wa aina iyo Huwa Wana hiyo Hali ya poverty mentally roho za umaskini zimewatawala sana kaka unatupa elimu nzuri Sana tutawa puuza TU watu hao. Asante Sana kaka joel
@joelnanauka Жыл бұрын
Ni Kweli kabisa
@deniskidene9697 Жыл бұрын
Unatufanyaaa tuishii kwa mwonekano tofautiii.....na mzurii coz maarifa ya kuishii imeyamwagiria mbolea wewe Joh...shoutout... brother
@joelnanauka Жыл бұрын
Thank you so Much Ahsante sana
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukrani tumewazoea
@MonicaManyanza-er7od Жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzur coz watu kama hao wapo na wataendelea kuwepo lkn ni suala la kufocus na maisha Yangu mwenyew
@stanleyandrea5153 Жыл бұрын
Bro nakupenda sana toka kitambo
@MarcoPeter-y5n5 ай бұрын
Asante sana MUNGU Baba Wa Mbinguni Akubariki
@RupindaKajembe-xm4ow Жыл бұрын
Mwamba nakukubali vibaya BARIKIWA.
@ibrahimjumanne3953 Жыл бұрын
Ahsante kaka Joel, wewe ni mtu bora Mungu akuinue zaidi.
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen Ameen
@Stevematongo Жыл бұрын
@@joelnanauka 👏
@abdulrahmanali1482 Жыл бұрын
🤲 Amin 🤲
@monicaalfan92511 ай бұрын
Asante sana kaka mimi ninabiasha nafanya sasa kunawatu wanaichukiya mpaka wananichonganisha na mume wangu nikijiuliza nime wakoseya nini sijui lakini kwa maneno haya ya leo yame nibaliki sana
@mohamedindulumba1825 Жыл бұрын
Asante kwa elimu kubwa mungu abariki kipaji chako
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Wanadamu bwana,,,,,,watu hawanisumbui Tena nasonga mbele,,,, barikiwa saa bro Joel
@emanuelchanya5182 Жыл бұрын
I wish siku moja trending ambazo zitajadiliwa zaidi ziwe za maudhui haya hapa hakika Tanzania na Afrika itakuwa jamii bora zaidi.Hongera Joel
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen bro, siku inakuja
@patrickdominick3377 Жыл бұрын
Binafsi hii imeshanotokea nilienda kwenye taasisi fulani na nikachaguliwa kuwa mwakilishi pekee Kati ya watu wengi wengine walikua level ya juu yangu, nikasimama mbele yao na MUNGU alinisaidia nikazungumza vitu ambavyo viliigusa Sana taasisi Ile na wa kanipatia zawadi, Sasa baada ya hapo wale ambao niliwakuta wachache wao walianza KunichukiaSana bila sababu🤔
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Bando langu linaenda kwa haki Ahsante brother Joel🇹🇿🙏.
@joelnanauka Жыл бұрын
Pamoja sana sana
@vicenttitu4986 Жыл бұрын
Mwamba Upo vzr Mungu akubariki
@pauljunior5141 Жыл бұрын
Saf sana mr joel
@geofreykangaho1149 Жыл бұрын
My life Coach Mungu akurinde saana Maana madini nayopata kwako ni mengi munoo👏👏
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen
@julianalaly2095 Жыл бұрын
Sawa br
@costarsokoni Жыл бұрын
Nakukubali Sana mzee.
@masterkey5364 ай бұрын
Ni kweli kabisa ❤❤❤
@ibrahimujumanne6220 Жыл бұрын
Thank you brother I appreciate in your work you did the best
@musalwanzali1640 Жыл бұрын
Nashukuru kwa elimu nzur ..unanipa mawazo mapya kila siku..
@AmanuelEugen Жыл бұрын
For sure brother joel
@macksemuyango6108 Жыл бұрын
Kiongozi uendelee kuishi daima kwa jinsi unavyoendelea kunifundisha,,,,,,
@AkitakaHuwa10 ай бұрын
Shukran sana
@dafrosasaturuminmarandu1095 Жыл бұрын
Noted brother Joel...
@fredyelisha2686 Жыл бұрын
Kaka nashukuru sana kwa mafundisho maana najifunza mengi zaidi ubarikiwe
@ZabronManunda Жыл бұрын
Bigg up bro
@mwanahawajuma707 Жыл бұрын
Asantee sana kaka unatukomaza hakili zetu
@mkilimamoses2311 Жыл бұрын
Makala zako ni hamasa kubwa kwa wanaoenda kujifunza.Haipiti siku kwangu bila kusikiliza angalau makala moja.Mungu akubariki kwa kazi nzuri isiyo na gharama kwetu.Keep it up👍🏻.
@rosemaryfaustine6866 Жыл бұрын
Nimepata kitu kipya asabuhi ya Leo,Asante sn,kusonga mbele ni lazima,kuchukiwa ni fursa ya kufikia ndoto za maisha yetu,Asante sn Mr Nanauka kwa madini haya.
@TheHansG_Tz Жыл бұрын
Tuendelee kujifunza
@MOHAMEDWALELE Жыл бұрын
Bro nakubali kazi zako ubarikiwe
@RashidiMdubila Жыл бұрын
Broo,nimekurewa,sana
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Hii ipo Sana hata sehemu za kuajiliwa,yani Kuna mtu anafurahi akisikia au akiona umefukuzwa kazi,wakati mshahara wako hawezi kulipwa yeye,hii ndiyo povety mentality.
@joelnanauka Жыл бұрын
Kabisaaa
@samweljulius1478 Жыл бұрын
Ujumbe WA kweli kabsa
@MusaFanuel-v4j Жыл бұрын
Asante sana broo Yani nakufatilia saana natamani siku moja nije kuwa wa tafauti kabisa kutokana na mafundisho ninayo pata kutoka kwako
@joelnanauka Жыл бұрын
tuendelee kujifunza na kufanyia kazi
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante
@MAF3575 ай бұрын
shout out to ower mentor ❤
@brackskinyozi32805 ай бұрын
Asante 🙏
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Shukrani kwa kunielimisha
@Yonzomc01 Жыл бұрын
Hasante sana kaka joel
@paschalpatrck Жыл бұрын
I wish one day to meet you
@dafrosamsonge2007 Жыл бұрын
wewe ni my mentor
@joelnanauka Жыл бұрын
Shukrani sana
@nassorsaidi1291 Жыл бұрын
Kweli watu wa namna hio wapo wengi kwetu tunakumbana Sana na changamoto kama izo asante kwa kutuaminisha kua sio Sisi Bali ndivyo walivyo wanapenda tudondoke kila siku
@joelnanauka Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@IssaAbdallah-bp8qf Жыл бұрын
Nakufatiia sanaa nanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ahsante sana, waalike na wengine
@beatuskahwa6351 Жыл бұрын
Asante sana kwa makala nzuri unazotupatia kila siku. Ila uwe makini jamani barabarani usije ukapata ajari ( jambo hatuombi hivyo).
@joelnanauka Жыл бұрын
Shukrani sana kwa ajali
@michaelkayoka1615 Жыл бұрын
Amina brother wewe ni kichwa hatar sana
@joelnanauka Жыл бұрын
Amen, Mungu ni Mwema
@justinebaada9079 Жыл бұрын
Umenifundisha kitu,hapa. Barikiwa sana kaka
@joelnanauka Жыл бұрын
Ameen, Ameeen
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Asante sana
@judithgodfrey6503 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Joel. Mafanikio yanawashtaki.
@joelnanauka Жыл бұрын
Jibu zuri kwao ni mafanikio yako
@maimunaathumani9121 Жыл бұрын
Kweli kaka
@ndolikiyohana9542 Жыл бұрын
Nikweli hali hiyo imenitokea kuchukia bila sababu na familia yangu et
@PASKALIMARTIN Жыл бұрын
ukweli mtupu
@geofreysimon6421 Жыл бұрын
Hii ni elimu kwa wote kwa manufaa kwa sisi sote...
@GeofreyBoyo Жыл бұрын
samahani my life coach naitajikupata mawasiliano yako please🙏🙏
@beldinaabuya3532 Жыл бұрын
Haya yamenikuta sana shukurani kunifunua nuru hi
@joelnanauka Жыл бұрын
Nashukuru, pamoja sana
@odhiaodhia9898 Жыл бұрын
Sauti inasikika vizuri sana
@joelnanauka Жыл бұрын
Shukrani sana
@judithchatila7725 Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@daudiissa9256 Жыл бұрын
Binafsi nimekutana na watu hao wao anakuombea mabaya ikiwa wao wamefeli
@andersonnkenzidyo857 Жыл бұрын
Mi nimekuelewa sanaa brother hii hali ilishawahi kunitokea sanaa, ikitokea hiyo hali ufanyenje ?
@DoriceDaniel-ct4co Жыл бұрын
Yaan najiona kila nikifanya Jambo linaonekana baya kwa watu nimekupata kaka
@baboudeira9249 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🏻
@Madmomy62663 ай бұрын
Sitajali watu wanaonichukia
@youngtone4333 Жыл бұрын
Mimi huyo mwalim 😅
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Hii imenichekesha sana wakiona bilionea fulani wanajua wao ni masikini sababu yake 😂😂😂
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🙏🏿✍️
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Mimi nachukuwa tokea nipo shule nambo mengi ya kusingiziwa
@bettymvanga3273 Жыл бұрын
Asubuhi na mchana ila niwateja ktk kufika utakapo
@Busweluhardware Жыл бұрын
Hii je kama ndo mme wako , inakuwa imekaaje kisayansi😢
@eldahussein1249 Жыл бұрын
Ndugu yangu yaan ni shida,nami nimewaza kama wewe Yani ni mume makini hataki kabisa upige hatua kisa yeye ndie mwanaume na Hana future yoyote anataka na wew usiwe nayo kama yeye,sasa je hiyo familia itakuwa na tumaini la kesho yenye matumaini,IPI kesho ya watoto wako,mi naona dawa ni kuachana na mwanaume wa aina hii (hapo ni kwa Mimi binafsi) kama nataka kufika mbali
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
@@eldahussein1249 usiachane nae!!!!! Kila mwanaume anayo mapungufu yake kwahyo wewe unatakiwa kutumia akili na ujanja kurimiza ndogo.ukisema utaachana utaachana na wangapi?
@faharimovies Жыл бұрын
@@eldahussein1249 Umewaza vizuri sana
@sfggf468 Жыл бұрын
😂Leo umepita palepale
@mohammedrubea754 Жыл бұрын
Nafsi ya mwanaadam imeumbwa kuwa na choyo sana, kwa waisLam km huifuati Qur'an inakua hivyo.
@joelngeleja5467 Жыл бұрын
Nimesikiliza hii imenipa nguvu kiukweli sasa NAKAZAA TU. KILA LA KHERI JOEL