Hii ni hazina ya taifa, Huyu Kaka yupo duniani kwa kusudi maalumu la Mungu.
@dijadiose74003 ай бұрын
Nimepoteza ujasiri wangu kwa 90% hii hali inaniumiza sana😭 Mm ni mtu ambaye nilikuwa na ujasiri wa kukabiliana na jambo lolote linalokuja mbele yangu na nitafanikiwa na nitashinda ila sasaivi nimepoteza ujasiri wangu😭😭😭
@FaridaHussein-w5x27 күн бұрын
Napenda sana kaka joel. Kila siku napenda kuingia KZbin kwa ajili yako. Kwani ujumbe wako umegusa kabisa maisha yangu. Mungu akubariki sana,akupe uzima,nguvu na akuongezee elimu ya kuweza kutufunza vitu vingi sana.
@HebroniNdugu-t2e9 күн бұрын
nikwili kabisa katika hili umenigusa sana ubarikiwe mtumishi hongera sana
@Geadmlengo2 ай бұрын
Nashukuru sana! Mr I appreciate you're speech! Ahsante sana kwa kunijengea ujasiri kupitia motivations zako! Nimekuwa mfuatiliaji na kuna matokeo nimeanza kuyaona Mungu azidi kukupa maarifa zaidi najua ipo tafika pale ninapo pahitaji!
@majidsudi23248 ай бұрын
Uishi miaka buku tuendelee kujifunza
@DavidDidas-kq3bqАй бұрын
Ahsante sana Bwana Joel!! Jinsi ninavyo zidi kukufatilia ni nazidi kuwa jasiri ktk malengo yangu❤ My God bless you bigg brother
@RizikiBikyeombe-v7uАй бұрын
Ndio kaka naamani apo kwahabari mbaya mume wangu alikuwa naangalia movie za usaliti sana ili mjenga fikra zake nakuniona Mimi ni msaliti kwake ili nipelekea kukosa ujasiri kwamaneno machafu Asante kwa mafundisho mazuri
@shukranjulius95268 ай бұрын
Kiukweli wengi tunakuwa na hofu kwa kuogopa watu walio tuzunguka ,Mungu akutunze kaka Joel ❤
@nuruloy20858 ай бұрын
Hyo Hali ya woga/hofu inanisimbua, sijui natokaje kwenye Hali hiyo.
@GabrielAmede-h8d8 ай бұрын
Asant Sana Kaka Joel Mungu akuongoze kwa Kila hatua najua umepewa hicho kipower na Mungu Cha kukoach watu ili wafanikiwe kimaisha hakika thamani yako duniani ni Kama dhahabu...
@Geadmlengo2 ай бұрын
Nimeanza kukusikiliza mwaka huu lakini kuna vitu nimejifunza na nitaendelea kujifunza! Nasoma chuo cha Dr Ahmed Salim Centre for Foreign Relations
@ShazilNyanjaАй бұрын
Bro mim binafsi unanifungua ubongo,napata taswira mpya Kila nipatapo kukusikiliza
@timothykengere25358 ай бұрын
Shukrani sàna Ndugu Nanauka kujiamini muhimu ,Sana asante kwa kututia MOYO,Kila siku Maisha ni yetu.....
@housemanagmentfinishing11518 ай бұрын
Shukukrani bradha joel kila siku nazidi kupiga hatua za mafanikio toka nimeanza kukusiliza mwaka 2016 sijawahi kukosa cha kuchukua katika maktaba yako mungu akufikishe unapotaka kufika
@DianaMwacha8 ай бұрын
Asante kaka kwanzia leo nitaongea kwa ujasiri na nitaweza kuongea mbele ya wanachuo wenzangu mungu akubariki sana umenifumbua macho nakuijua hofu yangu
@RastaRuvako8 ай бұрын
To the circumstances I am in the moment,,,,,,,,,,,,,,,,,,this I believe it will strengthen to finish my diploma.🙏🙏. God bless you brother Joel✍️🇹🇿🤔
@JanethDotto-y1p6 ай бұрын
Mental wangu nakuelewa sana mkuu wangu
@hadidjaissa91548 ай бұрын
Asante kaka kwa somo nzuri sana nimevuka kabisa leo❤
@JanethDotto-y1p2 ай бұрын
Mental wangu n a kuombea maisha marefu
@onesmokaberwaosward37098 ай бұрын
Asante kaka Joel kwa ujumbe muhimu naomba Mungu azidi kunipa ujasiri wa kutimiza ndoto zangu
@joelnanauka8 ай бұрын
Ameen tusonge mbele
@annastaziamapunda15153 ай бұрын
Asant Kwa ujumbe mzur kaka nimejifunza Mungu atubariki sana
@BerthaMichael-v4g2 ай бұрын
🙌 shukurani sana,🙏
@mahambagislain96188 ай бұрын
Asante kaka Mungu akubariki nime ele wa jambo muhimu sana sita fili tena kwenye MAISHA 🎉🇨🇩
@RoseSabuni-iy7mz8 ай бұрын
Asante kaka, na BWANA MUNGU azidikukubariki.
@joelnanauka8 ай бұрын
Ameen Ameen
@AlexPascal-vu9sr8 ай бұрын
Nimejifunza jambo zuri, kuna umuhimu wa kujitoa kushinda jambo lolote unalotamani litokee thanks for lesson
@richardkabadi2691Ай бұрын
Asante sana kaka unafundisha uhalisia sana
@KalabaKlb8 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU akubariki, Kweli kaka Joël kwangu nami nichaguo mbili Eza nika fanikiwe ao nife nikijaribu.
@AgripinaMshani6 ай бұрын
Sitaacha kukusikiliza barikiwa sanaa
@paschalmasanilo26178 ай бұрын
Mimi nakushukuru sana Joel now foundation yangu imeanza kukuwa maana ujasiri wangu nimeupeleka sehemu kubwa na juzi nimekuwa involved kwenye dawati la watoto la police nauona mwanga baada ya kulijenga giza zito muda mrefu
@YohanaboniphaceChimwaga8 ай бұрын
Kaka joel nimesoma kitabu chako cha money fomla nimejifunza mengi sana ila kubwa zaidi nimeweza kujilipa mwenyewe mpka shilingi m450 kwezi mungu akupe maisha marefu sana kaka
@herimailo81838 ай бұрын
Asante Kaka somo zuri .
@priscumushi90836 ай бұрын
Kaka ubarikiwe maana namna yako ya kuongea mimi binafsi huwa nakuelewa kirahisi nakushikuru 👏👏👍
@JoackimuGeorge-t8y8 ай бұрын
Barikiwa kaka tukutane julai mileniam tower
@joelnanauka8 ай бұрын
Ameen tuombe uzima.Tiketi Zinaanza kutoka hivi karibuni🔥🔥
@winstonanjuna44186 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu kaka uzidi kutunoa
@stapinuswilliam8608 ай бұрын
Critical resolution #core point, thank you my life coach
@jeremiahmsemwa83238 ай бұрын
Hii elimu haipo mashuleni... ni elimu bora.... chakula cha ubongo... GOD BLESS YOU
@JanethDotto-y1p8 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mkuu mungu ukuonoze Sana mkuu wangu akupepe nguvu sana
@brackskinyozi32808 ай бұрын
Asante sana Joel Kila siku najikuta kujengeka ninapo sikiza hizi series...... asante sana Joel mungu azidi kukubariki kw kila kitu....unachofikiria kw kuzidi kutufunza.......see you at the top.
@monicakauky89148 ай бұрын
Nataka nijenge ujasiri,I either win or die.
@janetfrancis71808 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa MUNGU wetu, damu ya YESU izidi kukufunika Joel See you at the top
@ANNAMUNUO-rb8bx8 ай бұрын
God bless you brother unatuimarisha weng katika kuthubutu✨🌹
@mwandutejustin8 ай бұрын
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
@BashuaniKhamisi2 ай бұрын
Dh mwalim unajuwa San ww,
@hashimuliloto80178 ай бұрын
Mimi mipango yangu huwa siwaambi watu....Huwa na washangazaa kwa matokeo...Wanabaki kimya na kushangaa
@teresiadeule39607 ай бұрын
Hua nataman kufanya mambo kimya kimya lkn hua najikuta nshalopoka cjui nfanyaje
@FadhiliLimbwilindi8 ай бұрын
Nakukubari sana kak tunapata mafunzo mazuri yananipa ujasili wa kusonga mbele mungu a kupeafy njem
@user-Ndashuka0018 ай бұрын
AHSANTE sana. MUNGU akubariki nimepata kitu
@ClementLeonard-h9m8 ай бұрын
Kaka hazina ya vijana safi ni nzuri
@Amanijacksoni8 ай бұрын
Asante bro..kwa somo nzuri mungu akubariki
@ROBERTMAXIMILIAN8 ай бұрын
Transformative
@Eziron9Vyats8 ай бұрын
Ahsante Mentor Joel
@mariamkilima64198 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka
@JHLILOBWA8 ай бұрын
Ubalikiwe sana ndugu joel nanauka.
@marymkamwa37798 ай бұрын
Ninachotaka kukifanya ni kikubwa sana kinaniogopesha ila ksbb wengine wamefanya,nami nitaweza kwa msaada wa Mungu Barikiwa sana Nanauka
@asiamsemo61728 ай бұрын
God bless u sana
@MarcoPeter-y5n7 ай бұрын
Asante sana
@Sanagu058 ай бұрын
Nitasimama katika haki
@JHLILOBWA8 ай бұрын
Ubalikiwe sana.
@SomatipherKsomatipher8 ай бұрын
Kak asante sana
@jabilmusa75698 ай бұрын
Thanks brother Joel
@OmanOman-c9d8 ай бұрын
Shukran ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JanethDotto-y1p2 ай бұрын
Ulindwe a mung
@lucianambalamwezi18648 ай бұрын
Asante kaka
@OmanOman-ky2oo7 ай бұрын
❤❤❤
@WinnifridaKisinga-uf1qd7 ай бұрын
♥️♥️♥️🙏🙏
@lilianjoseph11448 ай бұрын
See me at the TOP!
@mariahamis17082 ай бұрын
❤
@faudhiasalum72798 ай бұрын
💃🙏🏿🤸🏽♂️
@JapharySikunjema8 ай бұрын
See you at the top
@magrethpaul22073 ай бұрын
Yaani kama umeniona nilimshirikisha Mr jambo fulani mara tatu jibu lake hio pesa utaijutia acha nikaacha baada ya mda nikalifanya kwa siri maana Mr alinitia hofu Yaani huweziamini mambo yamekua mazuri mpaka mme wangu anashanga na majukumu tunasaidiana maana tuna watoto
@MaryamHaruna-f3r8 ай бұрын
See At The Top
@RizikiBikyeombe-v7uАй бұрын
Lakin kupitia mafundisho aya nitashinda nanitakuwa jasiri maana sijahamini katika kufeli