UNAPOSAIDIA WATU - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 52,143

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 167
@evancepillar3753
@evancepillar3753 2 жыл бұрын
Nimekuwa mtoa sana kwa ndugu, jamaa na hata rafiki shida kubwa ninayoipata ni kwamba.. mbali ya huko kujitoa kwangu kote mtu bado anaona ninzo nyingi na nikisubutu kusema sina maneno mabaya nayasikia kwa watu wa karibu kuwa SI MTU WA KUJALI MATATIZO YA WATU ....Nimejifunza kitu hapa
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Ni baba watu hawajui kabisa,wanafikiri una pesa tu
@happinessmulundi5821
@happinessmulundi5821 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa huwa hawajui unapitiakwenye changamoto Gani huwa na ukiwa huna huwa hawaamini.
@tukaesanatu2754
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Unachosema ni kweli,,naunga mkono
@medlucas5686
@medlucas5686 Жыл бұрын
Msaada unanguvu ktka mafanikiao ya mwenyewe kiu ya mafanikiao nimeona ktk kutoa kwn hujui mungu ametuma Nan I'll umtolee sadaka
@bonaventurasumaye6290
@bonaventurasumaye6290 2 жыл бұрын
Nimejifunza kuwa ukiwa mtu wa kusaidia watu wengine watatumia hiyo chance kukumiza kwakutojali unapitia nn ila wanataka uwasaidie
@happinessmulundi5821
@happinessmulundi5821 Жыл бұрын
Wengine ukimsaidia anakuhukuru Hadi unogopa kumsaidia tena .
@fabiansamwel5364
@fabiansamwel5364 Жыл бұрын
Ahsant sana bro, uwep wako no WA mhim usinyamanz maan ukinyamanza kunawatu watasimama hawataendeleya mbel maan mungu anakutumia kama chombo Cha usafili wa wengi
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 2 жыл бұрын
Joel yaan hiyo point ya tatu ya kusaidi kwa kutohitaji malipo Wala shukran bali kutegemea malipo kutoka kwa Mungu yaan umezungumza maneno kutoka ktk quran surah insan au surat dahari mwenyezi Mungu amewataje wale wanao saidia msikini na wafungwa ma mayatima na wala hawahitaji kutoka kwao malipo wala shukran isipokuwa wanafanya hivyo kwa kutaka radhi za Allah
@eliaichitilya5728
@eliaichitilya5728 2 жыл бұрын
Thanks saaana bro joel coz nimejifunza meng meng coz napenda kusaidia watu
@AfiSoul103
@AfiSoul103 Жыл бұрын
Mwenyezmungu atupe khatma njema.. 🤗
@gaudencemwakibibi8225
@gaudencemwakibibi8225 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana nimejifunza kitu kikubwa
@ahmedomary8331
@ahmedomary8331 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa uyasemayo mm nimejifunza nimesaidia bila shukrani ila nimejitutumua nakufelisha mambo ilasasa nimejifunza niko kwenye mabadiliko
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d Ай бұрын
Mungu atusaidie
@liberatussylvanus5477
@liberatussylvanus5477 2 жыл бұрын
Asantesana kaka Joel hukukwetu ukimsaidia mtu akifanikiwa wengi wanakudharau mpaka unaweza kujutia ulichofanya
@user-by9qr6ov7n
@user-by9qr6ov7n 3 ай бұрын
Hasante sana bro kwaushauri mzuri
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Жыл бұрын
Ukweli mm hilii jambo la 4 huwa linanitesaa kweli aisee yaani ataa uwasaidie vp
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Asante kwa mafudisho mazuri,barikiwa Sana toka kwetu kwetu ata sisi unatusaidia kutufundisha🙏🏻🙏🏻
@eliaichitilya5728
@eliaichitilya5728 2 жыл бұрын
As iko kwenye plan yang ya maisha japo kuwa nasoma bdo but i believ ntaweza kufika mbali
@shishichocolate140
@shishichocolate140 2 жыл бұрын
Jambo lingine ambalo nimejifunza kwa upande wangu ni kuwa unaposaidia watu kuna kundi la watu wengine hawapendi kabisa ufanye ivo,wengine wangependa kuwa kweny nafasi yako,wengine ni chuki tu zisizo na sababu.
@richrichard3322
@richrichard3322 Жыл бұрын
Mungu azid kukuweka
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 жыл бұрын
Umesahau kugusia swala la kumsaidia mtu na kumsema pembeni ukiwa na watu wengine
@janethgarlus9173
@janethgarlus9173 2 жыл бұрын
Yaan kabisa mwngne akikusaidis ukoo mzma utajua
@kaburiamosi9557
@kaburiamosi9557 Жыл бұрын
Uko vizr saaana
@janemwita2962
@janemwita2962 Жыл бұрын
Amina
@zainabz2844
@zainabz2844 Жыл бұрын
Shukran Kaka kweli Kabisa ujakosea
@bobog9732
@bobog9732 2 жыл бұрын
hatakama nimekutana na watu wasiokuwa na shukrani sitaacha kusaidia kipindi musaada wangu unaitajika
@johntvonline1274
@johntvonline1274 Жыл бұрын
Sawa ila tutatoa msaada Kwa anaejielewa
@reginaldipeter2272
@reginaldipeter2272 2 жыл бұрын
Hii Ni kweli kabisa
@CatherineMasanja-bj4rm
@CatherineMasanja-bj4rm Жыл бұрын
Kweli tupu mbaya zaidi wengi husahau wema wote waliofanyiwa hasta aliyewasaidia akiishiwa
@mariashayo139
@mariashayo139 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@jumatawfiq6443
@jumatawfiq6443 2 жыл бұрын
Tunajitoa Sana kwa ndugu na watu wa karibu Ila cku tuh mtu au jamaa akuklilia shda ukimwambia huna lawama.hatari Sana ytaka moyo hassa
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 жыл бұрын
Mawaidha mazuri Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚 shukran 🎙️
@annastaziarenatus9880
@annastaziarenatus9880 2 жыл бұрын
Kweli Kaka Joel Mimi ni binti ambae najitoa Sana kwenye kusaidia watu ijapokuwa Sina pesa za kutosha lakin nakumbuka niliwai kumsaidia dada yangu Mara nyingi Mara ya mwisho nilimpa mtaji lakin baada ya kufanya mauzo akampa Ela zote mume wake alafu akazitumia 😭😭nawakati Mimi nilijitoa kumpa mtaji ili asinisumbue Tena kuniomba omba Ela lakin chakushangaza kala mtaji na mume wake still bado anaendelea kuniomba Ela yaani kweli watu awasaidiki Bali wanarudisha maendeleo ya watu nyuma kwakweli🥺🥺Safari hii atanichukia we ngoja
@zainayolamu6486
@zainayolamu6486 2 жыл бұрын
Mkaushie huyo
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
Anakutumia vibaya huyo! Ndio tatizo la watu, ukimsaidia anadhani wewe unazo nyingi!!! 💔
@bobog9732
@bobog9732 2 жыл бұрын
wataona cha moto
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Hapana wewe ulimpa hela bila kumshauri elimu ya pesa ,mfundishe na aangalie video za elimu ya pesa kwa video za Joel
@mwlekartiesmwankenja3602
@mwlekartiesmwankenja3602 Жыл бұрын
Kama wewe ni mtu wa Yesu wala usimhukumu Bali unapaswa kumpenda zaidi Kama wewe ulivyopendwa na Yesu. Msamehe tena na tena na kisha msaidie ushauri na kumwongoza vema. Huyo ni ndugu yako na Yesu anasema asiye wapenda wa kwao ni mbaya kuliko mpagani. Endelea kumsaidia tena na tena
@bonaventurasumaye6290
@bonaventurasumaye6290 2 жыл бұрын
Asantee brother umenifungua nimekuwa mtu wa kuwasaidia watu lakin wengine hawana shukran
@perucebuhomaosward8512
@perucebuhomaosward8512 Жыл бұрын
Umeongea ukweli kabisa. Yote hayo mimi nayapitia. Nakukubali sana Joel.
@collinsmercy3971
@collinsmercy3971 8 ай бұрын
Nakufuatilia sana kutoka Kenya transnzoia county .kwa kweli you are my role model
@gilbertndikuriyo8264
@gilbertndikuriyo8264 Жыл бұрын
Asante umeongea ukweri
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 10 ай бұрын
Sahihi kaka joe
@abdullyissa2082
@abdullyissa2082 2 жыл бұрын
Mimi ni mmoja wa uliowasaidia katika masomo pale mtwara kaka
@sarahmarco9912
@sarahmarco9912 2 жыл бұрын
Dah, Utukufu kwa MUNGU, nimebarikiwa sana na nimejifunza kitu Cha tofauti sana ambacho nilijuwa skijui ktk kusaidia watu
@AnnaSoa-yn9mg
@AnnaSoa-yn9mg 11 ай бұрын
Amina sana kaka
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Hata mie napofanya hivo huenjoy sana
@annsteve4457
@annsteve4457 2 жыл бұрын
Mr nanauka kiukweli unamawaidha mzuri kabisa lakini Kuna kitu kimoja kinanitatisa nimekua wakulaumiwa nawatu hakuna kitu naweza fanya ama kusema bila mtu kulamika Hadi liniusunisha sababu najaribu niwezavyo lkini mwisho wasiku lawama , tafadhali ni saindie
@fredgersimbeye5394
@fredgersimbeye5394 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@musamabwe8651
@musamabwe8651 Жыл бұрын
Kweli kaka yangu naomba uhendelee kutufundisha. Nimebarikiwa sana na somo lako
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 жыл бұрын
umenifunza kaka kwakweli
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
Naaamin pia ukimusaidia mtu Kuna baraka sana
@amaaissa9713
@amaaissa9713 2 жыл бұрын
Kabisa kaka joel ukwel sitaweza kuwasaidia watu wote lkn nitajitahid kuwasaidia watu wengi kwenye maisha yangu
@fatumaabdalla2580
@fatumaabdalla2580 Жыл бұрын
Kweli ukisaidia watu usisubir shukran kutoka kwao🙏🙏
@nuruhassan5476
@nuruhassan5476 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka now muda wote nahitaji kupata mawadha yako🙏🙏
@hamiduhamisi2457
@hamiduhamisi2457 2 жыл бұрын
Kaka Joel naomba Mungu akuepushe na mabaya
@fallyde1267
@fallyde1267 2 жыл бұрын
Sina cha ziada kwa mafunzo yako bali % mungu akubariki".
@eliethaudax9360
@eliethaudax9360 Жыл бұрын
Mimi binafsi Mungu ndio anayenilipaga na kunibarik maana wengi niliotoa kidogo tugawane hawanashukran na wengiwao hawapend ata mafanikio yangu na ndo hao hao unaonijitoa kwa moyo kwao. Watu wanakatisha sana tamaa ataumsaidie Mara 9 ukishindwa kumsaidia mala moja basi chuki inainuka
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Amen kakaangu sana MUNGU akubariki sana kwa Elimu hii 🙏
@shishichocolate140
@shishichocolate140 2 жыл бұрын
ni sahihi kabisa kaka Joe mengi nimeyapitia pia karika kuwasaidia watu
@user-ff6jb5mf5z
@user-ff6jb5mf5z 10 ай бұрын
I appreciate kazi yako kaka Joel, unatu-inspire vijana
@sirwophaydom4638
@sirwophaydom4638 Жыл бұрын
Real talk abour
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 2 жыл бұрын
Mm nikisaidia huwa najifurahisha yaani nainjoi vibaya sana na napata nguvu yakuona kumbe naweza kua sababu ya mtu kufurahi najiona wathamani ile mbayaa.
@emmanuelpesambili6661
@emmanuelpesambili6661 2 жыл бұрын
Ni kwel ayo Ni hakika uwezi kumridhisha Kila mmoja
@emanuelbrysonshauritv.1638
@emanuelbrysonshauritv.1638 2 жыл бұрын
Nimejifunza usitegemee chochote kwa unaye msaidia isipokuwa ameguswa yeye mwenyewe kurudisha fadhila. Ila ukimsaidia mtu fanya kama utumishi kwa Mungu utalipwa na Mungu mwenyewe
@zinhotz5366
@zinhotz5366 2 жыл бұрын
Natumia mda wangu mwingi kujifumza kutoka kwako naona mabadiliko
@saidyshoka1872
@saidyshoka1872 2 жыл бұрын
Nimejifunza kuwa na furaha zaid nikimsaidia mtu
@gaudenciuspeter6544
@gaudenciuspeter6544 Жыл бұрын
Asante sana kaka kwa masomo yako Nawezaje kupataje vitabu vyako hasa hiki cha utunzaji wa fedha na matumizi yake
@barakamshana664
@barakamshana664 Жыл бұрын
Perfect brother
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Natamani kuonana na wewe Mimi nimzaliwa wambeya kwa Sasa Niko sumbawanga Mimi nifundi welding Kuna Mambo mhimu ambayo ninge penda tu shilikishane ya uso kwa uso tafadhali.
@kiotastar1791
@kiotastar1791 2 жыл бұрын
Nakukubali Sana nipo apa Arusha karibu sana
@daniellepari4525
@daniellepari4525 2 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka kwa ushauri ubarikiwe na bwana
@funnyclip5052
@funnyclip5052 2 жыл бұрын
Kaka Joel Asante Sana kwa SoMo lako God bless you uzidi kutufungua kk
@danimsingi7869
@danimsingi7869 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kk Joel
@mchuchumatz403
@mchuchumatz403 2 жыл бұрын
Elimu unayo tupatia nimsaada tosha kuliko hata ela
@daniellepari4525
@daniellepari4525 2 жыл бұрын
Ahsante sana ndugu jeol Nanauka kwa Elimu yako kwa kweli umenifundisha mengi na umeniepusha vingi sana mungu Akubariki sana upate maisha marefu 🤞🤞
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Nimejifunza barikiwa Sana Joel nanauka 💝
@masterkeymwakalanje536
@masterkeymwakalanje536 Жыл бұрын
yes sir
@dr.bonye1
@dr.bonye1 2 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel nimekuelewa vyema 🙏
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Nakushukuru sana Brother Kwa Elimu yako Amboyo Haina Mipaka
@lukandaguillaume4175
@lukandaguillaume4175 Жыл бұрын
Be blessed
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
That's true brother ubarikiwe unaelimisha Sana Niko hivyo
@user-my9fj8jv3q
@user-my9fj8jv3q 2 ай бұрын
Thanks teacher
@user-ky5tv2hu4u
@user-ky5tv2hu4u 9 ай бұрын
nita jifunza zaid kupitia mugu atakacho niandikia nawapenda wot
@suziefaustine546
@suziefaustine546 2 жыл бұрын
Well said yan kuna watu hawana shukurani hata uwape kila kitu ulichonacho
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
Hayo yote hata mimi nimeyapitia katika maisha ya kupenda kusaidia watu. Ahsante kwa kunikumbusha
@enocknnko4141
@enocknnko4141 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumish wa Mungu kwa somo zuri
@godkundy1582
@godkundy1582 Жыл бұрын
Fact..🙏
@bukelebengelela
@bukelebengelela 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Joel
@nehemiahelisha6947
@nehemiahelisha6947 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Well and relevant issues 👏 May God bless you abundantly 🙏👋
@martinbarasa3200
@martinbarasa3200 Жыл бұрын
i agree 💯👍 with you
@user-mc7if8vy3j
@user-mc7if8vy3j Ай бұрын
Ni kwel kaka kuw tunatakiw kusaidia watu but changamot ni kuw unawezaj kujuw kuw aliyekuj kukuomb msaad ana uhitaj huo kwel maan wengin huja kwa lengo la kukurudish nyum kimaendeleo
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
Asante Sanaa ,unazidi kunifunguwa🙏
@tiffarqueen2712
@tiffarqueen2712 2 жыл бұрын
Kaka unajuwasana mungu akubaliki
@emotional_feelingsfeelings5780
@emotional_feelingsfeelings5780 2 жыл бұрын
Yaaaani Hiii Video Nilikuwa Naitafuta Jana You Tube Na Mungu Kaileta SHUKRAN Boss Kwa Kutengeneza Hiiii Video
@dorcasmunisi8678
@dorcasmunisi8678 2 жыл бұрын
Kila somo lako linanibariki..kwakweli watu hawana wema.BIG UP BROTHER
@bakundukizetz3880
@bakundukizetz3880 2 жыл бұрын
Rafiki watu wana wema Sana! Usivunjike Moyo,wako watu wengi wema tu!
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 2 жыл бұрын
Maisha yetu ni kama filamu ambayo mwisho wake huwaga una mambo mengi sana, Ahsante Mwalimu kwa somo zuri moja katika mada hizi tano nazani ni halisi kabisa maisha tunaoishi wengine mpaka sasa.
@sylvestersylvester8613
@sylvestersylvester8613 2 жыл бұрын
Nisaidie namimi jamanii
@mariagabba8401
@mariagabba8401 2 жыл бұрын
Mtafute Mtu anaitwa Mwalimu Huruma Gadi yupo Dar. Namba Yake ni
@kasimuthabiti6907
@kasimuthabiti6907 2 жыл бұрын
Hili somo nimelipenda saaana
@ambrose_vevo137
@ambrose_vevo137 2 жыл бұрын
Well said Brother......!! Jambo la nne limekuwa kikwazo sana ,mno. Mungu atusaidie katika hili....
@tresorndayisenga6528
@tresorndayisenga6528 2 жыл бұрын
Asante sana elimu muhimu
@silaserasto78
@silaserasto78 2 жыл бұрын
Somo zuri sana Kwan linaboresha maisha
@mariagerald6763
@mariagerald6763 2 жыл бұрын
Yes Teacher,,,that's powerful
@jumatawfiq6443
@jumatawfiq6443 2 жыл бұрын
Kweli kaka nimekuelewa ubarikiwe
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana. Wengine ukisaidia mmoja anaenda ambia wengine nawao wakija kuomba ukisema sina wanatukana unaringa
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 2 жыл бұрын
Na hili ni tatizo kubwa sana! Mara nyingi wanaosaidiwa hua wanadhani wewe unavyo vingi, wanaambiana kuja! Hua inakera sana
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 2 жыл бұрын
Jamii zetu za Africa ndio tunavyoishi kijamaa sana ndio husababisha maendeleo kuwa finyu
@rhinakiza
@rhinakiza 2 жыл бұрын
Wow, God bless you 🙏🏼 🙌 that's truly I can't help every one and I am making myself poor
LIFE WISDOM: KUMALIZA UNACHOKIFANYA -  JOEL NANAUKA
15:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
Vitu Vinavyopoteza Focus Yako Kwenye Maisha - Joel Nanauka
14:16
Hamasika Tv
Рет қаралды 47 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 98 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 87 МЛН
I’m just a kid 🥹🥰 LeoNata family #shorts
00:12
LeoNata Family
Рет қаралды 20 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН
Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?
10:44
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 7 М.
Ufanye Nini Unapokataliwa Na Watu? Joel  Nanauka
9:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 32 М.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 7 М.
MAMBO YA KUEPUKA ASUBUHI - JOEL NANAUKA
6:35
Joel Nanauka
Рет қаралды 113 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 114 М.
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 98 МЛН