Hilo somo limezama ndani yangu❤ ahsante siku yangu imeanza vizuri
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen, usiache kushare na mwingine🙏
@AbubakariLigi3 ай бұрын
Mungu akubariki kaka nilikua zero nduguwakanikataa but tangu nilipo anza kukufatilia hakika nimepiga hatua sana mpaka ndugu haohao wameanza kuniomba connection na wanajiuliza nimewezaje kuvuka nilipokua sababu waliapa sitoweza na sitofanikiwa, 😢😢😢😢😢ahsante joel nanauka ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@goldiegranted550110 ай бұрын
Nimebarikiwa🏆
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen
@bellatilia080410 ай бұрын
Mpaka nalala nilikuwa na mawazo ya kuona wenzangu wamenizidi ,baada ya kusikiliza hii nimepona naenda kupambana upya ,asante sana
@joelnanauka10 ай бұрын
Hongera sana, Songa mbele.🙏
@MohamedSarahani-gk6jx10 ай бұрын
Asante kwaa somoo zuri
@petermwita120810 ай бұрын
Amen. Amen Amen... Asubuhi yangu imeanza kwa Nguvu Kubwa.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen tukutane kesho asubuhi tuendelee kujifunza
@mazwichannel212010 ай бұрын
Kaka joel unaponya wengi sana..Wengi wetu tunataka Mungu atujibu kwa muda tunaotaka sisi kumbe kuna muda Mungu ameupanga kutujibu
@mathiasjumanne905310 ай бұрын
Hili ni langu kabisa Asante mwalimu somo limenipa nguvu ya kuendelea mbele
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Songa mbele 👏🏻👏🏻
@HeavenSumari10 ай бұрын
Ubarikiwe kaka
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen🙏
@paulissayapaul481910 ай бұрын
shukura kwa somo la leo life coach joel nanauka
@joelnanauka10 ай бұрын
Ahsante kusikiliza tukutane kesho Asubuhi🙏
@moseskenedy704210 ай бұрын
Ni kweli brother yote unayoyaongea ni kweli tunayapitia
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru kwa mrejesho🙏
@dr.sarahbusongo10 ай бұрын
Hii inauhisha tena matumaini. Kuna muda ni ngumu na unaona kama vile umechelewa sana na hakuna kitu unafanya kwenye hii dunia seeing others of your age wameendelea na uko pale pale miaka nenda rudi... Inachosha. But this brings up the lost hope.
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Mungu azidi kutupa nguvu
@dignanachenga569910 ай бұрын
My mentor always you touch
@MaryMusa-d9k10 ай бұрын
Mungu umemleta mtumishi wako kwaajili yangu
@mushicat128810 ай бұрын
Mungu akubariki sana Joel.duh!❤
@shukranjulius952610 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka, hakika nazidi kuelimika kupitia jumbe zako,nazidisha imani kwa Mungu na kusonga mbele❤❤🎉🎉
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen Ahsante sana sana🙏
@masudibaja10 ай бұрын
Maarifa makubwa,Mungu akuongoze sana my mentor
@GraceSteven-qq5hn8 ай бұрын
Asant hili somo limeniponya
@rollahngimbwa697810 ай бұрын
Shukran sn kaka joel, kuna kitu nimejifunza hapa🙏🏽 Balikiwa sana.
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen tuendelee kujifunza
@MariamuMahir10 ай бұрын
Asante sana kaka Joel❤
@happynescostat742010 ай бұрын
Kiukweli joel Wewe ni zaidi ya unavyojiona! Umenisadia kusimama imara tangu nilipowai kukusikiliza sijawai kupoteza kitu,Mungu akupeAfya)
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante sana kwa mrejesho 🙏🙏
@michaelsafari10 ай бұрын
God has given us Joel to change our attitude
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante sana🙏
@timothy298010 ай бұрын
Mungu akubariki bro wewe pamoja na familia yako
@rahmayussuf14558 ай бұрын
Hatariiiiiio😊😊😊😊😊
@dorahmatitu255410 ай бұрын
Shukran sana. Mungu akubariki sana wallah
@MaryMusa-d9k10 ай бұрын
Mungu akuoongezee maisha mareeeeeeeeeeeefu
@MasudiMorisi9 ай бұрын
Nakuelewaga Sana mkuu
@marymeena800410 ай бұрын
Waoo Asante sana. Am never allow. God bless you too
@SombejaSheeko5 ай бұрын
Hongera kwa kutukumbusha
@Coachdenis-tz10 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka, Hii inaponya
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen
@mshindisanga653010 ай бұрын
Anaitwa Joel mfufuaji wa mbegu za Matumaini yaliyosinyaa, Asee bro kunywa Pepsi popote ulipo😀✊🏿 Na uzidi kuwepo bro, Jamii tunakuhitaji sana.
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen, tuendelee kuombeana. Tukutane Tena kesho Asubuhi Darasani🙏
@mshindisanga653010 ай бұрын
Watu kama wewe nijikute nimesikiliza point zako alaf zimenikaa vzuri akilini, kama tunaivana sana, lazime ule konzi moja ili ujue nimekuelewa😅. Nadhani inabidi uwafundishe watu kusoma kama wewe unavyosoma hadi unapata data za namna hii, ili waalimu wa sampuli yako wawe wengi zaidi… wawafikie watu wengi zaidi. Wakiwa wengi zaidi wakazitafute fursa za kuwafundisha wadogozetu wa STD 6 waalau au O level. Tutakuja kuvuna watu bora sna nyakati zijazo. Itawasaidia hata kujua kwann wanasoma kitu ambacho bado ni janga kwa asilimia kubwa ya wanaofeli. Thank u Bro
@hashimumchalo761310 ай бұрын
Kaka nna shida na namba yako@@joelnanauka
@godlistenludovick699210 ай бұрын
Brother anajua sana 🫡
@starplatnumz10 ай бұрын
A boy from kigoma town apa kk mungu akupe umri mrefu sanaaaaaaa
@johnmligo696610 ай бұрын
Brooo ur talented.... 6:24
@mpambanaji-mahiri10 ай бұрын
Ahsante sana Umenigusaaa!
@joasitz955910 ай бұрын
Asante sana Joe, be blessed 🙌
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante kwa kufuatilia
@JumaHamis-ql4pn9 ай бұрын
Du ndugu tuko pamoja
@henryabraham-u6c10 ай бұрын
Br, leo ninakuthibitishia, unayotufundisha is as if unajua yanayotusibu, this is God speaking through you! Sure, waiting time is preparation time. You touch our life, stay blessed
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen Mungu ni mwema🙏
@Eziron9Vyats10 ай бұрын
Ahsante sana kaka
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu sana, tuendelee kujifunza🙏
@vonandrew894510 ай бұрын
asubuhi imeanza sawa sasa,,,thank you
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu sana, tukutane kesho tena🙏
@HaroubNyanya10 ай бұрын
Umenipa momentum my brother
@shijandobehe495310 ай бұрын
Ahsante Sana mwalim
@FrankSikale10 ай бұрын
🙏 Mr.Joel
@brackskinyozi32808 ай бұрын
Asante sana 🙏🙏🇰🇪
@felistanyoni962710 ай бұрын
Ili somo linanihusu kabisa
@joelnanauka10 ай бұрын
Naamini utavuka salama🙏
@marykagoso92410 ай бұрын
Ahsante..
@humbemusa34807 ай бұрын
Hongera saaaana brother kwa vitu Mungu amekuwekezea na unavitoa. Nafikiria somo la Civics/General Studies topic: Life skills ingelikuwa na contents za masomo yako yanatujenga zaidi ya miaka umekaa darasani najitahidi kukusikiliza kila leo❤❤🎉🎉🎉🎉
@rehemafyumagwa800510 ай бұрын
Wewe ni kichwa kaka!!!! Be blessed
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen ahsante sana🙏
@pialafrance792210 ай бұрын
Hapa ni mm kbsa Mungu akubariki kaka
@joelnanauka10 ай бұрын
Mungu akusaidie🙏
@janetmbwana55310 ай бұрын
Thank you so much 🙏🙏😊😁😄😺
@joelnanauka10 ай бұрын
Karibu sana sana🙏
@EdwardSamson-uf1ee9 ай бұрын
Huu ni ukweli mtupu. tunajaribu sana kupambania ndoto zetu ila sio kila wakati ndoto zetu zinaweza kutimia kwa juhudi zetu wenyewe. kuna wakati ndoto zetu zinaenda na miaka once its passed basi. pia kuna vigezo vya watu vina crush ndoto zetu. its has alaot of pain to try ignoring on your own dream. ni mateso yasio na maelezo kwa sababu kila siku unaona kabisa wewe ulitakiwa uwe fulani na hujawa . maisha yana maumivu meng mnoo😭😭😭😭😢
@bernadetachari764810 ай бұрын
Kweli mwalimi .asantesana kwaelimu nzuri sana mwalimu
@joelnanauka10 ай бұрын
Nashukuru sana🙏
@zainabuzainabu416010 ай бұрын
Alhamduliallah mashaallah thank you my mental.
@joelnanauka10 ай бұрын
Ahsante sana, tukutane kujifunza tena kesho🙏
@rehemakenneth10 ай бұрын
Asante sana ❤
@AgnesNzali-z1o3 ай бұрын
Umenigusa sana
@hellenfrancis952410 ай бұрын
Yaan mwalim niko kwenye hay mapito, kabisaa na had nashindwa nifanye nn saa nyingine naona aibu hta kwenda kazini kwangu
@EliasifiweSarakikya10 ай бұрын
Thank you much sir....soon am going to testify something
@joelnanauka10 ай бұрын
Waiting to hear from you 🙏
@emanuelchanya518210 ай бұрын
OOH LORD THANKS FOR THIS MAN
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen🙏
@furahasarakikya322310 ай бұрын
Be blessed brother ❤
@paschalmasanilo261710 ай бұрын
Asante sana 🎉
@leaherasto92910 ай бұрын
Asante kaka Joel
@goldiegranted550110 ай бұрын
🏆🏆🏆
@jacobsiame198810 ай бұрын
Thanks very much for this lesson
@joelnanauka10 ай бұрын
Thank you so Much 🙏🙏
@neemaryan994710 ай бұрын
Mimi bado Nina mateso ya nafsi cjaweza kutambua kusudi langu mpaka Leo nafanya ili maisha yaende ninajifunza kweli ila bado sijajipata kabisa na umri unaenda
@reencndila10 ай бұрын
Thank you
@BalemesaValelian6 ай бұрын
Du!
@denssimon558510 ай бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👊🏿💪🏿💪🏿
@baboudeira924910 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ConfusedBeachHammock-hq8fr10 ай бұрын
Hapo umeongea vitu vinavyo nisumbua san
@joelnanauka10 ай бұрын
Nakuombea Uvuke Salama🙏
@MasudiMorisi9 ай бұрын
@@joelnanaukabila wewe siki
@ErneoNgondya10 ай бұрын
💪💪💪
@leonardsimoni80410 ай бұрын
❤❤
@IbrahimMarighana10 ай бұрын
Nahitaj namba yako kk
@IbrahimMarighana10 ай бұрын
Naipataje
@daudymbukwa549510 ай бұрын
Mm
@ConfusedBeachHammock-hq8fr10 ай бұрын
Uwe unafika mikowani huku sio ukae huko huko dar hata huku kigoma tuna kukaribisha ufundishe vijana wengi wamekata tamaa san arafu usambaze vitabu ili wakasome
@ConfusedBeachHammock-hq8fr10 ай бұрын
Maan huku
@masudibaja10 ай бұрын
Maarifa makubwa,Mungu akuongoze sana my mentor
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ahsante snaa sana
@HeavenSumari10 ай бұрын
Ubarikiwe kaka
@joelnanauka10 ай бұрын
Ameen Ameen 🙏🙏🙏
@petermwita120810 ай бұрын
Amen. Amen Amen... Asubuhi yangu imeanza kwa Nguvu Kubwa.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@rollahngimbwa697810 ай бұрын
Shukran sn kaka joel, kuna kitu nimejifunza hapa🙏🏽 Balikiwa sana.