Aisee umenichekesha sana hapa mtu anaposema "kwenye vitu vyangu mimi siyo mtu ni mnyama! " hahaha, nimebarikiwa sana, ubarikiwe mtumishi
@marthajuma84113 жыл бұрын
Aisee hii imenikuta pale niliposhuka kimaisha hata yule mtu ambaye alikuwa karibu sana na Mimi aliniona kama cjawahi kumsaidia Wala kumfichia aibu yoyote katika maisha yake alinigeuka na kuniona nisiye mfaa kwa chochote hata kauli nazopewa utafikiri ckuwahi kutana naye duuuu inauma sana
@elizamwaikasu43673 жыл бұрын
Niko kwenye hard time,,sasa ndo nimewajua watu vizuri,wanaonipambania ni wale sijawah kuwadhania...thanx joel
@mamalamama7010 Жыл бұрын
Sipo kwenye kumlaumu mtu hata mimi napodhulumiwa Mali yangu ya halali nabadilika Siwi mpole tena
@saumusanjiama699110 ай бұрын
Hatamimi
@leylahleylah45993 жыл бұрын
Ni kweli kakangu..kuna mtu nilimkopesha pesa zangu one milion tangu mwaka jana October mpka hivi hajanirudishia pesa zangu...na hivi nipo mbali ananijibu atakavyo moyo wangu unauma sana😢😢😢😭😭 namshtakia Allah
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Pole malipo ni hapahapa yaaani atavuna alichokipanda
@leylahleylah45992 жыл бұрын
@@highzacknnko9685 Ameen kaka
@silimashinji9382 жыл бұрын
Nkushauri tyu pesa siyo yakumkopesha mtu Kuna na jib Moja sinaa kuepuka maugomvi
@herojax7495 Жыл бұрын
Inauma sana😢
@mohamedkondo63923 жыл бұрын
I learned alot through this!! Mimi Ni mwanafunzi and my best friend alichaguliwa kuwa head boy recently!! Ila amebadilika Sana, he is so sensitive and fragile , ata sielewiiii amepatwa na nini!! Ila nilichojifunza Ni kwamba sikumjua vizuri Ni mtu wa aina gani! Nashukuru Sana for the lesson 🙏🏾🙏🏾
@happymaxwell67643 жыл бұрын
Dah yaani kama upo kwenye maisha yangu, sijui cha kuelezea Ila wamenifundisha kujisimamia . Ni bora kuliko masimango
@nassoromussa24233 жыл бұрын
Mwl. Joel, kuna wengine unawajuwa zaidi pale tu unapofanikiwa.
@moraakelly11913 жыл бұрын
this is the reason why i dont have friends only my child
@HamzaMahundu-l2v9 ай бұрын
hayo unayoyasema ni kweli kabisa kuna shemeji ya nilimpatia pesa yangu ili tufanye biashara mwisho wa siku alikuja kunikataa kabisa
@juliethscott11293 жыл бұрын
Uko sawa Joel yaani kila unachofundisha huwa kinanipa kutatua matatizo yangu barikiwa
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Asante sana Joel. Naomba tu kusema, mtu yeyote yule, anamkera sana mwingine au wengine, pale anapotoa ahadi halafu hatimizi. Kwa mfano, anakopa halafu harudishi Kwa wakati waliokubaliana au Kwa namna walivyokubaliana, au kuwa na lugha Ile aliyokuja nayo wakati anakopa. Hapo ndipo mkopaji anapochokoza nyuki kwenye mzinga.
@mwanaidihassan58683 жыл бұрын
Hii imenikuta kabisa tena kwa watu wa karibu sana tena ndugu. Am still learning from you thanks alots
@daniellepari45253 жыл бұрын
Ndugu joeli kwanza ahsante sana kwa elimu yako ya bure mungu Akubariki sana mana unanipa moyo sana hali kama hiii imekua ikinitesa kwa mda mrefu sana mimi nipo inje ila cha ajabu marafiki wengi hata ndugu na wengine tumekua wote na wengine niliwategemea ila ndo wamekua wadui
@catherineshangali47042 жыл бұрын
@@daniellepari4525 h
@saidesalimo14973 жыл бұрын
Nikweli kabisa my brother watu hao wapo wengi Sana tena sana
@alghamsalim39523 жыл бұрын
Umeniliza kwa hakika
@mussalulenga99393 жыл бұрын
Hakika unajua kuchimba mambo
@NiceMmari2 ай бұрын
Ubarikiwe ndug joel
@saumusanjiama699110 ай бұрын
hio imenikuta nkweli kabisa❤
@suemundati17652 жыл бұрын
Yaaaannnniiii. Hmmm... ishi ujioneee Umeongea 100% Nilivopata matatizo yalionishusha kimaisha niliwajua walionizunguka. Ninamshukuru Mungu, kwa mafunzo hayo .. japo nilikuwa shocked na kuumia sana. Well, cèst la vie! God Bless You!
@winfridaadam79512 жыл бұрын
Aseee ..kaka angu umenigusaa sanaa hakikaa pesa zimefanya mtu nilie kuwaa nimemuanini kumbe sivyoo kabisaa kanitaeli ..ubarikiwe sanaa Joel Mungu akubariki sanaaaa kwamafundishoo yako maanaa unazidi kunifunguaa maishaa yangu.🙏🙏🙏
@MarcoPeter-y5n7 ай бұрын
Asante sana MUNGU Baba Wa Mbinguni Akubariki nimejifunza
@Justinebaada3 жыл бұрын
Yaani hzo zote nimeshakutana nazo na hakika zimenifanya niwajue kwa undani watu wangu wa karibu
@cliffkingi3 жыл бұрын
Aiseee Bhna Joel kaka unaweza sana kabisaaaa. Umeongea ukweli kabisaa yamenikuta Mara kibao
@muhsinsalum80092 жыл бұрын
Nakushuka pia wanahusika zaidi wake zetu
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Hakika binadamu wengine ni mtihani ila tukiwajua hawatupi shida asante brother kwa somo zuri
@husnamohamed92452 жыл бұрын
Nimejifundisha mengi sana kutoka kwako yaani unatusaidia kwa kweli
@frankmasanja44473 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Broo Kwa SoMo zuri
@vievemollel53143 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri sana. Nimejifunza kitu kutoka kwako ubarikiwe sana mwalimu
@AlexJefwa3 ай бұрын
Asante br.. naendelea kujifunza 🙏🙏
@ipyanamwakapola21763 жыл бұрын
Kwa hili somo kaka joel shikamoo, umegusa kwenye mwasho.
@magrethpanga20622 жыл бұрын
Joe nakubaliana na maneno yako,kwanza kabla haujawa karibu na mtu nakufanyajanaye kazi naye bado haujamfahamu alivyo ,Mimi hapa ninafanya bishara na mtu nilimuomba anifundishe biashara ila toka nimekuwa naye karibu ndio nimejua ni mtu aina gani kwanza hataki nifanikiwe ananiibia vibaya Sana sio mwaaminifu
@ndobeheshija41763 жыл бұрын
Heshima sana kwako sir Joel nanauka 🙏🙏
@mwanaimaabdallah78253 жыл бұрын
Joel Nanauka🥰
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Mimi nililiazima kitu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya kile kitu kilidhurika kidogo hivyo yule ndugu sikuamini maneno aliyosema sio kabisa na nilivyomdhania asante sana kwa sasa namjua tabia yake halisi ubarikiwe sana kaka
@agnesngowi1754 Жыл бұрын
Somo ni lizuri sana.Hongera sana kaka kwa nondo zako.
@nalihkb89063 жыл бұрын
I like it and nmejifunza meng bro
@idirishassan67693 жыл бұрын
You teach me aloat my friend thank you brother 🤛
@allymohamed47642 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Joe, binafsi nililifahamu somo hili kitambo sana na imepelekea mpaka sasa sina rafiki hata mmoja ktk maisha yangu maana niliwatest na wamefeli wote na sijutii , najua rafiki wa kweli ipo siku atakuja ni swala la muda. Asante kwa maarifa kaka.
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Unasema kweli kabisa
@nanotosimon79213 жыл бұрын
ubarikiwe sana kwa ujumbe nzuriii now nishajua namna ya kuwafahamu🙏
@magrethqamunga60523 жыл бұрын
Asante sana, hayo yote yalishanikuta, I'm still learning
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Mungu wangu wa huruma akuhifadhi
@neemajoseph79613 жыл бұрын
Kabisa kaka ujakosea asante sana kwa elimu unayotupa# Your My HERO#
@teddylameck213 жыл бұрын
Umenifundisha kitu aiseee yaani dah shukrani sanaa aiseee
@selemanijuma5463 жыл бұрын
Nilipo fukuzwa kazi marafiki wote walinikimbia mungu akubariki Joel unagusa maisha yangu bro
@samohazakwani68993 жыл бұрын
Habari za leo, shkrn sana brother kwa somo zuri sana, yalinikuta nilikopa vitu kwa mtu wangu wa karibu ambaye tulikuwa tunafahamiana vizuri. Nikachelewa kumlipa, ilitokea kitu baina yetu, ikawa sababu ya kunidhalilisha na kuniongezea pesa zaidi anazodai, kwakweli utamjua mtu unapokuwa na muamala na yeye. Somo zuri sana. Binaadamu hubadilika mara moja kwa tamaa. Shkrn.
@safisimkoko19323 жыл бұрын
Kaka dawa yaden nikulipa pole kwayaliokukuta
@moseskasakulilo9262 жыл бұрын
Kaka fikiria kama wew ndo ulikuwa umekopesha ingekuaje
@cliffkingi3 жыл бұрын
Aise nimejua Watu sasa thanks
@shodristvtv61212 жыл бұрын
Duh brother imenigusa nimekumbuka mbali
@melesianageorge20123 жыл бұрын
Hakika ukweli mtupu,Mungu akubariki kakayangu
@rothndayiragije98392 жыл бұрын
Brother Joel Kwa kweli Huwa najengwa sana na mafundisho unayo tupa. Mimi kuhusu mafundisho haya, ninakitu kilitokea kwa kuwa Na deni ya mtu paka akaniona Mimi muongo. Si Kwamba nilipenda kukutomlipa Lakini sikufanikisha. Sasa niji behave namna gani mbele zake
@grace-neemabuninange-bujik9117 Жыл бұрын
Thanks a lot nilichelewa kulijua hili yamenikuta hayo yote
@allenmdimi81053 жыл бұрын
Yaani brother joel nanauka unapiga mulemule umenigusa sana leo
@petermusa47452 жыл бұрын
Hapo kwenye kupitia changamoto umenigusa maana nilipata ajari nikavunjika mkono hakika watu walijitenga namimi hata uliye mdhania kwamba ni mtuwako wa karibu alikaa mbali kutokana na changamoto nilizopitia hapondipo niliwajua binadamu vizuri, ila nashukuru MUNGU kwasasa naendelea vizuri.
@mundesmokesen93143 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@muhsinsalum80092 жыл бұрын
Kwenye Cheo hapo wanawake wanahusika saana.
@mwashaabdallah14433 жыл бұрын
Ww ni nomaaaaa
@augustinoeliud87142 жыл бұрын
Nmepata mafunzo mazuri sana 🤝
@yohaniboniface5833 жыл бұрын
Inauma Sana nirifiwa na mke nikakimbiwa na kila mtu nikawajua watu
@kelvinbernard54532 жыл бұрын
Asante sana mwalimu Mungu azidi kukutumia .
@SonySony-hx5yd2 жыл бұрын
Umenena bro
@kilalakaila97622 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana🙏
@paulinacherement25343 жыл бұрын
SUBHANNA LLAH alhamdulillah ALLAH AKBAR
@tedyokachu50132 жыл бұрын
Nimegundua naishi ma watu sio kabisa Dr😢🙆🏾♂️
@nadirmahfoudh18123 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe 100%
@paulinacherement25343 жыл бұрын
Thanks my brother that's fact +250
@dilurai42043 жыл бұрын
Ukweli kabsa umenifunza kitu muhimu sana
@johnbanda66013 жыл бұрын
Daaa hili ni jambo la msingi sana katika hata uchaguzi wa marafiki
@ezrakiduko61355 ай бұрын
Kwenye Mali yangu sinaga masihala
@vailetheanyambilile97493 жыл бұрын
Jamani kweli kabisaaa yani daaah Mungu ana munona
@shukranjulius95263 жыл бұрын
Hakika kaka unanibariki sana
@juliusmkapa41813 жыл бұрын
Umeonge ukweli Kabisa
@HamzaMahundu-l2v9 ай бұрын
uko vizur
@frankivo17203 жыл бұрын
Big up broo
@azizakwileka16413 жыл бұрын
Hiyo ya kwanza imenikuta kwakweli...
@testarguy86092 жыл бұрын
Aaiissee hapo kwenye kushuka kimaisha ni 100% kila kitu kinakaa wazi.
@kizazijeur75182 жыл бұрын
Nashukuru sana dr nanaukq umenifungua sana
@mathewseverine99623 жыл бұрын
Yeeees ni sahihi kabsa
@ynyynyyny2 жыл бұрын
Ni kweli kipimo mikubwa Pesa jamani!!
@mussadismass93063 жыл бұрын
Umenufungua ubarikiw sana kaka Joel
@imranimarusu73693 жыл бұрын
exactly brother
@aminaalid97453 жыл бұрын
Stak kusema sana
@liberatussylvanus54772 жыл бұрын
Kilaulichoongea nisahihi nayamenitokea live
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Hakika Mr Joel nanauka video zako zimenifanya niamini matatizo ni chipsi kuku mbele ya matatizo ya watu wengine
@aishaaisha45493 жыл бұрын
Kweli kabisa asante🙏
@jumaomar34823 жыл бұрын
Fact bro
@mossesezekiel78623 жыл бұрын
Umenena mnenaji gd job!!!
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ndiyo wazungu hawakopeshani pesa.
@saikokibona89023 жыл бұрын
Barikiwa sana bro,hapa tayari nimeshawabaini watu kwa kutumia vigezo vyako nahisi kama nitakosa marafiki kabisa
@mussalulenga99393 жыл бұрын
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU JUZI TULIKUA WOOTE MWANZA
@abdulrahmanhassan92543 жыл бұрын
Shukran sana mwalimu kwa somo zuri
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Tujifunze kutokana na mataifa yaliyoendelea..Hukopesha benki tu
@furahayabwana61273 жыл бұрын
MERCI MON FRÈRE. 💯
@salomekyomo23072 жыл бұрын
Asante sana, ujumbe mzuri
@masoudsururu73853 жыл бұрын
Thanks kwa elimu yako kaka
@ceciliasadala62202 жыл бұрын
Ahsante
@bernadetachari76482 жыл бұрын
Nilikua sinakazi lakinitanghu nilipata kazi marafikizanghu hawakufurahia,hatawatu wafamilia pia
@festofeisag3923 жыл бұрын
Thanks nivitu ambavyo skiwai fkilia kabisa
@lameckmbembati66363 жыл бұрын
Nakupata sana brother ushauli wako naufanyia kaz sana
@salamahamadisudi191211 ай бұрын
Mm nimewajuwa binadamu ukiwa vizuri kipesa kimaisha wingi wao hujifanya wazuri na wenye upendo ila nilikuja kuwajuwa vizuri nilipo ishiwa sikupata hata wakunisaidia ila kwa sasa wanaomba tena msaada kwangu lkn mm sitowi sababu hukumbuka ule wakati walipo kuwa wakinicheka nimesmua bora waniite mbaya