Mambo 4 Muhimu Sana Ya Kuzingatia Unapouanza Mwaka MPYA 2023

  Рет қаралды 32,422

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 107
@eddydossi
@eddydossi Жыл бұрын
Nashukuru sana mungu akubariki 1:niliweza save pesa miez 4 iliyopita kwa kusoma kitabu cha money formula kiasi cha 600,000 2:Nimenunua vitabu vyako ambavyo kwa mwaka 2023 nimeona kabisa hivi huu mwaka 100% lazima Nipate matokeo makubwa 3:Nimeweza kuwa na ufaham mkubwa juu ya fedha sasa nimeweza kusave pesa mpaka siku naangalia siamini kabisa kama ni mimi 2023 Naomba Mungu Atupe Uhai Tu Na Umri Mrefu Wa Maisha mazuri One day Nitajakutana na Wewe Tu See you at the Top
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 Жыл бұрын
Namtanguliza M'MUNGU katika Malengo yangu ya huu mwaka 2023 uwe mwaka wa mafanikio AMEYN🙏
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 Жыл бұрын
Vzr sna bro tuko pamoja
@emmanuelkatemi5317
@emmanuelkatemi5317 Жыл бұрын
Nashukuru Sana, kiuhalisia napata elimu makini sana kutokana na masomo yako,
@imanuelwiliamayo5852
@imanuelwiliamayo5852 Жыл бұрын
Kheri ya mwaka mpya nashukuru kwa mawazo chanya
@odiliamathias5424
@odiliamathias5424 Жыл бұрын
Nakuelewa Joel Nanauka, nakuelewa baba
@japhetjohn5697
@japhetjohn5697 Жыл бұрын
Heri ya Mwaka Mpya na kwako pia Mwl.Joel ,kukua kiuchumi-kuingia kwenye NDOA that is my Bigg Mission in this Year(2023).
@ritakahurananga9866
@ritakahurananga9866 Жыл бұрын
Amin, mentor wangu. Lazima nianze kujipanga na kufanya.
@nuhustephano2176
@nuhustephano2176 6 ай бұрын
Nakuelewa Sana boss ubarikiwa nmeanza kupata matunda ya kufatilia masomo yako
@luciennibizi306
@luciennibizi306 Жыл бұрын
I'm Lucy from Burundi you are coaching the World not Tanzania only
@joshuamahema4163
@joshuamahema4163 Жыл бұрын
hakika point zako muhimu sana katika maisha congrats bro and keep it up.
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Woow nilikuwa nasubiria Sana Kaka Joel miss you 😘 umenifungua mengi mpaka sasa nashukuru mungu Ni mwema sana nilipo Ni neema
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 Жыл бұрын
Nakukubali sana kaka...
@eliasdaniel4562
@eliasdaniel4562 Жыл бұрын
Namna tu unavozungumza kwa mtu mwenye akili sawa sawa n lzm ushituke na kufuata!
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Ahsante sana
@haddasahestara7543
@haddasahestara7543 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri Sana. Limenisaidia Sana.
@bettyshonde7010
@bettyshonde7010 Жыл бұрын
Heri na kwako pia 🙏 Mungu akubariki sana kwa somo zuri sana 🙌
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya na kwakopia🎊🎆, asante sana
@onnex90
@onnex90 Жыл бұрын
Amen..heri ya mwaka mpya ..Jana Kila nikifungua video hii mmmm naambiwa Bado masaa 8 mmmmmmmmm 😭😭😭kweri Kila Jambo Lina wakati wake🙏🙏👍
@vincentbahame7794
@vincentbahame7794 Жыл бұрын
🥳🥳It's rival violinist🎻🎻🎻
@joabdanny8052
@joabdanny8052 Жыл бұрын
Ameen kaka Joel herii ya mwaka mpya mungu akubariki Kwa elimuu unayotupaaa
@salmazwallo5920
@salmazwallo5920 Жыл бұрын
Tunasubr jaman
@joramumeshack6950
@joramumeshack6950 Жыл бұрын
Thank you brother Yetu joel kwa uhamasishaji wako hakikia MUNGU ni mwem xan naomba Mungu azidi kukupa maalifa hayo Emeeen
@johndevi2153
@johndevi2153 Жыл бұрын
Vp Nanauka umesha toka USA
@frankmsangi
@frankmsangi Жыл бұрын
Heri ya mwakampya mentor wangu nimejifunza vitu vingi kupitia kwako nashukuru sana Mungu akubariki sana 🙏🔥🔥🔥🙏
@dominicemanuel748
@dominicemanuel748 Жыл бұрын
Asante sana,kaka kwa elimu nakutakia kila jema
@annagabriel9862
@annagabriel9862 Жыл бұрын
Amen kaka MUNGU akubariki sana,,baadhi ya vitabu vyako nmevisoma na vimenisaidia sana kusave money,but nlikuwa nahitaji hicho cha timiza malengo yako
@mwamvitamyombo4466
@mwamvitamyombo4466 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya na kwako pia Asante kwa mafundisho yako Mungu akubariki
@marwamt.5245
@marwamt.5245 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa elimu kaka
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 Жыл бұрын
Yes 2023 utakua mwaka kwangu Amen
@erickstephano8331
@erickstephano8331 Жыл бұрын
Asante snaaa
@hellenmwangi5414
@hellenmwangi5414 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya kwako pia kaka,Mungu akubariki kwa huduma unayo tupa
@shebygamer9772
@shebygamer9772 Жыл бұрын
Tunasubiri
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Жыл бұрын
Naitaji vitabu bro
@charlesfaida1515
@charlesfaida1515 Жыл бұрын
Heri kwako pia Bro Joel 🙏 ukawa mwaka wa barak na neema 🙏 mafinikio tele Kaka
@agneskizogela7234
@agneskizogela7234 Жыл бұрын
Waiting 2023
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 Жыл бұрын
Ahsante heri ya mwaka mpya pia mweshimiwa!!!
@stephenmachongo5394
@stephenmachongo5394 Жыл бұрын
ahsante sana Joel Nanauka
@ashirafuamada5688
@ashirafuamada5688 Жыл бұрын
Kaka Niko pamoja nawe
@albertmwajega6266
@albertmwajega6266 Жыл бұрын
Nashukuru kaka kwa ujumbe huu mzuri nimejifunza vitu vingi sana namuomba mungu aniongoze niyafikie malengo yangu ya mwaka huu nitaendelea kujifunza zaidi kwako mungu akubariki sana.
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Asante sana Kwa muda muafaka umetuweka sawa mwanzo kbs shukran
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Жыл бұрын
Asante
@salomekombo215
@salomekombo215 Жыл бұрын
Amen kubwaaa heri ya mwaka mpya broo joel...asnte kwa ushauri mm ni mtu mwengne tena ndani ya mwaka huu naenda kufanikiwa ktk viwango vya juu kwa jina la Yesu🙏nimeshafungua saving account tyr yn mwaka huu lazima kieleweke
@christershine5082
@christershine5082 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya kaka Joel.Hakika unanijenga kila siku.Asante sana🙏
@thomasjohn7176
@thomasjohn7176 Жыл бұрын
Kitabu chako cha TIMIZA MALENGO kimenisaidia sana, mpaka sasa na mimi nimeandika vitabu vitatu na bado naendelea kuandika. Kitabu kilinihamasisha na kunipa nguvu kwenye maeneo mengi sana ya maisha haya.
@olivermloso3497
@olivermloso3497 Жыл бұрын
Nashukuru mwaka huu nimeanza rasmi biashara yangu namuomba Mungu anisimamie katika biashara yangu ili niweze kuyaendesha maisha yangu
@franknachimbinya7688
@franknachimbinya7688 Жыл бұрын
Ahsant nilikuwa naisubili sana hii speech
@pactricktimothnyangile8790
@pactricktimothnyangile8790 Жыл бұрын
Asante sana kaka. Nashukuru sana kwa ujumbe huu mhimu kwangu. Naendelea kufanyia Kazi.
@robertmwangomale
@robertmwangomale Жыл бұрын
Tunasubili madini ya 2023 kaka
@African511
@African511 Жыл бұрын
2023 asante sana Mungu
@donnyrwezaula
@donnyrwezaula Жыл бұрын
🙏ubarikiwe kaka mkubwa hakika huu ni mwongozo wa mwaka
@jacklinentabo2380
@jacklinentabo2380 Жыл бұрын
Nmefurahi kusikia haya!!! Asante Sana, God bless you
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 Жыл бұрын
Heri Ya mwaka mpyaa..madinii hakika
@neemashirima6121
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya .Asante kwa point nzuri
@stellahsanga3124
@stellahsanga3124 Жыл бұрын
Hivyo vitabu Bei yake ...nikivipata hivyo viwili money formula na tumiza malengo 🙏
@rehefehe8890
@rehefehe8890 Жыл бұрын
Asante Sana kaka Joel, za mwaka mpya nzur Sana, mungu aendelee kukueka ili utupe elimu, nakushukuru Sana saiv naweza kueka pesa kwenye account kupitia somo la money formula nataka niekee kwa miaka 2 nataka nifanye biashara ya pharmacy, maana mm ni mtu wa afya, mungu atakulipa kwa kweli
@hakimumahena9230
@hakimumahena9230 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@daudiissa9256
@daudiissa9256 Жыл бұрын
Heli ya mwaka mpya
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen amen amen
@pawnyakyeelwa
@pawnyakyeelwa Жыл бұрын
Pamoja sana Mwalimu wangu
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka joeli
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka Joel
@joasitz9559
@joasitz9559 Жыл бұрын
Asante wajina, barikiwa kwa kazi nzuri
@Gody360
@Gody360 Жыл бұрын
Happy New year 🎆🎆🎆✌🏾
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@marrywema7850
@marrywema7850 Жыл бұрын
Thankx
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 Жыл бұрын
amina kaka asantesana
@salometesha5874
@salometesha5874 Жыл бұрын
Happy New year my lecturer
@witnesstibendelana9337
@witnesstibendelana9337 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@hardgooboy9483
@hardgooboy9483 Жыл бұрын
Amen amen amen
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Asante kaka
@paulootieno2235
@paulootieno2235 Жыл бұрын
Toko pamoja kaka
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Жыл бұрын
asante sana kaka 🤝
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 Жыл бұрын
Mm nahitaj kukuza biashara yangu mungu nisaidie
@sayunimshanga3861
@sayunimshanga3861 Жыл бұрын
Ameeen
@gracemaimi6426
@gracemaimi6426 Жыл бұрын
God bless you 🙏
@paulyusuph7572
@paulyusuph7572 Жыл бұрын
Happy new year 2023
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Toka umeanza kufundisha na kuhamasisha tz 🇹🇿 Sasa sms za SUMBAWANGA na Bibi wa tanga zilisha kata 😀😀😀Hazina dili tena
@frankpaschal3635
@frankpaschal3635 Жыл бұрын
🙏🙏
@sakinamixpambe2602
@sakinamixpambe2602 Жыл бұрын
Thanks
@gideonkipruto3987
@gideonkipruto3987 Жыл бұрын
Happy new year coach
@rubbenmacha7254
@rubbenmacha7254 Жыл бұрын
Kaka mkubwa tumekupata vizuri
@saidbanga
@saidbanga Жыл бұрын
SEMA NINI>>>> UMENENEPa ujue
@mwanashahussein6829
@mwanashahussein6829 Жыл бұрын
Hi umeniona sisemi .kitu
@jdm1459
@jdm1459 Жыл бұрын
Nasubir kupata maarifa mapya siku hii ya kwanza ya 2023
@edwinmachange6607
@edwinmachange6607 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼
@khamisasaid25
@khamisasaid25 Жыл бұрын
kitabu ndo sh. ngapi
@christiantumain
@christiantumain Жыл бұрын
God bless you
@marendegodispansary4911
@marendegodispansary4911 Жыл бұрын
Bro ofisi yako ipo wapi nataman one day nifike hapo kucheki vitabu hard copy
@thomaswilliam3189
@thomaswilliam3189 Жыл бұрын
Kaka mm naomba nipate soft copy ya kitabu chako Cha timiza malengo yko Nimejaribu kuwasiliana na nyinyi Ila bado sijapewa majibu
@paulyusuph7572
@paulyusuph7572 Жыл бұрын
Timiza malengo kitabu ni she ngapi na kitab cha money formula
@abdulazizzali6218
@abdulazizzali6218 Жыл бұрын
Joel naomba utoe video utufunze vipi unaweza kusoma lugha na kuwaelewa wakingea wale wenye lugha natamani sana kuzungumza lugha lakini sjui njia gani nitumie ya urahsis ili niongee kwa haraka na kufahamu
@ashirafuamada5688
@ashirafuamada5688 Жыл бұрын
Nipigie kaka nikwambie
@godlizenminja1305
@godlizenminja1305 Жыл бұрын
Sis sote Kaka 🙏🙏
@danchibomnyama5461
@danchibomnyama5461 Жыл бұрын
Ameen kheri ya mwaka mpya kwako kaka Joel mungu akubariki sana kiukweli umenifungua akili Sana
@sharifsaidshoka8684
@sharifsaidshoka8684 Жыл бұрын
Kaka mm nataka vitabu vyako ili niweze kujisomea naweza kuvipata vipi nipo Zanzibar
@mchattachattanoga7795
@mchattachattanoga7795 Жыл бұрын
Nasubili
@emmanuelkatemi5317
@emmanuelkatemi5317 Жыл бұрын
Nashukuru Sana kiuhalisia napata elimu makini sana kutokana na masomo yako. Japo naomba Kama kunauwezekano nikuone ana kwa ana, ofsini kwako waweza nielekeza. Lengo langu la kwanza kwa mwaka 2023 ni kuonana na JOEL NANAUKA
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Kaka kiukweli barikiwa zaidi nimejifunza vingi na nina vidanyia kazi naamini Mungu anaendakufanya kitu 🙏
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 Жыл бұрын
Kaka Joel nataka kitabu money formula nipo nje napataje
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Naomba kuuliza kupost tangazo Instagram alafu inaandikwa sponsored wanatumia njia gani
@timothykengere2535
@timothykengere2535 Жыл бұрын
Shukrani Ndugu Nanauka Joel 📚📚📚📚 Mwaka wenye fanaka shukran 🎙️...........
@catherineosmund486
@catherineosmund486 Жыл бұрын
Asante
@veronicawoisso5332
@veronicawoisso5332 Жыл бұрын
Asante sana kaka
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Toka umeanza kufundisha na kuhamasisha tz 🇹🇿 Sasa sms za SUMBAWANGA na Bibi wa tanga zilisha kata 😀😀😀Hazina dili tena
@taseni_vevo
@taseni_vevo Жыл бұрын
Asante
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Joel Nanauka
Рет қаралды 100 М.
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,4 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
KILA SIKU JIAMBIE MANENO HAYA - JOEL NANAUKA
7:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 107 М.
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 19 М.
NAMNA YA KUISHI RAFIKI YAKO AMBAYE UNAJUA NI MNAFIKI
5:21
Lazaro Samwel
Рет қаралды 13 М.
HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU  - JOEL NANAUKA
8:03
Joel Nanauka
Рет қаралды 112 М.
Elimu ya fedha ambayo hautoipata darasani.
54:16
Michongo podcast
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUWA NA UTULIVU WA AKILI KIPINDI KIGUMU
9:15
Success Path Network
Рет қаралды 9 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 179 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН