Joel nanauka wewe ni mtu muhimu sana na Mungu azidi kukuinua
@ashaidd29122 жыл бұрын
Nashukuru Niko makini Kwa yote uliongea mungu akulinde sana we jembe
@assaaresi Жыл бұрын
naona kwamafunzo yako ujuziwako uwezaidi utupe njiya yaku patanisha watu waju na wachini asante 🙏 mungu akubariki zaidi neno sijawai ku ona hivi wewe niwa kwanza kupana funzo hapa chini yajuwa congratulations 👋
@kyandovaireth49882 жыл бұрын
Thanks brother. Ila kwa nyongeza point nyingine epuka kupokea offer iwe ya chakula, kinywaji, lift n.k na hasa siku ya kwanza maana offer zingine huwa ni za mtego kwako.
@frankmtei30172 жыл бұрын
kama amekupa bila kumuomba ukakataa wakati mwingine inaweza kukuharibia pia
@dastanjonathan69022 жыл бұрын
Mtengenezee ahisi km unashida(muhitaji) ila hauombi means unaweza zimudu ila akitoa ishi nayo pia ni kumheshimu
@dastanjonathan69022 жыл бұрын
Mtengenezee ahisi km unashida(muhitaji) ila hauombi means unaweza zimudu ila akitoa ishi nayo pia ni kumheshimu
@allenmdimi81052 жыл бұрын
Kila siku napata kitu kipya kutoka kwako brother mungu akubariki sana
@zickmalik49012 жыл бұрын
Hapana pokea kwan ukikataa utakuwa negative side
@fejam92232 жыл бұрын
Kabisa hii kosa ya 5 iko deep sana mtu umekutana naye wewe umetingwa na simu... kitu kinakera SANA.. asanteeee kwa elimu na kutukumbusha haya
@geofreyemanuelzakaria3822 жыл бұрын
Kaka Joel nayafurahia sana mafundisho yako,nimekuwa nikiyafuatilia sana. Napata mafunzo mengi sna. Hili la kishikashika simu linatusumbua wengi,lkn nimeanza kubadilika. Ubarikiwe sn kwa kugusa maisha ya wengi.
@ElineAngel Жыл бұрын
Nakuelewa sana , kaka joeli❤ , point zote nimezielewa mnoo ila ya MWISHO ni Nimezielewa zaidi.😊 ,God bless u broh
@VenanceRoy61 Жыл бұрын
Asante kaka umenifungulia dunia
@omarimtau51622 жыл бұрын
Ni pointi muhimu kuzijua kwa sector tofauti tofauti za kimaisha.. Ahsanteee kwa kutuzindua mr nanauka..
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ahsante sanaa
@drkimwaga95832 жыл бұрын
wow Ahsnt sana leader 🙏🏻
@manenolugendo63962 жыл бұрын
Uhalisia hapo nikuepuka kuongea sana Ahsante kwa ujumbe mkuu😐
@emmanuelpeter90222 жыл бұрын
Wwe ni best Kila wakt,, endelea kufundisha jamii,.
@captainkomba47392 жыл бұрын
Mimi nakushkuru sana yani Sina mda mrefu tangu nianze kufuatilia videos zako Ila binafsi naona mimebadirika sana tena sana asee Mungu akuzidishie icho ulicho nacho na akilinde 🙏
@AmaniManirambona11 ай бұрын
Sir Joel,kiukweli nimevutia sana na Maelekezo yako hasa yamenifanya kubadili maisha na kupata matumaini ya mafanikio kunako maisha ya kesho. Nanilikua nashindwa kujua wapi nianzie tena baada ya kufeli kwa mara kadhaa ili kuanzisha mipango yenye kunipa mafanikio hasa pale ninapo ahirikiana na watu wasio sahihi Asante sana kaka❤
@jameskitheka5791 Жыл бұрын
Thanks sana,nimejifunza kitu may God akuzidishie.Nakufatilia nikiwa kenya 🇰🇪
@musaalsinawi33242 жыл бұрын
Hi Joel, I'm your neighbour from Uganda.I came across your link on KZbin. Thanks for advising people and all your points are absolutely right. May God bless your work 🤲🤲🤝🙏🙏
@joelnanauka2 жыл бұрын
Thank you so Much Musa, lets keep on learning.
@ruthmoses65652 жыл бұрын
Huwa napenda nikitulia sana nikuskilize maana Kila neno unaloongea kwangu ni thaman tupu,Mungu kakubariki sana,, endelea kutuelimisha kaka
@dodgerwakitaa26582 жыл бұрын
Nafuatilia sana hadi nifikie pale
@farajamtifu41552 жыл бұрын
Yaani mimi nimeshaharibu point tatu zote zinanihusu,maana kuna mahali nimehamishwa kituo cha kazi, nilipoulizwa kuhusu boss wangu wa zamani,nikajibu simpende,nilipoulizwa kuhusu mazingira mapya nikamwambia boss wangu yaani sipapendi hapa,hata kidogo,duuu asante sana mentor wangu maana umenifunza kitu cha msingi sana
@frankmtei30172 жыл бұрын
Ukuhitaji kufundishwa kujibu hayo maswali kiusahihi, ulitakiwa kutumia akili yako vzr tu,,
@muttae22 жыл бұрын
Umenena vyema kaka. Hata mimi nilimfurahia sana jamaa mmoja nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, wakati tunaagana alitaja jina langu vizuri sana kuliko mtu yeyote niliewahi kukutana nae.
@lucyshayo35202 жыл бұрын
ABAHADIIIIIIIIIIIIIII
@JafaChuga22 күн бұрын
Kuongelea mambo yangu kwawa2
@joliea29562 жыл бұрын
Asante,,nlichokua nakosea nikujieleza maisha ,hapo umenielemisha,from kenya in Saudi 🇸🇦
@josephinebitesigirwe5730 Жыл бұрын
kwakweli makosa haya tunayafanya mara nyingi yamkini somo hili limekuja kwa wakati kutusaidia asante sana mtumishi nakuombea mafuta zaidi
@josephinekicheleri8602 жыл бұрын
Kweli kabisa niliitwa na watu wawili kuongea nao niliwaona wa ajabu San walikuwa busy na simu zao wote mmi yangu niliuweka serince kwa kweli niliondok na nikawaambia kuwa siitaki kukutana nao tena wkiwa na shida nami wanipigiee ..kwa kweli kaka MUNGU AKUBALIKI KWA KUTUEMIISHA
@PauloChahe2 ай бұрын
Ahsante sana kaka kwa elim
@alikhamis63262 жыл бұрын
Iyo kutamka jina brother imenigusa sana
@hellyfridy Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa darasa kwa kutoa elimu nzuri katika maisha. Ila mimi mtu akiongelea Timu ambayo siipendi siwezi hata kujizuia
@DARIUSMUGANYIZI-xn6qz9 ай бұрын
Daah nakoseaga sana Ila asante kwa elimu nzuri mwalimu Leo nimejifunza ktu cha muhimu
@tanomarijani5082 жыл бұрын
Ahsant sana kaka kwa darasa,, je ni vitu gani vya kuepuka endapo mtu atahitaji fursa kutoka kwako..
Hongera sana kaka mana hii ndo njia nzuri ya kutumia mitandao ktk kutoa elimu.Asante
@JoelMhagama4 ай бұрын
Mungu akulinde
@officialbntrasool52232 жыл бұрын
Leo ndo nimeanza kukujilua umekuwa rolmodel wangu
@francis-chukwuchiduo83372 жыл бұрын
Boy from Shangani PS. Proud bro.
@EdifonceJuma-y8r2 ай бұрын
Thank you brother you can improve me my mind.so God bless you❤
@neemaryan99472 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa kutuelimisha nimekua nikifanya makosa mengi nikijua nipo sahihi,, imebidi nitazame Mara mbili video hii ili kuelewa zaidi.
@mariamkitaluka7177 ай бұрын
Joel nimekuelewa vzr Sana mm nina ushuhuda Kuna mtu ambaye had Sasa n rafik kwa sababu tu nilipokutana naye kwa Mara ya kwanza nilionyesha kumsikilza kwa makin Hilo tu lilinipa point kubwa Sana na aliniambia kuwa watu weng hawana hiyo
@MustafaShomari-nh7pn11 ай бұрын
Shukrani sana brother joel nanauka yana dah naamini kwakazi yako malipoyaduniani ayakutoshi unafanya kazikubwa sana
@evodizzle2 жыл бұрын
Video bora ya mwaka
@victornafwa24716 ай бұрын
Kuomba pesa ni vibaya Sana...
@bernadetachari76482 жыл бұрын
Najifunzavitumighi sana kwako mughuakupe ufahamu zaidi
@LusajoMboli-ef2xx Жыл бұрын
Uko vzr bro
@danielshekiyao7062 жыл бұрын
Joel mwana wa nanauka unatisha
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Najifunzaaaaa🙏
@mozasaid38692 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel Nanauka
@Alexnderlique123-ze7mh Жыл бұрын
Habari joel ninaneno yakuuliza unaeza nipa nafasi
@sakinaamundala52532 ай бұрын
Shauri yako Niyamuzuri saana kaka
@ValeliaJames7 ай бұрын
Nzuri hii imenifungua, kazi nzuri hongera
@JennipherChinaАй бұрын
Me pia napenda mtu ataje jina langu vizuri
@JemaKalinga6 ай бұрын
Asante sana kaka joel lakn mm point ya 4 inanihusu apo cjui ntajizuiaje
@AdventJulius2 ай бұрын
Nimejifunza kitu kaka
@idrisanassor7744 Жыл бұрын
Hongeraa snaaa
@aash41452 жыл бұрын
Aksante kwa mafunzo mazuri kaka
@salvinamakindi4732 жыл бұрын
Dah mungu mwema yote hayo sijawahi kufanya makosa na spend mtu nikutane nae ayafanye kwenye jina apo ume patia ata me napenda mtu ataje jina langu vizur napenda mtu ajari muda wangu sio tunaongea Yuko busy na sim spend atu mweny misifa mingi . asante kwa kunikumbusha
@stuntkizzy2 жыл бұрын
Una creativity jamaa angu
@hellenismail43512 жыл бұрын
Mungu Akubariki na kukuinua zaidi my brother💕💕💕💕
@nkeshimanayuda11154 ай бұрын
Wewe ni mwalimu bora
@festoamos_tz2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi ikiwemo kumsifia mtu (kum-compliment, au kum-appreciate) ni kitu napenda sijui kama kuna kosa kumwambia mtu, mfano. you look nice, and beautiful, I am happy to meet you...... (Msaada hapo kiongozi)
@athumanipigo92952 жыл бұрын
Ubarikiweee
@perpetuajambia90216 ай бұрын
Asante sana kaka Joel
@MatokeoJoseph.Fonkol8 ай бұрын
kwanza mungu ajalie sote tuwe na afya njema ili tuweze kupewa elim tukiwa na afya njema nashukuru xana tangu nilipo anza kuku fuatiria kuna mengi nime jifunza kutoka kwako pia miaka 3 iliyo pita nili fuaata elim yko kweri nili weka nizam ya pesa hadi kubadili pare nilipo kuwa hadi wa tofauti baada ya hapo mwaka ulio fata nilikuwa wa tofauti na marengo yare pia nime pata mazara mno nashukuru elim yko ina nipa somo kubwa naanza mwanzo nikiwa wa tofauti sana niritupa marengo marengo yaka nitupa hivi akili imekuwa na nita simama tena mungu akupe afya njema ili uweze kutupa elim
@AllexMartin-m9w11 ай бұрын
God bless you Joel 🙏
@SHILECKIZACHARIA5 ай бұрын
Asante sana Joely
@halimahleema51652 жыл бұрын
Thanks teacher yote uliosema yanatuhusu Kwa nija moja au nyingine
@Bbwaoy2 жыл бұрын
“kuongea sana/ Ujuaji” mbaya sana hii.
@AmosMsema6 ай бұрын
GOD bless you abundantly
@erickevarst95892 жыл бұрын
Siongezi kitu hapo juu ya somolako, ila nimepata kitu kizuri nmecho jifunza wewe Roll model wangu, tangu 2019, hua siifungui KZbin bila kupita kwako, na hivi Sasa najipanga kuanza kununua Ebook zako zakutosha maana Umekwisha niosha akiliyangu na Mungu kaongeza kuyafumbua machoyangu pia. Asante Kaka Joel Nanauka. Mungu azidi kukutunza.
@joelnanauka2 жыл бұрын
Ameen ahsante sana
@mjumbemwanda96662 жыл бұрын
Very very informative
@MasungaGahima-es5ei6 ай бұрын
Sehemu ya nne ishawahi kunikuta
@davidmushi22122 жыл бұрын
Asante sana. umefundisha kitu cha muhim sana.
@RadislausMlende3 ай бұрын
Asante sana tuko. Pamoja
@RamadhanMtaki-sw1gx Жыл бұрын
Shukrani Sana mkubwa mungu hawe nawe
@MaryClement-r9k11 ай бұрын
Thanks. Bro kwa ujumbe mzuri
@selenganyagawa13582 жыл бұрын
Shukrani ndugu umetoa elimu muhimu kabisa, itasaidia hakika.
@mcnyoka2 жыл бұрын
Hongera mkuu 200K subscribers na mimi nimo humo🤝
@EmanuelIsamba11 ай бұрын
GOD BLESS YOU JOEL
@paschalmtaki81172 жыл бұрын
Safi sana kaka
@Suka_Dm_Guy2 жыл бұрын
Kila mara nipo pamoja nawewe bro na nimejifunza mambo mengi sana mungu akuweke zaidi kwa faida ya wengine
@laureenodimba92614 ай бұрын
Great content, keep it up 😊
@dastandomition76652 жыл бұрын
Nimekupata brother,, thanks
@emanuelchanya51822 жыл бұрын
NZURI SANA JOEL ,LIMBUKO LIKIWA JEMA NA DONGE LOTE LINAKUWA JEMA .NA HAPO UMEZUNGUMZIA NAMNA TUNAPOKUTANA NA WALE AMBAO TUNAWEZA KUPATA FURSA TOKA KWAO INGAWA KILA MTU NI FURSA LAKINI JE KWA MARA YA KWANZA TUNAPOKUTANA NA WATU WANAOHITAJI FURSA TOKA KWETU NI YAPI YA KUEPUKA .SALUTE SIR JOEL.
@paulyusuph75722 жыл бұрын
Nimekupta sana bro joel kutoka iringa mafinga
@yvesniyongabo9437 Жыл бұрын
Thanks for your wise word Sir, tunajifunza vitu vingi kwenye mafunzo yako. From 🇧🇮
@EmmanuelMoswala-pj4hu Жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@victoriamerura93822 жыл бұрын
Thanks so much, may good Lord bless you 🙏
@isayandege18372 жыл бұрын
Brother Joel,,,habari yako,,,,kwa kweli nimekuwa nafatilia sana video zako,,,,,mimi nimewahi kosa mke kwakusemea cm yake na kucha tuu,,,,,,,yani sikuamini kilicho nitokea,,,,ahahaa
@deboraclass92822 жыл бұрын
Daaah...🥺😅
@RashmaAbdulla2 ай бұрын
Asante kwa mafunzo
@advocateishengoma10882 жыл бұрын
Hujazungumzia point nyingine demu kukuomba nyingii kisa tu umeonyesha kumpenda,pesa unayoombwa ni kama umetozwa faini ya kumpenda
@sophykitale99812 жыл бұрын
Asante sana my mentor nimeongeza kitu kwenye safari yangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@scolakalindu80772 жыл бұрын
Mimi ni mwanafunzi mzur yani umekiwa furaha kwangu asante kaka
@dodgerwakitaa26582 жыл бұрын
Nakumbuka tu kua mkuu wetu wa shule alikua mama Nannauka
@andrewmusa95923 ай бұрын
Ubarikiwe Sana
@amkenikumekucha2 жыл бұрын
Asante ndugu kwa ushauri, barikiwe.
@doreenlyimo41422 жыл бұрын
Asante Sana kwa somo zuri Kaka Joel
@Justinebaada2 жыл бұрын
Nimejifunza kitu hapa barikiwa Sana mentor wangu
@ggvv9970 Жыл бұрын
Duuuuh Safi sana....Mimi sio mara ya kwanza ata sasa mtu namchukia nkiwa naongea nae na call ye anaongea namimi uku ana chat pia namchukia..