EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 103,847

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 206
@kyandovaireth4988
@kyandovaireth4988 2 жыл бұрын
Thanks brother. Ila kwa nyongeza point nyingine epuka kupokea offer iwe ya chakula, kinywaji, lift n.k na hasa siku ya kwanza maana offer zingine huwa ni za mtego kwako.
@frankmtei3017
@frankmtei3017 2 жыл бұрын
kama amekupa bila kumuomba ukakataa wakati mwingine inaweza kukuharibia pia
@dastanjonathan6902
@dastanjonathan6902 2 жыл бұрын
Mtengenezee ahisi km unashida(muhitaji) ila hauombi means unaweza zimudu ila akitoa ishi nayo pia ni kumheshimu
@dastanjonathan6902
@dastanjonathan6902 2 жыл бұрын
Mtengenezee ahisi km unashida(muhitaji) ila hauombi means unaweza zimudu ila akitoa ishi nayo pia ni kumheshimu
@allenmdimi8105
@allenmdimi8105 2 жыл бұрын
Kila siku napata kitu kipya kutoka kwako brother mungu akubariki sana
@zickmalik4901
@zickmalik4901 Жыл бұрын
Hapana pokea kwan ukikataa utakuwa negative side
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 2 жыл бұрын
Uhalisia hapo nikuepuka kuongea sana Ahsante kwa ujumbe mkuu😐
@victornafwa2471
@victornafwa2471 2 ай бұрын
Avoid discussing politics, religion and borrowing money.
@isayandege1837
@isayandege1837 2 жыл бұрын
Brother Joel,,,habari yako,,,,kwa kweli nimekuwa nafatilia sana video zako,,,,,mimi nimewahi kosa mke kwakusemea cm yake na kucha tuu,,,,,,,yani sikuamini kilicho nitokea,,,,ahahaa
@deboraclass9282
@deboraclass9282 2 жыл бұрын
Daaah...🥺😅
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 жыл бұрын
Nashukuru Niko makini Kwa yote uliongea mungu akulinde sana we jembe
@geofreyemanuelzakaria382
@geofreyemanuelzakaria382 2 жыл бұрын
Kaka Joel nayafurahia sana mafundisho yako,nimekuwa nikiyafuatilia sana. Napata mafunzo mengi sna. Hili la kishikashika simu linatusumbua wengi,lkn nimeanza kubadilika. Ubarikiwe sn kwa kugusa maisha ya wengi.
@fejam9223
@fejam9223 2 жыл бұрын
Kabisa hii kosa ya 5 iko deep sana mtu umekutana naye wewe umetingwa na simu... kitu kinakera SANA.. asanteeee kwa elimu na kutukumbusha haya
@musaalsinawi3324
@musaalsinawi3324 2 жыл бұрын
Hi Joel, I'm your neighbour from Uganda.I came across your link on KZbin. Thanks for advising people and all your points are absolutely right. May God bless your work 🤲🤲🤝🙏🙏
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Thank you so Much Musa, lets keep on learning.
@omarimtau5162
@omarimtau5162 2 жыл бұрын
Ni pointi muhimu kuzijua kwa sector tofauti tofauti za kimaisha.. Ahsanteee kwa kutuzindua mr nanauka..
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ahsante sanaa
@JULIUSJOHN-rq7hc
@JULIUSJOHN-rq7hc 6 ай бұрын
Kujigamba
@muttae2
@muttae2 2 жыл бұрын
Umenena vyema kaka. Hata mimi nilimfurahia sana jamaa mmoja nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, wakati tunaagana alitaja jina langu vizuri sana kuliko mtu yeyote niliewahi kukutana nae.
@lucyshayo3520
@lucyshayo3520 2 жыл бұрын
ABAHADIIIIIIIIIIIIIII
@ElineAngel
@ElineAngel Жыл бұрын
Nakuelewa sana , kaka joeli❤ , point zote nimezielewa mnoo ila ya MWISHO ni Nimezielewa zaidi.😊 ,God bless u broh
@captainkomba4739
@captainkomba4739 2 жыл бұрын
Mimi nakushkuru sana yani Sina mda mrefu tangu nianze kufuatilia videos zako Ila binafsi naona mimebadirika sana tena sana asee Mungu akuzidishie icho ulicho nacho na akilinde 🙏
@farajamtifu4155
@farajamtifu4155 2 жыл бұрын
Yaani mimi nimeshaharibu point tatu zote zinanihusu,maana kuna mahali nimehamishwa kituo cha kazi, nilipoulizwa kuhusu boss wangu wa zamani,nikajibu simpende,nilipoulizwa kuhusu mazingira mapya nikamwambia boss wangu yaani sipapendi hapa,hata kidogo,duuu asante sana mentor wangu maana umenifunza kitu cha msingi sana
@frankmtei3017
@frankmtei3017 2 жыл бұрын
Ukuhitaji kufundishwa kujibu hayo maswali kiusahihi, ulitakiwa kutumia akili yako vzr tu,,
@mariamkitaluka717
@mariamkitaluka717 3 ай бұрын
Joel nimekuelewa vzr Sana mm nina ushuhuda Kuna mtu ambaye had Sasa n rafik kwa sababu tu nilipokutana naye kwa Mara ya kwanza nilionyesha kumsikilza kwa makin Hilo tu lilinipa point kubwa Sana na aliniambia kuwa watu weng hawana hiyo
@assaaresi
@assaaresi Жыл бұрын
naona kwamafunzo yako ujuziwako uwezaidi utupe njiya yaku patanisha watu waju na wachini asante 🙏 mungu akubariki zaidi neno sijawai ku ona hivi wewe niwa kwanza kupana funzo hapa chini yajuwa congratulations 👋
@devisshirima6780
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Je ! Unamsaidiaje mtu ambaye tayari ameshafanya makosa ambayo umeyataja kwa mtu ambaye anategemea awe wa muhimu kwake?
@RuwaidaAyoub-q6k
@RuwaidaAyoub-q6k 11 ай бұрын
Hello Mr Joel I'm student so I wish to get adivice especially for us
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 Жыл бұрын
Kweli kabisa niliitwa na watu wawili kuongea nao niliwaona wa ajabu San walikuwa busy na simu zao wote mmi yangu niliuweka serince kwa kweli niliondok na nikawaambia kuwa siitaki kukutana nao tena wkiwa na shida nami wanipigiee ..kwa kweli kaka MUNGU AKUBALIKI KWA KUTUEMIISHA
@jameskitheka5791
@jameskitheka5791 Жыл бұрын
Thanks sana,nimejifunza kitu may God akuzidishie.Nakufatilia nikiwa kenya 🇰🇪
@mcnyoka
@mcnyoka 2 жыл бұрын
Hongera mkuu 200K subscribers na mimi nimo humo🤝
@emmanuelpeter9022
@emmanuelpeter9022 2 жыл бұрын
Wwe ni best Kila wakt,, endelea kufundisha jamii,.
@eliassimeo1616
@eliassimeo1616 2 жыл бұрын
Thank you very much. I have gained a lot from this video
@monicamkwela1874
@monicamkwela1874 2 жыл бұрын
Mimi mtu akinisifia kwa upande wangu ki ukwel ameyaaga mashindano moja kwa moja, usitegemee matokeo chanya ukianza ivyo,binafsi sipendi na naona kama vile unanipanga hivi,ijapokuwa nafahamu fika ya kuwa ninazo baadhi ya sifa.
@azizakwileka1641
@azizakwileka1641 2 жыл бұрын
Mimi pia
@SamsonIbrahim-o9x
@SamsonIbrahim-o9x 4 күн бұрын
Brother nishauli Mimi nafanya kazi ya ulinzi kwa mwezi naingiza laki2.5 nishauli nifanye nn ili niizalishe
@JemaKalinga
@JemaKalinga Ай бұрын
Asante sana kaka joel lakn mm point ya 4 inanihusu apo cjui ntajizuiaje
@joliea2956
@joliea2956 2 жыл бұрын
Asante,,nlichokua nakosea nikujieleza maisha ,hapo umenielemisha,from kenya in Saudi 🇸🇦
@victoriamerura9382
@victoriamerura9382 Жыл бұрын
Thanks so much, may good Lord bless you 🙏
@ruthmoses6565
@ruthmoses6565 Жыл бұрын
Huwa napenda nikitulia sana nikuskilize maana Kila neno unaloongea kwangu ni thaman tupu,Mungu kakubariki sana,, endelea kutuelimisha kaka
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 2 жыл бұрын
Bro kwanini ulichelewa kutoa hii Elimu, mimi nimeshakosea sana..ubarikiwe mno
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 2 жыл бұрын
Polee sanaa # bado una nafasi
@sophykitale9981
@sophykitale9981 2 жыл бұрын
Asante sana my mentor nimeongeza kitu kwenye safari yangu🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 2 жыл бұрын
Noted🙏
@neemaryan9947
@neemaryan9947 2 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa kutuelimisha nimekua nikifanya makosa mengi nikijua nipo sahihi,, imebidi nitazame Mara mbili video hii ili kuelewa zaidi.
@hellenismail4351
@hellenismail4351 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki na kukuinua zaidi my brother💕💕💕💕
@VenanceRoy61
@VenanceRoy61 11 ай бұрын
Asante kaka umenifungulia dunia
@dodgerwakitaa2658
@dodgerwakitaa2658 2 жыл бұрын
Nafuatilia sana hadi nifikie pale
@COSMASDAMIANO-y5l
@COSMASDAMIANO-y5l 3 ай бұрын
Me yote kk yalikua yananisumbua
@festoamos_tz
@festoamos_tz Жыл бұрын
Nimejifunza mengi ikiwemo kumsifia mtu (kum-compliment, au kum-appreciate) ni kitu napenda sijui kama kuna kosa kumwambia mtu, mfano. you look nice, and beautiful, I am happy to meet you...... (Msaada hapo kiongozi)
@erickevarst9589
@erickevarst9589 2 жыл бұрын
Siongezi kitu hapo juu ya somolako, ila nimepata kitu kizuri nmecho jifunza wewe Roll model wangu, tangu 2019, hua siifungui KZbin bila kupita kwako, na hivi Sasa najipanga kuanza kununua Ebook zako zakutosha maana Umekwisha niosha akiliyangu na Mungu kaongeza kuyafumbua machoyangu pia. Asante Kaka Joel Nanauka. Mungu azidi kukutunza.
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ameen ahsante sana
@AmosMsema
@AmosMsema Ай бұрын
GOD bless you abundantly
@usitumieaccounthiibyvictor8000
@usitumieaccounthiibyvictor8000 2 жыл бұрын
Yeah nimeelew vizuri ndugu, Ila hapo niulize. Nilienda Mahali kuomba kazi, ila mtu aliehitaji nifanyenae kazi alihitaji sababu hasa zilizo nifanya nihitaji hiyo kazi. Nilimpa details za sehemu nlokuwa nkifanya Kaz kwa kumpa mapungufu ya boss wangu wa zaman katik mpangilio wake w Kaz na kupelekea mm kuona kazi Hyo Ni ngumu na inanishinda ndicho kitu kilipelekea nije kuomba kazi nyingine kwake. Ok hapo nitakuwa nimefanya makosa ndugu?
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 Жыл бұрын
Ndio Ni makosa bola ukae kimya Maana mabosi wengi tabia zinafanana we angalia gepu litakalokupa mtaji wako tu hata Kama Boss anakera lkn Kama analipa pesa vumilia . Boss mbaya Ni Yule asiyelipa.
@geshomatupele4367
@geshomatupele4367 Жыл бұрын
@@elizabethpetro1258 Asante mkuu
@mjumbemwanda9666
@mjumbemwanda9666 2 жыл бұрын
Very very informative
@victornafwa2471
@victornafwa2471 2 ай бұрын
Kuomba pesa ni vibaya Sana...
@omarjuma1794
@omarjuma1794 2 жыл бұрын
#JoelArthurNanauka Jenius by Discovery
@perpetuajambia9021
@perpetuajambia9021 Ай бұрын
Asante sana kaka Joel
@alikhamis6326
@alikhamis6326 2 жыл бұрын
Iyo kutamka jina brother imenigusa sana
@francis-chukwuchiduo8337
@francis-chukwuchiduo8337 Жыл бұрын
Boy from Shangani PS. Proud bro.
@laureenodimba9261
@laureenodimba9261 4 күн бұрын
Great content, keep it up 😊
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 11 ай бұрын
Asante sana kaka
@bigdreamer8857
@bigdreamer8857 Жыл бұрын
Asante Sana
@evodiusjovine1782
@evodiusjovine1782 Жыл бұрын
Asante sanaa
@SHILECKIZACHARIA
@SHILECKIZACHARIA 21 күн бұрын
Asante sana Joely
@advocateishengoma1088
@advocateishengoma1088 Жыл бұрын
Hujazungumzia point nyingine demu kukuomba nyingii kisa tu umeonyesha kumpenda,pesa unayoombwa ni kama umetozwa faini ya kumpenda
@dannyhimhim5567
@dannyhimhim5567 Жыл бұрын
Thanks for your lecture sir am always there listening and learning.
@EmmanuelMoswala-pj4hu
@EmmanuelMoswala-pj4hu Жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@EmmanuelMoswala-pj4hu
@EmmanuelMoswala-pj4hu Жыл бұрын
GOD BLESS YOU
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Ай бұрын
Asante sana kaka N
@yvesniyongabo9437
@yvesniyongabo9437 Жыл бұрын
Thanks for your wise word Sir, tunajifunza vitu vingi kwenye mafunzo yako. From 🇧🇮
@naomimollel2292
@naomimollel2292 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@drkimwaga9583
@drkimwaga9583 Жыл бұрын
wow Ahsnt sana leader 🙏🏻
@tunumolel9584
@tunumolel9584 Жыл бұрын
Facts
@fredricksamsonmathias
@fredricksamsonmathias 8 ай бұрын
I got you bro
@Bbwaoy
@Bbwaoy 2 жыл бұрын
“kuongea sana/ Ujuaji” mbaya sana hii.
@marykisima1
@marykisima1 11 ай бұрын
Well said
@jitathminitv3429
@jitathminitv3429 Жыл бұрын
True
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel Nanauka
@hellyfridy
@hellyfridy 10 ай бұрын
Ubarikiwe kwa darasa kwa kutoa elimu nzuri katika maisha. Ila mimi mtu akiongelea Timu ambayo siipendi siwezi hata kujizuia
@ggvv9970
@ggvv9970 Жыл бұрын
Duuuuh Safi sana....Mimi sio mara ya kwanza ata sasa mtu namchukia nkiwa naongea nae na call ye anaongea namimi uku ana chat pia namchukia..
@AmaniManirambona
@AmaniManirambona 7 ай бұрын
Sir Joel,kiukweli nimevutia sana na Maelekezo yako hasa yamenifanya kubadili maisha na kupata matumaini ya mafanikio kunako maisha ya kesho. Nanilikua nashindwa kujua wapi nianzie tena baada ya kufeli kwa mara kadhaa ili kuanzisha mipango yenye kunipa mafanikio hasa pale ninapo ahirikiana na watu wasio sahihi Asante sana kaka❤
@tanomarijani508
@tanomarijani508 Жыл бұрын
Ahsant sana kaka kwa darasa,, je ni vitu gani vya kuepuka endapo mtu atahitaji fursa kutoka kwako..
@MustafaShomari-nh7pn
@MustafaShomari-nh7pn 7 ай бұрын
Shukrani sana brother joel nanauka yana dah naamini kwakazi yako malipoyaduniani ayakutoshi unafanya kazikubwa sana
@proper_afya_tz
@proper_afya_tz 2 жыл бұрын
Mimi makosa niliyokuwa nafanya ni kutokuconcentrate na mtu wakati wa mazungumzo nashukuru kwa darasa naamini nitarekebisha makosa
@alexpatrice3109
@alexpatrice3109 2 жыл бұрын
Nahitaji baadhi ya vitabu vyako niko mkoa wa mwanz navipataj?? please naomba unisaidie kwa ilo
@ydshine9210
@ydshine9210 Жыл бұрын
Aisee umenena jambo la kweli kaka mm bwana n mtu kuongea sana nnapo Kutana na mtu mala ya kwanza na nahis inafika hatua mtu kama smpi nafasi mpaka najishtukia yan
@josephinebitesigirwe5730
@josephinebitesigirwe5730 Жыл бұрын
kwakweli makosa haya tunayafanya mara nyingi yamkini somo hili limekuja kwa wakati kutusaidia asante sana mtumishi nakuombea mafuta zaidi
@MatokeoJoseph.Fonkol
@MatokeoJoseph.Fonkol 3 ай бұрын
kwanza mungu ajalie sote tuwe na afya njema ili tuweze kupewa elim tukiwa na afya njema nashukuru xana tangu nilipo anza kuku fuatiria kuna mengi nime jifunza kutoka kwako pia miaka 3 iliyo pita nili fuaata elim yko kweri nili weka nizam ya pesa hadi kubadili pare nilipo kuwa hadi wa tofauti baada ya hapo mwaka ulio fata nilikuwa wa tofauti na marengo yare pia nime pata mazara mno nashukuru elim yko ina nipa somo kubwa naanza mwanzo nikiwa wa tofauti sana niritupa marengo marengo yaka nitupa hivi akili imekuwa na nita simama tena mungu akupe afya njema ili uweze kutupa elim
@DARIUSMUGANYIZI-xn6qz
@DARIUSMUGANYIZI-xn6qz 4 ай бұрын
Daah nakoseaga sana Ila asante kwa elimu nzuri mwalimu Leo nimejifunza ktu cha muhimu
@salvinamakindi473
@salvinamakindi473 2 жыл бұрын
Dah mungu mwema yote hayo sijawahi kufanya makosa na spend mtu nikutane nae ayafanye kwenye jina apo ume patia ata me napenda mtu ataje jina langu vizur napenda mtu ajari muda wangu sio tunaongea Yuko busy na sim spend atu mweny misifa mingi . asante kwa kunikumbusha
@michaelsakejo
@michaelsakejo 5 ай бұрын
uko vizuri ushauli wako ni mzuri asante
@JUMAMASANJA-t7m
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
Hongera sana kaka mana hii ndo njia nzuri ya kutumia mitandao ktk kutoa elimu.Asante
@halimahleema5165
@halimahleema5165 Жыл бұрын
Thanks teacher yote uliosema yanatuhusu Kwa nija moja au nyingine
@njuuhjera9971
@njuuhjera9971 2 жыл бұрын
Nafanya Kaz kweny mpesa nakubaliana na hilo la kutaja jina lake vizur..coz nikisoma majina ya wateja wang hua wanasema wow umelitaja jina lang vzr na anaweza kuomba nirudie
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Najifunzavitumighi sana kwako mughuakupe ufahamu zaidi
@COSMASDAMIANO-y5l
@COSMASDAMIANO-y5l 3 ай бұрын
Duuuh ndo naingia nahis statoka huku,kaka thanks umenifunza vitu vingi leo
@emanuelchanya5182
@emanuelchanya5182 2 жыл бұрын
NZURI SANA JOEL ,LIMBUKO LIKIWA JEMA NA DONGE LOTE LINAKUWA JEMA .NA HAPO UMEZUNGUMZIA NAMNA TUNAPOKUTANA NA WALE AMBAO TUNAWEZA KUPATA FURSA TOKA KWAO INGAWA KILA MTU NI FURSA LAKINI JE KWA MARA YA KWANZA TUNAPOKUTANA NA WATU WANAOHITAJI FURSA TOKA KWETU NI YAPI YA KUEPUKA .SALUTE SIR JOEL.
@evodizzle
@evodizzle 2 жыл бұрын
Video bora ya mwaka
@lukandaguillaume4175
@lukandaguillaume4175 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kaka, masomo yako yanani connect Sana na JAMII yangu.
@demitriagibure9073
@demitriagibure9073 2 жыл бұрын
Very insightful 👏
@isackmaloha-vk7hm
@isackmaloha-vk7hm Жыл бұрын
Ndio hili la mwisho la kuto onyesha entreat naona nalifanya
@Suka_Dm_Guy
@Suka_Dm_Guy Жыл бұрын
Kila mara nipo pamoja nawewe bro na nimejifunza mambo mengi sana mungu akuweke zaidi kwa faida ya wengine
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 Жыл бұрын
Leo ndo nimeanza kukujilua umekuwa rolmodel wangu
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏 uncle joel
@evancebartlomeo
@evancebartlomeo Жыл бұрын
Thanks Brother Joel .. makosa yote hayo . Am there You help me alot 🙏🏽
@stuntkizzy
@stuntkizzy 2 жыл бұрын
Una creativity jamaa angu
@acmbjr
@acmbjr 2 жыл бұрын
Nna matatizo ya kujali sana yani kumjali mtu sana hadi naumia hii inatokana na nini
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI ENDELEA KUTUBADILISHA KIFIKRA NA KIMTAZAMO
@MaryClement-r9k
@MaryClement-r9k 7 ай бұрын
Thanks. Bro kwa ujumbe mzuri
@FredyNickson
@FredyNickson 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@addysiwall4427
@addysiwall4427 2 жыл бұрын
Your blessed Kaka ❤❤❤ thanks😊
@georgethomy1212
@georgethomy1212 5 ай бұрын
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Joel Nanauka
Рет қаралды 102 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 24 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 7 МЛН
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 184 М.
NJIA 6 ZA KURUDISHA HESHIMA KWA WANAOKUDHARAU.
14:38
Lazaro Samwel
Рет қаралды 21 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 8 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 65 М.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 183 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 74 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 43 М.
Aina 5 Za Watu Muhimu - Joel Nanauka
1:02:23
Joel Nanauka
Рет қаралды 167 М.
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12