Kama unamkubali Huyu mwandisi na unapenda mafundisho yake kama mimi gonga like hapa ❤❤❤❤
@frankharrison29842 жыл бұрын
Asant sana JOELY kupitia mafunzo yako nimekuwa siliasi Sana na ktk kupambana na umaskini nilipoanza kukufuatilia TU nikaanza kufanyia kazi mafunzo yako nilianza na elfu 15 adi Sasa Nina sh milioni 45 ndani ya miaka minne mungu akupe maisha marefu JOELY🙏
@sylivestermwasile42032 жыл бұрын
Kaka umetishaa saanaa miaka minne 45M inabidi niishi nayo hii ndani ya hyo miaka minne nione italuwajee
@kulwasitta40772 жыл бұрын
Bravo
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Come on
@ponsianaprotas8990 Жыл бұрын
Hongera ndugu.
@davidarsen23926 ай бұрын
Ulifanyaje rafiki hebu tuambiane wengine tunakwama sana@@sylivestermwasile4203
@issakatety35352 жыл бұрын
Umeniongezea nguvu kwenye uwekaji wa akiba👏👏
@beatricemwita43802 жыл бұрын
Kwenye kuzalisha, hapo nimeanza ila nahitaji maarifa na nguvu zaidi, kwa sasa nimeweza kuzalisha 250000 nje ya mshahara na allowance za kazini, kwa mwezi malengo yangu mpk December 2023 niwe nazalisha milioni 2 na nusu kwa mwezi nje ya mshahara na allowance za kazini,na Imani nitafanikiwa kwa uwezo wa Mungu nikiongeza maarifa muhimu na bidii zaidi
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Ameeern
@aloyceakilumanga26492 жыл бұрын
Asantee sana Joel tatizo langu bajeti yangu mbayaaaaa sanaaa,natakiwa Sasa kuanza kubadilika
@jamalhassan80002 жыл бұрын
Ubalikiwe sana kaka unatufunza menge sana kuhus uchumi wetu
@costarmalecela5 ай бұрын
Nakuelewa vizuri sana na masomo yako, Ubarikiwe kwa elimu unayo toa kwa jamii. Hapa siyo lazma mtu aende kusoma ujasilia Mali.
@WilliamJulius-p1q Жыл бұрын
Asante sana kaka
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Asante sana my brother from another mother
@erickathanas Жыл бұрын
Asante bro Joel maana hapa tutaweza kutunza pesa zetu vzr
@paulouma3958 Жыл бұрын
Number two brother
@ashaidd29122 жыл бұрын
Mungu akulinde sana mbo mazuri sana
@ramadmikina10142 жыл бұрын
Kwa kwel tunanufaika sana Ubarkiwe sana
@gracekomba9682 жыл бұрын
Asante sana kaka natamani kujiunga na makundi Yako ya kujifunza zaidi
@marcngalo12717 ай бұрын
Amazing Asante Joel
@emmanuelmakindi44092 жыл бұрын
Mimi napenda sana content zako, Leo nimewahi kuangalia video within a time aploaded
@zaburonsamwel4899 Жыл бұрын
Thanks for this unique education 👏
@chrismassawe29392 жыл бұрын
Shukrani sana Mwalimu Joel Nnauka kwa maarifa yenye faida tunayopata kutoka kwako
@japhetjohn56972 жыл бұрын
That is so Great,I Catch you,Mwl,Joel Nanauka,Bigg thanks 🙏
@salumkhamis84352 жыл бұрын
Asnte sana kwa kutuelimisha
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka angu 😘🙌
@uiavajiwgav54412 жыл бұрын
Welove you so much wesh your long life 💘🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@johnabich23992 жыл бұрын
Thanks so much kaka mkubwa Imenifungua sana 👍
@johngibson3089 Жыл бұрын
Asante sana Nanauka
@franciscamoshi76719 ай бұрын
Mungu akuzidishie uwezo ulionao ili uzidi kutuelimisha.Asante.ubarikiwe.
@joramjaphet27402 жыл бұрын
Big up,see u at the top
@geofreymwaitalako93622 жыл бұрын
Imetulia sana mm hapo earning skills yangu inabidi niongeze nguvu zaidi
@marcopeter4091 Жыл бұрын
Shukran mno
@epimackalfred2862 жыл бұрын
Brooo Joel video zako zimekuwa zikinipa motivation sana kwenye maisha yangu ya Kila siku ivi soon ntakuja na ushuhudaa
@rithamalisa46362 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bro joel Hap kwenye bima natakiwa nichukue hatau haraka san kwa kwelii
@rashidisaidi8535 Жыл бұрын
Naomba namba
@japhetjohn56972 жыл бұрын
Eneo la Mkazo Zaidi ni UTUNZAJI FEDHA .
@hamisilaini7392 жыл бұрын
eneo la uwekezaji
@daudkanyelele20172 жыл бұрын
Hapo ndio nakupata joel
@juliawnjeri59132 жыл бұрын
Wow thankyou 💓
@Udindigwa2 жыл бұрын
Amina
@athumaniabdallah68112 жыл бұрын
Kwenye matumizi hapo nahitaji kuweka mkazo zaidi naingiza 5000/= natumia 7000/= kuna shida mahali
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Ahsante sana
@njoroboihustla1252 жыл бұрын
MONEY💰 FORMULA🎱📌
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
BIMA KITU MUHIMU SANA 🙌
@yasirabdalla14302 жыл бұрын
Wafanya biashra t.
@mosescharles19212 жыл бұрын
Bajet natumia pesa viabya
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante sana
@kuruthumukondo7149 Жыл бұрын
shukrani kaka kwa elimu❤
@hildamushashu505611 ай бұрын
9:00 kwenye uwekezaji
@samwelisaid83632 жыл бұрын
🙌🙌🙌
@emanuelmanasekimaro2 жыл бұрын
See you at the top.
@ommynous82712 жыл бұрын
B I M A ....
@ALAMA_TV_ONLINE2 жыл бұрын
Pole kwa mafua kaka. Somo zuri
@masterkimarokimaro778 Жыл бұрын
Nimeelimika sana kaka
@iizalaw6674 Жыл бұрын
Kaka Joel ..sasa ukiwa na bima na usipopata tatizo inakuaje??
@JohnGregory-im2ze Жыл бұрын
Kaka naomba namba yako ya wasp
@sixtussperatus7112 жыл бұрын
Mimi apo kwenye akiba kaka nime feli kutunza
@moseskenedy70422 жыл бұрын
Naomba namba yako
@claudjohn7 ай бұрын
Naomba msahada wa namna ya kuweka akiba bila kuigusa hela ya akiba
@jeremiahmussa21782 жыл бұрын
hapo kwenye matumizi ndo tatizo kwangu nikipata ela natumia pakubwa sana. Kuliko kuweka akiba