Kaka Joel Tu nashukuru kwa Kulimisha Wa Tanzania na Dunia kwa Ujumla.umetusaidia watu wengi kupitia Mafundisho yako mbalimbali kwenye Platform mbalimbali. Mungu aKutunze na Kukubariki Sana.
@mrsultan87162 жыл бұрын
#shukrani sana kwa darasa kiongoz Ila kuna mda nashindwa kuchukua uhusika asilimia mia ,kwa kua mara nyingi unazungumzia au unatoa mifano ya watu walio ajiliwa au kujiajili ila kama #wanafunzi napata tabu kidog kuchukua uhusika 100% #Kama utalifanyia kaz nitashukuru..
@godzidendera30272 жыл бұрын
Daaah assnteeeh dr wa kutufumua vichwa vyetu
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka yangu naimani naweza fanya kitu
@mbelyterry15842 жыл бұрын
Joel hii ime nifunguwa hakili Asante
@ashaidd29122 жыл бұрын
Nimeipenda Niko ktk ujenzi wavnyumba ya kupangisha nakushukuri sana
@tukaesanatu2754 Жыл бұрын
Asante kwa ushauri baba
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu pia mwalimu wetu unatufungua sana
@aboumwanyika8982 жыл бұрын
Nakuelewa bro
@doctevincento2 жыл бұрын
Napenda mawaida yako, yamenibadilisha kiasi Fulani kimawazo...
@anjelinamdugange8252 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri
@medlucas56862 жыл бұрын
Naelimika Sana mungu akubariki sana
@NZAMUYEJoseph2 ай бұрын
Cashflow quadrant by robert kiwasaki . Asante nimeongeza kitu dk joel Nanauka
@kizzkevin11972 жыл бұрын
Aise 🙆🙆🙆🙆🙆 wewe ni noma sana
@timothykengere25352 жыл бұрын
Shukrani 📚📚📚
@piliramadan875 Жыл бұрын
Asante sana brother
@kelvinbernard54532 жыл бұрын
Kwa sasa Niko kwenye active income, ila nataka mwaka huu ni wekeze kwenye profit income,dividend income na hiyo ya kutumia ubunifu (loyote income)
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Bomba sana
@sebastiansappy5327 Жыл бұрын
Ubao hauonekani vzuri
@nizigabosco33592 жыл бұрын
Very well you're blessing fo me
@justinebaada90792 жыл бұрын
barikiwa sana mentor wangu
@piliramadan875 Жыл бұрын
Masomo nimeyaellewa sana
@mussaukwaju64952 жыл бұрын
Dah mwenye I mungu akupe maisha marefu ili tuendelee kupata faida nakuelimika kupitia ww aaaaamin Bro tukimtoa mungu mgawaji wa rizki na mkadiriaji wa mambo, kwa kumleta rafiki yangu kunikwamua kwa kunipa Nafasi au chaneli, aliebaki ni ww braza wangu JOEL nakuombea mungu saana aendelee kukufungulia ya kwako kama ww unavosaidia viumbe wake aaamiin Hapa nilipo Leo hiiii mimi nikwa mapenzi ya mungu kwa kunijalia umakini kufatilia video zako. Bro I need a menta pls help me
@MOTecnology2 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kaka
@lenusikalawa74662 жыл бұрын
Mimi natumia mbili hapo 1 na 6 hayo nimepambana nayo mpaka nimepata nyumba,kwa saizi tena nayatumia ili niwe na mtaji wa sh.milioni Mia na ninauhakika nikiwa mzima tu nakwenda kufanikisha.
@humphureyurasa84242 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri sana, je ni sahihi kuchukua mkopo ukaanzisha biashara?
@allynguvumali47412 жыл бұрын
Iko Waz ni sahihi usiogope kikubwa uwe mzuri kwenye money saving.
@shukranjulius9526 Жыл бұрын
@@allynguvumali4741 Asiahau kuangalia maeneo pia ya kufungua hiyo biashara
@Madam2557 ай бұрын
Mimi nmewekeza kwenye Ardh nilinunua kiwanja nataka nije nikiuze baadae
@nvpmedia64672 жыл бұрын
Asante sana kwa Mafundisho mazuri sana Mimi natumia ya kwanza Saizi But kupitia haya mafundisho Mungu akinipa neema Mwaka huu nitafanya pia Namba 5 ya kukodisha nikifanikwa nafuata namba 4 alafu namba 7 Hizo zitanifaa Kwa Tasinia yangu au kazi yangu ya Videograph & Photography
@mussakhamis23772 жыл бұрын
Thank you broo
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante sana
@piliramadan875 Жыл бұрын
Shukean
@boscobalame80182 жыл бұрын
Thanks 🙏
@ester-qs7gi2 жыл бұрын
Point no 6
@anethmajura2 жыл бұрын
Ishi miaka mingi uendlee kutujenga🙏
@ernestmbala36092 жыл бұрын
How i can get your books sir ,
@danielsimon82352 жыл бұрын
Gud
@rabielkaaya37642 жыл бұрын
🤝
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Kuna kimoja umekitaja hapo nakifanya lakini nilikuwa nakichukulia poa lakini saiv ulivyonielezea nimepata kitu
@gideonmajura6942 жыл бұрын
ROYALTY INCOME
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🙏📝
@T.a.s.i.o.n2 жыл бұрын
Nanauka napenda siku moja nikutengenezee music laini kwaajil ya video zako 👇 My vocal sample kzbin.info/www/bejne/jpykaZ18iM1lq6M