No video

LIFE WISDOM : KABLA HAUJAFANYA BIASHARA NA NDUGU RAFIKI - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 5,645

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 31
@milkajm4762
@milkajm4762 4 ай бұрын
Kaka Joel umebeba sauti ya Mungu. Be blessed my brother
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 4 ай бұрын
Asante joel kiukweli tunajifunza kwa walioumia, wengine akikutana na mtu anamkabidhi MOYO wake na biasharaYAKE, anadhani kwakuwa anamjali sana kimwili na kihisia! Ndivyo atKavyojali biashara😂
@DanielaSanka-ns4tv
@DanielaSanka-ns4tv 4 ай бұрын
Wiki moja iliyopita kuna kijana nilikutana nae tu mtandaoni akanambia tufanye biashara atanisaport pakubwa lakini sikutaka kumwmini nikamuuliza rafk yake akananmbia hyu kijana atakutapel usimuamini mwambie kama ana malengo na hiyo biashara andikisheni mkataba chini ya mwanasheria nilivomwambia hivo alikasirika sana baadae akaanza kuniambia sina malengo et hawezi kuandishana mkataba kisa kitu ambacho hakionekani na sasa tumegombana..asante sana kaka joel Mungu akusimamie😊
@daudhabona8897
@daudhabona8897 4 ай бұрын
Kiukweli kosa tunalofanya tukiingia kwenye partnership na ndugu na marafiki Huwa tunakubaliana kwa hisia bila mikataba, hii hupelekea kufeli vibaya. Kama unataka kushirikiana kibiashara wekeni mikataba na Sheria Kali. Atakae kengeuka. Awajibishwe. Mi hili limenisaidia na kampuni yetu inakuwa vizuri. Angalizo tafuta mtu mwenye uwezo.
@ValerianaGrm-bi5hd
@ValerianaGrm-bi5hd 4 ай бұрын
Kwel kabisaa ,,,thank kwa elim nzurii
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 4 ай бұрын
Asante ndugu
@user-gz1cd6kn5j
@user-gz1cd6kn5j 4 ай бұрын
Umini fungua
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 3 ай бұрын
Ahsante sana mwalimu wangu
@godfreygerase8713
@godfreygerase8713 4 ай бұрын
Sio kusubili story labda ni jambo ambalo nalipitia mm mtu anabadilika mala moja anaweza ata kukupeleka kwenye uongozi wa sheria!! Fedha ina siri kubwa ukiipata kuna namna itakufanya kubadilika kama hauna nidham nayo itapepea kama upepo nazidi kutembelea kwenye nukuu zako TUPANGE BAGERT nina imani tunaweza kua na nidham asante sana kaka🙏
@Keyjop
@Keyjop 4 ай бұрын
Some times vitu huenda vise versa unaeza fanya biashara na ndugu mwisho unakuja kujua kua alitaka uwe chawa wake na sio patnaship wake ... Unachokaaa
@user-us7mc7ur5y
@user-us7mc7ur5y 3 ай бұрын
Napata maarifa kila siku😅
@gloryomary8481
@gloryomary8481 3 ай бұрын
Kuna ile unaingia ubia na ndugu aliyekuzidi umri, sasa yani inakuwa yeye ndio anajua kila kitu kila unachoshauli au ukitaka kufanya ye haelewi wakati pengine pesa mliyowekeza ni sawa lakini hataki kupokea ushauli wako kwenye jambo lolote.
@Princeraphael10
@Princeraphael10 4 ай бұрын
Nakufatilia bro..always you do inspire me thank you..
@furahasweya7433
@furahasweya7433 4 ай бұрын
Asantesana kaka Joel kwa kunikumbusha hujakosea yote ni kweli na mie nimeyapitia na familia yangu imeumia sana kwa kutokuyajua hayaapema
@IbrahimDaudi-bo7ke
@IbrahimDaudi-bo7ke 4 ай бұрын
Za Kwanza Salamu "Habari Kaka Joel"I Hope Umzima,Mmmmh!!!!! Nafraiiii Sana Kusikia Hili Somo Lakini Limenigusa Sana.Sina Zawadi Yakupa Kwa Sai Maombi Yangu Ni Mungu Akueke Maisha Marefu,Hebu Ni Saidie Fundo Ni Kwamba Huruma Mwibgi Huleta Hasara Na Maumivuu.
@phinnalyimo8268
@phinnalyimo8268 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa mimi nilijaribu kufanya biashara na ndugu ili kusaidia ktk maisha yake na familia yake matokeo yake ni majuto sikufanikiwa kupata hata one sh.😢
@mwanaidihassan5868
@mwanaidihassan5868 4 ай бұрын
Haloo Kuna ndugu kwenye Hela Yuko radhi mgombane hata msijuane, hii ni kwel kabisa Kuna watu na Hela au biashara ni maadui wakubwa
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 4 ай бұрын
Asante bro, jana nimetoka kufunga duka langu sababu ya kufanya kazi na rafiki, mwaribifu wa pesa
@jamesshirima33
@jamesshirima33 4 ай бұрын
Kaka Nanauka ubarikiwe sana 🙏🏽🙏🏽🤝🏿
@abdulfatahjuma3105
@abdulfatahjuma3105 4 ай бұрын
Nimejifunza kitu....shukran
@user-qv3eo5pb3g
@user-qv3eo5pb3g 4 ай бұрын
Shukran joel❤
@MalongoRichard-md5dv
@MalongoRichard-md5dv 4 ай бұрын
Nasubiriaaa #joelnanauka
@user-qv3eo5pb3g
@user-qv3eo5pb3g 4 ай бұрын
Imenikuta joel❤ shukran
@AlphaMosses-vy4ed
@AlphaMosses-vy4ed 4 ай бұрын
@Mariyamtz
@Mariyamtz 4 ай бұрын
Shukran sana kaka
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 4 ай бұрын
Imenikuta hio
@user-je4jq8rm4v
@user-je4jq8rm4v 4 ай бұрын
Tufanyaje ili kuepuka hiyo situation
@issazambiko6489
@issazambiko6489 4 ай бұрын
Kaka umenifanya niwe jasili sana na kuwa makini saana hasa kwenye matuminzi yangu ya kifeza nashukulu sana na mungu akubariki sana sema kaka mbona asahivi umepoa sana unavyo ongea maana sijakuzoea hivyo au umeamua kuwa hivyo?????
@janetmbwana553
@janetmbwana553 4 ай бұрын
😂😂ila kiukweli Kuna wale rafiki kachukua pesa yako alafu kwenye kulipa yupo kimya, hajib calls Wala text Yan anakuwa kimya sasa mtu wa namna hiyo jmn pia tunaweza kuonekana wabaya tukireact? Kiukweli mi naweza kuhusuana ila kama hajielewi looh 😂😂apo lolote laweza tokea Yote ya yote Asante sana kwa ukumbusho mana hili ni eneo nyeti sana na muhimu katika maisha 🙏🙏🙏 nimejifunza kitu
@pauljosephtarimo2279
@pauljosephtarimo2279 4 ай бұрын
Miaka mitatu iliyopita nilijichanganya kushirikian na rafiki nikapoteza milioni 7.sitasahau
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 4 ай бұрын
Asante joel kiukweli tunajifunza kwa walioumia, wengine akikutana na mtu anamkabidhi MOYO wake na biasharaYAKE, anadhani kwakuwa anamjali sana kimwili na kihisia! Ndivyo atKavyojali biashara😂
LIFE WISDOM : UJASIRI - JOEL NANAUKA
14:17
Joel Nanauka
Рет қаралды 16 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 147 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 45 М.
Usiruhusu mtu mwingine akuumize
4:43
Elias Mwinuka
Рет қаралды 9 М.
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
NAMNA YA KUJIANDAA KUZUNGUMZA: JOEL NANAUKA
16:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 5 М.
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 121 М.