Tangu nilipo anza kufuatilia mafunzo yako 2020 imenisaidia pakubwa sana,kwanza mafunzo ya jinsi ya kuekeza,sasa hivi ninaendelea kujenga kwa sababu ya kuanza kusave zaidi after your teachings,,apart from praying in the morning as a Christian nilijifunza kufanya vitu vya kunisaidia asubuhi like kusoma vitabu ama kuskiza mafunzo KZbin, kuandika malengo na kujua gani ya maana na kutengeneza diary, siezi elezea zote lakini ninajua nimebarikiwa na kujifunza mengi from your teachings, be blessed man of God, continue doing what you are doing, only God knows how many people have benefited from you,,,barikiwa barikiwa barikiwa
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Nice
@iizalaw66742 жыл бұрын
Nice dear, unatumia account au taasisi ipi ku save ??
@julieawinja83732 жыл бұрын
@@iizalaw6674 nilizidisha kusave kiwango nilikua nasave before,kwasababu mwanzoni nilikua naweka matumizi mbele alafu savings mwisho,,lakini baada ya mafunzo nikaanza kusave before using,then I didpline my self and consistent saving,, after 3months of doing that nikaongeza saving to 50percent of my salary because I was happy with my account balance,,I did that till now I use only 30 percent of my income,, but now because I started investment I no longer save in my account but am investing,, remember am still taking care of my 2kids and am the mum and their dad,am working as a maid in Dubai and part-time as a hairdresser
@adeelgeniuz2 жыл бұрын
@@julieawinja8373 wow great 🔥 👏👏
@evaleen43592 жыл бұрын
Hongera sana Joil Nanauka mungu akubariki kwa
@charlesjohn57922 жыл бұрын
Ninahisi Roho wa Mungu huwa anakuongoza kutoa ujumbe kwangu ambao ni precisely na timely. May God bless you Joel.
@neemashirima61212 жыл бұрын
Hakika sijutiii mb nazotumia
@khadijakisingo79202 жыл бұрын
Najoona mtu Bora sana toka nimfahamu Joel nanauka 🙏
@ashaidd29122 жыл бұрын
Mafunzo yako yamenibadilisha Sana mungu akubariki
@boscobalame80182 жыл бұрын
Mwanzo umeanza Kama unanilenga Mimi Aisee ivi wajuaje haya??? Mwalimu Joel nanauka Uishi daima Hata Mimi toka Ni follow you nimechange kwa SEEMU maisha Yangu afu nimeongeza Imani nanajiamini kupita kawaid God bless you 🙏
@mosesmargana4312 жыл бұрын
Ni kwel kabisa
@Udindigwa2 жыл бұрын
Amina
@iizalaw66742 жыл бұрын
Amen nipo tayari kuanza upya , MUNGU niongoze
@muzlyzam2 жыл бұрын
Ahsante sana
@timothykengere25352 жыл бұрын
Shukrani 📚📚📚📚📚📻
@Justinebaada2 жыл бұрын
nakufatilia sana mentor wangu hakika unanijenga sana
@michaelbalton78662 жыл бұрын
Amen
@brianamichale55282 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@williamelias73282 жыл бұрын
Asante kaka
@Lululemon552 жыл бұрын
Kwakweli natamani nianze upya lakn kuna watu nashindwa kuwasamehe kila nikijikwaa kidogo natamani nikawachinje, eeh Mungu nisaidie
@gabrielchristopher19792 жыл бұрын
Kutokusamehe kutazuia Baraka za Mungu kwako.
@asnathnyabagala92922 жыл бұрын
Achilia makosa Yao Omba MUNGU akupe moyo wa kusamehe Kutosamehe ni hasara kwako
@ramadhanbashir84842 жыл бұрын
Baba endelea kutulea tu mpaka pumzi ya mwisho .
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Shukuran sana
@mishlamila787011 ай бұрын
The background song is making your video congested and not easy to listen to