No video

Mbinu 4 Za Kukabiliana Na Msongo Wa Mawazo (Stress) - Joel Arthur Nanauka.

  Рет қаралды 49,303

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 86
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 6 жыл бұрын
Kaka ww nimtu muhimu sana katika jamii Asante Mungu kwa ajili ya kiumbe wako huyu. Sijuwi niseme nini kwa uwezo wake Mungu nimeona vipindi vyako vimenifariji sana nilikuwa namsongo mkubwa wa mawazo ila kwasasa nipo huru umenisaidia sana kaka kwa uwezo wa Mungu
@aminajuma1435
@aminajuma1435 5 жыл бұрын
Asiah , kweli kabisa Mungu amzidishie umrimrefu na elimuzaidi
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 5 жыл бұрын
@@aminajuma1435 ameen
@johnkisskatembobagaya6836
@johnkisskatembobagaya6836 4 жыл бұрын
Kwakweli Kaka hongera Sana namashauri yako, kweli ubarikiwe Sana maana maneno yako yamekuwa faraja ya moyo wangu,tena ulio yaongeleya yote yamenigusa,kwani nilikuwa nilisha chukuwa maamuzi mabaya.ila Kuna tatizo yule ambaye anaye nisababishiya strss Ni mutu wakaribu Sana,nilisha jaribu, kuongeya Naye bimeshindikana,najaribu kuambiya mwengine mutu iliamuonyeshe,pahali yakubadirika binaongezeka,kakangu nifanyeje sasa?yani nimeshindwa kwakweli
@aishaadam7945
@aishaadam7945 5 жыл бұрын
Watanzania au dunia kwaujumla twahitaji watu kama wewe kaka angu Mungu akuzidishie
@fundieddy3490
@fundieddy3490 5 жыл бұрын
Asante. Hili somo huwa linanipa faraja mno. Nina stress ya mahusiano. Ninatengeneza mazingira ya hovyo (nina uzembe wa kuwaamini watu pasipo kuwa na tahadhari, wananipa ahadi 'fake' nami ninatoa ahadi ambayo inakuwa 'fake'). Watu hawa wananilazimisha kuishi maisha yasiyokuwa ya kwangu k.m. KUWAKERA kitabia watu NINAOWAPENDA na KUWAHESHIMU ambao pia WANANIPENDA na WANANIHESHIMU.
@alimatambwe8864
@alimatambwe8864 6 жыл бұрын
I really love you guys yani vipindi vyako navipenda sana sana Kaka you so smart yani ukiadisia unanifanya mimi kufarijika Mungu akuweke maisha marefu tunakutemea Kaka
@robertmabu9289
@robertmabu9289 5 жыл бұрын
aasantee sanaa bro good job
@rajabuadriano6620
@rajabuadriano6620 5 жыл бұрын
Shukrani Sana Mr.Nanauka kwa elimu unayotoa kwa jamii kinachobaki Ni utekelezaji kwa anayeyachukua na kuyafanyia kazi. Mwenyezi MUNGU akuongezee maarifa zaidi na tuombee pia
@mkubwahamidu4595
@mkubwahamidu4595 3 жыл бұрын
Wewe ni mtu makini sana na wakuzingatiwa, hongera kwa upeo mkubwa ulionao, Mungu akuzidishie, amiin.
@user-tu1uh5sy8e
@user-tu1uh5sy8e 3 ай бұрын
Kazi fiti Sana
@lilianmyenda6331
@lilianmyenda6331 6 жыл бұрын
I've just came across your videos And I can't get enough of them
@fredynywage9211
@fredynywage9211 5 ай бұрын
Ubalikiwe mtumish
@robertgwelela6581
@robertgwelela6581 6 жыл бұрын
Duuuh! Mungu atusaidie sana.
@boscothilia4643
@boscothilia4643 6 жыл бұрын
Asante sana Joel Arthur Nnauka, session yako imeongeza kitu kikubwa
@mohamedkiyonjo2551
@mohamedkiyonjo2551 5 жыл бұрын
Asante sana umeniongezea kitu kikubwa sana
@josephnaaman1851
@josephnaaman1851 5 жыл бұрын
Naomba namba yako ya simu if posible
@lydiaedwin3548
@lydiaedwin3548 5 жыл бұрын
ahsante kaka nimejifunza
@gibsonlaureangmail.
@gibsonlaureangmail. Жыл бұрын
Dr Nanauka may God bless you,
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 6 жыл бұрын
kweli mr
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 жыл бұрын
Asante sana kaka
@saidihemed8001
@saidihemed8001 6 жыл бұрын
Shukrani sanaa bro
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Saidi Hemed pamoja
@fatmarashidi8353
@fatmarashidi8353 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@danielmboje8751
@danielmboje8751 2 жыл бұрын
Mzee uko vizuri endelea kutusaidia
@rubensanga9130
@rubensanga9130 6 жыл бұрын
thanks a lot
@MariamuMussa-nc8lq
@MariamuMussa-nc8lq 11 ай бұрын
Asante sana kaka mimi nilikuwa na mawazo mpaka basi yani adi nikawa naogopa usingizi sipati nashukur mungu jamani🙏
@daviderinest8230
@daviderinest8230 2 жыл бұрын
Asante sana umekuwa elimu kwangu
@dhulhammudy9596
@dhulhammudy9596 5 жыл бұрын
Nakubal sana
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Kweli mahusiano
@Mjenzi
@Mjenzi 10 ай бұрын
Nimependa tena
@evaristmbunde7947
@evaristmbunde7947 2 жыл бұрын
Umezungumza Mambo mazur ya yamsingi Sana aiseeeeeee we kajamaaaaaa
@Double.B696
@Double.B696 10 ай бұрын
Nimedecrease stress just kwa kukusikiliza Nanauka ni mmoja. Wa wachache ninaowakubali of course thank you
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 6 жыл бұрын
Asante sana
@eliahlaizer9926
@eliahlaizer9926 4 жыл бұрын
Broo tutengenezee group la wathsapp hata kama ni kulipia ni sawa
@noelakyungu628
@noelakyungu628 6 жыл бұрын
Thank you Coach
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
noela kyungu karibu sana
@herbertmisango1609
@herbertmisango1609 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu na yenye balaka tele unafas kabisa kuwa mtawala. Katika nchi
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 жыл бұрын
@@joelnanauka Hallow,nitapataje namba yako(ni muhimu mno pls)
@dulanus7286
@dulanus7286 5 жыл бұрын
Mr nilikuwa na unisaidie kuondoa stress nilipata kutoka na mahusiano
@nereaigogo4442
@nereaigogo4442 6 жыл бұрын
Mh si kwa nondo hii Yan hauchoki kusikiliza na kujifunza
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Nina shukuru sana katika somo hili
@jafarsamwel9498
@jafarsamwel9498 5 жыл бұрын
Asant kak joel
@gibsonmasafa4426
@gibsonmasafa4426 6 жыл бұрын
Yeni mb zangu zina Isha harali
@mhoja2069
@mhoja2069 6 жыл бұрын
uko vizur
@joramkweka4470
@joramkweka4470 4 жыл бұрын
Habari Dr Naitwa Nick mimi napitia hali hiyo naomba msaada wako
@charlesnyanda1846
@charlesnyanda1846 2 жыл бұрын
mambo mengi unayozungumza mtu akiyasikiliza anafaid bg up
@amanijolam4140
@amanijolam4140 6 жыл бұрын
uko vizuri sana ila na maswali mengi ya kukuuliza.
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 4 жыл бұрын
Safii sana kijana
@harunayussuf6866
@harunayussuf6866 4 жыл бұрын
Haya matatizo mabaya sana mungu tuepushe insha Allah
@qualitymediaproduction
@qualitymediaproduction 4 жыл бұрын
MW NA STRESS KABISA NASAIDIWAJEE SASA
@asiyaasiya2226
@asiyaasiya2226 3 жыл бұрын
Nikwel broo kbs
@lydiaedwin3548
@lydiaedwin3548 5 жыл бұрын
nahis kuto samehe kumekuwa kikutafuna amani yangu nashukuru mnoo
@zoozzoz9879
@zoozzoz9879 2 жыл бұрын
Mahusiano,familia
@johnanah3438
@johnanah3438 5 жыл бұрын
Eeeh kaka Mimi niko kwnye stress Kisa mapenz ata kujiuwa nime waza
@lavieriziki4705
@lavieriziki4705 Жыл бұрын
Muhimu sana
@robertgwelela6581
@robertgwelela6581 6 жыл бұрын
Kweli mwalimu stress nyingne hadi upate mtu sahihi wa kumwambia.
@yusuphmohamedy1316
@yusuphmohamedy1316 6 жыл бұрын
Nakuku Bali Sana bro
@williamkihiyo3721
@williamkihiyo3721 6 жыл бұрын
Yusuph Mohamedy tupo pamoja
@yusuphmohamedy1316
@yusuphmohamedy1316 6 жыл бұрын
William Kihiyo asant
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
ahsante sana Nakuku
@elishabatwel5642
@elishabatwel5642 6 жыл бұрын
brother wewe ni mtu nakukubali sana ,,unajua unafanya nn?!!!tunashukuru kutupa elimu nzuri
@user-hq2nc1bg1o
@user-hq2nc1bg1o 9 ай бұрын
Bro Joel umeongea ukweli
@sebastianmassawe9527
@sebastianmassawe9527 6 жыл бұрын
Hakika kaka joel huwa nikisikiliza mafunzo yako huwa naelewa vzr zaidi kuliko maana unajuwa jinsi ya kupangilia mafundisho yako?
@user-to5ly8bq9g
@user-to5ly8bq9g 5 ай бұрын
Yaan ata mm ninayo hayo matatizo kabisa
@enockidrissa4904
@enockidrissa4904 3 жыл бұрын
Yaani yote umezungumza n sahihi bro
@yusuphmsely8734
@yusuphmsely8734 5 жыл бұрын
minahitaji kitabu kinacho fundisha jinsi ya kupata mafanikio ntakipata wapi niwe najifunza mala kwa mala
@rosaliamayengo5203
@rosaliamayengo5203 Жыл бұрын
Mafundisho yako ni mazuri ila shida ni watu wenyewe wanaosabbisha stres waweza hoji kitu mfano umwmfumania mume live majibu anayokupa achana na mimi mi ni mwanaume huwzi kunizuia kuwa na wanawake wengi tena anaonhea kwa ujasiri sasa utafanyaje ?
@rahmahamisi7604
@rahmahamisi7604 3 жыл бұрын
Yan mimi nikiwa na stress nakula sana
@saidihemed8001
@saidihemed8001 6 жыл бұрын
Wapi tunaweza kupata copies za vitabu vyako kwa wakaazi wa Mbeya?
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Saidi Hemed wasiliana na 0756094875
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Je umeolewa kwenye ndoa miaka zaidi ya 20 ila kila siku hupewi matumizi unaachiwa 2000 au 1000 una familia ya watu sita je ufanye nini hapo lakini pia mume kila siku wanakunywa pombe je nifanyeje sasa
@NizaLuka-gi8hf
@NizaLuka-gi8hf 10 ай бұрын
Sasa mkuu nikubaliniaje na hiyo hali? Yaani hiyo hali nilizike nayo vip
@hadasuleimanhaji7823
@hadasuleimanhaji7823 Жыл бұрын
Ukip0teza mtu wako wa karibu hasa mpenzi uliemueka moyoni ,kiukweli hutaki tena mpenzi mwengine unaamua bora uishi hivi hivi ,sijui hili utanisaidiaje wakati limenikaa kichwani
@hadasuleimanhaji7823
@hadasuleimanhaji7823 Жыл бұрын
Nimevutiwa sana na mada yako hiyo yaani mungu akubariki sana umeweza kunitoa mashimoni
@rajabukidanka4957
@rajabukidanka4957 3 жыл бұрын
Mmh
@ayshakhamis1055
@ayshakhamis1055 2 жыл бұрын
Hiyo hali ninayo natumia dawa gani ila nilipata ajali nikagonga kichwa chini kwenye vimbi nikakaa miezi miwiri ndio iyohali ikajitokeza akili inashidwa kufanya kazi pili moyo haunalaha sina amani kabisa
@froridaanthony3278
@froridaanthony3278 3 жыл бұрын
nakuelewaga wewe joel tu
@aminasaleh6134
@aminasaleh6134 3 жыл бұрын
nikwel unayosema na tunayo hayo
@enockidrissa4904
@enockidrissa4904 3 жыл бұрын
Naomba number yako
@allyabdallah5893
@allyabdallah5893 3 жыл бұрын
Nkubal san
@lydiaedwin3548
@lydiaedwin3548 5 жыл бұрын
ahsante kaka nimejifunza
@graceanamichael4125
@graceanamichael4125 4 жыл бұрын
Nakushukuru kk nimekielewa
@graceanamichael4125
@graceanamichael4125 4 жыл бұрын
Nimejifunza vitu hapa
@user-to5ly8bq9g
@user-to5ly8bq9g 5 ай бұрын
Yaan ata mm ninayo hayo matatizo kabisa
@johnanah3438
@johnanah3438 5 жыл бұрын
Eeeh kaka Mimi niko kwnye stress Kisa mapenz ata kujiuwa nime waza
LIFE WISDOM : PRESHA ZA MAISHA - JOEL NANAUKA
16:39
Joel Nanauka
Рет қаралды 9 М.
LIFE WISDOM : MAJIRA YA KUTENGANA NA WATU - JOEL NANAUKA
15:50
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 18 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 81 МЛН
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Ishi Katika Uwezo Wako Wa Kipekee Sehemu Ya Kwanza
17:27
Joel Nanauka
Рет қаралды 105 М.
TABIA 11 ZINAZOZUIA MAFANIKIO   - SEHEMU YA  KWNZA (1)
12:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 82 М.
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 66 М.
Jinsi ya kukabiliana na aibu - Joel Nanauka
7:18
Joel Nanauka
Рет қаралды 29 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 264 М.
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН