Wanaume waivo wapo wengi sana wanawake tuna teseka sana kwenye ndoa Ila uvumilivu ndo unatusaidia Asante sana kaka mungu akutunze 🎉🎉🎉
@meryanmwailakale6703 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu kaka joel, najifunza mengi sanaaaaaaaaa na masomo yako
@VeronicaYengaАй бұрын
Ni. Shida sana ,wanatesa wanawake waliowavumilivu,
@faridaaloyce76723 жыл бұрын
Hapo kwa badboy...uwiii nimeamua kumuepuka watoto watano kila mtu na mama yake...mmi hapana.
@khadijajuma71423 жыл бұрын
Aisee hawa Perfect ni shidaaa. Nishakutana nae aisee na juzi tu nimeamua kunyanyua mikono aende japo Nampenda sana. Ila kila ukizoom huko mbele itakuaje ni mtihani. Maana kila kitu utakua ww ndo chanzo,simu unapiga ww hapokei, ukiuchuna unakuja kuambiwa Una kiburi kisa hujamcheki 😁😁😁na atakuambia nakupigia simu hupokei wakati hakuna simu yake iliyoingia kha 🤣🤣🤣Akiwa na tatizo ww uwe bize nae, na usipokua bize nae anaona humjali, ila ww ukiwa na tatizo hata ukiumwa hana mda wakukucheki hata kukujulia hali mpk akijisikia. Jamani mahusiano na hawa viumbe ni magumu mweeeh. Na ukilalamika kwa kutokujali kwake kibao kinarudishwa kwako unajikuta ww ndo unaomba msamaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubinafsi mwingi mno kwa hawa viumbe. Hadi unajiuliza kama ww tu hakujali ndo atajali ndugu zako, jibu unapata hakuna. Mwee Haya maisha stress tupu,bora niendelee kupata stress yakutafuta pesa. Watoto wa mama mkwe ni ugonjwa wa moyo.
@salehsaleh5483 жыл бұрын
Hehehe aisee hii hatariii
@khadijajuma71423 жыл бұрын
@@salehsaleh548 😂😂😂😂😂Hatari kweli, unaweza kufa huku umesimama. Yaani mpenzi wa hivi ni kwikwiii, hawatakagi kuambiwa wamekosea, afu wasiri waliopitiliza, hawapendi kuulizwa sana 🤣🤣🤣ugomvi tu ndo hawawezi ila kununa mtashindana hata kama kosa lake. Hawajui kubembeleza, wanachojua wao ni wao tu wabembelezwe, aidha umemkosea au kakukosea utarudi ujishushe ww, ktk wanaume hawajui kuomba msamaha ni hawa!!! Yaani akili yake inamtuma yuko Perfect kila kitu kukuomba msamaha kwake dhambi. Na kusamehe kwa dhati ile nimekusamehe yaishe kweli huo ni mtiti mwengine 😂😂😂😂😂Anaorodhesha makosa balaaa, unakuja kushangaa kitu cha miaka ulishasahau yeye kipo stoo kipyaaaa,unakumbushwa hadi unashangaa afu eti mlishaongea akadai yameisha 🤣🤣🤣afu wanakuaga na fake smile.Yaani nilimsoma tabia zake kama kitabu, afu nikimuangalia nacheka.
@salehsaleh5483 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 nimekueelwaa sasa kwa sasa umeamuwa kuwa peke yako au umrpata mwingine😀😀😀
@khadijajuma71423 жыл бұрын
@@salehsaleh548 😅😅😅saa hizi nirudie tena stress. Acha tu niangalie maisha yangu kwakweli nisijekufa kabla ya mda loh.
@salehsaleh5483 жыл бұрын
@@khadijajuma7142 ukipata kama mm utafurahi na maisha yako😊😊😊
@matrugnawangaeli48153 жыл бұрын
Asante Joe, katika mafunzo inepata fundisho tosha. kwani uuhusiano sio kitu rahisi. Ikiwa ina deal na ndungu, jamaa na marafiki. hakika uuhusiano wa ndoa una changamoto nyingi. Hawa wanaume wa aina hii tukonao katka safari. Je una ushauri gani. Naomba uelezee tu kijumla.
@josephkashalu41733 жыл бұрын
Daaaah ahsante Sana kwa mafundisho pia mm ni mmoja wa wanaume niliepoteza mwanamke nmpendae kwa tabia zangu na mifumo yangu ya maisha
@cupcandymushi91264 ай бұрын
Big up kwa kujitambua❤
@rosemarygelas14738 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri , wakwangu ni no 4 na tano uwii ni mtihani sana
@IdrissaMaulid-m4n2 ай бұрын
Asante Kaka nashukulu nimejifunza mengi juu ya hili SoMo nimeteseka Sana
@ladymarry3 жыл бұрын
Asante saana kaka Joel Nanauka kwa Elimu nzuri.wapo saana na wengne tunapata taabu kuwarudisha kwenye mstari kwan wameshikiria wanavyomin wao kuwa ndio viko sahihi na wasijue ht kama wanaumiza wenza wao ht jamii iliyowazunguka pia..na wanajichelewesha hata bila kujua, ni neema ya Mungu tuu ndo huwafanya waelewe baadae na wengne hufungwq ufahamu kabisa mpk wanazingua kaburini.🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽shukran kwako na Mungu akubariki hujawahi niboa kwenye mafundisho yako..
@estherndola4900 Жыл бұрын
Kuna mwamba mmoja yeye ni controlling type of a person, Mr right na egocentric Harafu ndo mume sasa.. hali inakuwa ngumu sana.. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@glorianyambua13488 ай бұрын
MUNGU akubariki sana,, tangu njue channel yako nmesaidika sana na kujua aina za watu na category zao
@rachellyeme30973 жыл бұрын
Yaani ni aliyekua mume wangu kabisa na nimemkimbia kweli si utani japo hatujadivoce bado na sitegemei kurudiana kabisaaa
@mohamedsuleiman72153 жыл бұрын
njoo kwangu bac.
@devothasimbi64953 жыл бұрын
Same to me 😂😂 kabisa
@akshots_tz3 жыл бұрын
hahaha hawa bad boy nimecheka sana, asante kwa somo mwalimu..
@jacksonenock523112 күн бұрын
😄😄😄😄Burd boy imenifurahisha sanaa
@mcnyoka3 жыл бұрын
First Joel nijibu nivimbe
@joelnanauka3 жыл бұрын
Haya MC Nyoka
@joycehaule97173 жыл бұрын
Nanauka mawasiliano yako wapi?
@mariahungwi63522 жыл бұрын
Halafu kuna wazembe na wasiotambua nafasi zao kwenye maisha ya mwanamke na familia
@nickrose95606 ай бұрын
Mungu akuweke we baba hii ni zaid ya point mamas boy hii inatesa mnoo
@dianahonge85123 жыл бұрын
Mwanang hilo neno man kuna wanaume wanakeraaaaaaaaa uuuwiiiii
@claramrosso2566 Жыл бұрын
Jamoni imebidi nicheke manake kila aina ilotajwa yupo Mungu akubariki brother
@ziddyziddy25243 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@sweetbertmligo96373 жыл бұрын
Wambie na wadada hao,nao wapo wanaosumbua balaa!
@vicentndiholeye10672 жыл бұрын
kweli kaka tutajilekebisha asnte sana kwaushauli
@ashaally58833 жыл бұрын
Asante kaka mume wangu alikua na sifa ya kwanza na ya pili sana nashukur mungu nilishajitoa kwake now niko napambana na hali yangu natafuta kuliishi kusudio langu 😊😊😊😊😊
@kumekuchaonlinetv2 жыл бұрын
Asha Alli kwa nn usimsamehe ili maisha yaendelee?
@gracejonh40222 жыл бұрын
Hapo kwa akina bad boy ni kituko mh bora na mama 's boy 😄😄😄😄
@isayamaswayaga59142 жыл бұрын
Bro umetisha Mungu aendelee kukusaidia
@hawanamanga90972 жыл бұрын
Asante sana kaka Joel nami pia ni mhanga wa hapo kwenye bad boy na egomatic kweli ni shida sana nimevumilia sasa nimechoka namwache aendelee na maisha yake
@kumekuchaonlinetv3 жыл бұрын
Haaaa! Haaa! Mada nzuri sana hii,saluti kwako aisee!
@shukranikapange6082 жыл бұрын
mamaz boy
@magdalenacharles56153 жыл бұрын
Aisee ....
@keniajama36312 жыл бұрын
Asante Sana kaka kwa mafunzo mazuri mimi nilikimbia kulingana na tabia kama izo.
@rayansaldivar2796 Жыл бұрын
Mimi nikutana na number 5. Aise ............ Nipo karibu ya kukimbia
@PiusJusta3 жыл бұрын
Jamani me ninae uyu mwenye tabia ya mwisho nikishindwa nitaleta majibu
@ggvv9970 Жыл бұрын
Minajipata kila nimpataye nimoja waapo sijui nifanyenje 😂😂😂😂 ndio uwa nakufatilia ili nijiliwaze❤
@sarahcharles24732 жыл бұрын
Asant kwa somo zr
@galbeana24993 жыл бұрын
Wangu niuyo bad boy hakosi matokeo pia anaiyo yakuuza vitu bt niliamua niachane nae
@furahairene18293 жыл бұрын
Hawa watu kweli n wanaume wabaya Sana,lakn wenye wako tyr kubadilika Basi hudumu katika ndoa pia
@نجمةموبيبي2 жыл бұрын
Mmoja anayote hayo kaka Joel , nimekutana nae vyote hivyo anavyo
@ambrose_vevo1372 жыл бұрын
we moto ulikuwakia hakii 😂😂😂
@نجمةموبيبي2 жыл бұрын
@@ambrose_vevo137 😆😆😆
@khadijamisayo74763 ай бұрын
😂😂😂
@stephen-CEO2 жыл бұрын
Nina chembèchembe za 3 and 4 wooi mungu saidia
@meshackevance99593 жыл бұрын
Iv hii clip ulilekodi mwanzo mwisho 🤣🤣🤣 maana penye bad boy nimecheka kwa saut 🤣🤣 Ahsante mwalimu 🙏🙏👏👏👏
@heno10brown992 жыл бұрын
Daa Safi sana bro uko sawa udanganyi mana mi nilimpoteza mwanamke niliye kuwa nampenda saaana mpakaleo kwa tabia zangu za kipuzi wape soma na wanawake wawe wanatukweka wazi mapema siyo mtu mmeisha achana kaisha olewa ndipo ana kwambia ulikuwa una nimela 123 inauza sana
@janephernyakire64952 жыл бұрын
🤣🤣
@jaccquelinemakungu1777 Жыл бұрын
Kuna wanaodharau wanawake na kuwapa maneno mabaya
@aash41452 жыл бұрын
Jaman badboy ndo sitak hata kumuona ktk mahusiano heee😂😂😂😂majanga
@revolutionfilmsproduction96432 жыл бұрын
😅 umenifurahisha Sana kaka, kweli hayo yapo. Mimi nilijionea hao watoto wa Mama
@VelonikaMakota10 ай бұрын
Njoo.chukue huyu wakwang anamsikiliza mama yk
@mndambacomedian41273 жыл бұрын
joel master of life me sipo kati ya haina hizo ila nimeona watu wa namna ya aina ya mwisho na asante mungu akubalik
@joelnanauka3 жыл бұрын
Nashukuru kwa Kujifunza
@godfreymkilindi20223 жыл бұрын
Tuish nao kwa akili tuu ,Mungu akubariki kwa message unazo fundisha
@samsonjoel3349 Жыл бұрын
Ubarikiwe He chanzo Cha tabia hizi ni Nini na huweza kubadirika?
@great-african9032 жыл бұрын
Hapo hapo kwa badest boy
@ashudahiza78713 жыл бұрын
Nimefanyiwa hayo mengi sana na huyo yote nashukur nimetoka
@moudmgomo57422 жыл бұрын
mamas boy. najiona hapo
@daniekasenga46783 жыл бұрын
Aiseee ndiooo maaana , No: 3 Self Righteous & No:4 , Sasa namba 2 huyu tunamsaidiaje sababu namjua jamaa yangu mmoja yupo hivi .
@fridahk96 Жыл бұрын
Sidhaani Kama wanajiona kuwa wako hivyo Ila ni wengi sana
@BalumileMataba6 ай бұрын
Emeen Mungu nisaidie
@hamidaa38863 жыл бұрын
Yes no 4 na no 5 imeshanifikiya Ma Shaa Allah Asante sana Nashkuru nimepata faida sana
@sarahjackson87553 жыл бұрын
Yaani hizo sifa zoote ulizodadavua hapo zinamuhusu Mr right wangu😭zoote jamanii
@zahraalbaloochi28414 ай бұрын
Be blessed
@mwanashahussein68292 жыл бұрын
Hi yaani nilipitia nanishakimbia tayari nasasa naongopa kudeti tena maana sijui nitapata waaina ngani tena
@saikolojiaonline84033 жыл бұрын
Kongole kwako brother kazi nzuri barikiwa sana
@RahmaYusuph-eh4ry6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 mimi cna lakusema ila mada ya leo nimzuri sanaaa
@farajhassan17753 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki kaka Joel 🙏
@teklakibamtura2534 Жыл бұрын
Perfect man kama Adam hawa wapo wengi.
@BerthaSanga-o9z3 ай бұрын
Nahitaji ushauli kutoka kwako napataje namba zako
@akidasalim38593 жыл бұрын
Kwa hiyo kosa ni karibu na mama yk
@erikalutevele83622 жыл бұрын
Mmh Mungu tu ndo anajua maana ni shida
@anthonywilliam39773 жыл бұрын
Hongera sana
@shamimually14843 жыл бұрын
Ni Kweli kabisa mwalimu, ila kuna wanaume wengine ambao hawana maamuzi na misimamo yao
@shukuru97923 жыл бұрын
Daar ume nigusa
@pendojeremiah91113 жыл бұрын
Me nilishawahi kukutana na Mama's boy kiukweli nilimwacha ndani y mwezi mmoja,for sure wanakera🤣🤣
@CKMO3 жыл бұрын
Yaaaah sijui nisemeje ili nifahamike yani mimi mume wangu ni gubu yani ni lawama tuu 24/7
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Pole mtu asieridhika ujue pia hana huruma
@teychriss32483 жыл бұрын
No 4&5 ndiye niyenae Sasa ! Keeeero
@hidayakisensi27473 жыл бұрын
🤣
@janethjames65142 жыл бұрын
jaman mme wangu iyo nne na tano jaman nateseka san 😢😢😢
@asmaalhabsiya96523 жыл бұрын
Shukran sana kaka joel mungu akubariki maneno yako mazur sana
@njekutyleyan Жыл бұрын
😂😂😂bad boy ni watu wa kuogopa Sana 🤣
@LuluMsacky5 ай бұрын
Mm wangu vitu v3 anavyooo kabsaa
@mwakalukwafredy37203 жыл бұрын
Nakushukuru sana kwa elimu hii nzuri ila nami nimecheka hapo kwa badboy
@kitengealmas4085 Жыл бұрын
Hiyo ya mwisho yamenikuta mimi nilivumilia kwa miaka 17 nimeshindwa nimeondoka asante mtumishi
@liberatusjackson5045 Жыл бұрын
Huna hakiri m17 yote sasa. Unaenda wp
@AshuraMutumwinka3 ай бұрын
17mbona midogo ata 30 ukishidwa unaondoka
@MariamBahat9 ай бұрын
Mimi ni huyo no5 nifanyeje hayuko care katika mambo yangu lakini yako anataka yawe no1 kwangu mm hataki kujua
@patrickkomu31983 жыл бұрын
Yaan mume wangu ni wa Mama's boy, Mr right, egonomic, controlling ni matatizo kwa kweli, inabidi unamfanya mtu mwanaume wa mbegu tu hakuna lingine
@anthonywilliam39773 жыл бұрын
Hahahahahahahaha msaidie
@bennycaleb55833 жыл бұрын
Oo oh😥msaidie bhna
@petronilakimario85333 жыл бұрын
hahaha
@mussadismass93063 жыл бұрын
Hapo misipo ila nimekuelewa barkiwa san
@kitengealmas4085 Жыл бұрын
Iyo ya mwisho ni majanga nimemuacha nimeshindwa
@janenkhwazi24573 жыл бұрын
Mr Perfect kuishi nawe nimajanga
@annajohn19782 жыл бұрын
Hizo zote anazo mume wangu nasasa hivi nimemkimbia Mana inakufanya ujione mfu.
@cupcandymushi91264 ай бұрын
Thank you 😊
@patientmatene44282 жыл бұрын
Ndio nianeye Egomaniac girl Tawezaje kuishi naye?
@johnsonkibadeni50533 жыл бұрын
Bad boy balaa aiseee😂😂
@neemamsaki11112 жыл бұрын
My coach Mungu akubariki
@rahmahalhaithamiy24323 жыл бұрын
Ni kwel kabisa
@kizymussa62023 жыл бұрын
Kaka me nimetokea kupenda Sana masomo yako Kaka nakuombea maisha malef
@GiftMaiko3 ай бұрын
Yaan sifa 3,4,na5ni mme wangu ananiumiza sana yaan sifa hizo anazo
@lydiaedwin39983 жыл бұрын
Huyo mume wangu kabisaa, anajali yakwako tuu, hata misiba ikitokea kwetu atakama amepokea mshahara. Hawezi kusapot chochote Ila itokee jiran wa Kijijin kwao kaumwa ata kukopa atakopa
Mimi ndoa yangu ndoivoivo Yani Kama ulikuwepo nyumbani kwangu
@jonaskahatano72493 жыл бұрын
Niko no 4.
@mwalimudismasherman3 жыл бұрын
Mpaka mnasherekea Anniversary ya miaka23 ni lazima atakuwa ameshatambulisha watoto 14, Bad boys wote wakimbiwe tu😂😂😂
@tatu3tatu5493 жыл бұрын
Yaani hapo umeniingele mimi
@digital-d2t3 жыл бұрын
Vp mzee, umechoka kufundisha ujasiriamali umehamia kwenye mahusiano. Hongera
@enockshayo96883 жыл бұрын
Vijana ambao hawajaoa basi wajifunze kwa hili ndio wajitoe kwa miguu ya mama zao na wasimamie nyumba zao wenyewe.
@jonaskahatano72493 жыл бұрын
No.4 ya kwangu kabisaa.
@JasmineMilima10 ай бұрын
Yaani huyo wa2 ni alie kua mme wangu kabisa 😂😂Yani kama naMuona 😂😂
@JohnJackson-h5r16 күн бұрын
Hizi 2 za mwisho zitanitoa roho mm
@dorisilukinja45072 жыл бұрын
Mwanaume maraya je akimbiwi
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Nilikutana na mmoja anatabia zote izo doooh
@joelnanauka3 жыл бұрын
Huyo atakuwa hatari sana
@angelkanoga21753 жыл бұрын
@@joelnanauka Yan tabia zote izo nilipata shida sana kujitoa kwake sababu ilifika muda nikawa najiona mjinga kuwa sehem haina faida kwangu nimepambana ikafika muda nikajikaza kukaa kimya mpaka leo hakuna aliyemwambia mwenzie tuache nikafuta namba kila kitu Nashukuru Mungu maisha yanaendelea tu. Lakin haikuwa rahisi kujitoa
@josephsimpamba85283 жыл бұрын
I now know where I stand time for change
@octaviantito2 жыл бұрын
Mwanaume akiwa na tabia zaidi ya moja au mbili. Je huyo inakuwaje?