huyu ni mwalimu wa uhakika sana kama umemkubali gonga lake hapa
@januarymwasenga61675 жыл бұрын
Mimi na mkubali ila nahitaji kuwasiliana naye .
@omaryshafii506 жыл бұрын
Mimi furaha yangu ni kumsikiliza Mwalimu J Nanauka.. Kama na wewe ulikuwa huna furaha nadhani umepata mtu sahihi wa kukupa matumain kwa kuwa anamahusiano na Mungu gonga like hapa
@mwanaharusialifakifaki87164 жыл бұрын
Jamani na mimi pia siku yangu huwa inaanza vizuri
@joelnanauka4 жыл бұрын
Ahsante Sana Omary tuendelee kujifunza
@djumaassu19825 ай бұрын
Asante saana,Kaka Joël,nimejifunza mengi kupitia somo hili. Mwenyezi Mungu akuzidishie uhai,uendelee kutuelimisha.
@az888vietnam3 жыл бұрын
Asante kaka Joel kwa speech zako maana zinanijenga na kunitia moyo sikati tamaa nakaza mwendo nasonga mbele kila nikusikilizapo
@petermasong90525 жыл бұрын
Mungu akuongezee maisha marefu...bado tunamengi tunahitaji kujifunza kutoka kwako....Joel Nanauka
@albinoentreprises21765 жыл бұрын
UKO TOFAUTI NA WATZ WENGI WANAOJIFANYA PUBLIC SPEAKERS. UNASOMA SANA VITABU INAMAANA UGENIUS WAKO WA DARASANI UNAKUSAIDIA. UTAFIKA MBALI SANA. HONGERA
@saidirajabu51825 жыл бұрын
Sijutii kuijua akaunt yako big u
@vailetmapunda1065 жыл бұрын
Dahh we kaka ubarikiwe sana jmn!ohoo lord mpe maisha marefu kaka joel.
@annaupendo47686 жыл бұрын
katika maisha usiruhusu furaha yako ikashikiliwa na watu wengine💪nimekuelewa bro
@kindyuba81405 жыл бұрын
Kweli
@alimatambwe34024 жыл бұрын
Namshukur pita,amenifanya kuwa jasiri,Mungu atakulipa
@gregorymmasi34425 жыл бұрын
Hiyo Genetic Sensitivity nimeielewa mnoooo@ Tanzania watu wengi wamekua hawana raha sababu ya mambo yafuatayo; Ugumu wa maisha, Magonjwa mbalimbali, kukosekana kwa wanapsychologia nk
@suzanemwambe63202 жыл бұрын
Asante kaka yangu,mimi najifunza vingi kutoka kwako,ninapona tu,Mungu wa mbinguni akupe mafunuo mapya kila siku.
@stephanogabriel25266 жыл бұрын
Darasa nzuri sana. God blessing you Brother Joel nanauka
@esterlyatuu92636 жыл бұрын
Nanauka anasema ukwel Mungu azidi kukuinua kaka somo zur sana
@anastasiamainaministries27003 жыл бұрын
Wow. Thanks Joel..i thank God i found you uve changed my life be blessed...Kenya is following
@salareu47635 жыл бұрын
Asantr mwalimu Joel ,,,ila kuna watu wanakwaza sana duniani,,unaweza kuwa na amani zako ghafla MTU anakutumia hata SMS kesha kupotezea amani yani Mungu atusaidie kwa kweli,,,,
@florachanga69835 жыл бұрын
Nashukuru nimeweza kukufuatilia Asante mungu
@estertuyahole67992 жыл бұрын
umenifurahisha sana juu ya hilo Mungu akubariki uendelee kunibariki zaisi🥰💞💕
@velurakawiche53385 ай бұрын
Yaan hili somo ni la viwango vya juuu daaah be blessed baba
@ellybrown88996 жыл бұрын
Kweli,kwenye amani na utulivu,mmh!asilimia ya watu wengi hakuna amani ndani ya mioyo, wala utulivu,ni kwa nje tu.Asante kwa somo zuri.Barikiwa!
@honestmushi94616 жыл бұрын
Nimeanza kukufuatilia Mr Joel Nanauka nahisi mabadiliko na Luna uwezekano wa kufika mbali.Mungu atutie nguvu
@racheljosephat34634 жыл бұрын
Unanipa nguvu sana thanks for that
@ericsaul41866 жыл бұрын
God bless you and your family Joel, somo zuri sana gratitude, social support, Spiritual attachment ni vitu muhimu ingawa majority hawafuatili. Siku yangu nimeanza vizuri sana leo# Blessings
@joelnanauka6 жыл бұрын
Eric Saul ahsante kwa mrejesho na hongera kwa kusikiliza
@fofomohammed62536 жыл бұрын
Asante Sana Kaka nimejifunza mengi God bless you
@kizajacqueline85832 жыл бұрын
Baba mungu mungu akubariki sana 🙏
@ednaednamillanzinia2826 Жыл бұрын
Asante nimefaidika,ubarikiwe
@shamilaomar37246 жыл бұрын
mashaallah nimeipenda hii nanimejifunza mengi asante my kk
@joelnanauka6 жыл бұрын
Shamila Omar karibu sana ahsante kwa kutembelea channel yetu
@shamilaomar37246 жыл бұрын
+Joel Nanauka pamoja ndugu daima lnshaallah
@fofomohammed62536 жыл бұрын
Shamila Omar Mimi pia
@deusjohn11074 жыл бұрын
Nimejifunza pale ulifyosema mazingira ukiwa na mazingira mazury unaweza ukawa na furaha zaidi
@mwanamkasihabibu99156 жыл бұрын
shukran kwa somo Kaka mungu akujalie afya uelmshe na vzaz vyetu
@ramaabuu19585 жыл бұрын
Raha sana kukusikiliza!!!
@elizabethkasimila97715 жыл бұрын
Kaka Joel Mungu AKUBARIKI kaka ila naomba mawasiliano
@vinceh81203 жыл бұрын
Shukran kaka Joel Kwa SoMo la maisha ju ya furaha
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Nina hasira sana kumbe haifai , mungu nisaidie ipoteee hasira inanikosesha Amani.
@mobilesolution24136 жыл бұрын
kaka joel ubarikiwe sana unatutengeneza kimwili na kiroho mafundisho yko.ubarikiwe sana
@fatumatandika58492 жыл бұрын
Yaani uko vizuri saana
@frankamosi74133 жыл бұрын
Ujumbe mzur Sana...MUNGU akutunze
@johnluhwa83426 жыл бұрын
Asante broh unatufahamisha vtu vingi sana, ubarikiwe na Mngu aendelee kukupa upeo mkubwa zaid
@faridamkesso976 жыл бұрын
Asante sana kwa somo maana kuna mambo yamenigusa sana na especially hiyo genetic sensitivity
@paulociza56014 жыл бұрын
Ubarikiwe saaaaaa nitumie nambo za whasp
@jorumzacharia3525 жыл бұрын
Hongera kaka kwa mafunzo mazuri mungu akubariki
@saidbaiya95245 жыл бұрын
Mashallah brother
@MarcoPeter-y5n4 ай бұрын
Thanks Joel
@subiraomar47716 жыл бұрын
Asante sana kwa kutujuza
@alihassanhaiba69375 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel nimejifunza mengi
@lilydickson7403 жыл бұрын
Upo sahihi sana kaka
@kindyuba81405 жыл бұрын
Asante xana kaka yangu kwa kutoelimisha
@rahmahussein40196 жыл бұрын
You're absolutely right sir...thanks
@melisajoseph80406 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda Joel ur very bright
@beatricemwita83656 жыл бұрын
Wao this so lovely nimejifunza vitu vingi kaka ubarikiwe
@kastulielias50465 жыл бұрын
Nimejifunza kitu
@azizahasani46146 жыл бұрын
MASHAA ALLAH
@villangeoffrey58145 жыл бұрын
Makabila kumi yenye wanawake wazuri
@saidirajabu51825 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@estersijaona4035 жыл бұрын
napenda sana kaka unachofanya and i really appreciate xo much and one thing 4m napenda kufanya ki2chatofaut bt inform of ur style.
@gudanemma1459 Жыл бұрын
Napenda Sana kufatilia mafunzo yako yananipa ujasiri na nguvu mpya
@professorjoma23646 жыл бұрын
Nanauka ni msomaji mzury sana wa vitabu love you brother
@جزجزشكطا6 жыл бұрын
asante sana kaka ama kwel najifuza mambo mhimu mengi ubarikiwe sanaaaaaaaa
@ezrommkambati29485 жыл бұрын
Ni kweli kaka, hata mimi sina furaha kwa sababu ya kile ninachokiishi siyo passion yangu!
@mohammedrashid29062 жыл бұрын
Ubarikiwe
@deuslongino49186 жыл бұрын
kaka Joel asante kwa kutupa mwanga amina sans
@danielmollel25136 жыл бұрын
Kaka umefanyika msaada mkubwa kwene maisha yangu. kila nikikusikiliza napata nguvu mpya. Isipokuwa kutafuta aman kwa mtu ni ngumu, inakua iv, ukiwa umetofautiana na mwezi au wakwe hanakuwa na chokochoko zisizoisha. leo uko nao vzr kesho ina kuwa shida. ulosema yote yanawezekana, isipokuwa iyo point moja ni ttz kubwa
@theaficanone68946 жыл бұрын
ubarikiwe sana bro napenda kukufatilia sana
@paulociza56014 жыл бұрын
Leo nimesikikiza mafundisho zako nyingi ila hii umenibariki sanaaa
@joelnanauka4 жыл бұрын
Nashukuru Sana, tuendelee kujifunza zaidi.
@paulociza56014 жыл бұрын
Namba
@denisdidas50903 жыл бұрын
Thks broo
@nereaigogo44426 жыл бұрын
Wewe ni level nyingine kabisa 21:30' nimeielewa sanaa
@AfiSoul1033 жыл бұрын
Kweli kabisaa yaani ukiwa na kitu moyoni inaathiri sana na inaumiza kwelikwelii asaa... Na ukijaribu kumwambia mtu hua unajiona kama umeshusha mzigo...
@zarunaamwanajimba19506 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kaka barikiwa sana
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Eeeh tena Jaman
@enockmpagike30125 жыл бұрын
Ahsante sana bro
@assamwakasanga35706 жыл бұрын
Thank you so much Mr jeol Arthur nanauka
@assamwakasanga35706 жыл бұрын
Ninahitaji kitabu cha kughailisha mambo kak Joel nanauka Niko mbey.....
@maselekwiligwa38506 жыл бұрын
Tangu mwaka Jana nilianza kukufuatilia kwenye KZbin na Facebook page Yako.nimefanya mambo makubwa sana ikiwemo kuondokana na stresses, madeni mabaya, nimekuwa na ratiba ya kununua vitabu na kuvisoma, Kupanga malengo na kuyaishi,kepukana n.a. vitu vinavyopoteza muda,Kununua Assets badala ya liability, Kuipenda kazi na kufanya kazi yenye passion Yako.Naomba orodha ya vitabu unavyosoma ili nivipate .
@naomyerasto13055 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza my kaka,kwa somo hilo mi naendelea kuimarisha furaha yangu
@mossyahmada84306 жыл бұрын
Kaka Mungu akuzidishie uwezo ulionao
@eastboy13312 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye hili
@rafaelmwanyila335 жыл бұрын
Uko vyema sanaaa mkuu,nayakubali sanaa mafunzo yakoooo
@AliM-di8dz6 жыл бұрын
Unaeleweka sana Kaka unamafunzo mazuri
@mgallason...56865 жыл бұрын
we become what we think about.
@vinceh81203 жыл бұрын
Ni kweri ulivyo taja ugomvi wakati wa ujauzito ujangia sana
@judithmwambe47673 жыл бұрын
I like you Br Joel Nanauka.....Noted!!
@norbertsam54306 жыл бұрын
Genius
@JoyceHaule-v7t Жыл бұрын
Thanks
@stelafrancisshenkunde9045 Жыл бұрын
Huuu ukweli
@akidasalim38594 жыл бұрын
Nimekuelewa sana baba
@zakiakhatib82546 жыл бұрын
Ahhhh... Joel nanauka ww nikichwa shukran sana
@leankubali20645 жыл бұрын
Thanks brother
@joeljoseph11245 жыл бұрын
Mwl Joel umenifanya nijijue furaha yangu nitanzaa kuimiliki mwenyewe
@rubengerald45356 жыл бұрын
Your great bro.. I feel so proud for you
@damiankimaro89193 жыл бұрын
I'll make TANZANIAN people Happy
@geniusmruma6513 жыл бұрын
💯💯💯
@kassimngakonda47486 жыл бұрын
thnks so much bro,nmekupata vzr sn.
@gloryomary84816 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@paullugano30532 жыл бұрын
Ģlory
@cresensiandimbo41956 жыл бұрын
Daaa kweli ulikuwa unailasababu ya kuwa TO,upeo wako mkubwa sana bro.
@godnesskwayu49596 жыл бұрын
Nimefurah sana kaka sikuwa nakujua ila taangia jana nimejikuta nafurahia kuangalia video zako
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Aisee somo zuri sana sanaaaa tuu
@khadijabakosa22863 жыл бұрын
JOEL..Umekuwa Mwl mzuri kwenye Maisha yangu...umenipa ujasir kwa kupitia mafundisho yako...Nahitaji kujua ratiba yako ya Seminal live...Nahitaji kuhudhuria seminal zako live...
@ellybrown88996 жыл бұрын
Yes!I am the CEO of my life!
@zubedamsemo65236 жыл бұрын
Thankx bro kwa kutuelewesha
@judithnjunwa66685 жыл бұрын
hahaha nimecheka sana. mifano yake huyu kaka,eit huyu sijui anakulaje
@gaspermaliano88665 жыл бұрын
Excellent bro
@neemaeppah29924 жыл бұрын
Mm nilishawahi kukosa furaha tuu kwakumwangalia mtu fulani alivyokuwa anakula
@stephenshimwela21406 жыл бұрын
Ahsnte bro upo vzr!
@dorcusayub82154 жыл бұрын
Naomba namba yako
@zubedakaluli66385 жыл бұрын
Ubarikiwe Kaka ww ni zaidi ya daktar maana Hakuna ugonjwa mkubwa Kama kukosa furaha
@aishajeshemtengea98846 жыл бұрын
Nice kaka
@mwanaharusialifakifaki87165 жыл бұрын
Mm nimtu ambae nakufatilia mno maana huenda nkawa mm si mtu mzuri kwa baadhi ya watu ila sina dhambi ,wala sijafanya baya duniani lolote .ila sina furaha nataka furaha wakati wote mm binafsi sipendi kuwa sina furaha
@anjelakisoka41403 жыл бұрын
Mimi sinaga furaha kabsa
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Bless you always Ameen
@abdialasow625 жыл бұрын
Hiyo ya pili ndio inankosesha . Kufanya nisichokipenda japo kinakipato