weuse hatuna gere wala chuke joh makini, nikk wa pill, g nako l love you
@janethmbwambo-l3s8 ай бұрын
ingekua hawa jamaa wapo marekani🙌🙌 dadeq chuga one
@hassankibandani2560Ай бұрын
22/11/2024 ... weusi na beat za nahreal mliendana sana
@erickkaaya96409 жыл бұрын
big up brothers
@glorylujonja59334 жыл бұрын
Mungu hakupi roho mbaya umeipandikiza tuu2020
@theresiamtena13024 жыл бұрын
Ambaye amemwona Jacline wolper tujuane hapa kwa like
@axthetank58675 жыл бұрын
shout out for weusi coz black is our colour in africa
@emmanuelhessan90257 жыл бұрын
good sana weusi
@emmanuelcharles2443 Жыл бұрын
Wimbo wangu Bora kabisa
@Mkomafilms2 ай бұрын
Tujuane 2024
@RoseMweta3 ай бұрын
Nakubali makini😮
@jacksonbarnaba90886 ай бұрын
@Nahreal on the beat 🔥 @2024
@kendricgeorge603 Жыл бұрын
am just wondering number of viewers on this song, because i just listened it more than million times but it always brand new, and this guys produce quality contents. more love from TZ
@juliusmapunda49825 жыл бұрын
2020 still hooooot daaaaaamn.
@alwatanpecks45715 жыл бұрын
Chuga boys
@enjoomaliya13992 жыл бұрын
Oyoooooo, ngoma kaliiiiii aseeee.
@kingnicky25684 жыл бұрын
Eti views laki 1 not fair kabisa
@stephenmungure70722 жыл бұрын
Ni December 09/12 bado nasikiliza hili dundo . It's Masterpiece 🔥🔥
@sundayguy7796 жыл бұрын
huwez kuwa nyerere weusi hatuna kwere.nawakubali sana washkaj toka A town
@macdonaldadriano59795 жыл бұрын
Sunday Guy U.SA (United Streets of Arusha) #A-Towm4life
@salimsuleiman23403 жыл бұрын
WEUSI kampunii nko +254 but uwaga nawakubali sanaa mnafanya good job
@jimmyseverah70304 жыл бұрын
King kanga from +254
@IamPattieKay Жыл бұрын
“A”town Weusi , Gang gang🤟🏿🔥🌅
@kingbidder5 жыл бұрын
Hili goma halichuji.. Swadakta weusi.. Big up ruptute
@hemednassor4560 Жыл бұрын
Lord eyes mna mtenga bwana
@yonamatowo10876 жыл бұрын
Mungu hakupi roho mbayaaa
@MondelMondel-he9sn7 ай бұрын
Nimekuja Tena 2024
@JosephMwalilino8 ай бұрын
Weusi hatuna kwele🎉
@mwinyihamisidee58132 жыл бұрын
21/09/2022 Let's keep Good Music 🎶 Alive ✅🆗
@husseinramadhan35153 жыл бұрын
Tuna viburrieeeh tuna floor vizuri sarut kwako gnako na weusi wote mtu 5
Tunafanya kazi Mungu hakupi roho mbaya umeipandikiza.akili yako ndo passport uwezo wako ndo visa.hardest verse eva kwa rap za kiswaili no cap.
@salimsuleiman23403 жыл бұрын
Weusi mavumba ni baba Pele, Weusi ndo international apo +255
@Jackson-wv6pz Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🤝🇰🇪🇰🇪
@kedyjohn18486 жыл бұрын
Mbona kama naonea Gere hivi hadi leo hii?
@archiebrown26765 жыл бұрын
kwenye pesa watoto ndio wanatulia tuliiiiiih
@zanzibartotheworld78262 жыл бұрын
2023 still banging with this shit
@godmunsdavid3924 жыл бұрын
02 06 2020 am listening this song cz this song can inspired me more ..gonga like tuko ote 2020
@msukumaog3702 жыл бұрын
Daaaah
@salimsuleiman23403 жыл бұрын
Awa jamaa hawana upinzani kwenye gemu ya Hip hop
@justinlupa38922 жыл бұрын
Ninani yupo anaitazama hii 2020? Acha like hapa
@saidgawawa57427 жыл бұрын
Weusi ur game is on top. Mko juu tu sanaa
@kedyjohn18485 жыл бұрын
Duuuuh... hii ni kwere, naona bado gere 2020
@lightnessmruma97409 жыл бұрын
u rock alwayz.......gere
@himanshupandey42816 жыл бұрын
grandfather
@kingnkumbi58347 жыл бұрын
Sanaaah
@totojinga27956 ай бұрын
Nikki wa Pili 💯
@jafaralyyoutubecanalniassa46022 жыл бұрын
Good song
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Dahhh ilikuwa hot sana🔥🔥🔥
@barakasamwel3789 жыл бұрын
big up Sana'a broh
@bonaventurekisoka80637 ай бұрын
Hawa sio wa2 wa kawaida
@shwahibumassawe25555 ай бұрын
2024....show some ❤❤
@fredythomas18485 ай бұрын
Pamoja
@stevenjosephat23745 жыл бұрын
WEUSI hawajawahi kukutana na hizi biti
@aminnyari42704 жыл бұрын
Nakubali
@cimerwatennisclub54155 жыл бұрын
in 2019 with Much love from Rwanda!
@fredythomas18485 ай бұрын
Nan yupo nayo leo 31/07/ 2024
@hillaryemmanuel1192 ай бұрын
WEUSI - GERE lyrics [ Intro - Joh] Yeah! You know whats happening when Weuse meets Nahreel, right? Oyayoo...ooohoo A city in the house! Oyayoo...ooohoo Lets go!! [ Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! [Joh Makini] Kubadili hizi mboga mbili tu tabu kwa mswahili Mganga hana mashairi jomba ni bure kupiga ramli Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele Mboyoyo mingi kelele, kamata tupa kule Wajukuu wa Nyerere, chuki zako ni bure Kiunoni ni sime njele, juu sipendi kelele Mavumba ni baba Fere, Temeke huita michele Karibu gheto ni sherehe, Weusi hatuna kwere Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry Sinyasori wapi Shaa sina story Wivu ni kidonda umeshiriki ugua pole Chakati juu kiki...woo woo!...pole pole [Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! [Nikki Wa Pili] Sio gweraa hii jombaa Nikki yule yule Nilivyovaa, nilivyong'aa ni kimulimuli Viburi flow Idd Amin like nduli nduli Brain kubwa, ndoto kubwa za manguli nguli Watoto nao ni kibao siku hizi sipigi puli Usijikombe chonde chonde na makonde bure Punguza njaa lia ubao jomba kaza msuli Kwenye hela ndo watoto wanatulia tuli Benchi mnasugulia ha..hamna carrier Ah! mziki kama mbege kwangu suna kulia Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo tunatulia Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa Get it? [Gnako] Kimbiza kimbiza...Usain Bolt Tupo center ya mchezo...centre bolt Hatuna penda love, Weusi mtu tano Center half no beef..no..no..no! Tulifanya ndafu, mchezo unatupa bread Mda wa chai ujuzi unasambaza umbea Mkuda hakai, hatuongei ongei Tunafanya hatufanyi fanyi, tunafanya kazi Mungu hakupi roho mbaya Sshh! Umeipandikiza Kichwa chako passport, uwezo wako ndo Visa Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna flow vizuriii [Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! ...kwere! ...gere! ...kwere! ...gere! [Outro]