Kweli kabisa katika waziri wa ovyo sana masaun tumesikia singida,Tanga jana,simiuyu,tarime na Kila Kona ya nchi huyo sio waziri ni mjinga huyo
@beinafuu62193 ай бұрын
Wandishi wa habari mbona mmetia haibu.yani mnamulza msigwa kwebye utekaji.kijana kajibu vizuri sana .yani hakuna swali lolote mliloliona kwenu .zaid ya kusema watadanya nini.ccm hoyeeeee
@ThomasAlute3 ай бұрын
Rais anafanya makosa makubwa na vyombo vyake vya usalama yaani hapa hakuna chakujificha maana Kila kitu kipo sawa aliyetekwa ameeleza Kila kitu
@floraashery2243 ай бұрын
Bila shaka polisi wanahusika kwa 98.9%na polisi ni wazee wa kutii amri so bila shaka walipewa amri na wakubwa wao ama watawala...ni ngumu sana waliowatuma kutoa kauli ya kukemea na kuchukua hatua za kisheria dhidi yao
@beinafuu62193 ай бұрын
Nissio yajua aise inauniza kikuweli
@valerianmtowe78223 ай бұрын
Tz xxa ni wakati wa kutoka kwenye serekali ya majambazi na watekaji
@ThomasAlute3 ай бұрын
IGP na waziri wa mambo ya ndani ya Nchi hawafai kuwa katika nafasi yao
@eunho95293 ай бұрын
Hakuna watu wasiyojulikana Tanzania SENSA 2022 iliwabainisha Watanzania wote kwa kazi na jinsia zao bali ni uhuni wa serikali tu, ni kwa nini watu waoonekana kuongea/kukosoa kitu chochote cha serikali ndo hao wanatekwa na watu wasiojulikana??? Kwanini waoimba mama mama wao hawatekwi????? kwa maoni yangu serikali ndo inahusika na matendo yote hayo kwa maana ni miaka zaidi ya 8 sasa maswala ya utekaji yakiwepo lakini hakuna siku serikali ilishawahi kutoka hadharani na kusema kuwahusu na ni juhudi gani imechukua kukabiliana nao. katika mazingira hayo serikali inawezaje kujitoa katika utekaji??