HISTORIA YA MAISHA YA MZEE PASCHAL FLORIAN MWARABU (KOCHA) | MAISHA NA MUZIKI S07EP04 (PART 1)

  Рет қаралды 1,318

Jugo Media

Jugo Media

Күн бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 15
@morisichonanga7854
@morisichonanga7854 Ай бұрын
Hongeren jugo kwa mahojiano mazuri kwa kocha na mwenyezi mungu amjalie maisha marefu zaid mzee Pf.mwarabu
@Valerie365
@Valerie365 Ай бұрын
Tunamshukuru sana Mungu kwa karama zako mzee Mwarabu!
@alcardgeorge2207
@alcardgeorge2207 2 ай бұрын
Hata mie nyimbo zako Mzee Mwarabu hasa za Mama Maria zimeleta miujiza mingi sanaa katka maisha yangu
@cletusmwanauta9798
@cletusmwanauta9798 Ай бұрын
Mungu ambariki mzee Mwarabu
@PaschaliaMbalamwezi-ew4rc
@PaschaliaMbalamwezi-ew4rc 2 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zake Mzee abarikiwe sana.
@albert-kkitwenga4889
@albert-kkitwenga4889 2 ай бұрын
Loved this interview. Thank you Jugo media.
@antonithomas4673
@antonithomas4673 2 ай бұрын
Huyu baba nyimbo zake nazipenda Sana Mungu ampe afya na maisha marefu
@JugoMedia
@JugoMedia 2 ай бұрын
Amina
@DonaJr
@DonaJr 2 ай бұрын
kochaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dah MUNGU amtunze sana mzee wetu P.F. MWARABU hakika kanitafakarisha sana
@alcardgeorge2207
@alcardgeorge2207 2 ай бұрын
Nimefurahi sana kumsikia mzee Mwarabu tena
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
Nakukumbuka sana kwa Mvua ya Mawe
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
Amemsahau B. Simfukwe
@martinimatutuli5575
@martinimatutuli5575 2 ай бұрын
😅😅 sawasawa
@JugoMedia
@JugoMedia 2 ай бұрын
karibu
@eulambiusmlugu967
@eulambiusmlugu967 2 ай бұрын
Naomba namba ya Mwal. P Mwarabu @Jugomedia
MFAHAMU MZEE PF.MWARABU -By ImbaNasi
30:30
ImbaNasi
Рет қаралды 12 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 18 МЛН
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 81 М.
ITENGENEZENI NJIA YA BWANA. NA; P.F.MWARABU(KOCHA). Official Video.
4:14
SAYARI PRODUCTIONS
Рет қаралды 10 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 58 М.
Siku ile ya kufa kwangu,uje Maria uniokoe
3:55
Wilkister Heyi
Рет қаралды 38 М.
MCHUNGAJI ABADILI DINI NA KUA MUISLAMU,AFUNGUKA MAZITO
39:38
Mbengo Tv
Рет қаралды 88 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36