"Mavazi yasiwe Changamoto,Sisi tunavaa Suruali tukiwa katika Utume" Sr. Suzana Shirika la Consolatha

  Рет қаралды 34,543

Jugo Media Network

Jugo Media Network

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 Жыл бұрын
I'm so proud of being a Catholic fellowship hallelujah salamu Maria umejaa nehema Bwana Yu nawe umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa Maria mtakatifu mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu Amen 🙏🙏
@rosekundy9129
@rosekundy9129 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana NAMI nilitamani kuwa mtawa baada ya Diploma nilikosa msisitizo. Nawaombea Mungu awatie nguvu kumtumikia
@tittomarwa4474
@tittomarwa4474 Жыл бұрын
Kweli sister wewe ni Askari wa yesu kweheshima ya mama Maria Umisionari nigarama kwa inchi zingine niatari sana.kama mogoria,Ave Ave Maria Asant.
@RowiliMathew
@RowiliMathew Жыл бұрын
God bless you and your compatriots of the Consolata Missionary Sisters.
@EzekianaMlawa
@EzekianaMlawa Жыл бұрын
Hongera sana mpendwa Sr Suzana Kwa utume wako.
@awonaandreamhadisa4987
@awonaandreamhadisa4987 Жыл бұрын
Hongera sana sister Mwenyez Mungu akusimamie katika utume wako
@simonirafael
@simonirafael Жыл бұрын
Asante sanaaaa
@bonnaninga2412
@bonnaninga2412 Жыл бұрын
Hongera Sana sister Historia yako imenivutia Sana.. nakupenda Mungu Akutunze Akulinde uendele kumtumikia siku zote za maisha yako 🙏🙏
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa uzima imani na uvumilivu.
@EzekianaMlawa
@EzekianaMlawa Жыл бұрын
Ásante sana Kwa kutoka uhuhuda wa maisha ya wito ndani ya shirika la Bikira Maria Consolata, udumishe mwito huo na kuwavuta wengine kumjua , kumpenda na kumtumikia Mungu. Ubarikiwe sana, dada nakutakia utume mwema wenye mafanikio.
@johnalexandermushi6720
@johnalexandermushi6720 3 ай бұрын
Hongera Sista kwa utume.
@yustinodavidmillungu4585
@yustinodavidmillungu4585 Жыл бұрын
Mungu akujarie sister usikate tamaa
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 3 ай бұрын
Safi elimu kubwa umetoa mwanga Mungu akubariki
@MathayoMelubo-j4c
@MathayoMelubo-j4c Жыл бұрын
Ubarikiwe
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 11 ай бұрын
Hongera sana Mungu akusimamie daima
@dativalyamuya6972
@dativalyamuya6972 2 ай бұрын
Wafarijini watu wangu.... Asema bwana
@powerofholytrinitychurch3402
@powerofholytrinitychurch3402 Жыл бұрын
Pole sana dada, haya yote ni faida za ki ulimwengu. Je gani yaku fanaisha na ufalme wa bingu? Wokovu siyo ndoto wala masomo, ama kazi bali ujumbe wa msalaba halisi, usikivu na imani, pasipo hayo umetengana na ufalme wa Yesu milele. Yamkia hauna uhusiano na Mungu wa ukweli, umepotea.
@albertamligo1350
@albertamligo1350 3 ай бұрын
Asante Mungu akubariki
@josephalois8002
@josephalois8002 Жыл бұрын
We mpambanaji hongera Sana endelea na moyo huo huo
@josephmallya6519
@josephmallya6519 Жыл бұрын
Safi sana Sr
@ladislausshirima863
@ladislausshirima863 3 ай бұрын
Isaya 29:15-16 Ole wenu ikiwa mnamficha Mungu,Lkn 1Wakorintho 11:11Mwanamke na mume wake mambo ya utawa mimi sijaona;Okoka usifungwe na Katoliki na sakramenti na sanamu zao,mbele huko utajibu
@Amatha_K
@Amatha_K 3 ай бұрын
Baki na msimamo wako na usiingilie msimamo wa mtu katika Imani. Yeyote aliyebatizwa ameokolewa kilichobaki n kufuata amri za Mungu na kufanya matendo mema siyo kusali dhehebu fulani. Imani ipo ndani ya mtu na siyo dhehebu wala dini Wala kukariri mistari ya kwenye biblia ambayo pengine hata huiishi. Be aware of that
@godblessnelson37
@godblessnelson37 2 ай бұрын
Acha majungu wivu
@ladislausshirima863
@ladislausshirima863 2 ай бұрын
@godblessnelson37 soma bible mjomba uijue kweli utakuwa huru
@Amatha_K
@Amatha_K 2 ай бұрын
@@ladislausshirima863 ungekuwa unaijua biblia vizuri usingeparamia imani za watu. Hii n dalili tosha kwamba hata hujui nn maana ya kuokoka. Unadhan kuokoka ni kusali dhehebu fulani acha Ufarisayo. Tunaokoka matendo siyo maneno.
@EvomeaMassawe-k4k
@EvomeaMassawe-k4k 2 ай бұрын
I know
@olivambala3086
@olivambala3086 Жыл бұрын
Sr naomba namba yako jamani unisaidie kitu. Nimekupenda sana
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Kibiblia hakuna utawa,hayo ni mambo yaliyoanzishwa kwa mitizamo ya watu
@salvatorydamian
@salvatorydamian Жыл бұрын
Okoka uache kuomba Maria na kupiga magoti mbere ya sanamu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
@@salvatorydamian kabisa kabisa. Ila kuokoka ni Jambo pana sana ila watu hulitafsiri kirahisi rahisi tu
@gm-2023
@gm-2023 Жыл бұрын
@@salvatorydamian usihukumu usije ukahukumiwa.......Maria amebarikiwa kuliko wanawake wote ko jitahidi kuwa makini unapoongelea majina ya watakatifu ...mkumbuke miriam na haruni walisema nn juu ya Musa na Mungu alimpiga miriam kwa ukoma
@gm-2023
@gm-2023 Жыл бұрын
Kumbuka kuwa Mungu huongea na watu na kuwafunulia siri zake wale awapendao hata Kristo ameongelea suala hilo la kujitoa kwa ajili ya ufalme wa Mungu ....hata Paulo anatuambia kwa wale ambao hawajaoa ni heri wangebaki km walivyo maan wanafanya kwa ajil ya kumpendeza Mungu..bali wale walio katika ndo hufanya kwa ajil ya kumpendeza mwenzi wake
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
@@gm-2023 Kuna tofauti kati ya mtawa na mtu ambaye hajaoa au hajaolewa
@geoffreyjuma8123
@geoffreyjuma8123 Жыл бұрын
Hakuna utawa katika bibilia hiyo ni mambo ya kujitengenezea kutoka Roma, watu wafuate bibilia wasifuate wakora wa kidini
@geoffreyjuma8123
@geoffreyjuma8123 Жыл бұрын
Mambo ya salamu maria sirikua salamu za maraika wa bwana wakati alipotumwa na mungu kuleta habari njema kwa Mary ,sio watu wengine waliabiwa wa salimu Mary ,hakuna kitu kama hizo kwa bibilia hiyo ni mafudizo ya mtu, na hiyo hukumu yake ni kifo
@PeridaChavala
@PeridaChavala 2 ай бұрын
Utakatifu ni mwili na roho suruali ni vazi la kiume soma KUMBUKUMBU 22:5 usiende kwa kuiga nchi zingine utapotea
@donboaconchimbi1801
@donboaconchimbi1801 Жыл бұрын
Naomba kujua, je katika shirika hili ka wakonsolata kunawatawa wakiume?
@suzanakihoo5054
@suzanakihoo5054 Жыл бұрын
Wapo ndiyo mapadre wa consolata na mabruda wa consolata
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 ай бұрын
​@@suzanakihoo5054mmmmmhhh! Kwani usista ni wito wa Kumtumikia Mungu au ni wito wa kumtumikia kanisa katoliki?
@JohnLuswaga
@JohnLuswaga 3 ай бұрын
Yaan kayajua yote hayo ila hata ajataka kumjua babu yake mzaa babu yake
@godfreymrosso2051
@godfreymrosso2051 Жыл бұрын
But why mchumba jaman
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 ай бұрын
Huyo msichana mnayemsajiri, hali yake ya kuwa ameingia ktk mahusiano mnaifuatiliajw au mnaanza ukurasa mpya?
@EmanuelMakalla-wu1zu
@EmanuelMakalla-wu1zu 3 ай бұрын
Kwanini masista na watawa wengine wanakuwa na roho mbaya sAnna lakini mwilini wanaishi kitakatifu inafika wenyewe kwa wenyewe hawapendNi
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 2 ай бұрын
Kama umesoma saikolojia ya mwanadamu, majibu unayo, kama hukusoma ni vigumu kidogo kukuelewesha hapa.
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Biblia inatuzuia kushiriki sanamu,suruali ni vazi la jinsia ya kiume na hivyo ukivaa hivyo kinyume na mwanaume ni dhambi kwakuwa ni chukizo. Tunakaidi mafundisho ya Mungu na kufuata yale ya wanadamu,duh! Dunia hii imeshajikoroga
@immaculathamaliga6507
@immaculathamaliga6507 Жыл бұрын
Jamani sr. Hongera sana naomba namba yake mimi pia ni sr
@ibrahimluge
@ibrahimluge Жыл бұрын
Watu wengi wanapata shida kwa sababu Biblia ili uelewe maandiko hayo lazima uwe na roho wa Mungu kinyume na hapo hutaelewaaa kamwe mwandishi alimanisha nini.
@juliusjacob2590
@juliusjacob2590 Жыл бұрын
Usikalili maandiko na pia maandiko hautafisiri Kwa akili zako ni Roho mtakatifu anakuongoza Kuna maandiko mengi sana hawa warokole wanatafsiri tofauti kwahyo omba sana Roho mtakatifu sio kutumia akili
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
@@juliusjacob2590 kwahiyo kuvaa rosali nako ni kwa uwezo wa roho? Unajua vema ni lini rosali zilianza na mwanzilishi wake ni nani na kwanini zilioetwa? Tatizo kila Jambo mnaloletewa mnameza badala ya kudadisi. Rosali haimo katika Biblia. Asante kwa kunielewa
@gm-2023
@gm-2023 Жыл бұрын
@@josephmusagasa5566 Mungu hajakoma kuzungumza na watu wake kwa kupitia mafunuo mbalimbali pia Mungu hapangiwi ....Maan mawazo yng si mawazo yenu na njia zangu si njia zenu ....pia mtume Paulo anasema kuwa Mungu aliyachagua mambo yanayoonekana ni dhaifu ktk dunia hii....Yesu Kristo anasema "nakushukuru Baba wa mbinguni kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima ukawafunulia watoto wadogo" jifunze ndugu yangu kuwa Rozari ni muhtasari wa Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo toka kuzaliwa kwake,kifo ,ufufuko na kupaa kwenda mbinguni.
NINI KIMETOKEA KWENYE MITANDAO HII GHAFLA?
14:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 40 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
USIKUBALI KUTAPELIWA, HIZI NDIO ALAMA ZA USALAMA ZA KUTAMBUA FEDHA HALALI
15:15
Ndalini Media Solution Limited
Рет қаралды 10 М.
Thousands of Christians Convert to Islam After Humiliating Muslim Boy
17:20
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН