Nimechelewa kusikiliza kwa kweli sheik juma unajua mashaallah mungu akulinde uzidi kututuliza nyoyo zetu
@modestangwila1844 Жыл бұрын
mashaallah allaah akupe umri mref na akujaalie mwish mwem
@kibwejr8606 Жыл бұрын
mashallah shikh juma kwa maqaam Rast🤝
@mohdmwajuma5811 Жыл бұрын
Sjawah end xhuhulin n huy mt nisijaribie hiii kasd..honger hodar❤
@zuwenamohd43729 ай бұрын
Ya salaaaaam... MaShaAllah Allah akupe umri na afya unaniburudisha nikiwa German lkn najiona kama nipo nyumban kwetu zenji, sauti zinaniliwaza na mashairi MashaAllah..ni mwanafunzi wa Nurul yakin jirani zangu Qadiria.
@jumafaki16979 ай бұрын
Mashallah Karibu sana
@khamismuhsin2922 Жыл бұрын
Furaha ya ndoaaa ni maelewano tunaombea ukawe mfanoo
@UmmiMuhammad-hg2pe4 ай бұрын
Maasshaaah❤
@AbdallaSeif-n7l Жыл бұрын
Hongera sn Ustadh Juma Fakih Ulikuwa kimya lkn umeibuka na kazi nzuri sn
Daaaaah kaka natamani nikuone maana kila siku na sikiliza kaswida zenu na wapenda sana juma fank na fanki Mbarouk
@jumafaki1697 Жыл бұрын
Karibu sana
@AbdallaSeif-n7l Жыл бұрын
Hujawahi kuibuka na kazi mbaya ambayo haina kiwango cha ubora
@khamismuhsin2922 Жыл бұрын
Mashallah hongera kiongoz
@bakarseif9622 Жыл бұрын
Kazi njema ustadh Juma
@AliOmarKombo Жыл бұрын
Duh huyu jamaa anatisha
@haidar438 Жыл бұрын
We were always waiting for this beautiful Qaswida❤I remember first time I listened to it about 2 years ago from the Wedding of your Best friend - Suma Arraz! 😊
@jumafaki1697 Жыл бұрын
Thank you very much, you have a lot of memories brother 😃😃
@muhsiniddi5174 Жыл бұрын
Haujawahi kukosea mkuu Maashallah
@saadaliy3979 Жыл бұрын
Mashaallah❤❤❤ broo hauna mbayaaa
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Safi sana kijana tupo pamoja. tunasubir video yake
@UstadhImran Жыл бұрын
Mashaallha kazi safisanaa
@yasirmtumwa8915 Жыл бұрын
Mwambaaa💥💥
@daarularqammkaku153 Жыл бұрын
Verry nice
@maidamaalim8803 Жыл бұрын
sheikh juma
@rajimaalik.nasheed4237 Жыл бұрын
Masha Allah bless you kka
@zakomone7672 Жыл бұрын
Mashalllah ❤
@rahimaessa2552 Жыл бұрын
Mashaa Allah🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@emmyyussuf9234 Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤
@abdallahabdallahshaibu-po8hs Жыл бұрын
Khatari sana
@Mukhlis-w8k Жыл бұрын
Kasida Tamu Hadi inakera 😃😃
@AbassJuma Жыл бұрын
Maqaam gn hii
@qaswidataalim.3191 Жыл бұрын
Mashaallaah
@ahmedmohammed9394 Жыл бұрын
First viewer
@jufakmedia Жыл бұрын
Hongera Umeniwahi 😂😂😂
@ahmedmohammed9394 Жыл бұрын
@@jufakmedia 👍😂😂😂🙏
@alfalahbchannel9848 Жыл бұрын
Vittah kake mashallah
@SaidWaKonde Жыл бұрын
Mashaallah
@allyissa2744 Жыл бұрын
Mashallah
@hamadsuleimaan802 Жыл бұрын
Hii imeenda🤝 remix Ya suma Arraz❤❤
@CanikissyouBeautifulgirl Жыл бұрын
Hii ndio raha ya kujielewa unaskiliza qaswida hadi raha
@jumafaki1697 Жыл бұрын
Raha sana mkuu karibu tena
@Yusufhija-g1w Жыл бұрын
❤❤❤❤
@shirahaji5411 Жыл бұрын
Fundi fundi fundiiiiii
@jufakmedia Жыл бұрын
Asante sana
@mcmuba5015 Жыл бұрын
❤
@ahmedmohammed9394 Жыл бұрын
🙏🙏🙏👍
@wizz_lee_8840 Жыл бұрын
Assalam alaykum naomba kuuliza . Kuna mcheza wa mau mpemba unaitwa kwanini ramadhan kipande cha 16 naomba kujua ni qaswida inaitwaje ?