Duu hawa wakenya wana kila sababu za kujengewa sanamu kwa kazi nzuri
@abdallahiddy63333 ай бұрын
hawa jamaa big up sana wanapambana sana
@godfreypaul2513 ай бұрын
Kwa kuharibu vitu vya watu?
@martineopapa73833 ай бұрын
Siku ukiharibiwa kitu ndo utajua uzuri zaidi
@Chrishenryson-beats3 ай бұрын
Sisi udaku udaku tu
@shabanikitula6453 ай бұрын
Hao ndiyo wanaume na wakenya ndiyo taifa ambalo wananchi wake wanajitambua
@dadamuebrania15393 ай бұрын
Wabunge wanaishi maisha ya anasa wenzangu na mie tunaopanga foleni kuwapigia kura mlo mmoja kwa siku😢tena sio mlo kamili Ee Yesu tusamehe tu😢
@RutinikiGosbert3 ай бұрын
Asante ndugu na wahapa kwetu wala hawana muda nasisi sasa wakati umefika wa kujakuomba kura
@josephelisha84133 ай бұрын
Bro ni hustler if story ni kweli kuku 10000wa mayai mshahara wa mbunge haufikii
@samwa94963 ай бұрын
Sasa kama kapata wivu wa Nini jamani hata vidole haviko sawa mmekosea sana wacha wawauwe kwani nilazima apate kwa hiyo ubunge mmelaaniwa hadi vitukuuna vilembwe@@josephelisha8413
@celinamachundoInspires3 ай бұрын
Iwe fundisho kwa wabunge na wenye mamlaka bongo
@asinahussein21763 ай бұрын
Kwani matajiri wote ni wabunge angetegemea mshahara asingefika hapo alipo ila laana ya wanyama haitawaacha salama .@celinamachundoInspires
@user133753 ай бұрын
Machawa wa kusema ndiyooooooo kwa kila kitu ndo funzo😮😮😮
@eliariro55143 ай бұрын
😂😂😂 amekoma
@majaliwamsigwa62063 ай бұрын
Hayo ndo malipo ya punda afe mzigo ufiko,hiyo sasa imekuwa mzigo ufe punda afike
@mshanibeatrice74493 ай бұрын
Ahahaa daa nimecheka km maxur
@karibunyumbani38243 ай бұрын
@@majaliwamsigwa6206😅😅😅😅😅
@smartonlinetv51443 ай бұрын
😅@@majaliwamsigwa6206
@barakamushi66862 ай бұрын
Kazi nzuri zaidi wamefanya majiran zetu kenya, njoo Tanzagiza sasa😭😭
@DavidMbwilo-qk1bz2 ай бұрын
Viongoz huwa hawana huruma na wananchi wanajiangalia wao tu na familia Haki iko wap usawa huko wap Safi sana Kenya Huku Tanzania wanajisahau viongozi
@meshackthomas13413 ай бұрын
Nimazara ya kuwaendekeza wavivu na wavuta bangi. Ndo haya haki gani inadaiwa Kwa kuingilia maisha binafisi ya mtu mkikatazwa kuandamana et tunanyimwa Haki ipi kama haki yenyewe ndo hi basi Africa tuondoe Sheria hi au tuboreshe Sheria za kihalifu. ziwe Kali sana bila kuangalia nani kafanya uhalibifu Hakuna haki ya uhalibifu 🙏💪
@DodomaTanzania-r5z3 ай бұрын
Mkundu wako ww
@Zuu6733 ай бұрын
Kweli kabisa
@salamSalehhhhh3 ай бұрын
Kweli kaka
@JuniorMkoba3 ай бұрын
Wewe Kuma nn unawatetea nn Kuma mbuzi
@richkaja33173 ай бұрын
Duuh kumbe wabunge maboss jamani raia sie maskini sanaa mama kua makini na wafanya kazi wako
@josephlorri4313 ай бұрын
Mimi ni mfugaji mdogo... ninaweza kuhisi maumivu ya huyo mbunge na hata mifugo waliokufa kwa mateso.. maskini hapendi mwenye mali..
@BMboss1083 ай бұрын
Mali ya wizi !sahii kuku mmoja Kenya kwa butcher ni 600ksh!kilo moja ya nyama ni hio 600ksh!kutoka 400ksh hadi 600ksh!alafu watuongezee.kodi!hakuna mahali Kenya utapata mkate kwa 50ksh wala maziwa..ni 65ksh kwendaa juu..wao wajingezea mishahara na kuwapa jamaa zao kazi..watu wamesoma na hakuna kazi
@mariamboki28683 ай бұрын
😅😅😅😅😅 wakenya bwiiii
@samwa94963 ай бұрын
Ni kweli huyo ni riziki yake ulitegemea wote muwe juu yaani mna wivu sana na roho za kwanini ishieni huko huko hatuwataki wasomali na Sudan ndio mmekaa fujo tuu mkenya sipendi kabisa kwa tabia zao hizo hata kiumbe anaumwa ni haki yao kupigwa
@vincentcharles43853 ай бұрын
Ila maumivu anayopata mkenya kawaida
@riavlogstz3 ай бұрын
Tanzania nchi yangu nakupenda❤❤❤
@ahmedalfan80753 ай бұрын
Na utaendelea kuteseka Kila siku mpaka chai ukamulia maji ya miwa
@@Thekidp3702 projecting? U're suffering and then u're comforting ur self. U talking nonsense. Au ndio wale watoto wa baba kanituma ? Tz sugar how much per kilogram ? cornflower how much? A u out of u're mind ?
@BoazDillu3 ай бұрын
B@@ahmedalfan8075 Bro hayakuhusu ya huku pambaneni na hali zenu TZ hatuna njaa kali kama nyie
@SM-fu1yv3 ай бұрын
Wow hivi vyote mbunge mmoja
@kamarhelo3 ай бұрын
😢😢😢😢😢 yani kajikusanyia utasema ataish daima dumu Tena ni nyumba ya shamba je anayo ishi ipoje
@hajihassan54333 ай бұрын
@@kamarhelo Acheni kufikiri kimasikini. Mtaji wa kuku elfu 10 unamuingizia shilling ngapi na hao ni waliochomwa tu wengine wapo. Mtoaji ni Mungu, mtu anapambana unaleta roho mbaya ya Kusini mwa Africa.
@AnthonySindabaha-de3xb3 ай бұрын
We nae umekuwa nyuma sana kutoa khabari.
@Dreambig1-A3 ай бұрын
Kwaiyo hiyo ni nyumba ya shambani Aaah
@PendoPeter-rr4jk3 ай бұрын
😂 na ya mjin ikoje
@Kabwela7763 ай бұрын
Hii ilitakiwa iwe Tanzania hawa kenge wangekoma kutuhibia
@DudddyWhyCant3 ай бұрын
Ikiwa Tanzania tunaanza na wewe, siku mungu akijibu maombi yako utajuta.
@jonathanmanyaga43573 ай бұрын
Jigunze kwanza kuandika, kutuHIbia ndiyo nini?
@DaudiJoseph-s1s3 ай бұрын
Unaomba iwe tanzania je umejipangaje au unajuwa singeri za miso misondo izo.nyama wewe
@DudddyWhyCant3 ай бұрын
@@jonathanmanyaga4357 wamuibie ana nini kwanza? Ni ushabiki wa kijinga tu.
@DudddyWhyCant3 ай бұрын
Watanzania wanao shabikia maandano ni wale wezi wanataka yatokee kwetu Tz ili wapore mali za watu, lakini ng'o maombi yao hayatafanikiwa.
@gracewilliam41022 ай бұрын
Hii ujinga wangefanya tanzania waone yaani nchi haifai hata kidogo we ruto achiti ili muwe na amani sasa hivi ni nini Ee Mungu Bariki Tanzania yetu
@Zaikadena3 ай бұрын
Waneanza kama wa south ikitokea maandamano wanaenda nyumbani kwa police wanaua familia zake tuombe mungu Tanzania isije hizi vurugu na nyie viongozi wetu wasikilizeni raia wa chini msiwapuuze
@jonasamos5553 ай бұрын
Safi sana, na wengine zikachomwe mpaka washike akili huyu atajutia siasa maisha yake yote
@zuenahamoud15323 ай бұрын
Kenya hoyeee
@ELIMRINGITILLYA3 ай бұрын
Safi sana hongera wananchi wa Kenya na hayo mliyoyafanya inabidi na Tanzania tufanye duu raisi Ruto kasikia wakenya wamevamia bunge napia wakatangaza kwenye ikulu Nairobi alhamisi ya juzi kabla hawajafanya Hilo Ruto akasalimu amri akasema atasaini mswada wa ongezeko la ushuru hongera sana wakenya bado Tanzania.
@SamiriHassan-dp9kn2 ай бұрын
Haoo kuku msiwatupe jamani wanaliwa 😂😂😂😂
@saidrashid59723 ай бұрын
Kiukweli wametenda dhambi kubwa sana ambayo bila ya Toba ya kweli Mungu hawezi Kuwasemehe. Na haki haitafutwi kwa kuwahujumu viumbe visivyohusika au vitu visivyohusika
@wemaMichael-fr4th3 ай бұрын
safiii sanaa wangemtafuta na huyo mbunge wammalize kabisa
@dominicksangu89343 ай бұрын
Bado nanyie vilaza wabunge w tz ipo sku,2.
@samtechtanzania32523 ай бұрын
Wabunge was Tz chukuen darasa la Bure
@allahisone63863 ай бұрын
SUBUTU
@annafredinandmatandiko84383 ай бұрын
2025
@kellyngogo33193 ай бұрын
@@allahisone6386siyo subutu unajua saa yoyote tunavamiwa ba si watanzania
@BMboss1083 ай бұрын
@allahisone6386 😂😂😂 ukiona cha mwenzako cha nyolewa na chako kitie maji..labdaa wa Tanzania ni waoga
@haidhabushiri95583 ай бұрын
@@allahisone6386usiseme ivo dunia sasa inabadilika
@RwechungulaBegumisa3 ай бұрын
Wakenya mungu awabariki Kwa kuitafuta haki❤❤❤❤❤
@wilbertaerasto75843 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@asinahussein21763 ай бұрын
Haki ujinga tuu njoo uone maisha yao ndio utajua ata atawale malaika shida haxitaisha
@piussangu79633 ай бұрын
Hiyo ni nyumba ya shamba je ya mjini!!! Aisee wakenya fanyeni kazi
@BMboss1083 ай бұрын
Katika wabunge wote duniani wabunge waKenya ndio wenyewe mishahara minono...sahii maisha huku yamepanda sana..sio stima,sio mayai,sio sukari,sio uto,sio maziwa sio mkate..kitamba na 50Ksh wapata maziwa 500ML (nusu lita)sahii hakuna kuanzia 60 sh ukiwa na bahati..ndogo ilikuwa 20ksh sahii maziwa rahisi Kenya ni ya 35ksh 200ML!labda ununue kutoka kwa mkuliwa anaefuga ndio labda utapata nafuu kwa bei
@gboystoner3 ай бұрын
Fanyeni kazi mnachofanya hicho sio solutions la kutatua matatizo yenu. Mnaonekana ni wavivu na hampendi kujishughulisha na michakato.
@PaulMsema3 ай бұрын
Wangekuwa na kazi wasiandamana,Hali ngumu ya maisha inamfanya mtu Bora afe maana garama ya maisha juu
@nabii-zc1hm3 ай бұрын
@@PaulMsemasahihi
@asinahussein21763 ай бұрын
@@gboystoneryani umeongea ukweli kiukweli kenya asilimia kubwa choka mbaya angalia wamepata nini sasa jana nilienda Town nimeona mafundi wamemwaga wanajenga tena.
@exaverysimon10643 ай бұрын
NDO MAANA SPEND KABISA MAMBO YA VURUGU SELIKAL YANG TZ NAOMBA MSIRUHUSU UHUN KAMA HUU UFANYIKE KWETU SAS KIKUBWA WANACHO FAID HAWA WENZETU N NIN HILO TAIFA MPAKA LIJE LIKAE STABLE SIO LEO
@christaoman88903 ай бұрын
Kazi imefanyika km ni mbwai naiwe mbwai safi sana wa Kenya mmeonyesha mfano bora😂😂😂
@AfricaQueen3 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾
@AfricaQueen3 ай бұрын
✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾Safiii ndio wajue sasa Watu wamechoka Na kunyanyaswa wanaishi maisha mazuri Na kusahau wananchi ndio wamewapatia kura 😏hii ndio fundisho kwa African viongozi watu wamechoka kuliwa pesa zenu za kodi wanatuweka kwenye maisha ya tabu wao wanaishi maisha mazuri Tumechoka wananchi safi sanaaaaaa Kenya People 🥁🥁🥁🥁✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾🎷🥁🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️hiii itakwenda Africa nzimaaa Tuamkeeeee🗣️🗣️🗣️🗣️
@terashangwe2553 ай бұрын
Ila na nyinyi ndio mnaendelea kufa
@andrewkaswagula33673 ай бұрын
I love kenyans.. wapo serious sana wakiamua jambo lao. Sio sisi huku Tanzania. Viva kenyans 💪💪
@birianination70973 ай бұрын
Ujinga huo
@zainajirani52963 ай бұрын
Usiombe Bubu akiongea patakuwa hapatoshi... Si unawajuwa Panya road 😂
@andrewkaswagula33673 ай бұрын
@@birianination7097 hyo ndio dawa ya viongozi wa Kiafrika.. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Nchi za kiafrika toka tawala za kale enzi za kupigania uhuru utakuwa unaelewa. Viongozi wengi wa kiafrika hawajawai kuamini mpaka wafanyiwe machafuko na hata kupinduliwa. Kama wakenya wangelemaa huo mswada ungepita kiwepesi tu. Lakini hapo serikali itarejea tena kuuweka sawa. Acha sisi wenye uwoga tuendelee kusemea chooni. Ila wakenya nawapenda, wakichoka hawahitaji muda zaidi, wanaongesha vitendo.
@andrewkaswagula33673 ай бұрын
@@zainajirani5296 safi tu.
@hajihassan54333 ай бұрын
Si wamepata Katiba Mpya juzi tu au ndio hii.
@deusisindwa6163 ай бұрын
Safi sn,, Iwe fundisho Kwa viongoz wa Africa,,wakichanguliwa wanajiona Miungu watu,, Wanatunga Shelia zakuwalinda wao,
@vero573 ай бұрын
Wanaichi wanaenda nchi za kiarabu kufanya kazi wanateswa, wana firwa, wanauliwa , alafu nyie viongozi ndiyo muna kula pesa za nchi , safi sana hii!! Oneni mfano huo
@thobiasanthony-ep6lb3 ай бұрын
Wanafirwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 inaumiza sana. binadamu wawe na utu jamani dah! Inaumiza sana. Mungu atunusuru jamani
@samwa94963 ай бұрын
@@thobiasanthony-ep6lbhaya matusi si amelegeza Yako mwenyewe
@mangulimanguli39742 ай бұрын
Wamemtia Adabu wanaishi maisha ya kifahari kwa ela za walala hoi dhulma wakubwa Safi sana wakenya
@handenitakuru66963 ай бұрын
Safi saaana nimefurahi mnakula kodi zetu tena za Zulma wacha yaungue
@nancyg86643 ай бұрын
kwahyo na mifugo imewafanyaje
@aidanmbilinyi81843 ай бұрын
@@nancyg8664 mifugo imejileta hapo s rasiliamali hizo
@sylvestercameo62633 ай бұрын
Huu ni uharibifu na uharifu Wala hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha ujinga huu!
@SeeMe-uh3sy3 ай бұрын
@@nancyg8664wewe nawe mifugo yakuhusu au ni pesa yakununua hio mifugo imepatikana vp
@SeeMe-uh3sy3 ай бұрын
@@nancyg8664 wanakuhusu ww hao kuku pesa ndio imenunua kuku na sio kuku wamekuja kukaa bure
@somoeomar48613 ай бұрын
Washenzi hawa viongozi wanajitajirisha wao maskini wawaumiza
@yordanyona12343 ай бұрын
Kaka huyo anafanya Biashara kuku 10000 unajua ni sh ngapi ...sio kila anayeingia serikali huiba.. MFANO tuna shabibi Msukuma Wana pesa sana ... Kishimba wao hutoa fedha nyingi kuliko za serikali
@allahisone63863 ай бұрын
EEWEEEEEH_🤔
@IbniAbbas-yz3kt3 ай бұрын
@@yordanyona1234kwaiyo jumba lote hilo kalipata kwa kuuza kuku sio!?hiyo mifugo anafuga kwa kujifurahisha tuu sio kwa biashara!fuga nawewe utajirike kama unaona utajiri rahisi kiasi hicho
@birianination70973 ай бұрын
@@IbniAbbas-yz3kt sasa mtu mwenye kuku 10000 atakua na miradi mingapi, pia kuku 10000 thamani yake ni 100,000,000 kwa mwenzi.
@hajihassan54333 ай бұрын
@@yordanyona1234 Acha tu ndio akili za masikini.
@jumamabu36503 ай бұрын
Wamekosea sana kuwachoma kuku Bora wangewafungulia tu watawanyike
@ParimeloNgarim3 ай бұрын
Wandamanaji wamefanya vizur san lakin kuku hawana hatia jamani
@mwinyimatopa22833 ай бұрын
Hata wale vijana walio uwawa na Askari hawana hatia kama sio huyo mbunge kupitisha huwo mswada Kwa hiyo kuku muhimu Sana kuliko watu sio
@wilbertaerasto75843 ай бұрын
Hasira hizo, wangemkuta huyo Mbunge ndio angekuwa halali yao😂😂
@SalamaHaji-s3c3 ай бұрын
@@ParimeloNgarimwalah. Mm nimeumizwa na kuku 😢
@florencezawadi37843 ай бұрын
@@wilbertaerasto7584alikua hayuko tena ana bahati
@rosesilio90083 ай бұрын
Kama mimi tu Nina kiglosary kwa mwaka nalipa laki moja bora hata ingekuwa elfu 20 halafu usipolipa wanakufungia usifanye biashara,, na vitishio juu,, halafu unakuja kulipa kodi serikalini ukienda hospitalin dawa hakuna na hawa wabunge sijui kinanani hawatujali pesa zote wanakula wao ndo matokeo yake hivi
@batashqiraa99363 ай бұрын
Hao wanyama hawana hatia wamewadhulumu bure, bora wangechukua wakawachinja na kupata kitoweo
@kelvinKyando-x9d3 ай бұрын
Wa kenya police wao na jeshi lao lipo kuwapa support wana nchi sio km Tz ambapo police wanatetea haki za viongoz kuliko citizens
@batashqiraa99363 ай бұрын
Tanzania tushukuru sana kwa amani aliyotujaalia Mwenyezi Mungu, ila hii ni tahadhari kwa ccm inapenda sana kuifanyia mzaha amani hii, ccm mjiangalie sana
@fettiemaganza14843 ай бұрын
Tanzania hatuna amani ndugu tunavumilia tu
@josephwilliammnyune54643 ай бұрын
Wajiangalie kwa vipi? Mambo kama hayo hawawezi kutokea Tz.
@magorymara55153 ай бұрын
Muombe mungu sana hata Sudan hawakufikiria hivyo walizani itakuwa Sudan kusin tu lakin mambo yaligeuka kwahiyo ndugu mtangulize mungu tu @@josephwilliammnyune5464
@mkanjimamkanjimamkanjima20433 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@josephwilliammnyune5464
@makatym61513 ай бұрын
Amani ama Uoga
@pendonoor88693 ай бұрын
mnisamehe kwa lugha, "wakenya ni wajinga!" period. kuku akawafanya nini? tena huyu jamaa atafidhiwa na mali ya uma. Bure kabisa!
@imanimussa62563 ай бұрын
Kuua viumbe tena kwa moto mutajutia laana hii
@peternyingi55453 ай бұрын
Magufuri arichoma vifaranga eti zimetoka kenya
@georgeichinge85993 ай бұрын
tz mnakata mazao ya wakimbizi ili wafe njaa
@atupelejohnmwakangale32263 ай бұрын
Kuharibu mali ni chuki ya kimasikini,na hata wanaofanya HIVYO huendelea kuwa masikini katika vizazi na vizazi VYAO. MTU mmoja ANAWEZA tengeneza laana kwa ukoo kwa kizazi na kizazi pasipo kujua. Mungu hawezi kuwapa Watu wanaofanya Mambo kama hayo. Ukijaribu kujenga anakuta hufiki Hadi hatua ya mwisho na ukifuga hawafugiki.
@paulmushi24283 ай бұрын
Utajuaje? Yawezekana na yeye ana Laana hiyo hiyo unayoisema!!
@Maxpaul-oi8pw3 ай бұрын
Si kodi zao ndo zmenunua?
@marymanoni55363 ай бұрын
Huyu mbunge ni Tajikistan toka zamani tabla ya ubunge😊
@IbrahDeDonny-lv2lo3 ай бұрын
Tulichoma kodi zetu shida ipo wap?, sheenzi ww
@DaudiRUBERN3 ай бұрын
We tahila na vinenovyako jitu kama mwigulu yanakera hongera sana Kenya
@davidkiswaga44532 ай бұрын
Kwa maana huo ni uharifu kama uharifu mwingine ambao umepandikizwa kwenye vichwa vya wapumbavu UNAWEZAJE KUZILA AU KUBONDA WATOTO WA MTU IKIWA YEYE MWENYEWE NDO KAKUUDHI HIYO NI DHAMBI KAMA DHAMBI NYINGINE
@RaymondZindah-ow7wr3 ай бұрын
Bado skins mwiguru, msukuma na majariwa na chawa wote wanao unga sera kandamizi Kwa wananchi
@wilbertaerasto75843 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Tanzania hatuthubutu, wake ya Wana umoja wakiamua kufanya Jambo lao hawana masihara🔥🔥🔥🔥🔥
@kaduchucomedy3 ай бұрын
Niiombe serikali ya tanzania ijifunze kitu kupitia wananchi wa kenya. NOTE ( KIONGOZI YOYOTE WA SERIKALI UNAPOKUWA SERIKARINI NIKUOMBE UWE NA MOYO WA KUWAHURUMIA WANANCHI LKN PIA WIZI NA TAMAA ZISIZOKUWA ZA MSIKI ZITUPIRIENI MBALI.] mambo mengi yanatuumiza wantanzania watuna pakusemea ila wakenya nawaunga mkono kwa kuipambania nnchi yetu.
@lawrencegwerino16563 ай бұрын
Wabunge wa tanzania hii inatakiwa iwe somo Kwenu..
@awadhally10523 ай бұрын
Kwel kabisa
@deogratiusyudatadei56583 ай бұрын
Hii inatakiwa imfikiee mwigulu tuchome kila kitu chake moto
Ni fundisho in Tanzania ..but tz utasikia uchochezi.sijui waache wale ndo nafasi zao ..mnataka sheria ichukue mkondo ...uhaini..So What? Mjinga akielimishwa hubadilika lakini mpumbavu habadilikagi
@odenmasebo97773 ай бұрын
WAKENYA WASENGE TU MNALAANA KUKU WAMEKOSA NINI SI BORA MNGECHUKUA MKAWALE
@ShedrackTunje3 ай бұрын
umbwa wewe,kuna linalo kuhusu huku,kaa tulia shenzi type
@hamidriday23523 ай бұрын
PUNDA WEWE NJOO HUKU ,FALA WEWE.
@AwaziRajab3 ай бұрын
Mali Ya Fisadi Ni Mali Ya Wakenya Wote Kwaivo Nisawa Sema Mngebeba Iyo Mifugo Kuliko Kuchoma Moto
@nancyg86643 ай бұрын
mnaeza msipate haki juu ya huu ushenzi ata Mungu anaweza kuwalaani, hao kuku bora mngewachukua tu sasa
@wkjshsxbbsbs63923 ай бұрын
Hii ni pesa ya wakenya wamejiongeza salary na wakenya wakiimumia
@AthanaseKiyoja3 ай бұрын
Msoga ya Kenya hiyo.MsijimbikiIe mali mbele ya masikini,itawaghalimu,mbunge,utanisamehe,sikuhurumii,pambana na hali. yako.kuku elfu kumi?m
@florashauri92283 ай бұрын
Mungu awarehemu,hii siyo sawa hata kidogo viumbe wamekosa Nini na kuharibu Mali za mtu
@awadhally10523 ай бұрын
Kwel kuchoma viumbe vision na hatia sio sawa.
@AthanaseKiyoja3 ай бұрын
Msoga ya Kenya hiyo.MsijimbikiIe mali mbele ya masikini,itawaghalimu,mbunge,utanisamehe,sikuhurumii,pambana na hali. yako.kuku elfu kumi?m
@PaulJelais3 ай бұрын
Pesa ya dhuluma itakugharimu tuu maana Mungu yupo
@haggaikinyau13953 ай бұрын
Umejuaje kuwa ni fedha ya dhuluma? Kenya ni nchi ya kibepari watu wanafanya biashara zao na kupata pesa wewe unasema fedha ya dhuluma, hii sio sawa na kwenyu huko Tanzania
@adammjomba58143 ай бұрын
Usihangaike na wabunge Wa TZ haitatokea chochote kwa TZ ,lazima unapongea MAMBO ya maana usiongelee wa TZ .Wa Kenya ni mashujaa toka enzi na enzi usifananishe na uchafu wa Wa tz
@BoazDillu3 ай бұрын
Hata hvyo yenu hayatuhusu😅 Kwani nanikakwambia tunajifananidha na nyie kila mtu yuko inchin kwake
@angelanaftael79653 ай бұрын
Hili ni somo kwa wote wanaodhani ukipata Mali ya dunia hii umepata vyote..... bado safari ni ndefu... na bado hatujaona mambo....watch and pray
@stevenngota64003 ай бұрын
Safi sana ila kwenye mifugo mngebeba msingechoma
@dariandeogratius3 ай бұрын
Kabisa kuchoma wamekosea wangebeba tu
@stevenngota64003 ай бұрын
@@dariandeogratius sana tu
@abuutasniym26753 ай бұрын
Mwendawazimu sio rahisi kujua chenye thamani kwake bali hupiga mateke tuu nakusepa zake
@ndessawandessageorge88953 ай бұрын
Au wangepumzika hapo siku kadhaa wakila nakutafakari pakwenda kupumzika tena
@abdullahkazungu40253 ай бұрын
Time yakubeba ilikua hakuna
@faustinfrancis90343 ай бұрын
Huu ni uharifu, ok unachoma moto kuku, mbuz, ng'ombe, uharifu wa Mali hizo ni ajira kwa watu. Wewe unateketeza? Ebu kaeni chini yamalizeni
@mosule92623 ай бұрын
Kilichoniuma ni hao viumbe wa mungu kufa bila sababu !!! Daaah!!!
@mundhirsalum213 ай бұрын
Usile kuku au usinywe maji maana kuna viumbe pia 😂😂
@mercynina62883 ай бұрын
Yaan. Hawajui chochote 😢😢
@ManyoriModernFarmMMF3 ай бұрын
laana huwa inatafuna kila kitu huwa haibagui
@landmadvdmbeyacity95613 ай бұрын
Huelewek hata unaongea Nn kuku ww
@ManyoriModernFarmMMF3 ай бұрын
@@landmadvdmbeyacity9561 🙏 ubarikiwe sana ewe binadamu.
@kanaelikanuya79193 ай бұрын
Lakini Hawa mifugowanakosa Gani Hawa waliowasha moto. Wakachoma mbuzi,ng'ombe, kuku na wao hivyo vitu havitakaa wangechoma nyumba tu
@eddechriss26643 ай бұрын
Yani kitu mmeudhi ni kuteketeza hivo viumbe hai visivyo na hatia
@AjiaMohamed-rt5pb3 ай бұрын
Ukivila ww unasemaje
@wkjshsxbbsbs63923 ай бұрын
Their insults na huge salaries pesa ya wakenya na pia kuhongwa two million each ku vote yes
@stevebaluwa71323 ай бұрын
Ata kwenye biblia Kuna wakati Mungu aliruhusu taifa lilipige taifa na kisibaki kiumbe hai chochote wala kisichukuliwe chochote vyote viuwawe
@masalakulwa76013 ай бұрын
kufa basi msenge wewe
@azizymachadeson35773 ай бұрын
@@stevebaluwa7132ushasema kwenye biblia kwani apo ni kwenye biblia Kuweni na utu mnachopambania ni sawa but isiwatoe roho ya utu hao viumbe wanaroho kama alivyobinadamu
@hamzakimaro37643 ай бұрын
huu ni ktk ufusadi na uhabifu mkubwa,ndiyo sababu kwa uislam maandamano yamekatazwa na mtune muhammad sala na amani ziwe juu yake. kwa hiyo kina mbowe wasituletee upuuzi na UFISADI huo hapa tanzania!!
@BIGBOSS-hl3bu3 ай бұрын
Hao kuku Bora mngechukua mnadhulumu viumbe wasiohusika daa
@Jurbeg3 ай бұрын
Kweli ndugu yangu 😢😮
@brianndege53313 ай бұрын
Hatukuwa na mda lakini tulichukua zingine za kupika usiku
@allahisone63863 ай бұрын
HHHH HHHHH
@BoazDillu3 ай бұрын
Kuku wamepitisha mswaada wa Kodi😂😂😂😂
@MuhammedSaid-l4i3 ай бұрын
Choyo na roho mbaya na ukabila vinawala Wakenya. Kenya imegeuka Libya, Sudan Somalia,Waafrka ni akili fnyu. Wanaangamiza maish yao kwa mikono yao we nyewe😂😂😂
@salehesalehe29673 ай бұрын
Sasa mtakufa vifo vibaya kama mlivo uua kuku ishallah
@dubabaxakatv29933 ай бұрын
Tuliwatuma bungeni kutuwakilisha sio kutusaliti halafu watuonyeshe kiburi ...hao jamaa waliopiga yes kwa bunge ni wakimbizi hawalali makwao
@RosalinaMakenzi3 ай бұрын
Yan Tz tungekua kama wakenya tusingekuwa tunachezewa na hawa wala rushwa wa pumbafuuuu safi sana kenya
@annamussa1853 ай бұрын
Kabisa
@LugyPlan3 ай бұрын
Haujitambui
@uwembatvonline3 ай бұрын
Si ujitambue ungejitambua na nani,, wewe ndo hujitambui
@salomewandya72573 ай бұрын
Kabisaa aisee
@alainnduwimana5443 ай бұрын
Jiombeeni
@davidkiswaga44532 ай бұрын
Nimpumbavu tu ndo anashangilia ujinga kama huu lakin huwezi furah hata siku moja mambo kama haya kufanyika kwa kuwa hata vitabu vya dini hata kimaadili tu huwezi mtendea mwenzako jambo kama hilo hata kama kakosea.
@naomisamwel183 ай бұрын
Hayo ssa sio maandamano ni wehu na wendawazimu. Hao viumbe wamewakosea nn..
@progressivemetallicmineral46013 ай бұрын
Acha uzwazwa wewe, kwani hata hiyo nyumba iliwakosea nini? Watu wanatizama mali zinazomilimiwa na mpuuzi mbunge na si vinginevyo. Vita hainaga macho jamaa yangu.
@Zuu6733 ай бұрын
Ni kweli
@Mima-cl2im3 ай бұрын
Mali za wizi. Ukitaka kutajirika Afrika jiunge na siasa. Ndiyo maana tunona viongozi wetu wamewasukuma watoto wawo kwenye siasa, ili watutawale vizazi na vizazi.
@nsiamasawe45783 ай бұрын
Chuki zitawaua mtazidi kuwa maskini. Mwenzenu atalipwa na bima atazidi kutajirika.
@RaelLeah-z4s3 ай бұрын
Bora amepoteza mengine hayatuhusu
@salamSalehhhhh3 ай бұрын
Wana roho mbaya hawana adabu majobless
@faithstephen36903 ай бұрын
@@salamSalehhhhh wee mbwa unabwekea nani shoga mkubwa majobless wakati ombaomba huku ni watanzania
@NardhisMhagama-sy3eq3 ай бұрын
Huna akili tena inatakiwa nayeye wange mchoma harafu alipwe na bima
@damagesinger89713 ай бұрын
Learn how to mind your own business what do you know about Kenya nonsense
@shikuhata3 ай бұрын
Sasa hapa si mtafanya kazi ya kumsababisha achukue hela ambayo mwananchi angetakiwa akaitumie ili areplace mali zake? Tutashangilia tukiona ni jambo zuri ila litawaathiri wananchi. Acheni kujichukulia Sheria mkononi tafakarini kwanza kabla ya kutenda
@ParimeloNgarim3 ай бұрын
Safi san wakenya sisi watanzania tunatesouwa tu huku kwetu watawala hawataki kutusikiliza sisi wana tuona kama hatuna akili wanatuwambia kam maisha magumuu tuwamia burundi daaa nimateso tupu
@terashangwe2553 ай бұрын
Acha kusifia ujinga haya mamuzi yanasababisha kupoteza watoto na ndugu kwaujumla siwezi kubariana na haya mamuzi mpaka nakufa MUNGU akitaka kukupa haki atakupa tu hata kwakuchelewa Acha tuendelee kuwa wajinga
@alicejumaa893 ай бұрын
@@terashangwe255uongo
@Hamisi84653 ай бұрын
@@terashangwe255ujinga ni huu unaoufikiria wewe sasa Mungu yuko na yule anaeipambania haki yake
@abuutasniym26753 ай бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu habadilishi yale yalio kwawatu mpaka watu wenyewe wabadilike Hivyo tukitaka mambo yetu yaende vizuri basi kwanza sisi wenyewe tuanze kubadilika tuache husda chuki choyo rohombaya baina yetu. Unamkutia mtu anamlaumu mwenzake wakati yeye mwenyewe ndie mwalimu wachoyo naroho mbaya naye akipewa kinafasi anamega anakua mbinafsi sasa vipi tutafanikiwa wakati imani zimekua dhaifu? Yote hayo nikutokana nakutokua nakhofu ya Mungu ndio maana mtu anahisi ataishi milele kwakuchukua mali za umma nakudhulumu
@asinahussein21763 ай бұрын
@@terashangwe255ndio utawaona tuu wakaa vibarazani nikulaumu tuu serikali embu angalia waliokufa kenya yani ni familia duni bona hawajafa matajiri majitu yanajiendea km manyumbu
@darajalakidatukilomgi23623 ай бұрын
Aki wakenya ni waharibifu, mnachoma ndege kuku ,, hasira za kijinga
@samuelemmanuel34003 ай бұрын
Huu ni wivu sasa😢
@ZainabuMrima3 ай бұрын
Wivu gani unaongelea
@damagesinger89713 ай бұрын
Do you really know how Kenyans are going through a lot b cause of this silly mps
@samuelemmanuel34003 ай бұрын
@@damagesinger8971 does burning there houses and destroying properties solve issues?
@dubabaxakatv29933 ай бұрын
Hii ni Mali ya umah.....tuliwatuma bungeni kuhongwa ama kutuwakilisha??mambo bado
@JaneChissawilo-dr7nn3 ай бұрын
Chanjo ya Korona imeharibu mawazo ya watu hii nguvu ya pamoja ya kufanya hivi bila kuchoka wamepata wapi??
@Zuhuranadadoita3 ай бұрын
Kuku imeniuma wangechoma tuh moto nyumba
@AsungaSteven3 ай бұрын
Kweli kuku hapo wanakosa gani
@husseinmassawa71863 ай бұрын
Bora wangewachukua wangeenda kula lakini sio kuwapiga kibiriti aisee
@tulinavemgeni2103 ай бұрын
B@@husseinmassawa7186 Hata wangewafungulia waende popote
@faridhamad36783 ай бұрын
Hata mimi kiukweli Kuku wameniuma sana😢 viumbe wa Allah hawakua na kosa Bora wangekula tu kuliko kuwatesa hivo.
@asinahussein21763 ай бұрын
Hata hy nyumba wanauhakika ni pesa ya serikali
@davidkiswaga44532 ай бұрын
Watanzania wenzangu acheni kushadadia vitendo vya kiaharifu kwa kuwa kutenda jambo la kihain ni sawa na uhain hata kama ulikuwa na haki haki haitafutwi kwa kuchukua sheria mkononi hiyo ni dhambi ambayo kila apandaye uharifu ata ulipa sio picha nzuri kumtendea mwenzako uhain kama huu.
@Rukwembe77123 ай бұрын
Me ninavyoona msimu ujao simba tunabeba ubingwa
@SofiaS-i5r3 ай бұрын
😮😮🤣🤣🤣Ndoto za mchana
@MuhamedAjigar-dw9ve3 ай бұрын
😅😅😅😅😅 umeiona eeh tuachane na wakenya ❤ 🎉 wekundu wa msimbazi juuu zaidi
@MuhamedAjigar-dw9ve3 ай бұрын
Nimefurahi sana maana mada wala aifanani yote kuipenda Simba yetu
@azizymachadeson35773 ай бұрын
Dah so sad hao kuku wamekufa kwa mateso hawakustahili iyo adhabu tumehalalishiwa tule kuku ila so kuwaua kinyama ivo bora wangewafungulia tu waondoke zao kuliko kuwachoma ndani ya cage imeniumiza sn!
@nyokaapaschal57343 ай бұрын
Hii Iko poa Sanaa kazi nzurii
@nyabahailani31693 ай бұрын
Mungekua Tanzania si mungekua vichaa uzuri Tanzania wote sisi ni ng'ombe yaani ktk afrika yote tz wajinga sanasana wakenye mmesibitisha nyie ni majembe hasaaa hamtaki mchezo
@laurfredyadoniar56533 ай бұрын
Wanakoelekea nikutengeneza nchi masikini
@kingmsanya35243 ай бұрын
Naungana na wew
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Njqq itqzidi
@riavlogstz3 ай бұрын
Yes maana hata watalii waliokua umo wameondoka fasta jkia airport ilikua imefurika
@kamarhelo3 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl😂😂😂😂😂 haya na wew hanifa umetuandikia lugha gani au ndo woman wamekuchanganya
@edwardkasubi51353 ай бұрын
Pengine wewe hukusoma historia ya Dunia hii ,anza SA , USA , rudi kwenye mataifa mengine ya Africa wakati wa ukoloni kama HAKI iliombwa
@rehemavenance32703 ай бұрын
Actually ni hasira ya alichofanya huyo kiongozi coz wangeweza hata kuwaiba ila hawakupata muda watu hawana chakula then mtu mwenye ako na mali anataka apate zaid...ila hili funzo liwafikie viongoz wanaoona watu ni wajinga ipo siku watachoka tuu
@Msafirimakini3 ай бұрын
Kenya watakuja kuingia vita ya wenyewe kwa wenyewe
@jumamajuu61853 ай бұрын
We r united
@israelkisaila84013 ай бұрын
Saivi hawawezi kuingia vita ya wao Kwa woa,Kwa maana saivi makabila YOTE yameungana,hawana tena ukabila,shida yao ni uongozi wote WA serikali wasiotenda haki wapi kujinufaisha wao na familia zao.saivi hata siasa za ukabila hawataki tena.
@andrewemmanuel18613 ай бұрын
Kwa ss wameingiaa vita kal sanaa❤😅😢
@jeffmap40383 ай бұрын
hakuna vita ni uwoga tu.... east africa loading....
@israelkisaila84013 ай бұрын
@@andrewemmanuel1861 hawana vita,ISIPOKUWA NI VIJANA WAMEAMUWA KUPAMBANA NA SERIKALI ILI WATEKELEZEWE MATAKWA YAO.HAWANA vita
@raphaelkorio24353 ай бұрын
Wabunge chukuweni hatua, mnaenda bungeni kutuwakilisha sisi wanainchi, tamaa za pesa wacheni kabisa kuna siku mtageukiana, Kenya Rais anapeleka mswada bungeni wanajadili alafu mnapitisha end then kikiumana anacancel mwisho wa siku mnatupiwa lawama utakuja kuwaeleza nn wananchi wako, wote walio pitisha bill hawana sifa tena kwa wananchi. Kumbukeni tumewatuma mtuwakilishe
@NuruJara3 ай бұрын
😂😂😂 kenya mara hii tumeupiga mwingi jamani wameuwa watu 240 askari huko gighurai mbona hawasemi na majeruhi mamia watoto wamekosea nn hii serikali
@claudiajames20033 ай бұрын
Sasa km hiyo ni nyumba yake ya shambani ya mjini ikoje? Wakenya safi Sana furusheni hao wanufaisha matumbo
@misungwikids5633 ай бұрын
Siku ya kwanza 2 ya maandamano nilihis hili jambo lazma lije litokee...maana wa2 wamechoka na unafiki wa viongozi wao🤔
@AsaphAroko3 ай бұрын
Yaani hii yote ni nyumba ya mtu? Duu, alafu bado anataka ushuru upande kwa watu wadogo. Kweli kila moja atalipwa hapa hapa Duniani
@Mpendahaki2 ай бұрын
Kodi za wananchi alizojinufaisha kuzitumia peke yake zimerudi kwa wananchi
@ngulathfundikira42053 ай бұрын
Kuua viumbe kinyama hivyo sio poa Mungu hapendi😢😢
@wkjshsxbbsbs63923 ай бұрын
Kuku utanunua Soko watoto wawatu wako mortuary watanunuliwa wapi
@josephlorri4313 ай бұрын
Utanunua kuku wengine sio hao waliokufa. @@wkjshsxbbsbs6392
@KomboHawa3 ай бұрын
Kwahiyo kuuwa watu Mungu ndio anapenda?
@IsmailiAyubu3 ай бұрын
Nimejaribu kusoma komenti wenye hofu ya mungu niwachache sana cjapenda
@timetravellor53673 ай бұрын
Hao kuku waliwafanya nn hata muwachome moto acheni ujinga mnajitafutia ufukara
@lizmwale3 ай бұрын
Wacha ujinga,,Na zile vifaranga za Kenya magufuli alichoma nilikuwa zimemfanyia nini?!! Think before you lip, Kenya we are not poor, if you don't have nothing to say keep quiet.or we come to you now .
@stevenchami263 ай бұрын
@@lizmwale😂😂😂kumeanza kuchangamka
@timetravellor53673 ай бұрын
@@lizmwale kuiga makosa ni upungufu wa akili yaani nyie mnasumbuliwa na njaa alafu mnachoma Chakula ukapimwe akili😂😂
@lizmwale3 ай бұрын
@@timetravellor5367 don't be stupid who ask you food from Kenya surely,in Tanzania you are not safe maker my words.
@lizmwale3 ай бұрын
@@timetravellor5367 please try to write English you Tanzania idiot,. Kenya is Africa and Africa is in Kenya so don't call Kenyan stupid and we carry you in our back
@KamiliyaHamis3 ай бұрын
Mbunge tu awe billionaire unadhani watafanyaje kama sio hivi wao wanakula tu pesa kujinufaisha wao na familia zao
@salehesalehe29673 ай бұрын
I love tz my mother country idont have other nation
@shubebunyesi5423 ай бұрын
kwani nabii suleymani mbona alikuwa tajiri alimwibia nani cc maskini mtu akijiongeza mwizi ni wivu tu mapaka dunia inakwisha maskini watakuwepo ktk nchi zote duniani ata enzi za yesu palikuwa na omba omba kwani mashamba hayakuwepo wamekwenda kuwaua viumbe bila uruma ndio nn sasa
@Khalidniya3803 ай бұрын
Hata kama jamaa amefanya makosa kama haya ila kuuwa wanyama na mifugo kwa kuchoma moto huyo ni ukatili mkubwa saana Sijapendezwa na hilo bro wangeiba tu wakaenda na hao mifugo kuliko kuwachoma
@samuelemmanuel34003 ай бұрын
Hii mbaya sasa
@rehemah58433 ай бұрын
Wachomewe nyumba wote wasaliti hata huyo ruto pia achomwe yeye na nyumba yake na kila kitu chake mshenzi mkubwa