Kabatini kwa Lulu Diva, wasanii wanadanganya bei za nguo zao? | Awachana wasanii wenzake

  Рет қаралды 48,607

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 151
@marykatanakarisa5594
@marykatanakarisa5594 3 жыл бұрын
Nicole joyberry ndio habari ya mjini 😘😘nyie wngin hmna maajbu
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 жыл бұрын
🤣🤣😍😍 nisamehe mungu, jaman jaman nimehesabu nguo 5 tu viatu miguu 3 unefungua kw nyodo nikajua leo nin leo.
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart 3 жыл бұрын
Nicole ameuwaaaah
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 жыл бұрын
Nacheka naogopa 😂😂😂jmn Hilo kbat mbon ivo na kabat lilivo funguliwa nikijua kun vitu fire jmn kwa nn nilitizama nicole😂
@happinessesau2292
@happinessesau2292 3 жыл бұрын
😂😂😂😂tulioanza na Nicole tujuane
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
@@happinessesau2292 tupo wengi
@annalisejacksonmapessa381
@annalisejacksonmapessa381 3 жыл бұрын
We unazo ngapi
@rosellaabraham13
@rosellaabraham13 3 жыл бұрын
@@annalisejacksonmapessa381 ukute bado hata nguo wanaweka kwenye shangazi kaja halaf wa kwanza kusema maisha ya mtu.😅
@akxakalapa8950
@akxakalapa8950 3 жыл бұрын
Nicole ni moto wakuotea mbali wallah tena itakua wasanii wengi watakua wamejifunza kitu kupitia yule Dada jamani ananguo khaa🤣🤣🤣hawa wengine wanasindikiza tu diva huna maajabu dyadya
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Wallah umenichekesha nimejikuta nacheka pekee yangu kama chizi
@akxakalapa8950
@akxakalapa8950 3 жыл бұрын
@@khadijasulleyman3804 😂😂
@rahmanassoro1759
@rahmanassoro1759 3 жыл бұрын
Shikamoo Nicole akuna Kama wew
@dggxxxxfgff3876
@dggxxxxfgff3876 3 жыл бұрын
Nisiwe muingo nicole nimoto wakuotea mbali
@anniesixtus2366
@anniesixtus2366 3 жыл бұрын
Umeonaeee
@aminaissa9756
@aminaissa9756 3 жыл бұрын
Kweli kabisa.
@fatmamakalo3068
@fatmamakalo3068 3 жыл бұрын
Kbc kweupeeeeeee hakuna majabu🤣🤣
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@dggxxxxfgff3876
@dggxxxxfgff3876 3 жыл бұрын
Mbona sijaona nguo jamani🤣🤣🤣
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@hendrickantony5160
@hendrickantony5160 3 жыл бұрын
Nikole noma
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
Mbona hajamfikia Nicole 😂😂😂🙄🙄
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 3 жыл бұрын
Nicole ndo kiboko yao,ndo maana harmonize alisema Sina uwezo wa kumlipa Kama video qeen ila amenisaidia, kweli maana wa Moto hatareeee dah
@dianajavan609
@dianajavan609 3 жыл бұрын
Jaman saluti kwa nicola
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 3 жыл бұрын
Mbona Lulu kabati lake ata langu halifikii na ndo shabiki yake,,,Apo Nicole ndo konk Yani Nicole amewafunika mastar wote hapa Tanzania na mpaka zari kafunikwa,,,mtu anapoch Hadi milion Tisa sio poa,, Nicole kwang ndo best fashenista
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Yaan hatammm
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 3 жыл бұрын
Issue cyo bei issue ukivaa unapendezaa???
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Mbona hakukupeleka kwenye hizo nguo nyingine
@nuruhamisi8353
@nuruhamisi8353 3 жыл бұрын
True
@salomejoachim4953
@salomejoachim4953 3 жыл бұрын
Nicole ni habari nyingine kabisa ukimuongelea unaweza zimia huku watembea, mtu pochi million 9 wakati wengine hata za laki shida
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 3 жыл бұрын
Nguo zote zile anazo zivaa ziko Wapi? Huyu msiri hataki kuonyesha au tusemeje, man's si kwa kibati hiko
@bahiyaseleman5838
@bahiyaseleman5838 3 жыл бұрын
Zakuazima jee? Mnafifkir wananoga vayakwao..nn maana ya msanii ndio huo usanii ss
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 3 жыл бұрын
@@bahiyaseleman5838 duh!yote yawezekana hawa wana sarakasi,mana nimeshangazwa na kakabati
@jacklinemashaka9027
@jacklinemashaka9027 3 жыл бұрын
Za kukodisha
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
😳😳😳😳🤔🤔
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
@@jacklinemashaka9027 😳😳😳😳
@exterjob5411
@exterjob5411 3 жыл бұрын
Kabat lilivofunguliwa kwa mbwembwe ilibid hay manjonjo yafanyike kwa Nicole🤣🤣🤣aibu naon mm uwiii
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 3 жыл бұрын
Ata mimi nimekushinda lulu ila shikamoo nicole 🙌
@glorykazaura3774
@glorykazaura3774 3 жыл бұрын
Nenda kwa Nicole haunamaajabu
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 3 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uyu si ndiyo yule mnasemaga anapesa tajir 😳 ata Kwangu pazuri kha kweli wasanii maisha yao ni ya kisanii 🤣🤣🤣
@annajaydenjayden3517
@annajaydenjayden3517 2 жыл бұрын
Tuoneshe kwako tupaone🤣🤣
@bennamush4616
@bennamush4616 Жыл бұрын
Nani kaona geuness smooth apo
@evasaimon6764
@evasaimon6764 2 жыл бұрын
hahaha! Jaman sio kwa kikabati hiko
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Miguu inavibarango vya kujichubua duu hatar sana
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Mie nikajua kanga yupo chini
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Ndio mumetuonyesha nn sasa😂mwatuchokesha hizo nguo tatu na pair nne za via2
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Jamn s ni za kwake muachen
@reahsamwel9903
@reahsamwel9903 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣hauna maajabu dada nami nakuziti
@queentoto3878
@queentoto3878 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mmmmmmmmh hata kama nimechelewa kuangaliya hi k2 ila lulu diva hata mm nimekushida kabati hakuna k2 😂😂😂😂😂😂😂mawigi matatu mmmmmmh
@susannesusie3217
@susannesusie3217 3 жыл бұрын
😂😂😂😂 kama uliona video ya Nicole lazima ucheke 😂😂 but msisahau anamgojwa lulu anauguza jamani
@katewanjiku8549
@katewanjiku8549 3 жыл бұрын
🤔🤔
@thegirlfromafrica5726
@thegirlfromafrica5726 3 жыл бұрын
Kabati halina maajabu
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Ila lulu div umenichekesha sn🤣🤣🤣🤣ilo kabat ata siamin mbona kwanza nikafupi alafu nguo 4 alafu bag 2 mawigi ma 3 viatu peya sijui 4🤣🤣🤣lulu umeniacha hoyi
@ridhiwanfatma6312
@ridhiwanfatma6312 3 жыл бұрын
Hawana maisha ukiwaona kwa mtandao waweza kufuru mungu wako wana fake life nicole ndo habari ya mjini ana pesa na hana mashauz kama wasanii wetu
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
@@ridhiwanfatma6312 kweli kbs Nicole nikiboko yao
@dianakingusamwel133
@dianakingusamwel133 3 жыл бұрын
Hii ni nini Kwan jmni🙆
@johannahakim8470
@johannahakim8470 3 жыл бұрын
Nicole nakupenda
@ramlajuma1598
@ramlajuma1598 3 жыл бұрын
Mbavu zangu jamani uwiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bennamush4616
@bennamush4616 Жыл бұрын
Shkamoo Nicol kafunika wooote Yan hakuna kitu apo
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
Nicole so powa mhmh atari
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 3 жыл бұрын
Deo unaacount yako unayorusha hichi kipind?
@dianajavan609
@dianajavan609 3 жыл бұрын
Mh luludiva kama mm to, kiboko ya wote ni nicola..huon hata aibu kutuonesha geto lako mtangazaj mwenyew anashindwa to kuonesha kushangaa kwasabab yupo kzn lzma asapot😂
@evasaimon6764
@evasaimon6764 2 жыл бұрын
Hiko kikabati Host mwenyewe amechoka kabisaa kukiona
@hidayajohn9838
@hidayajohn9838 3 жыл бұрын
Danmmmm,,, for real Hana maajabu
@aysherkhamis1803
@aysherkhamis1803 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂mbwembwe nyingi,hauna maajabu
@halimamwajuma9208
@halimamwajuma9208 3 жыл бұрын
Kabati ni kubwa ila hakufungua lote 😎
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
Mmmmh 🙄🙄🤣🤣🤣🤣
@halimamwajuma9208
@halimamwajuma9208 3 жыл бұрын
@@husnamfuko6136 🤣🤣🤣 sjui kaogopa nini hajalifungua lote🤐
@azashaban5846
@azashaban5846 3 жыл бұрын
amna maajabu apoo utopolo2
@rosedalton543
@rosedalton543 3 жыл бұрын
Jaman mbona qushney kwenye ilo kabati
@elizabethngwandu1155
@elizabethngwandu1155 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@aminaissa9756
@aminaissa9756 3 жыл бұрын
Mm pia nashangaa. 👐 👐
@samiasaleh1464
@samiasaleh1464 3 жыл бұрын
Lulu ata uyo mtangazaji hana maswali mengui ya kkuliza kaona akuache mambo kwa nicole
@tinkudey5928
@tinkudey5928 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mausiano yaludiweeee
@ruthkasumba7739
@ruthkasumba7739 3 жыл бұрын
Nicole anasababisha watu wa dharaulike🤣
@nurunuru8072
@nurunuru8072 3 жыл бұрын
Daah kweli kabsa
@khanniebaraka1515
@khanniebaraka1515 3 жыл бұрын
Napenda mekaup yake
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Mimi ningekuwa Lulu diva nisingeonesha kabati nguo 4 jmn khaa mawigi 3 aibu, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣lulu chiz sn
@sarahali5938
@sarahali5938 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂😂🤣
@joyceassey2347
@joyceassey2347 3 жыл бұрын
Mi nazan hizo ndo alizopanga kuwaonyesha watz,,,kwa pemben apo naona kama kuna mlango mwingine wa kabati,,,,,hajaonesha zote apo
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁🤣🤣Makumbwa aya 😆😆😆😆nini iyo
@zabibumarenda3321
@zabibumarenda3321 3 жыл бұрын
Mbona hakuna kitu nywele 3 viatu vimechoka sio kitu cha kushoo of apo 🌚🤔 wadada tupunguze fake life 🙌
@elizabethkibombo8151
@elizabethkibombo8151 3 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kweli kabisa tu nilione interview ya Nicole vitu vingi ni Top Chine yy women From Tz Feki to much 😳😏🤭🙄
@zayykimaro7933
@zayykimaro7933 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣anamaajabu yoyote
@majchannel1034
@majchannel1034 3 жыл бұрын
Jaman mpangilio wa hyo wardrobe n mbaya. .......... 🙄🙌
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Mmmh!!🤔
@kilizajumainn826
@kilizajumainn826 3 жыл бұрын
Kabat LA lulu Halina maajabu 🤣🤣🤣
@khadijasulleyman3804
@khadijasulleyman3804 3 жыл бұрын
Hatari jamani
@mutwalesylvie1305
@mutwalesylvie1305 3 жыл бұрын
Mh amna kitu
@edahbundala483
@edahbundala483 3 жыл бұрын
Mbona kabati halina maajabu....au unaazimaga eeh
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 3 жыл бұрын
😆😆😆nguo zenyewe 3 tu 😆😆😆😆😆
@agnethakomba6379
@agnethakomba6379 3 жыл бұрын
Only 2 jamani
@chichimloli5926
@chichimloli5926 3 жыл бұрын
Nataka kabati ya hamisa ,wema na zari boss lady
@reginantora5
@reginantora5 3 жыл бұрын
Haunishituw
@bilikhamis8963
@bilikhamis8963 3 жыл бұрын
Jaman mbon nguo zenyw sizion au mach yang😂😂😂😂
@evansmrema6166
@evansmrema6166 3 жыл бұрын
Haahaha jamn alivyo kuwa anafungua kabati kwa bwebwe sijaona arudie arudie jamn hahaha nguo.gan izooooo weweeee ata Mimi nakushida bi shost
@happyfabian7399
@happyfabian7399 3 жыл бұрын
Anamajabu
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 3 жыл бұрын
Msiri huyu
@joyceassey2347
@joyceassey2347 3 жыл бұрын
Yes,hajaonesha zote
@magretjames9971
@magretjames9971 3 жыл бұрын
Kiatu kimejikunja mmh unakivaa kila siku
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Au ndio za kuazima maana hilo kabati linanguo hata kumi hazifiki jomoni
@wanimushombe706
@wanimushombe706 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 that all
@zabibumarenda3321
@zabibumarenda3321 3 жыл бұрын
Nimependa umeongea 85% ukweli si misifa ya ovyo
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Vanesa erika ulaya usimufananishe anajuwafashoni
@aproniagerald6208
@aproniagerald6208 3 жыл бұрын
Mbona aibu jamani
@rechomasanja3606
@rechomasanja3606 3 жыл бұрын
Kabati nzul
@asmahamadi8975
@asmahamadi8975 3 жыл бұрын
Bora usinge funguwa kabati
@hadijjahshajara5433
@hadijjahshajara5433 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 nguo ama viguo
@OmanOman-fu8xy
@OmanOman-fu8xy 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔🤔
@zawadtebuye9835
@zawadtebuye9835 2 жыл бұрын
kwamba ni anaazima na kurudsha mbona nimemzid sas
@malkiachibungu1407
@malkiachibungu1407 3 жыл бұрын
Na nguo zake tano kama mm
@violethmsuya2768
@violethmsuya2768 3 жыл бұрын
Enga 8 duuuh😆😆😆
@glorymlawa9084
@glorymlawa9084 3 жыл бұрын
Sikuwezi umenifanya nihesabu
@rosemulile2019
@rosemulile2019 3 жыл бұрын
Kha
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Weyeunapotezawema munabaki kudanga pekenahamunaLoLote
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 жыл бұрын
Nasuguzake
@khalossalim213
@khalossalim213 3 жыл бұрын
Hizo sugu ni vepeee 😂😂
@zabibumarenda3321
@zabibumarenda3321 3 жыл бұрын
Yan no edt leo 🤣
@deborasalum1015
@deborasalum1015 3 жыл бұрын
Mbona hana maajabu jamani aende kwa Nicole huna jipya mpenzi una kakijikabati na ustaa wote huo 😳😳😳😳😳
@julietjotham8812
@julietjotham8812 3 жыл бұрын
Mnaoponda pengine hata nguo 10 hamna,muachen Kila m2 anamtu na uwezo wake😏
@mankamukure2992
@mankamukure2992 3 жыл бұрын
😅✌
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Kabisa dear anajikwamua awezapo kwanini ajiumize nae anamajukumu ya mama yake ambaye ni mgonjwa waja sie tuna mambo sana 😏😏👌
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 жыл бұрын
kwahio lulu ananguo tano vitatu na vipochi viwili
@hamidahassan1282
@hamidahassan1282 3 жыл бұрын
Mbona hamna kitu
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Mbona. Nguo zipo mbili
@happybirungi919
@happybirungi919 3 жыл бұрын
Cabati tupu jamani,naona nguo sita tu
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
kwani ndio kwanza mujue leo? kuwa wanadanganya bei za nguo , mawigi na kila kitu . di ndio usanii
@dannytiggy8610
@dannytiggy8610 3 жыл бұрын
Wanaazima nguo madukani
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Kumbe unajichubua naona miguu inasugu mikono pia inasugu za kujichubua 🙄🙄🙄
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Wanataka weupe kwa nguvu
@dinnahmalolo4265
@dinnahmalolo4265 3 жыл бұрын
Mb zangu zinaniuma balaa sasa nn hiki jaman hahhaa
@fatmamakalo3068
@fatmamakalo3068 3 жыл бұрын
🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@majumajulius3915
@majumajulius3915 3 жыл бұрын
Hamna nguo
@arafampoma3399
@arafampoma3399 3 жыл бұрын
Auna maajabu Lulu kama Diva
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
NiLuLu divawadrama kabisa nakupongaza mutangazaji
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 3 жыл бұрын
Unajichubua kizamani na wewe
@marylubuv8202
@marylubuv8202 3 жыл бұрын
Hahahaha mbavu zangu jaman
@judithsteven6815
@judithsteven6815 3 жыл бұрын
😜😜😜hauna maajabu
@fredyrenatus7098
@fredyrenatus7098 3 жыл бұрын
Nicole kiboko yao
@umurutahelene6853
@umurutahelene6853 3 жыл бұрын
Nn
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 жыл бұрын
Ndio ujue nguo nying huwa wanavaa wanarudisha dukan wasanii bhn
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 жыл бұрын
Kabisa
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 жыл бұрын
Hilo nalo neno wng
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 жыл бұрын
@@dorcaskidoti249 ndio
Nicole awaponda wanaume wanaoshindwa kumuoa "Hawawezi..."
18:11
EastAfricaTV
Рет қаралды 33 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
ZUCHU KUONDOKA KWA DIAMOND - USWEGE MURDERER
5:35
Uswege Murderer
Рет қаралды 199 М.
MAFUNZO KATIKA FANI YA UVUVI NA UCHAKATAJI SAMAKI.
28:31
KIJANA AMWAGA CHOZI KISA AMEUMIZWA NA LULU DIVA KWENYE MAPENZI
1:29
10 Daqiiqo Kaliya Isii, 2025 Wuxuu Noqon Doonaa Sanadkaadii....
10:29
LIVE#IBADA YA CHUO CHA MANABII!
GeorDavie TV
Рет қаралды 5
DUNIA (Ep 48)
23:19
ASMA FILMS
Рет қаралды 43 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН