KAMANDA MULIRO AJIKANYAGA MBELE YA MTANGAZAJI CHIEF ODEMBA KUHUSU WATU KUTWAKWA NA KUPOTEA

  Рет қаралды 13,129

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 48
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 Күн бұрын
Kama Duka linaibiwa Mara kwa mara na mlinzi yupo, na hajawahi kuwakamata wezi, Bilashaka hata huyo mlinzi tutasema ni mwizi au ameshirikiana na wezi kuiba' Haiwezekani watu wanaokosoa Serikili tu' ndio ambao hawalindwi na Polis' !!!!
@MickyMgeri
@MickyMgeri Күн бұрын
Naona kinyaa sana hata kumsikiliza huyu mtu,kichefu chefu kabisa.
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h Күн бұрын
Jau Hakuna kitu hapo . Polojo tupu . Kesi ya ngedere hakim tumbili nguruwe hanahaki
@EliaHiluka
@EliaHiluka Күн бұрын
Usilazimishe watu kuitikisa salamu ambayo haina faida
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 Күн бұрын
Tukizungumza mambo ya utekaji halafu watu waseme kazi iendelee ipi ya utekaji?
@issahoza2236
@issahoza2236 Күн бұрын
Hovyo kabisa mungu tunusuru na porojo kwenye mambo yamsingi
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Күн бұрын
Kabisa
@odingamalambilo9070
@odingamalambilo9070 19 сағат бұрын
Uko vizuri mzee
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 Күн бұрын
Mwongo
@GoodluckMmary
@GoodluckMmary 16 сағат бұрын
kazi uwezi
@starlily07
@starlily07 Күн бұрын
Analeta mizaha kwa mambo serious, anachekacheka wakati wenzio wanataka kujua waliotekwa wako wapi
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 21 сағат бұрын
Na wengine wanalia
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano Күн бұрын
Huoni uchunguzi kuchukua mda mrefu nihatari zaidi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 23 сағат бұрын
Kamanda upo vizuri.
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Күн бұрын
Huyu kumsikiliza kibaraka wa ccm ni jini afai kusikilizwa ni aibu sana kwa tanzania tunatekwa tunauwawa apo mlilo amna kitu hapo anajitekenya huyoo
@ASALABOY
@ASALABOY 2 сағат бұрын
Nani tunamuamini Uyu kamanda Muliro tuje hapa kwenye Like
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Күн бұрын
Siyo watu awataki kuitika Bali kweli wamechoka hawana raha
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Dr, samia hakukosea kukuteua upo vzr namsimamo wako
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Күн бұрын
Hp hamana lolote yan pilato na Farao Firaun,atoe suluhu,y watekaji haiingiii hakilin, awamu y Tano ikowap, MUNGU aliondoa pakatulia kdg likn wameanza tena watekaji wafe kw Ajali, hivhiv hatuwawezi, haw wasojulikana,
@mahmoudmihanjamu669
@mahmoudmihanjamu669 Күн бұрын
Na wanasheria wakapiga na makofi yani 😂😂😂
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 17 сағат бұрын
Oya wemzee tuonesheni watu waliopotea wakowapi? Kama mmewauwa tuambieni
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh Күн бұрын
Mm sielewi anaongea nn huyu mtu
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Күн бұрын
Hatutaki kuitika yaani tuseme utekaji uendelee!?
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi Күн бұрын
unacheo.kikubwa.unashindwa.kukitumia.watekaji.unawajua.acha porojo
@mosesimsalaba
@mosesimsalaba Күн бұрын
Vip uchunguzi wa kupigiwa kwa lisu bado mnachunguza pili walinzi walitolewa na Nani 3 kamera zilizimwa na Nani?
@ChristopherMashaka-e1v
@ChristopherMashaka-e1v 2 сағат бұрын
Kwamba huyuu ndoamekuwa Zima motoo Yani maneno mengi ya busara lakini haya lengii hasaaa pont
@OscarBethel
@OscarBethel 20 сағат бұрын
Kama hawataki kuwabambikia watu kesi nimara ngapi wamewabambikia kesi akina mbowe,mabukusi ,mdude na Dakta slaa juzi juzi hatujasahau hicho anachoongea mimi simuelewi kabisa mbona hatusikii watu wa ccm wakikamatwa na kupotea wapinzani ndio wanakamatwa na kupotezwa mimi najuwa kabisa huyo anatuadaa mbona analeta ngonjeraa
@brittanypulei789
@brittanypulei789 Сағат бұрын
Tuleteen kijana wetu soka
@victorernest7702
@victorernest7702 Күн бұрын
Daaah 😅
@GoodluckMmary
@GoodluckMmary 16 сағат бұрын
maneno mengi sana alafu akuna action
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 16 сағат бұрын
Unajua muliro kuna wkt nakuhurumia mana macho yenyewe yanaonyesha kuwa unajuaaaa soooo alipo na wenzake yan soka
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Kama hutaki kumsikiliza mpeleke ndugu awe kama yy lkn kwa sasa, nikijan
@nuhutwanga
@nuhutwanga Күн бұрын
Alafu wewe sio mzungu tumia kiswahili
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 17 сағат бұрын
Uyu mzee afai kuwa mkuu wapolice anachokiongea akieleweki ukimsikiliza waliopotea anajuwa wakowapi
@AdamLameck-x5n
@AdamLameck-x5n Күн бұрын
Uyu baada ya uchaguz atapewa nafac ya IGP
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Mlilo jembe unafaa kuwa IGP
@HellenNkwera
@HellenNkwera Күн бұрын
Boadii mzee😢
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Anafaaa sana nyie ndyo wazarendo feki
@DismasSenya-h1r
@DismasSenya-h1r Күн бұрын
Kwaniwewe ulishindwa nini kuwanamtazamo kama wa mwabukusi
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Күн бұрын
Mmmmmm😂😂😂😂
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Apewe tuu
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl Күн бұрын
Jee uchunguzi wa lisu umeishia wapi
@ErastoSimba-Tz
@ErastoSimba-Tz Күн бұрын
MURLILO Bado unajichanganya sana kwenye uchunguzi Bado hamna utaratibu mzuri wakufanya uchunguzi coz kwanini wanaotafwa Kila siku hawakamatwi? Propaganda tuu hizo 😢😢😢😢
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 Күн бұрын
Mbona kaelezea vizuri tu. Sema Odemba analazimisha kupewa majibu anayotaka. Bila kuwa na uhakika wa yale yanayosemwa.
@mangashajunior242
@mangashajunior242 Күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@mlumendoigonza6398
@mlumendoigonza6398 6 сағат бұрын
Anafaaa sana kuwa IGP
@CristinLyanga
@CristinLyanga 20 сағат бұрын
Q
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Explanation from mlilo was not way of help tls meeting has brought theataning and disupoint explanation no hope ctreasize even lntanationol mlilo did not be wisdom has came with the seem behavior this was crush all discussion all brain was inside tls meeting all discussion has been crush by head of daresalama police force as we call police force consern all this explanation from tanzania advocate who understands tanzania constuetion more than mulilo but him disided crush anyway is our nation we reach whete are now you can be arrested keep costod more than 6 years without taken to court over 6 years for lnvestgation all fear of tanzania opposition and sapotor that no hope of push democracy in our national like ather country this is what police in Tanzania force we tanzania love ccm rulling part by full force because police enjoying ccm leadership coruption in police force and so many scandal on police department that why they don't want to hearing any political party agest coruption became victims crush like no body businesses anyway but is the tima thinking bigger how to rengforce unity cane out from this big trable in our national through ccm leadership
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
KTN News Kenya
Рет қаралды 325 М.
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Inside the Secret World of Zara
10:21
Bloomberg Originals
Рет қаралды 132 М.