No video

'Kamanda wa TAKUKURU mchukue huyu' - Waziri Mkuu Majaliwa

  Рет қаралды 76,640

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

#EATV

Пікірлер: 74
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 3 жыл бұрын
Kazi iendelee gonga like twende sawa na waziri mkuu
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Asante brother mheshimiwa kazi unaifanya, unatutia sana moyo,mzee wetu,hongera kwa kazi yako
@angelsylvester4795
@angelsylvester4795 3 жыл бұрын
Maombi yetu watanzania wazalendo tuelekeze kwa waziri mkuu wetu huyu ndio mungu katuachia faraja baada ya jpm kusimamia pesa za serikali nakuyaumbua majizi kumbe ndio maana leo yanamiliki majumba miladi mbalimbali na mitoto yao kusoma ulaya sababu ya pesa za walipa kodi wanyonge Mungu akutunze baba majaliwa tunakutegemea sana🙏🙏🙏
@rahabuahimas7410
@rahabuahimas7410 Жыл бұрын
Isantakwa Kaz nzuri MUNGU akulinde 👏 Sana.🤝
@issazakaria863
@issazakaria863 3 жыл бұрын
Nimeipenda hii kauli "KAMANDA WA PCCB CHUKUA HUYU" safi sana Waziri Mkuu wetu
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Salamu za Uzalendo zifike kwa Waziri Mkuu nawasimamia Mali za UMA woteeee kazi inaendelea🇹🇿
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 Жыл бұрын
Hongera sana Mhe Waziri Mkuu unatupa faraja sana
@jameschali6023
@jameschali6023 3 жыл бұрын
Jamani naomba tumuite huyu mheshimiwa Jpm au mnasemaje wadau
@esterjema2932
@esterjema2932 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@reubenbegashe2372
@reubenbegashe2372 4 жыл бұрын
Waziri Mkuu Ongera Sana, Hao watu wapo wengi Sana huku wilayani wamejaa. Wanajifanya wataalamu kumbe ni majambazi wakubwa, wanapenda kutukuzwa kama miungu. Kazi yao nikunyanyasa mafundi Tu. Lakini nimarafiki wakubwa wa masaplaya wakati mwingine wanaenda madukani wenyewe kununua vifaa wanaacha kamati ilioteuliwa
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
kwakweli mweshimiwa waziri mkuu unaturejeshea matumaini makubwa na kupata faraja kubwa.mana tunajua tunae mtetezi.asante mungu
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 4 жыл бұрын
Safiiiii sanaaaa mkuuu nimependa hiyooo linapandisha kigugumizi kwa kodi ya Wananchi mpaka atoe hizo pesa Ndiyo tumwache
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Chapa kazi tu MHE magufuli wewe tumbua tu baba wewe ndiyo magufuli watu walikuwa wanaanza kupiga kelele sana kuwa kazi zimeanza kulala tumbua tu
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 3 жыл бұрын
Habari njema Sana , ndio usimamizi WA Mali ya Umma huu
@florakaaya4559
@florakaaya4559 3 жыл бұрын
Tunakuombea Majaliwa wetu komesha wadonozi. 🙏
@professamuddy5407
@professamuddy5407 3 жыл бұрын
Wezi hao weka ndani. Mwizi ndio mtu wa kwanza kurudisha maendeleo nyumaa. Safi sana majaliwa! Tuko pamoja.
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 3 жыл бұрын
U r a man. Ndicho chuma hicho watanzania mhula ujao musidanganywe. Magufuli aliwaachia. Mwacheni mama amalize mda wake kwa salama.
@hoseaseif6602
@hoseaseif6602 Жыл бұрын
Saffi sana baba majaliwa kwakazi nzuri sana ninaimanikubwa nawewe katika nchi hii
@charleskizo6698
@charleskizo6698 3 жыл бұрын
Pongezi nyingi sana kwa Waziri Mkuu. Unafaa kuwa rais 2025
@benjaminilunga8826
@benjaminilunga8826 3 жыл бұрын
Baba wazi mkuu kamajaluwa tunakutegemea na raisi wetu mpendwa mama yetu Samia H S
@shabanismaily5777
@shabanismaily5777 4 жыл бұрын
Kamanda PCCB mchukue huyo!!! Heshima kwako Pm.
@ramadhanmafuruka351
@ramadhanmafuruka351 3 жыл бұрын
Daaaah hadi raha nimeipenda hiyo wanaanza upigaji huo wanaitumia kauli ya kwamba acha kazi iendelee
@davidivedasto1844
@davidivedasto1844 3 жыл бұрын
Big up PM pamoja sana tumbua majibu kazi iendelee...👍👍👍👍
@phillipolaizer20
@phillipolaizer20 3 жыл бұрын
We are proud of u our primminister ata uyu mama atumuelewi kwakwwli
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 жыл бұрын
Umeniunganisha na anko magi,💯
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 жыл бұрын
Hahahaha kdg tunapata Amani Salam kwa waziri Mkuu🇹🇿
@benatusrupili9521
@benatusrupili9521 3 жыл бұрын
Rais ni wewee 25
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 3 жыл бұрын
Duuh , kwayo awamu ya sita ni half time au
@evflorasoledad1437
@evflorasoledad1437 3 жыл бұрын
@@issaidrisamusa8437 huyo mama anamalizia awamu ya tano aondoke kabisa.
@annangaiza8701
@annangaiza8701 Жыл бұрын
Asante Sana mheshimiwa
@japhetkatunziofficiallydon9587
@japhetkatunziofficiallydon9587 3 жыл бұрын
Safi sana majaliwa uondo uzalendo Piga kazi
@fabianmagwaza4760
@fabianmagwaza4760 3 жыл бұрын
Hofu ya Mungu anayo anayekumbk kifo. Watz weng tunalia ajra mshahar wa lak3 kwa mwez hatupat. MTU anachukua ela ambayo ata penshen yko haitafikia. Hakika Mungu ataadhb utakfr hamtakufa. Watu wanalala njaa mnajlipa ivo?? Hakika watu wabnafs
@rubenijhonisamelo5796
@rubenijhonisamelo5796 3 жыл бұрын
Tunataka uwe rais
@alfoncewiliam6680
@alfoncewiliam6680 3 жыл бұрын
Safi sana baba
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Жыл бұрын
the guy is innocent, alikuwa anaelezea kila kitu as leader you have to listen, you are very smart but listening is good idea
@josiahlugwisha6273
@josiahlugwisha6273 3 жыл бұрын
Hongera sana mweshimiwa kwa kazi nzuli.
@mohamedally24
@mohamedally24 Жыл бұрын
God bless you for your work
@vitalresspeter7295
@vitalresspeter7295 3 жыл бұрын
wanamwita Mh....... kasimu majaliwa mtoto wa kusini mkoa wa Lindi kusini usio mjua utamchulia poa wana kusini wanakihita chuma cha reli hata mimi binafsi naungana na wana kusini ukisema Jembe uja koseah baba Yetu kasimu piga kazi simamia aki za watanzania baba Axante
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 жыл бұрын
Waziri Mkuu Safi Sana wewe Ni Muwajibikaji hasa
@GHOST-gc8ju
@GHOST-gc8ju 4 жыл бұрын
Kuna mambo yanatia kinyaa sana sijui kwanini watanzania tunakuwa na roho mbaya kiasi hiki
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Wewe ni zaidi magufuri umenifanya nicheke kama bwege waziri mkuu.we kweli mkuu no mistake
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Жыл бұрын
Hivi mkuu wa mkoa wilaya Taukuru hawaoni mpaka aje waxiri mkuu awamrishe kuwakamata hao jamaa nchi ya hovyo kweli hii
@muhamadikakatu5706
@muhamadikakatu5706 3 жыл бұрын
Jembeee baba majaliwaweee fanyakazi
@partonmosha8433
@partonmosha8433 3 жыл бұрын
Mm ni Mpinzani Damu, ila nakuelewa sana PM, nikuombe tu usiwe sehemu ya ccm asilia, Bora kujiuzulu kama wataendeleza mfumo mbaya ktk kulinda Kodi za watz, ILI TUKUCHAGUE BAADAE.
@Emmanuel_Assenga
@Emmanuel_Assenga 4 жыл бұрын
Mmmh, Kumbe bora Hata Magufuli
@kissakamwanga8365
@kissakamwanga8365 3 жыл бұрын
Mimisiuzagi vitasa msijekwangu🙄🙄🙄
@ramadhanmafuruka351
@ramadhanmafuruka351 3 жыл бұрын
Daaaah pole mkuu wamekuponza
@janekichonge4957
@janekichonge4957 3 жыл бұрын
Tuna imani na wewe majaliwa pigania wanyonge fatal nyayo
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
Naa...naaa...
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
AHSANTE Mh.Majaliwa. " "Kazi iendelee ".
@patrickmlowe9748
@patrickmlowe9748 3 жыл бұрын
Huyu ndie mzalendo wetu alie baki jamani
@hellenhartley4316
@hellenhartley4316 3 жыл бұрын
Umebaki pekeyako usichoke 2025 inahusu
@mambohaji5379
@mambohaji5379 3 жыл бұрын
Kamua wote janjajanja mkuu
@ramlazuber6038
@ramlazuber6038 3 жыл бұрын
Kwa mwendo huuuuu wataelewaaa TUUU.
@matitutvonline4184
@matitutvonline4184 3 жыл бұрын
Hata serikali ijayo bado utafaa kuwa unafaa kuwa nafasi hiyo
@mariamlucas6922
@mariamlucas6922 Жыл бұрын
Piga kazi baba utuokoe
@ackenkubetta9541
@ackenkubetta9541 4 жыл бұрын
Duh Pm hataki utani
@georgemallya4311
@georgemallya4311 4 жыл бұрын
Pambana bosi wangu
@seifkassim4579
@seifkassim4579 3 жыл бұрын
Jani naombeni kuulia.kwanini sehem anaekuwa kasim majaliwa barakoa azionekani.sehem anaekuwa mama samia barakoa kama zote hii imekaaje?
@bagamoyoetv6371
@bagamoyoetv6371 Жыл бұрын
KAaim
@manchalijob9600
@manchalijob9600 3 жыл бұрын
Tumain rangu ripo kwako waziri mkuu
@gidiondaanajuadaudy1164
@gidiondaanajuadaudy1164 3 жыл бұрын
Madiru mick
@florakaaya4559
@florakaaya4559 3 жыл бұрын
Wanyonge hata Ukijenga Choo Unipe manispaa. Lkn Hao wanakula Billion kila wiki.tunakuombea sanaa Baba.ulinzi wa Malaika Wema wakuzunguke
@malcomg1004
@malcomg1004 Жыл бұрын
kamanda PCCB,mchukue huyu,simple tu😂
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
😄😄😄
@wolfuganasenga8062
@wolfuganasenga8062 2 жыл бұрын
Hapo sasa watanzania tunataka nini jamani jembe hilo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Waziri gani achukuliwe mbona sielewi
@nangukidasu8040
@nangukidasu8040 3 жыл бұрын
Kumbe jamaa wanapiga pesa Sana.
@jumaigoti8638
@jumaigoti8638 3 жыл бұрын
Tumbua
@jumakilewa7265
@jumakilewa7265 3 жыл бұрын
Watumishi hawana uzalendo waende jeshini miezi mitatu vinginevyo mchwa hawaishi! !!!!
@aliabdalaaliabdala7326
@aliabdalaaliabdala7326 3 жыл бұрын
Baba waooo pigakazi
@matesojoseph7817
@matesojoseph7817 3 жыл бұрын
Safj
@alfoncewiliam6680
@alfoncewiliam6680 3 жыл бұрын
Tufute machozi mkuu
@dickngimba4333
@dickngimba4333 Жыл бұрын
hapo mh: upo kazin walisema kichaka wakawa wanajarb kuwachezea funga wote mbona wanao iba kuku wanafungwa afu taifishen Mali zao wamejihonga tukisema maisha magumu bado tunaona wezetu wananepa kumbe wanapiga mkuu kaza mwendo mungu atakulinda kiongoz wetu
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 19 МЛН