Mashallah mnanikumbuxha nilipokua nikixom buguruni neemalwaly qadiria chini ya ustadh Hassan Banda m mungu amlinde na hasadi nanyi nyote
@modiyuu6287 Жыл бұрын
Mashallah kazi mzuri hakuna bidaa hapo ila nitamaduni to mungu awazidishie kwenye uendelezi ya swala y mtumd s.c.w❤❤❤
@ibrahimjumbe64342 жыл бұрын
MashaAllah Mungu amrahamu almarhoum sheikh Ismail Muhammad alikua na beti zake nzuri sana kuhusu kaswida hii 😭😭😭
@Rehema-h6t Жыл бұрын
Masha Anllah anayo alama kipenzi chetu 😢❤❤اللهم صل وسلم وبارك علي سيدنا محمد
@raheemhamisi53702 жыл бұрын
Jaman kwani mbona wimbo mzuri wa kumsifia mtume wetu (S.A.W)hakika nimeupenda jaman kama kuna mtu anayo Audio antumie ntashukur sana jaman. Waislaam tupunguze lawama,,,ata km ni taarabu inamsifia mtume wetu kuna ubaya gani,,,???acheni izo jaman waungwana wa kiislam. Eti baadhi ya waislaam wamekerwa na suti walizovaa,,???kikubwa ni ujumbe uliopo kwenye qaswida jaman tupunguze kupondea waislaam.
@riiabbas33932 жыл бұрын
Yani inaskitisha waislamu kuandika inna lillah wakati watu wamekusanyika Kumsifia Mtume.. Jamani hii dunia ikiwa watu hawakusanyiki kwa mwaka Ivyo ni mtihani kwa vizazi vijavyo mana Hata jina la Muhammad wa natamani lipotee
@omaryntagala3740 Жыл бұрын
@@riiabbas3393 jina la mtume latajwa sana ila sio kwa hili huo sio utaratibu wa kumtaja mtume wetu S.A.W
@mariamharoon1840 Жыл бұрын
Hapo kwenye muziki 😢 tu kweri ya allah nijarie nijue dini yetu
@jamalimussa49287 ай бұрын
Mziki huo😢😢
@ZenaUsangi7 ай бұрын
KAMA UMEPATA HIYO AUDIO NAMI NAOMBA
@MaryamHaji-bb5gv Жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishie tupate kuingia nae mtume peponi inshallah
Ninetokwa machozi kwa furaha, Allahumma swali Alaa Muhammad S.A.W
@salmakhatri26962 ай бұрын
Sub'han'ALLAH!! Mtume mzuriiiii. اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد نور الأنوار وسر الأسرار وسيد الأبرار وعلى آله وصحبه وسلم ❤️❤️❤️❤️❤️
@tazzat33835 ай бұрын
Just imagine prophet Muhammad sitting on this congregation on the high table with all those luxurious delicious food!!! And also dancing!!!SUBHANALLAH
@ZuleaOmari Жыл бұрын
Maashaala kaswinda nzuri sana
@husseinkhamis34752 ай бұрын
Wallahi humu kasifiwa mtume Muhammad Nyie tuacheni na bidaa zenu Sisi akitajwa mtume pahala popote nafsi zetu zinatakasika midhali watu wanamsifu na kumuumbia kipenzi Cha Allah na Umma , Anayo Alama
@lelasharifabdi1139 Жыл бұрын
Mashallah mashallah anayo alama bwana mtume like voice 🥰😘❤
@burhantvtzonline54172 жыл бұрын
MAASHAALLAH TABAARAKALLAHU,ZITTAAAAAA ZIKUBWAAAAA,swalluuui a'alaa habibi Muhammad (s.a.w)
@thadeondazi14952 жыл бұрын
q
@anwarosman72062 жыл бұрын
Maashallaaah very beautiful
@fathiyaali61712 жыл бұрын
ماشاء الله ماشاء الله، اللهم صلي وسلم على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين 😍😍😍😍
@Aisha-zz4xy Жыл бұрын
Maashallah tabaaraka llah
@twalaataib73372 жыл бұрын
MASHALLAH JAZAKALLAH VERY VOICES FRM KENYA
@thadeondazi14952 жыл бұрын
m
@rashid35628 ай бұрын
Mnaopenda kuponda ni wachoyo tu Hamna uchamungu wowote
@AbdulraheemSalimu Жыл бұрын
Allhahu Akbar Allah awazidishie
@aidasalingwa9766 ай бұрын
MashaAllah hakika twamsifuMtume Kwa sauti nzuri kama hivi
@MohammedAli-zx6yh2 жыл бұрын
duh htr mashekh
@mokitaa87502 жыл бұрын
SUBHAANALLAH LEO DUNIA IMEISHA
@Allyahmed402 жыл бұрын
Acha wivu acha Mtume Muhammad Aswaliwe Sheikh
@hamisimuhammad36562 жыл бұрын
@@Allyahmed40 kuswaliwa mwenyewe sio hivo sasa
@SalumSeif-w5y5 ай бұрын
unashangaza unaposema dunia imeisha wakati maulid imeanza kabla hujazaliwa
@asmamjema85392 жыл бұрын
Mashaallah
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Masha allah
@surusuru19947 ай бұрын
Masha Allah aswaliwe mutume❤❤
@binabeidsalim6380 Жыл бұрын
اللهم صلى وسلم عليه ما شاء الله يا اخواني
@SaraBashiru6 ай бұрын
Mashaala allah 🎉🎉🎉🎉
@leaderboy75652 жыл бұрын
Allah atupe ufahamu sahihi wa dini. Tunafanya mambo mengi tunadhani tupo ktk dini kumbe tunahaaribu dini. Tusimeni uislamu wetu
@yahyayusuf1761 Жыл бұрын
We wajua maneno yako ni kiasi ya kuita mtu kafiri ati tunaharibu dini hivi ndivo tunavo mswalia mtume s.a.w kama hupendi usitizame
@athumanmwamgupu661 Жыл бұрын
Silazima utazame, Kila mtu anafahamu zake!!?
@ramadhanShaban-cb9fs Жыл бұрын
Tupokatika haki achadhanapotofu kasomekwanza
@hafanabdallah3112 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Anza kusoma kwanza ww alafu ndo ujibiwe
@mariamomary3537 Жыл бұрын
Mbea we we wajua lip tunga lako uwe nalo peke yako we mwenyew muovu
@saadaliy39792 жыл бұрын
Hatar sana mzee koba
@HusnaMakame Жыл бұрын
Mashaallah Allah barik
@omanruwi55018 ай бұрын
Masha Allah Masha Allah ❤❤🎉🎉
@saadmbaraqa52722 жыл бұрын
Uzushi wa mzumari katika dini ni zulma mnawafurahisha viumbe mazaifu mnauza dini yenu
@mahmouddulajara73072 жыл бұрын
Anayo alamaa
@binabeidsalim63807 ай бұрын
Wataka kusifiwa wewe mjinga myahudi wewe
@babuuosama87527 ай бұрын
Heri haya ya kujumuhikia kumbukumbu za kipenzi chetu MTUME WETU MUHAMMAD (saw) Kuliko kujumuikia mipira ya manaswarah ! Nampenda aliye na halama Kipenzi NABI MUHAMMAD (saw) Asiye mswaliya ni mkosefu wa fadhila .
@abdulhamidjafar3176 Жыл бұрын
Dah dktr abubkry azuubeiyry bin aliy muft mkuu wa Tanzania allh akuepush na bid-aa na uisimamie dini ya allh kwa haki .na allh awafhmishe nyinyi lkn pia awafhmishe na hawa wanokutukneni ,Kwan dini cio kuitana wapumbav Wala waking bl dini nikufhmishn kwa hekm na busara.
Apo ndipo waislamu walipo potea, yaan UYAHUDI nyuma ya pazia. INNA LILAH WAINA ILAYH RAJIUUN
@allyabubakarisaidy58942 жыл бұрын
ww bhn kam answar utajua mwenyw kwan hz s sifa za mtum au shida nn wamepotea ww ndo haujapotea wot ss hakn anay jua mung ach kusem waislam wamepotea ila inavyoonyesh ww nd wale mnao mping mtum ww wach kuwalaum ulev wa bwan mtum nimtam kulik mviny haram
@bahiyalumelezy30162 жыл бұрын
Wewe unajihisi mtakatifu saana unakwenda peonies ee?km wamepotea unawafatilia yanini?unayapenda haswaa ndy maana unasikiliza na kufatilia.ulilazimishwa kutazama?
@najatsalum2122 Жыл бұрын
Namuona shekh langu shekh Kabeke
@mahfoudhjuma4833 Жыл бұрын
Mziki ni mchanganyiko wa alarm na mashairi ss unamtaja mtume ndani ya alarm ...mungu tupe hekma ya kujua haki ilipo
@soudkhamis7006 Жыл бұрын
Hii hatari zaidi sasa . Tumuogope mungu jamani
@Dawlat2827 ай бұрын
Nzuri sana
@Fatma-up9qs7 ай бұрын
Innalillahiy wainnailayhi rajeun. Masufi tupu
@hemedisaidi9023 Жыл бұрын
Innalillahi wa inna lillahi rajiuuni ndugu zangu waislam acheni hayo mambo ya kuimba na kupiga dufu wanaume mtume swalla llahu alley wassalam akutoa mafundisha hayo muyafanyayo Wala swahaba zake mikono italegea itakua kama mikono ya Wanawake acheni matamanio ya nafsi maswahaba wa mtume Muhammad swala llahu alley wassalam walipigania dini ya Allah sio kuimba na kupiga dufu twawapenda kwaajili ya Allah hizo mzifanyazo ni njia za sheitwany Alie laaniwa na Allah
@HalfaniRashid8 ай бұрын
Mtume wakati anapokelewa madina ilipoimbwa Twala'al badri zilipigwa nini pale maalim, punguzeni ujuaji, shida mnakariri hamtaki kusoma
@HalfaniRashid8 ай бұрын
Dufu zimepigwa kipindi cha mtume sembuse leo bana, jitahidi kusoma maalim, usifate mkumbo
@Fatma-up9qs7 ай бұрын
Is this instrumental song halal in Islam???
@MozaissaNassor7 ай бұрын
Yaa Allah tuoneshe haki na utuwezeshe kuifata natuonyeshe baattil na utuwezeshe kuiwacha.
@omarmtulivu-fl9gt Жыл бұрын
Maaasha Allah
@RehemaMgongwe-di3yf7 ай бұрын
Amina karama yamwenyez tuendeleze
@salimsalim60002 ай бұрын
Swallu Ala Muhammad saw
@hijazhija3162 жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@imranijuma69552 жыл бұрын
Khatari wallahi mtihani
@jumajafar87102 жыл бұрын
lailahillaah,masufinamashianibabanamtoto
@saudhamdoon48252 жыл бұрын
hii taarabu ya wapi?
@hemedisaidi9023 Жыл бұрын
Sababu za mtu kua shoga Moja wapo ni mziki mnaacha msingi mzuri wa Kur Ani na Sunnah Kwa ufaamu wa wema waliotangulia mkashika njia mbaya maswahaba wa mtume Muhammad swala llahu alley wassalam laiti wengekua kama masufi hii dini ya Allah isingetufikia sisi huku baba unaimba na kupiga dufu je mtoto wako atakuaja kuaje namuomba Allah awaongoze ndugu zetu tambue Kila Mmoja atakua kaburini pekeyake ndo pagumu hapo
@mwantummakoa42539 ай бұрын
Usihukumu Bali muombe mola wako akuepushe na Shari ktk dini,,,yawezekana madhambi ulionayo nimakubwa kuliko hizo dufu,,,mda mwingine hata mzaz wako hujui amekula Nini leo
@adamjutto58497 ай бұрын
Kwako wewe mwanamke unahakki ta kutetea hayo yanayofanywa,lkn uislamu umemkataza mwanaume kufanya vitu hvi kwa sbbu ni vya wanawake@@mwantummakoa4253
@abdallahmmary85918 ай бұрын
Unapo sema Wafalme wanenyanyuka kwani ndio kiigizo chema Subhannallah huo ni muzki namuziki niharam nasivngine ushushi na wazushi nimotoni
@SalumSeif-w5y5 ай бұрын
kwahiyo unathibitisha hao wanaingia motoni
@aishatidrisa24 күн бұрын
Jina la kaswida
@HamisiramadhaniTurusia3 ай бұрын
Nimeipenda Ila hzo magitaa hazifai
@labunaabouna61227 ай бұрын
Nice
@habibakhalfan10652 жыл бұрын
Msiba_Mzito_sana
@mariamomary3537 Жыл бұрын
Umefiwa
@travellertraveller45052 жыл бұрын
Maashaallaah
@AzizaMombe-fy4qv8 ай бұрын
Allahu akbaaru dini yetu taamu
@Allyahmed402 жыл бұрын
Anayo wallahi Anayo. Opoooooooooh sharif Koba
@nassirhamad9407 Жыл бұрын
BIDAA BIDAAA BIDAAA Haina tofauti na nyimbo za akina DIAMOND na Zuchu na wengineooo....Mcheni Allah watu wa BIDAAA dini munaipeleka siko munaaavuuuka mipaka sasaaa
@hamisjuma408110 ай бұрын
Kama ni Bidaa why umechukua mda wako kwakusikiliza bidaa Acha mambo yako hujalazimishwa kusikiliza Bidaa wewe unaojiona uko sahihi endelea haijatajwa nguruwe hapo katajwa MTUME MOHAMAD S,A,W.
@hamisjuma408110 ай бұрын
BIDAA BIDAA Huku unasikiliza
@sharifisangyo80388 ай бұрын
Bidaaniwewe hunamaarifayadini acheni wahmu
@shaameshaame9721 Жыл бұрын
dini gani hii?
@munirafatma60902 жыл бұрын
Takbrrrr
@issashekh47265 ай бұрын
Ewe Allah atunusuru hakika sisi ni wakosefu 😢
@abeidmrengaofficial17922 жыл бұрын
Subhanallah . Koba kiongozi wa bidaa. Watching from capetown Rsa
@HassanHassan-si2rt2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@HassanHassan-si2rt2 жыл бұрын
From missina Beit bridge
@Allyahmed402 жыл бұрын
We mwenyewe bidaa
@mahmouddulajara73072 жыл бұрын
Anayo alamaa
@mariamomary3537 Жыл бұрын
Waijua hukum yake we ndo mungu jifunz kunyamaza utaponywa na Iman yak
@feisalboy6702 Жыл бұрын
Watu wa bidaa ni watu wabaya sn ktk jamii na uchafu wote ktk jamii asilimia kubwa wao ndio waanzilishi
@yusufuMuhange3 күн бұрын
Swallu ala nnabii muhammadin
@TeamKRX2 жыл бұрын
Acheni basi kwani tumeambiwa tuwe na kilio time zote sikilizeni hadithi za mtume alikuwa na furaha na huzni wakat mwengine acheni basi kosa walilolifanya hawakuvaa kanzu tuuuuuu wengeuwa kichizi mshalahah
@hafidhsalum91492 жыл бұрын
Wangeuwa kwa hiyo taarabu na vinanda me nahic wangeta viuno ndo wangeuwa zaidi pumbavu zao
@pikanaauntzuu1466 Жыл бұрын
Na mtume alikua akienda kuskiliza kasida na wake zake kwenye zinapigwa kasida
@hameezhami7795 Жыл бұрын
Na kunesa alikuwa ananesa rasulullah.❤
@BimkumbwaAmour Жыл бұрын
@@hafidhsalum9149😂😂😂😂😂😂
@Nuruyasunnah.official_tv7 ай бұрын
BIDAA MBAYA 😢😢❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌
@SulemanMuhidin7 ай бұрын
Na kwanini wasipige takbir n wanapig makofi, n hawatoridhika mayahi mpaka muwafate mila zao, mie naishaia apo ,sipend mabishano napend kuelimisha 8:58
@mokitaa87502 жыл бұрын
magita vinanda ngoma duh ! hapo sasa hata mimi niliokua nikijinadi kua maulidi sio bidaa sasaivi sipo na nyinyi ndio yale aliyo sema hiyo ni ndugu yake taarabu, mnatupoteza
@babaawena2 жыл бұрын
Haongera bro
@Zivago123 ай бұрын
Hiyo ni qasida sio maulidi
@Zivago123 ай бұрын
Ila hata mimi sikupenda vinanda
@الزغويالزغوي-ض3ن2 жыл бұрын
صلى الله عليه وآله وسلم
@roudhamahmoud7637 ай бұрын
Mimi sioni ubaya hapo mana hakujakatwa viuno wala hakujapigwa ngoma za mbwa kachoka uchezaji wake ni ustaarabu tocha mungu muweza anajuwa niya za waja wake tuwache kuhukumiana hupendi acha fanya unoona sawa usiwahukumu watu utakavo wewe
@Hustlersec11 ай бұрын
Uzushi zahir shair
@nassirhamad9407 Жыл бұрын
Mumebaki kwenda kurikodi na Zuchu sasa...Pumbavu zenu Hiiii dini munafikiri ni ujinga huo munaofanya watu wa BIDAA... TUTASHUHUDIA mengiii sanaaa
@ShaameMBakar2 жыл бұрын
uhuni huu
@AbuuSaif7 ай бұрын
Jaman tufuateni dini tusiuate nafsi zetu NA sheitwan. Allah awaongoze katika haki
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Kazi ipo 🤔🙄😣
@adamjutto58497 ай бұрын
😂😂bado diamond amuimbie mtume
@RehemaMgongwe-di3yf7 ай бұрын
Nijia ya allh pekee waisilam tumche mwenyezi kwa makin kaswid inatufahamisha tuyafanye mema
@babaawena2 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilaihi rajiuun
@jakuabdull34 Жыл бұрын
Inailahi rajiun mwenyewe cc nyoyo zimefurah kutajwa kipenz chetu
@AshirunaDanga11 ай бұрын
Mashallah mashallah 💕💞💓💞💞
@feisalboy6702 Жыл бұрын
Kawaida ya bidaa cku zote huwa inaongezewa utamu ili sheitwaan azidi kuwachezea ndani ya nafsi zao
@mwantummakoa42539 ай бұрын
Mbona mnawafatilia sana kwann upo humu
@karomammwalula97013 ай бұрын
Kwan Nn co bids sheikh
@RashidMswagaaКүн бұрын
Wee mwenyewe nibidaa
@saidseif18602 жыл бұрын
Duh Mambo haya ni uzushi xi mziki huu someni dini jaman
@mahmouddulajara73072 жыл бұрын
Anayo alamaa
@mariamomary3537 Жыл бұрын
Wewe ulisomea dunia na mbon huwez kuhukum nyamaza tungoj hukum za allah
@selemankishema57802 жыл бұрын
Wallahi laiti mngekuwa mnajua msiba wa waislam leo kutoijua dini yetu ya uislam basi msingepannda majukwaani na kunengua viuno hii ndio hali walinizonazo viongozi na matajiri wa kiislam.
@@bahiyalumelezy3016 nenda mapumbavu wewe mmekalia ujinga ujinga hali ya dini mbaya mnafanya mchezo,
@RamadhaniSalehe-o8t7 ай бұрын
Duuuu Allah atunusuru
@barkebahesmy12577 ай бұрын
Teta sura zao zina ghdhabu hwapendi furaha abbadan😮mpaka wanzeeka😂
@shadyaaboud2405 Жыл бұрын
Swallu alaa rasul
@alialamoudi97297 ай бұрын
🎉Si thani kama kuna ikhtilafu kumpenda mohamed ni tharura kuliko nafsi yako NA watoto wako bora isiwe mchanganiko mtume hakusema kitu wakati wa idi wakati watu walikua wamefurahi
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Ebwana ehhhh Nilifikili Sami Yusuf.
@abuuirfan95232 жыл бұрын
TAARAB LIVE
@haarunsaidabdillahi40822 жыл бұрын
Hakuna tofauti na taarab.
@hamadsaburi35698 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢 haraazm
@oman602410 ай бұрын
❤❤❤❤
@BabChidy-rk4vh Жыл бұрын
Mashallah mashallah !!
@BakarOthman-fl7cq7 ай бұрын
Nyote mnaounga mkono upumbavu huo,nyinyi ni majahil murakab,munaunga mkono uyahudi olewenu,na hilo sheikhe lenu ni jahili kubwa
@hamisimuhammad36562 жыл бұрын
Dini imekua kanisa Sasa maana hayo nimambo yakikanisakanisa
@OmantelCm8 ай бұрын
Mdomo tu muone vile
@SulemanMuhidin7 ай бұрын
Assalamualeykum, Mtume ,amekwisha lisema zamani katika hadithi zake kuwa zitakuja bidaa nyingi, na kuna hadithi ilisem bidaa ni upotevu tena motoni, hivyo tuelimishane muuongoaji ni Allah, kwani hata wakiristo wanaona dini yao ni sahihi na wanabishana , je kweli ni sahihi
@bakariyusufujuma2 жыл бұрын
Mbona mmechanyika wanawake na wanaume hayo ndio mafundisho wanawake kuwapiga picha wanaume!?
@rashidmlawa65482 жыл бұрын
Kwani hujui kama hiyo ni taarabu
@bakariyusufujuma2 жыл бұрын
Hahahaaa hapo sawa nilikuwa napata tabu mashindano ya kitabu kitukufu na na hilo zege inakuaje
@HalfaniRashid8 ай бұрын
Makka wanachanganyikana wanaume na wanawake wanasali kabisa unasemaje
@HalfaniRashid8 ай бұрын
Au hujui ibada za umrah zinavo fanyika
@salumunsabimana65022 жыл бұрын
Naomba kuuliza huu siyo music ? Kwa sabubu music umekatazwa kwa sababu ya gitar na kinanda .ingekuwa rika pekee sawa siyo music. Sasa naonaduniya imefikamwisho kwa sababu ya kuganga njaa eti kunamwarabu pale .ndomana wafrica mtabaki kuwa nyuma kidini na kiduniya mkimuonamzungu mnajishushamkimuona mwarabu mnajishusha mtihani .mngejuwa kwamba africa duniya nzima sisi ndo tunafata dini sana ilatumekwenda kinyume na mafundisho ya Allaah .acheni .
@mohamedmasauni3609 Жыл бұрын
Ndugu yangu ktk hii dini yetu kuna vivuli kwahiyo walio wengi hutumia hivi vivuli nasio kila unaemuona kavaa kanzu na kofia ni muumini au kila anae adhini ni muumini aàh a wengine ndio hao wanao tumia hivo vivuli mwenye akili na mazingatio hampigii ngoma mtume wala hamuimbi na mola wake allah atupe khofu yakumjua na kumuogopa amiin
@AbdallahMohammed-s5w Жыл бұрын
Si Milad Bali Arusi... Wamechangayika Waume na Wanawake. Pili, viyakula kwa Sahani ghali !!! Wapoteza wakati wao bureee !