Kauli hii ya Papa Francis ni Dalili ya Kiama - Sheikh Kundecha

  Рет қаралды 9,599

Kalamutz

Kalamutz

Күн бұрын

Пікірлер: 43
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Жыл бұрын
Kwanza sio Ndoa ni uchawafu wa jinsia moja ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA NA VIZAZI VYE2
@AllyRashid-c5u
@AllyRashid-c5u Жыл бұрын
Ammin
@Aisha-jw7jf
@Aisha-jw7jf Жыл бұрын
😢😢😢ALLAH Atunusuru kwa huu Ushetani Wallah inasikitisha saana
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Жыл бұрын
Innaa lillaahi wainna ilyhi raajiuun! Hakika huu ni msiba na hii inadhihirisha kwamba huyu kiongozi hayo Kwa ajili ya dini Bali ni upuuzi wao wa kimaisha na kupotosha ulimwengu....Wafuasi wake watafakari na kuichukua hatua
@allyiddy3562
@allyiddy3562 Жыл бұрын
Yaa Rabbi wakinge kizazi cha kesho
@hanspop6961
@hanspop6961 Жыл бұрын
Alhamdulilah to be Muslim
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Kazi wanayo
@MwajumaMbotoni
@MwajumaMbotoni Жыл бұрын
YAARABBI tunusuru sisi na vizazi vyetu vjavyo
@abulaaliyah77amani91
@abulaaliyah77amani91 Жыл бұрын
Hakika
@MohdNassor-v9t
@MohdNassor-v9t Жыл бұрын
Mtuhani Wallah .Mm niko njia Pacha sijui WAPI PA KUKIMBILIA NAONA HATARI KUBWA KILA UPANDE. LILILO BAKI NI NUSRA KUTOKA KWA MOLA TU.
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Hamna dini pale
@OmegaMwinuka-dj4zw
@OmegaMwinuka-dj4zw Жыл бұрын
Shehee huyo amechanganyikiwa
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s Жыл бұрын
Akiwalazimisha wahame dini waje kwetu islam
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Жыл бұрын
enzi za upagani, waliabudu miungu wengi, waliabudu siku ya jua ( sun day) waliabudu sanamu za kuchonga n.k, siku hz kuna dini fulani imekopi yote hayo!! halafu wamesoma hao hatari ila hawana maarifa ndiyo wanaoitwa Makafiri 😂😂
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Жыл бұрын
Dhambi ni moja tu,Yesu alikaa na makahaba
@almachiusjeremiah
@almachiusjeremiah Жыл бұрын
Watu eleweni imani za watu msikimbie kukurupuka tu .
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 Жыл бұрын
Kule kwa machoko
@akimzeli5030
@akimzeli5030 Жыл бұрын
Mama yenu Samia alizuia maandamano na dua ya kuwaombea Palestina. Ukimuangalia na shungi yake waweza dhani ni mtu wa maana sana kumbe lichakubimbi tu. Mfyuu.
@thegreenkhidhir3705
@thegreenkhidhir3705 Жыл бұрын
Basi ndo ivo pia katika uislamu, mwanamke hatakiwi kutawala wanaume...hii pia ni sawa na kugeuza nidhamu ya uumbaji wa asili lakini nyie mashekhe pia na mufti wenu mnatetea jambo hilo ambalo baya kama hilo la jinsia moja, ajabu hamulioni hili kama dalili ya kiama pia.Kabla ya kuwasha taa kwa jirani, tuanze kuiwasha taa ya kwetu!? Mbona kuna double standards katika maovu jamani.
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Siku zote swez kashifu dini ya mtu maananaelewa Changamoto sio sisi wa Afrika Changamoto ni mapokeo ya hzi dini mlizoletewa kwa maana kila alie kuja na dini na kitabu chake aliwaaminisha kua imani hyo n bora kuliko zote na ndio ya kumfikisha kwa Mungu Mzungu na Biblia alifanya hvo na Muarabu na quran alifanya hvyo Ndio maana mkristo anaona Imani ake ni sahihi na nibora vile vile Muislam nae anaina Imani ake n bora na ya haki Na Madhehebu yanatokea mpentekoste anaona yeye ndie mkristo wa kweli tofaut na wengne vlele vle Sunn anaona yeye ndie Muislam wa kweli na sio Shia Ukiweza kuelewa mapokeo ndio tatizo huwez mtukana mwenzako utazidi kuimarika katika amri 10 za Mungu na kusonga mbele na Imani ulio ichagua
@allyvindili9099
@allyvindili9099 Жыл бұрын
Ukiristi co din ni kikubdi Cha wahuni kilichoamua kuwapotosha watu tangu enz hizo kinachodhaminiwa na ibilisi laanatullah alay
@emanuelwakawenga4023
@emanuelwakawenga4023 Жыл бұрын
Sasa kama ni kikundi yanini kujadili
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Жыл бұрын
​@@emanuelwakawenga4023tunawakumbusha ili mrudi katika njia iliyo nyooka ya kumuabudu M/mungu mmoja asiekuwa na washirika aliyeumba ulimwengu na vilivyomo.
@raulianraphael6853
@raulianraphael6853 Жыл бұрын
Ukishiriki chakula alicho iba mwizi ili hali wajua n cha wiz hutonusulika katika hesabu ya Mwenyez Mungu Ushaur. Watoen vjana wenu katika vyuo vya wakatoliki,pia mlio ajiriwa katika mahospitali ya wakatoliki jitoen katika hzo ajira na wale mnaougua msiende kutibiwa katika hospitali zao Zilizojengwa na sadaka zao Basi mtakua mko salama kutoshiriki katika hlo mnaloita ukatoliki si dini ni kikundi cha kishetan Yann unajua ni kikundi cha kishetan na unaenda kupata huduma zilizowekwa na kikundi cha kishetan? Kauli ya Papa kua na utata katika uelewa wa watu haimaanishi Ukatoliki n Ushetani. Mfn Mufti mkuu mbona anajumuika katika hafla za kiserikali ambayo Kiongoz n Mwanamke ili hali Uislam umekataza ndo Imaanishe Uislam leo Umeruhusu na kukubali maana Mufti ni kiongoz wa juu wa Uislam,Je kushamiri najisi ya Mapenzi kinyume na maumbile>Mombasa,Zanzibar, Oman ambako n jamii kubwa zenye waislam Ndo uislam kutokua sawa jibu n hapana Hivyo tus kashifu Dini ya mtu kwa kutomuelewa kiongoz wa Dini flan
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
​@@emanuelwakawenga4023 Tukiacha kujadili tutaangamizwa sote, sisi na nyie, mnakufuru za kila aina, mpaka kusingizia Mungu ana mwana, hilo limetosha, mna mpya sasa, wanaume wakorogane mavi 😮
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
​ANAEITWA nani huyo Mungu?
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
Biblia imejaa ponography na kuwachochea watu walewe mpaka wanguke wakishakuanguka tena wafanyweje ?yeremia 25 aya 27mpaka 28
@fridahissole122
@fridahissole122 Жыл бұрын
Jitambue na uache upuuzi.
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 Жыл бұрын
@@fridahissole122 vumilia ukweli unauma siku zote
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Isaya 23:17
@AhaddinSabtura-n5i
@AhaddinSabtura-n5i Жыл бұрын
Habibit wala waambie ukweli wao😂😂😂
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Жыл бұрын
Usome pia kuhusu Njia Kweli na Uzima. bila kisahau msamaha wa dhambi kwa neema Nan kasema anakwenda mbinguni kwa babake
Hapa Ndipo alipo lala Sheikh Abuu Idd Mohammed Idd Mohammed
26:22
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Huyu ndio Sheikh Hassan Bin Ameir Baba wa Waislamu Tanzania
1:06:55