No video

KAULI YA NDUGAI KUHUSU MIKOPO ''WAMETUFANYA SISI MAZEZETA ''

  Рет қаралды 68,935

Ngasa Tv

Ngasa Tv

Күн бұрын

#jobndugai #ndugaimikopo #spikawabunge #breakingenews #magazetiyaleo #siasa #michezo #ikulumawasiliano #rais #samia
#bunge #bungetanzania #habari #hivipunde #taarifakubwa #polistanzania #simba #yanga #dodomajiji #jijifc #azam #manchester #waziri #mawaziri #bungeni #bungelatanzania #ngasatv #ngasatvdodoma #dodomakwanza
KARIBU KWA MATANGAZO YA BIASHARA / TUNAANDAA EVENT NA KUTOA
USHAURI WA KIBIASHARA
ngasamedia@gmail.com
WhatsApp:- +255 716909567
Call us :- +255 716909567
Thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.

Пікірлер: 85
@THE-GCMonlineTV
@THE-GCMonlineTV Жыл бұрын
Inauma sanaaa
@christophermadirisha7797
@christophermadirisha7797 2 жыл бұрын
Mheshimiwa , nakukubali sana .
@josephmhaiki8083
@josephmhaiki8083 2 жыл бұрын
Big up ndugai
@mussanganda505
@mussanganda505 2 жыл бұрын
Sikutegemea kama ndugai una akiri kias hiki,ungekuwa karibu ningekupatia zawadi,
@sarahezra3725
@sarahezra3725 2 жыл бұрын
😭😭😭😭 Mungu akupe Nguvu Baba; Ubarikiwe sana🙏🏼 Mungu atakuinua kwa mawazo yako... Nimesikiliza nimekuelewa vzuri sana, Nashukuru🙏🏼
@charlesmponzi1597
@charlesmponzi1597 2 жыл бұрын
Jamaa Ana Hoja Sana sema Hawa nzi wakijan sijui
@HamisRais-fn9ui
@HamisRais-fn9ui 2 ай бұрын
Ndugai alikua sahihi madeni tunakimbia miji,
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Tunashindwa kujenga nyumba nzuri anabwabwaja..
@hadijajohn7434
@hadijajohn7434 2 жыл бұрын
Kweli umekngea point ndugai bora tuchange wenyewe kujenga nchi kuliko madeni kwanza mkopo katika dini ya kiislaam ni kharamu unachukuwa riba na ndio maana penye ukweli hujetenga tuache .mikopo itatuacha pabaya kama zambia hawana aridhi wamempa mchina kwakweli tukae tufikirie sana swala la mkopl nchi itauzwaa
@zedetave3513
@zedetave3513 2 жыл бұрын
Mungu akubalik sana kwakusema ukweli
@madattarcharles1114
@madattarcharles1114 2 жыл бұрын
Lisemwalo lipo kama halipo raja ,Upo sahihi Comrade...
@amirabdallah9335
@amirabdallah9335 2 жыл бұрын
Ipigwe mnada mara ngap
@muhusinifadhil3678
@muhusinifadhil3678 2 жыл бұрын
uko sahihi mzee
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Point Sana ndugai
@AhmedAli-by4qr
@AhmedAli-by4qr 2 жыл бұрын
Mikopo hupitishwa bungeni kwanza weye ndio spika
@peterchoga9624
@peterchoga9624 2 жыл бұрын
Sho sho
@susankitila8684
@susankitila8684 2 жыл бұрын
Kibaya kipi alichoongea. Spika Ndugai jamani. Mbona tunaoneana hivi.
@ramadhanimbulu4941
@ramadhanimbulu4941 2 жыл бұрын
Huyu mgogo anataka kutuonfezea kodi na mitozo mingine ya ajabu.Mama samia kopa kama magufuli alivyokopa,kikwete,mwinyi na mkapa.
@amosmseti1450
@amosmseti1450 2 жыл бұрын
Ndugai nakuerewa sana nchi yetu haina dira kk anaekopa ni mtumwa wa alie mkopesha unaongea kwa uchungu inaonekana kabisa
@Kym_hussein
@Kym_hussein 2 жыл бұрын
Mikopo ya awamu ya 5 mbona hukutoa hoja… ilhali ilikua ni mikubwa kuliko na hata habari tulikua hutupewi na taarifa alikua nazo.
@saidialmas6477
@saidialmas6477 2 жыл бұрын
Safi sana ndugani
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Ndugai na sio ndugani!
@kelvinmgona5450
@kelvinmgona5450 2 жыл бұрын
Umesema kweli ndugai mwenyewe nmechoka kusikia madeni Kodi tunalipa tozo sjui nini anafanya huyu mama
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Wewe ndio Mshauri
@amosmseti1450
@amosmseti1450 2 жыл бұрын
Wapinzani mmeona kwenye ukweli kila mtu ni mpizani mkuuu mm nakuerewa sana ndugai mungu akulinde akupiganie na naamini utadumu
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu mkubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako
@fidelischeyo483
@fidelischeyo483 2 жыл бұрын
#ndugai tozo za nini wakat madini, bandari, ushuru kila kona na kodi za biashara tunatoa ,,,,
@kwaasilimiminimungu3339
@kwaasilimiminimungu3339 2 жыл бұрын
Shida ya waafrika sisi kwanza ni watumwa wa kifikra, wa wazungu na NDIYO MAANA hatuamini KWENYE kutumia AKILI zetu wenyewe, kila KITU mzungu katumiliki, na KUPONA KWENYE Hilo eneo tunahitaji KIONGOZI sio kiongozi
@selemanikisalo5060
@selemanikisalo5060 2 жыл бұрын
Hakika
@manasengobei9968
@manasengobei9968 2 жыл бұрын
Kwa asili wewe ni Mungu una maana gani?
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Жыл бұрын
Tangu dunia kuumbwa hakuna mtanzania anatumikia wa ila anatumikia tumbo lake tu
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Huzungumzii Chuma na Makaa ya Mawe unasema tuongee tozo, sisi raia sio Mawaziri na Wabunge wako hapo Ukumbi wako wa Bunge, maana Ukumbi ni wako hapo kwenu
@maphandeahmed6827
@maphandeahmed6827 2 жыл бұрын
Umelifanyia nn jimbo lako pro kipindi chako ukiacha taifa siasa n.a. utendaji havifanani mnapiga siasa
@barakamanga5502
@barakamanga5502 2 жыл бұрын
Ndugai alikuwa sahihi
@NeemaMinga-pl8ty
@NeemaMinga-pl8ty Жыл бұрын
Hakuna baya baba, mbona umesema ukweli tu!!
@yahayasalum2943
@yahayasalum2943 2 жыл бұрын
Wanatukamua kwenye tozo na bado hawaridhiki wanaenda kukopa.
@shafimaingu4356
@shafimaingu4356 2 жыл бұрын
Umecherewa jpm alifanya mkaanza kusema atuwezi kua kidiwa razima wazungu aya sasa ushauri wa kikwete uwo
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 2 жыл бұрын
Nyinyi watu, hamjui Ndugai na Polepole wana Jambo lao!
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 2 жыл бұрын
Mr Zero
@masoudathumani5514
@masoudathumani5514 2 жыл бұрын
nyie kopenitu uchanguzi mtajua supka uko vizuri kaka angali utakosa kaz ww
@maphandeahmed6827
@maphandeahmed6827 2 жыл бұрын
We ndungai see ni mnafiki ulikuwa unamuunga mkono mzee mzee magufuli halipo fariki mzee baada ya muda mfupi ukawa nimpizani mkubwa wa miradi yote is mzee ujitambui wewe haufai hata kids none wa nyumba Kimi mm sikukubali kwa sababu haujiamini
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Vyula utopolo wanazingua
@loveremedy5348
@loveremedy5348 2 жыл бұрын
Lisemwalo lipo Kama halipo laja..Ndugai nimekuelew Saana..
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Jambo Lao watabaki nalo wao, wahuni hao
@saidhijja5285
@saidhijja5285 2 жыл бұрын
Hunaakil ww mlijadil mkapitisha wenyew bungeni saiz unajitoa akil dah wanadam bana kwanza huna maadili yakaz ww
@changanikisesa7021
@changanikisesa7021 2 жыл бұрын
Anabadilika kama kinyonga
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Ndio mlikuwa mnawafukuza Wapinzani wenu wa Siasa
@dhulkfryshaffih2371
@dhulkfryshaffih2371 2 жыл бұрын
Honestly! Me cjaona alipoongea vibaya huyu Baba, Nimekuja kuona watu kwa sas wanafany kila mbinu kukisambaratisha hiki chama. Mzee wa watu katukanwa bila sababu.. Nchi hii ngumu Sana I see
@johnelioth2717
@johnelioth2717 2 жыл бұрын
Eeeeh xaa mbovu leo imeongea kweli!!
@edwinmanyory2694
@edwinmanyory2694 2 жыл бұрын
dah mbona mmenyamaza sana?ujumbe ni wa kweli umewaingia ndo maana walikuwa kimya kusikiliza kwa makini na kutafari kwa kina
@halimamohamed4061
@halimamohamed4061 2 жыл бұрын
Duh wanasiasa bhana kla Mungu atawalipa
@jacksonmasanja8146
@jacksonmasanja8146 2 жыл бұрын
Mr sipika umenena vyema sana rakin nakwambia kwa ukweli wako utaonekana kama hadui wa taifa rakin ukweli ni kwamba umeongea point
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Mhe.Spika kumbe kauli yako ya kukopa ilikuwa inaangalia kule mbele tuendapo....
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Tozo pitisha Dodoma kwa Wagogo, banana na Wagogo is hapo, unataka kutuletea tena umaskini wa Awamu ya sita
@gataonyango9294
@gataonyango9294 2 жыл бұрын
Umebugi
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 2 жыл бұрын
Babindangiile akagwa Kigali
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
Hii nchi nikama vile haina rasilimali madini,gesi, mbuga za wanyama wala bandari. kwani deni la taifa limepanda mno
@joshualwelu7302
@joshualwelu7302 2 жыл бұрын
Hivi ndugai kuna siku nyingine ukitulia unatoa hoja, sijui leo nikupe soda? Au unatumia aina gani ya kinywaji?
@maembamwita4716
@maembamwita4716 2 жыл бұрын
Mirinda
@bonynamungu5142
@bonynamungu5142 2 жыл бұрын
Ndugai uko sawa usiogope kusema hii nchi Ni yetu sote sio kukopakopa tu
@stevenwahenga207
@stevenwahenga207 2 жыл бұрын
Ndugai 2025 be gombea urais
@bethaelnsumyirambobpraise7794
@bethaelnsumyirambobpraise7794 2 жыл бұрын
Huyu mbunge aitwe kwenye kamati ya maadili ya bunge maana wembe ni ule ule, hahahaha haya mambo bhna, ila kweli unaongea point cjui imekuaje ila naswali baada ya tozo kukopa kumesitishwa?!! Ila mwishoni umeongea point hyo ndo ilikua falsafa ya Magufuli najua wapo weng wanao mkubali japo ningumu kuwa wazi ila mambo yatajulikana
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Wewe ndio huna Mshauri labda
@allypapaa489
@allypapaa489 2 жыл бұрын
Mbona kama anatafuta kuonewa huruma!
@jackhans7708
@jackhans7708 2 жыл бұрын
Yani dakika chache tu zimepita samia alikuwa anasema ili tumalize miradi yetu inabidi tukope,khaaaa baada ya kusikia hvyo roho yangu ilitaka kupasuka, kiufupi mama samia anataka kuuza nchi kweli kweli,hivi inakaaje hii na madini yote yanaenda wapi?
@MrIsale
@MrIsale 2 жыл бұрын
Sasa na wewe kama hutaki kufikiri hizo 70tril kazikopa mama? Unadhani kuna serikali haikopi? Think out of the box
@jackhans7708
@jackhans7708 2 жыл бұрын
@@MrIsale nikweli hakuna serikali isiyokopa, lakini haujapita mwaka tulikuwa tunaambiwa Tanzania ni tajiri na sisi tunajuwa hilo,lakini sasa🤔
@MrIsale
@MrIsale 2 жыл бұрын
@@jackhans7708 ukiamua kufikiri nje ya box na kwa uwazi wala hutaumiza kichwa
@justinefelis8772
@justinefelis8772 2 жыл бұрын
Ko u meamua umtukane mama etu SI ndiooo????😭😭😭😭utalipia ulicho kiongea we mbilikimo
@asmahchongoe7750
@asmahchongoe7750 2 жыл бұрын
Daaah huna baya ndugai mtani wangu tupo nyuma yako babu yetu ubarikiwe san daah 😭😭😭
@martinmadodo4666
@martinmadodo4666 2 жыл бұрын
Kuna rasilimali za ardhini za kuleta maendeleo sio kubanana na maandazi na Sement tu,banana huko Dodoma kwetu... Acheni Unafiki Awamu ya tano mlikuwa wapi?
@amosmseti1450
@amosmseti1450 2 жыл бұрын
Nduga unatufumbua masikkio na macho yaufahamu jamani hata baba wakila kitu kukupa ndani kwaajili ya chakula Hafai Ndugai ww nimkongwe msaidie mama hii nchi nilikubwa mama peke yake hawezi mm kila kukicha sierewi kioo cha dirisha juzi kiliuzwa 50000 saizi 23000 mwalimu nesi polc watajenga huku mtaani hali gumu sana na hatuna taalifa yoyote kwanini vinapanda
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Taarifa zilitolewa mara nyingi, sijui ww ulikuwa wapi! Haya yote yanatokana na hali ya kiuchumi duniani kwa sababu ya Covid, uchumi wa dunia umeathirika... Na sisi Tz ni sehemu ya dunia, so, uchumi wetu umeathirika...
@sabriahmed7558
@sabriahmed7558 2 жыл бұрын
Mwacheni mama afanye kazi
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Kopeni bwana
@johnsonjuliusmassaka5519
@johnsonjuliusmassaka5519 2 жыл бұрын
matokeo ya chanjo hayo
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 Ай бұрын
Nikweri mpaka baazi ya mataifa wanatucheka sana wanasema taifa ra watu wajinga wasio jielewa sasa kwenye media wote ni watu walio pewa maziwa na sukari
@reginamukama7333
@reginamukama7333 2 жыл бұрын
Tuko nyuma yako baba tutauzwa. Tunarudi kulekule
@twofivefive906
@twofivefive906 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@adammwalie4090
@adammwalie4090 2 жыл бұрын
una motisha gani ww kwa walimu?
@friminamkenda7405
@friminamkenda7405 2 жыл бұрын
sasa wewe tukuweke wapi tukuweke ktk fungu gani
@erastongonde5121
@erastongonde5121 2 жыл бұрын
Alipo kuwa anakopa magufuli mbona ulikuwa husemi anakopa hela za nini madeni ya nini kumbe na ni waajabu eeh kopeni kama mlivyo kuwa mkikopa wakati wa magufuli nchi hii si mnahati miliki nyie kazaneni tu kutuibia hivo ccm imekufa sasa.
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 2 жыл бұрын
Watu wasidanganywe mmeshindwa kwa miaka 60 toka tupate Uhuru, utaweza kwa kipindi Cha miaka 5? Mbona husemi JPM kwa miaka 5 inasemekana kakopa trilioni 26, Mh ulipiga kimya tu na hazikuwekwa bayana, aidha tuliaminishwa tunajenga kwa pesa zetu za ndani, leo MTU anacharuka kwa mkopo wa trilioni 1.3 zilizowekwa wazi kila MTU anajua kazi zilizofanya, Wahafidhina tokeni mtuambie hakuna iliyokopwa ktk awamu ya 5, wakati mwingine inafaa MTU afanye competitive analysis ya vipindi tofauti vya utawala na mikopo waliofanya ili uweze kupata legitimacy ya unachozungumza, Watz so wajinga
@mwitachacha4467
@mwitachacha4467 2 жыл бұрын
Hapo wajumbe munasemaje
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 88 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 144 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 27 МЛН
"SIKUSTAHILI KUWA SPIKA / Nilikuwa Navaa Suruali" - ANNA MAKINDA
10:22
Global TV Online
Рет қаралды 28 М.
🔴#LIVE: SPIKA JOB NDUGAI AOMBA MSAMAHA KWA RAIS SAMIA #DODOMA
19:31
Daily News Digital
Рет қаралды 7 М.
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 88 МЛН