Hongereni Sana ACT WAZALENDO maana kuna chama eti kikubwa lakini hakina ofisi yao bado wamepanga
@jumannehamadi2282 Жыл бұрын
hichi chama kaka tayari inaselekali
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Kwani wew unafikiri chama ni kua na Jengo lake la ofisi basi?!
@akidajulius8397 Жыл бұрын
HONGERENI sana kwa kuwa na office mzr ya kisasa,
@kakotohamis Жыл бұрын
Hongera saaana, A.c.t wazalendo chama kikuu cha upinzani maana wengine hawa hata ofisi wamepanga
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Naombeni mnipokee jamani nahamia ACT
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Chama kikuu my upinzan Tanzania
@drsumatz7539 Жыл бұрын
Ndumi la kuwili
@kidevusitu3817 Жыл бұрын
Story tu hamna kitu hapo mashushu watupu
@sasha-ri7tf Жыл бұрын
Chama chenye viongozi makini wenye msimamo na umoja upendo haki na maelewano ACT WAZALENDO ndio chaguo la wa TANZANIA.
@seifkassim5872 Жыл бұрын
Naipenda sana Act ila simpendi sana zito kwasababu ni kigeugeu sana msimamo wake ahueleweki
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Hongereni sana hapo mtaheshimika kwani mna address sasa
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
“Sinema Zetu” hamjamuona huyo mkali au zereu!?
@suleimanmohamed3750 Жыл бұрын
Nyinyi tunawaamuni kabisa kama ss vijana
@mwanaidijiran3296 Жыл бұрын
Good news🤝
@adammwanga8672 Жыл бұрын
B hio wamepata chama
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Uzalendo kujenga nyumbani .Kuna watu wanatritiwa Kama wakimbizi huko ugaibuni.
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Kuna chama Cha kikabira bdo kinapangisha offci kinajiita chama kikubwa Cha upinzan kinakula pesa za ruzuku tu na kulazimisha walevi wajisajiri kidigital huko mikoani
@phillipmasungwa7365 Жыл бұрын
Jengo bila kuaminiwa na wananchi ni sawa na hamna kitu; chama kijengwe mioyoni mwa watu Kwanza.
@MCNgakungaJunior Жыл бұрын
HONGERENI SANA
@ramahmdoe2660 Жыл бұрын
UtakufA ukiwa upinzan ulimsema sana jpm huna msimamo shetan
@salimkhamis3638 Жыл бұрын
Huna akili wewe
@abelmbijima4324 Жыл бұрын
Kigeugeu uroho wa madaraka kumbuka ulivyo kuwa Chadema tokeni zenu
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Mbowe aondoke madarakani amekaa miaka 30 madarakani kashindwa kujenga office ataweza kujenga nchi kwl
@elsonkibasindila7526 Жыл бұрын
Mmeshindwa kuwaomdoa wafalme wanaojificha chini ya kivuli cha Rais chini ya miaka 60 , halafu mkomae na Mbowe ?
@phillipmasungwa7365 Жыл бұрын
Hata akikaa 100 si ni uamuzi wa chama ?
@saimonstephen7250 Жыл бұрын
Bora nyie mmejenga yenu, Kuna vyama vinajiita vikubwa wakat hadi leo vinapanga bado