Zitto Kabwe kumpeleka Abdul Nondo Uhamiaji

  Рет қаралды 37,445

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@tatut3889
@tatut3889 6 жыл бұрын
Zitto ww ndio mbunge kweli nimekukubali🙌🙌
@nyenyembezeno2206
@nyenyembezeno2206 6 жыл бұрын
upo vizuri zitto kabwe tuko pamoja
@iddiaman6418
@iddiaman6418 6 жыл бұрын
Nmekuelewa zitto ..nakupenda sana nondo mungu akuvushe na amlipe kila mmoja sawa na matendo yake
@vandan453
@vandan453 6 жыл бұрын
Huo ndiyo uongozi tunao uhitaji big up kwakusimama kutetea haki #zitto
@pigapesa1013
@pigapesa1013 6 жыл бұрын
Good idea zitto kabwe..!
@hansbiko2500
@hansbiko2500 6 жыл бұрын
Big up mbunge wetu Tupo nyuma yako
@neemaswai8384
@neemaswai8384 6 жыл бұрын
Safi sana Mh.Zito,mpeleke na weka mambo yote wazi
@wilbroadsiyonga5889
@wilbroadsiyonga5889 6 жыл бұрын
Waitangazie uhuru kigoma kama sio tanzania!
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 3 жыл бұрын
Safi sana zitto
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 6 жыл бұрын
Ili iwe haki isiishie kwa huyo kijana Nondo tuu kila mtu wa kigoma , Arusha , kagera , Mtwara wapeleke vyeti vya kuzaliwa vya babu zao na bibi zao maana wako mpakani ...Haipendezi kwanini tumefikia hapa , ukimuonea huyu kijana mnapata nini ? Kila mkihutubia mnaanza na kumtaja Mungu ..Mungu yupi ? Kwa sababu mungu anapinga dhuluma na hujma , muogopeni Allah
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
safi mh zito wanataka kutuletea upuuzi kwani mtu kuzaliwa kigoma imekua ndosababu chuki binfsi ninaiman nahili watashindwa kisa namkasa kijana wawatu anamsimamo allha karem atakusimamia songa mbele sio kila mtu anaabudu miungu watu
@amanrashid9993
@amanrashid9993 6 жыл бұрын
Mlimtuma kakosea mashart sasa yanawatokea puani
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 6 жыл бұрын
mimi natoa maoni yangu tanzania sasaivi umekua mtihani paspot tukitaka kubadilisha tunambiwa tuwe na chet cha kuzaliwa cha baba na mama ndio tupate paspot kwahiyo wengine wazazi wetu awana cheti cha kuzaliwa
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 6 жыл бұрын
awana chet cha kuzaliwa wangefanya utaratibu wakupeleka kadi ya kupigia kula ingepata kutusaidia maana wengine hatuna hivyo vyeti sisi tz lakini tunapewa mikakati migumu
@Tiffany340
@Tiffany340 6 жыл бұрын
mpeleke tu zwazwaa mwenzio
@RomwardWM
@RomwardWM 6 жыл бұрын
Verry nice
@santyhassan4186
@santyhassan4186 6 жыл бұрын
Aisee hata aibu hamna? Duh!
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
sio nondo pekee kila MTU Tanzania inabid apelekwe kwenye uhamiaji achunguzwa
@shabanmtasha9558
@shabanmtasha9558 6 жыл бұрын
Zito sasa kawa zwazwa
@yusuphmruma1771
@yusuphmruma1771 4 жыл бұрын
Kweli hii serekali haina haki ata kidogo leo mtanzania sio mtanzania kwakuatu anaipinga serekali wakati unaweza ukakuta hao ndosio watanzania ndomaana hawana roo zakitanzania
@salmadashlaquimanelaquiman4427
@salmadashlaquimanelaquiman4427 6 жыл бұрын
Unatafuta kkkk una jipya kka mkubwa mmeishiwa sela mmekua na sela za matukio ssa kikitokea k2 ndio mpate Cha kuongea polen sana msha poteana ssa
@deuscr1843
@deuscr1843 6 жыл бұрын
😂😂😂huyu angekua mchagga lazima ungesikia ni mkenya
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
wachaga ,wamasai ,wakuliya irijino yao Kenya ,wahaya Uganda,wamakonde msumbij ,kwa nn watu wa kigoma tu?waha tuamken tujivue utumwa tuwe huru ,tutadhalilishwa ivi mpka lini
@ndikumanajackson9012
@ndikumanajackson9012 6 жыл бұрын
Kigoma in BURNDI in HISTORY
@machelengamachelengafatuma6862
@machelengamachelengafatuma6862 6 жыл бұрын
Safi sana
@prof.innozittotz5958
@prof.innozittotz5958 6 жыл бұрын
Rais wa Kigoma
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
uhamiaji niwapuuzi kwahiyo sisi tuotokea mikoa ilio pakana namipaka siyo tz naona mmekosa maalifa minawashauli muanzie kwahuyo magufuli
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 6 жыл бұрын
Badala ya kusoma na kujua kilichokupeleka chuo unaenda kuangaika na siasa halafu kwa bahati mbaya siasa zenyewe huziwezi. Ni aibu sana kidato cha I hadi cha VI halafu umefika chuo bado hujui unachokitaka
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Emmanuel Kavishe hayakuhusa
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 жыл бұрын
Mi hua nawambia watu unaweza ukamaliza madarasa yote ila bado ukawa huna akili. Ndio ya huyu Nondo.
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Official Kamdudu kama wewe ulivyo jinga unadhani kila mtu anaakili kama zako
@diniyangu7415
@diniyangu7415 6 жыл бұрын
Emmanuel Kavishe Usicoment mpaka mtu akajua unatumika.... Cc tuliopita chuo ndo tunajua vigezo vya kumchagua kiongozi wa wanafunzi ni lazima awe na sifa Kama za nondo na wengine cwataji.... Ulitaka asiongee juu ya hali tete mpka kifo kutokea... Nyie ndo wale tunaunga mkono hoja tunajua mko wengi humu mnatumika kudiscourage comment za mitandao ili tuone ni sawa haki kufichwa.... Ludi English course labda utaelewa
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 6 жыл бұрын
Dini Yangu,-------- unavyosema "nirudi English course labda ndio nitaelewa" unamaanisha nini kaka. Ningeomba tuwasiliane zaidi kama itawezekana.
@olaislogiru2778
@olaislogiru2778 6 жыл бұрын
Duu hii ndo Tz
@sayoclassicsayoclassic7759
@sayoclassicsayoclassic7759 6 жыл бұрын
Hivii kwani kigoma iko Tz au iko sauzi mbona sielewi jaman mmhm
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
kigoma ili tuwe huru tuacha kuambiwa sio RAIA wa Tanzania ,inabidi kutafta Uhuru wetu ikibid hata kwakumwaga damu
@KADALAtv255
@KADALAtv255 6 жыл бұрын
Nchi ina vituko hii
@deogratiashaule5224
@deogratiashaule5224 6 жыл бұрын
Awe mwangalifu watamtumia kutafuta kick mwisho wa siku ataachwa peke yake.
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Nendeni mkajue mbivu na mbichi
@jumanguru670
@jumanguru670 6 жыл бұрын
Huyo mondo baadae atakua MTU mkubwa sn!!
@abbysaad747
@abbysaad747 6 жыл бұрын
Watu wa Kigoma tuliopo Dsm tunajua Mbunge wetu yupo Kigoma Ujiji anawatumikia wananchi kwenye Jimbo lenye Halmashauri zilizopata hati chafu ya ukaguzi wa mahesabu, Nenda Kigoma kajenge mji kwa ustawi wa Kigoma yetu Brother. .
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
zito tangaza lolote watu wa kigoma tupo tayari make wamezid kutubagua hao mbwa
@bkdbkd8683
@bkdbkd8683 6 жыл бұрын
mbona ukiwa mtu unasema ukweli unazushiwa sio mtanzania duuu mm napita tuu
@brightonfils1835
@brightonfils1835 6 жыл бұрын
Anatafutia ugali famia yake zitto,sote tunajua sia ni uongo mtupu tena mchezo mchafu
@jonaselias7729
@jonaselias7729 6 жыл бұрын
kukosa hekima sio tuu kuvua nguo hadharani hamjaambiawa Nondo sio mtanzania rasmi ila tuu nisababu za kiuchunguzi...na baada ya hapo hatua zingine zingefuata kwanini msingesubiri mpaka mwisho muone dhamira zao ndio muanze kelele zenu za kichawi....????
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
Jonas Elias kwanin achunguzwe yy tu wakat wa Tanzania weng
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 6 жыл бұрын
Jonas Elias Dhamira chafuuuuuu imekwisha onekanaaa, kama walimpa mikopo chuo iweje leo kuhoji uraia wakee?
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 жыл бұрын
Pumbavu wanasiasa wamemponza kijana wa watu kakosa masomo. Haya msaidieni arudi shule sasa
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Official Kamdudu wewe sio mtu nimdudu kama jina lako hilo neno la zwazwa umeliiga kutoka kwa msomi mh zito
@officialkamdudu
@officialkamdudu 6 жыл бұрын
Khalid United zwazwa ndio nn ?
@hashimumkunda3482
@hashimumkunda3482 6 жыл бұрын
Leo kapata tuzo. mtasemaje wajinga?
@shabanikibana4279
@shabanikibana4279 6 жыл бұрын
Psmoja zitto wewe ndio unafaa kuwa rais maana unasfa zote za urais busara, mzalendo, siasa zako zakistaarabu, umesoma vizuri una maono nk ila kwavile watanzania wengi wanafuata mkumbo wa uchama badala yakumchagua kiongozi anaefaa km wewe nk lakn ipo cku itafika zamu yenu tu mnafanya mambo makubwa sana wapinzani wetu mpaka ccm tunalijua hilo sema roho mbaya zetu tu
@adolfkambala1875
@adolfkambala1875 6 жыл бұрын
hivi uhamiaji hawana kazi za kufanya,sasa km sio mtanzania ni raianwa wapi?kweli damu ya akwelina inamlilia mungu itafahamika tu,mara mbunge hoi,mara viongozi wa chadema ndani segedansi,mara iringa mara abdul dar,mara sio raia,mara kafikuzwa shule,damu nzito kuliko maji
@ccmchadema8107
@ccmchadema8107 6 жыл бұрын
nyie nnao mlaumu nondo kosa lake nn mjuwe bila akwilin akwelina kupigwa lisasi aya yote nondo yasinge mkuta au alivyo sema kamanda na wazilii usika ajiuzuru cyo fea mungu awalaaani yote mnao mwangaisha uyu kijana wa watu
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
salima Kaniki kweli maneno yako walaniwe ujinga unawasumbua tatizo wanaabudu miungu watu
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 6 жыл бұрын
Hakuna msijaze ujinga Tanzania
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Charles Makuri ujinga ndii nini
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 6 жыл бұрын
kwani haya mambo yanatokea Tanzania au nchi gani?? nipo Dodoma sijui kiswahili, nijuzeni tafadhali
@henryndosi8569
@henryndosi8569 6 жыл бұрын
Hata wewe zitto tuna mashaka na wewe sio mtanzania kwa mienendo yako
@kijanamatata7135
@kijanamatata7135 6 жыл бұрын
Henry Ndosi duuh
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 6 жыл бұрын
Unamtetea kama siyo mtz siyo tu, kaa utulie Zito unawashwa washwa nini
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 жыл бұрын
Emmanuel Daniel we chizi
@eliphaziamon8794
@eliphaziamon8794 6 жыл бұрын
magufuli tangaza watu wa kigoma sio wa Tanzania tujue la kufanya
Abdul Nondo aibuka 'Ni kinyume na Rais Magufuli anavyotaka'
10:16
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 5 МЛН
ABDUL NONDO AIBUKA BUNGENI KIAINA, DK MWIGULU ATOA NENO
2:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 14 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 109 МЛН