Kaka nakufuatilia sana uko vizuri mungu akupe maisha marefu.
@MohamedRashid-py7ro2 сағат бұрын
BIG UP NAKUKUBALI SANA KWA UCHAMBUZI WAKO DEMOCRATIC HAINA MAENDELEO NI KULETA UGOVI TU MAENDELEO NDIO YANAYO TAKIWA NCHI TANZANIA
@jumaothman501921 сағат бұрын
Mm pia sipend democracy
@aristarikimrina38307 минут бұрын
Kwa hiyo unapenda udikteta
@erickmgaya391421 сағат бұрын
Huyu jamaa anaongea pointi sana🎉🎉
@samwelkitiku70875 сағат бұрын
your so intelligent brother keep it up. unamadini sana pia uko makini na unachokieleza.
@twaibutwabibu88096 сағат бұрын
Comments zote zipo very positive. I really like this awareness
@paulinemuhonja735Сағат бұрын
Pole sisi tunataka pesa tu!!itupatanishe tuangaliane hapa tukicheza tunaogopa umaskini wa kifedha na kiakili Bado kijawaramba .
@aristarikimrina38306 минут бұрын
Wew mzee ni wa hovyo san hakuna mbadala wa demokrasi
@hatibbaraka39562 сағат бұрын
Fact kaka
@josephnjuguna198616 сағат бұрын
Kenya imeshinda medali za Olimpiki ilhali Tanzania wameambulia patupu
@NgasaMaduhu3 сағат бұрын
Je Medali za olimpic zimeondoa ukabila kenya? Last time i checked ligi kuu pays 20* more than the KOC pays for gold medal winners because you don't need to be talented to be in the Olympics.
@mfalmegreatness54822 сағат бұрын
@@NgasaMaduhu michezo si kandanda pekee yake. Rugby, cricket, athletic, basketball, etc. Huwenda ikawa Tanzania wameshinda Kenya kwa mchezo wa kandanda, swali ni kwa mchezo wa raga, nani bora?
@NgasaMaduhu2 сағат бұрын
@@mfalmegreatness5482 Kenya are not good at all those sports you mentioned,India only does cricket and they are good at it in the world stage and they don't even have a national football team😀
@mfalmegreatness548226 минут бұрын
@@NgasaMaduhu Kaka, the term good is relative. Kenya National Rugby Sevens team competes in the world rugby seven series. I am sure this is a pipe dream to Tanzania, right? We are a world beater in athletics. This is a renowned fact that is backed up with the most medals in Africa.
@Damasjamesmlumbuti2 сағат бұрын
Sawa kabisa
@MauroZaratte-r4r16 сағат бұрын
Kweli kenya wnapenda siasa ili Tanzania 🇹🇿 mchezo na umbea
@malikwaswa001Сағат бұрын
Watanzania wanapenda mpira sio michezo,wakenya wanapenda mbio kuliko mpira.Nawarekebisha tu
@mrmars26616 сағат бұрын
Upo vizuri Sana from Kumamoto Japan
@SaidKondo-i2t21 сағат бұрын
Sawa kaka,twende pamoja,watatuelewa tu
@magesawaryoba94837 сағат бұрын
uko poa sana Big brother unaeleweka 100%
@vinny.morales16 сағат бұрын
Why should we copy China then? If its about finding our own way.
@davidkabuche19275 сағат бұрын
The easy best way to learn something, is to learn to someone who has already done it. Ukitaka kutumia njia zako hujui wapi unakwenda utafel. Ndo maana ukitaka kujua kitu lazima upate Mwalimu akufundishe.
@omarybakunda25543 сағат бұрын
Mm huwa sipendi anavyo mdhalau Raisi wetu Samia.
@JumaLulanje3 сағат бұрын
Watake wasitake kenya siasa na ukabila zinawamaliza sana,
@sitamgeta75655 сағат бұрын
Ongea yote lakini usijenge chuki kati yetu sisi watu weusi haijalishi ni wa kutokea wapi. Sisi sote ni ndugu uwe mkenya uwe mpemba sote ni ndugu hii mipaka imeletwa na wakoloni. Unaweza kujiona wewe ni mpemba, au mkikuyu, au mzaramo kumbe tukirudisha miaka mingi nyuma wewe ni mukongo.
@festojoelkichele93824 сағат бұрын
👍🏿👍🏿
@jumaothman501921 сағат бұрын
Kaka fungua group
@rogerabdallah43917 сағат бұрын
Group yake uoni mawani
@Yangaone-h8j4 сағат бұрын
Kweli kabisa ndugu yangu mfano mdogo nihapo viwanja vya jacaranda vijana kila siku kuongelea siasa zakuwaponda viongozi wao baada yakufanya kazi
@JumaLulanje4 сағат бұрын
Riaza inafanyika nje yakenya, ila tanzania mpira, ngumi, tunaangalia hapa nyumbani, jamaa yupo vema sana
@wilfredemayot69692 сағат бұрын
Is it the democracy that built studiums? Ukijui unachokizungumzia
@selemanshaban74967 сағат бұрын
Uko sahihi sana kakaangu❤❤❤❤
@modestwenceslaus94 сағат бұрын
Mchezo wa Mpira wa Miguu umepata umaarufu na kupendwa sana kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na matajiri.
@mwaimuchengo181418 сағат бұрын
Kaka mm ni mfuasi wako namba Moja nakukubali sana unaongeaa ukwelii sana Democracy ni mfumo kandamizi wa maendeleo haswa Kwa nchi zetuu za ki Africa
@RonnieBertin21 сағат бұрын
Kuna wabongo wamesahau. Mandela aliishi bongo na alikuwa na passport ya bongo wakati alikuwa anagombania uhuru
@richardjuma162321 сағат бұрын
Wa kwanza ku comment naomba like
@RamadhanMbwana-o1j19 сағат бұрын
Na mziki pia ulisaidia sana kuuwa ukabila karibu kila Mkoa kuli kuwa na band ya mziki...
@GodVitus-yi6dd13 сағат бұрын
unaongea vizuri sana
@malikwaswa00147 минут бұрын
You can say anything as you wish to but remember it's Kenya who invited AFCON to EA.2ndly kutangulia sio kufika.Kenya viwanja vipo,ni Kwa vile wanavifanyia ukarabati,we are always slow but sure and perfect
@fatumajohn70345 минут бұрын
Slow but sure is TANZANIA YOU KENYAS ARE AGGRESSIVE & ARROGANT
@kevinochieng645816 сағат бұрын
Hati michezo 😅😅😅Kenya tunajulikana kwa riadha,rugby, cricket, volleyball and other sports.football we might not be performing well but in other sporting activities we are ahead of Tanzania
@Jambo-w5b6 сағат бұрын
Huyu naona ameongea kuhusu football clubs pekee . Yanga na Simba Kenya wako na Team za kikabila Gor mahia ni ya wajaluo na Afc Leopard ni ya waluya .
@amanfanuel62318 сағат бұрын
Aah ndo maana kaskazini hawajawai kua na timu premier leage
@prince.eric_msemwa973217 сағат бұрын
Waambie experiment ya democracy ilivo fail wakati wanaiunda waingereza
@tumainmahona1403 сағат бұрын
Unatusifu na kutupotosha wa tz kwa swala la demokrasia tuko nyuma sana tunahitaji kubadilika ndo maana kuna mambo hayaendi na hatupazi sauti kuyakemea Tumejaa uoga
@Omwami-lc4ddСағат бұрын
Hapo ndo akili ya watanzania ipo
@abhayluyindura3703Сағат бұрын
ndioo sisi kaka watanzania
@AbdulKinda14 сағат бұрын
🎉🎉❤
@SaidKasomo5 сағат бұрын
Logic ya mtanzania linapokuja suala la maandamano ya kisiasa ni "mwanasiasa will always be mwanasiasa regardless anatoka chama gani, wote wako sawa". Btw Kenyans are not aggressive they are arrogant.
@mkude9 сағат бұрын
Democracy ni unafiki mtupu,na ndio sababu nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko ya kuuwana kutokana na huo umafiki.tunataka Amani na maendeleo.
@منالاص16 сағат бұрын
My appeal to every Muslim, my brother or sister, the owner of the channel, I know that it is not my right to comment on your channel, but God is my witness that our circumstances are harsh and forced me to do this. Please forgive me. My brother, there is still a brotherhood of faith. I asked you for a bag of flour. My brother, we women cannot go out among men. There is still a woman with you. My brother, God has honored you. You are men. We are women. We cannot go out or work like you. My brother, where is the brotherhood of faith in your hearts? We are women. There is no brotherhood, no mercy, no compassion, no humanity. And give good tidings to the patient. It is the greatest hope while waiting for what we want. '''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' How many times I called and talked and tried hard, but no one responded. Oh man, we are with you. My mother ordered us food from the restaurant. More and today. My mother left. Crying. She said, Why are you crying, my mother? She said, My daughter, I ask. God, that I may be honored by death. She said, Why, my mother. She cursed us. She said, "My daughter, today the restaurant owner insulted me. I said, 'Why?' I said, 'How can I be better than people?' I ask God, my daughter. May God gather me. With death alone, a gathering that is better than this humiliation and this humiliation. It is true. I am saying this. It diminishes my value and respect. But, man. I swear to God that I did not say this. I kiss your boots. I am so hungry that my conscience no longer allows me to let you go and ask us for food. I kiss your boots, man, and I ask you by God Almighty and in the Book of God, man, I kiss your boots, man. He has caused us harm, my brother, so that we can buy a kilo of flour and pay the rent. My brother, have mercy on us. He who is in the show will have mercy on you, He who is in the sky. My brother, this is my WhatsApp number: 00967713966035. Whoever can help us, message me on WhatsApp. We will send him the full name. He will transfer us as much as he can. May Allah reward you. Allah knows that my family and I, our house rent is 15 thousand Yemeni riyals per month, and now we owe 45 thousand for 3 months. The owner of the house is one of those people who do not have mercy. By Allah, my brother, he comes every day and humiliates us and talks about us and wants to throw us out of the house and into the street because we were unable to pay him the rent. We will have until the end of the week, and if we pay him, he will swear by Allah that he will throw us out into the street without mercy. See my situation for yourselves. I ask you by Allah, the Living, the Eternal, to help me. By Allah, the Almighty, even at night we cannot sleep from fear. We do not have mattresses or blankets to warm ourselves from the cold. Everything is flooded from the rain, and we have no one but Allah and then you. My brothers, I kiss your boots, don’t turn me away empty-handed. Help us with whatever you can. Is it acceptable to you that we live in this place? We are girls and we have no one. Our father died in a car accident. Consider us your daughters and your honor, and help me with whatever you can. May God reward you with good =>[[}>] ^][;&&&//&..,~~~♡♡~~~♡~~♡~•~•••••~•(・|.}]◤)~♡~♡~;l.i.i.i¡¡.i.i.l.|-.»◇◇............,,,,,,😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@RishoMadogi7 сағат бұрын
Kaka nakufatiliasana kwasababu unaongea pwenti🤲🤲
@HarunakiongoziMohamed3 сағат бұрын
Kumbu kumbu inaonesha hata kabla ya uhuru machifu wote walikuwa wanaonana na kuzungumza,nyerere hajaondoa ukabila nchi hii,
@mwalimugoogletv37383 сағат бұрын
Kama sio NYERERE wachaga wangejikatia kaskazini yaani TANGA, KILIMANJARO ARUSHA NA MANYARA. Hiyo NDIO ilikua mipango yao
@candidamuhanika83285 сағат бұрын
It is true Kenya mmepata gold medals kwenye Olympic lkn kumbuka, wakimbiaji wanafanya juhudi binafsi wakishashinda, then credit inakuwa wa Kenya….
@genesisbera77614 сағат бұрын
Nonsense
@wilfredemayot69692 сағат бұрын
Swali nini? Wanapo enda Kwa hizo mashindano wao wanaenda kivyao ama serikali hu finance? Michezo yote hapa Kenya is being financed by the government not individuals labda Tanzania ndio hufanyika hivo
@mwanafalsafa361338 минут бұрын
What a load of bullSht Kwa hivyo wakimbiaji waTZ wanakimbilia nchi na sio hao binafsi na hawapati credit binafsi? Dunderhead
@charlesouma496914 сағат бұрын
Hakuna jambo jipya hapo kila kitu duniani ni siasa Mchezo ni siasa.
@damasiliduke664921 сағат бұрын
Unajichanganya sana brother
@KigodaHamis20 сағат бұрын
Huyu jamaa anajichanganya sana MIMI mwenyewe si mwelewi . Nahisi 😂😂😂
@mustafakimalio912920 сағат бұрын
Siasa ni malumbano tuuu@@KigodaHamis
@tumainmahona1404 сағат бұрын
Nataka kujua kuhusu umoja wa africa alio kua anatamni gadaffi tuona nao uli ishia wapi
@AyoubHajj20 сағат бұрын
Kka, me naomba uwe unatuleteya uchambuzi wa matukiyo kwa series Especial geopolitics
@Omwami-lc4ddСағат бұрын
Pua nono
@genesisbera77614 сағат бұрын
Nonsense Tanzania hawajawai pata medali yoyote kwenye michezo ya Olimpiki, kwa hivyo kupenda michezo Yao Haina faida..Ona vike walijitia aibu kwenye Afcon..
@dastonamichaels18545 сағат бұрын
Nlikuwa naongelea sana hii kitu na beste yangu ..tz wanainvest kwa non issues kenya ina invest kwa good governance,civic education only time will tell
@davidkabuche19275 сағат бұрын
Good governance? 😂😂😂 kati wa kenya mmnapanic kwann TZ wanawapiga bao kweny MAENDELEO tena at lower cost more efficiency kuliko nyny. Good Governance gan iyo ss. Nchi toka imepata Uhuru inaongozwa na Familia moja. Iyo Democracy ama nn ss...
@davidkabuche19275 сағат бұрын
Time gani bhna ww, eti only time will tell. Sikiliza maneno unayopewa na Mwanaharakati hapo juu. Mnajikuta kujua kiingereza na kuwa na Maendeleo, JAMAN SI WOTE HAPA TUNAKUTANA NA WACHINA. Wanajua Kichina tu, ila cheki Speed yao ya Development kwao huko. Acha kubishania ujinga OPEN YOUR MIND
@dastonamichaels18545 сағат бұрын
We una kasoro sana kama unadhani kujifunza lugha inayotiwa kote ni weakness
@dastonamichaels18545 сағат бұрын
We unadhani kwa nini ccm ya tz inasisitiza kutumia mastar wa bongo fleva na simba na yanga kupumbaza umma isifatilie primary issues
@dastonamichaels18545 сағат бұрын
Ukikaaa na mkenya na mtanzania reasoning zao in civic education sio same kabisa ..nyinyi mna kila kitu besides i think olny congo drc but ndo maskini wa mwisho
@pilimwanza811716 сағат бұрын
Ndio nakusikiliza kwa Mara ya kwanza. Niko impressed na nimejifunza sana dah
@RBMBAKARI-bv6wn18 сағат бұрын
Hivi ndio inatakiwa huyu bwana yupo nje ya nchi lakini anaupenda sana nchi yake Tanzania..sio kupinga nchi Yako uliyodhaliwa ukadhani ndio maendeleo
@SleepyBirchForest-lq5nu14 сағат бұрын
Ongera sana ila ww kaka Baki na mchezo wako twaache sisi wakenya na siasa zetu kushida kwa mara Moja diyo sababu wataba hifo chatuone ukileta ( kombe ) mbona unaongeya sana kwahili unasahau ( MARATHON ) JE mbona utambi hifo ? Je hiyo siyo mchezo ? Ama nikupada ( MAINDI ? ) WEE! KAKA WACHA ( MIKWARA ) ZAKO 👈
@JakoboKazilo17 сағат бұрын
Uko vzr saana mwl
@officialsalim395517 сағат бұрын
Fact
@afropanorama473016 сағат бұрын
siasa ni mchezo mmbaya zaidi siasa za afrika
@valerianrwebandiza75421 сағат бұрын
Kenya kuna demokrasia kuliko Tanzania???? I don't think so. Mpaka uwe Mkikuyu, Mkaleinjini au Mluo ndo uwe Rais wa Kenya! Kenya ina makabila zaidi ya 40. Hiyo ndio demokrasia???? Nonsense.
@PatrickJulius-uy3yb20 сағат бұрын
Demokrasia haina umuim wowote kwenye maendereo ndio maana wakenya hawa pigi hatua kimaendereo huumfomo sio wa kiafrica ni kwaajili ya magharibi kupandikiza vibaraka wao..!
@ayoublupande300716 сағат бұрын
Aiseee umesema vitu vya maana mno bro hakika 😅😊
@RoseObonyo-nn7hb5 сағат бұрын
Michezo Gani sema mpira wa miguu, munaweza shinda Kenya kwa Raga,Riadha, Volleyball na hata mpira wa vikapu😅😅😅😅fikiria kwanza kabla ujapeana misleading information 😂😂
@davidkabuche19275 сағат бұрын
Ss tunajiuliza mbona uwanja wa kufanyia iyo michezo hauna standard kulingana na uwezo wa wanamichezo wenu.
@LameckMbele6 сағат бұрын
lkn kipi muhimu kati ya siasa na michezo mm naona siasa sbb siasa ni maisha ya watu
@darkrobinhood3319 сағат бұрын
Phew😅.. Nilikuaga natafuta champion wa hii vita ya kubishana nani bora Kati yetu 🇹🇿 na mabuda🇰🇪. Hatimaye nimempata wakuzijibu tiktok zote za uchokozi kutoka +254. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@BayekeFarijala14 сағат бұрын
We jamaa una akili kubwa sana...🎉
@meshacklugoba206715 сағат бұрын
Fact ma niga
@IDDABDALLAH-ds5vw7 сағат бұрын
huyu jamaa ana IQ kubwa xn anajua vitu
@AllanKamaliki17 сағат бұрын
Why are you so obsessed with Kenya?
@PrinceHendry-hp8vv11 сағат бұрын
Watanzania ni wajinga wakenya wamesoma wanajua siasa ni maisha sisi ni wapuuzi
Kukaa na wazungu gani broo mbona unaongoea uongo democracy gani uliyojifunza kwa wazungu acha uongo kaka kunasehemu wamekaa wazungu tazania kushunda iringa wewe sema unamapenzi na mtu fulani tuu,kuhusu wakenya safi umewasuhuza vizuri hawajui kama hawajui
@mwalimugoogletv37382 сағат бұрын
My point is MZUNGU atakufundisha SIASA. MCHINA atakufundisha MAENDELEO. Train ya kwanza ya nchi hii KAUNDA na NYERERE walienda kwa MWINGEREZA kama baba yao MKOLONI anayewajua mwingereza akakataa kuwajengea. MCHINA akajitoa muhanga akajenga.TRAIN YA UMEME NA BWAWA WALIMKATALIA MAGUFULI. AKAENDA KWA MTURUKI NA MCHINA TENA. BADO HUTAKI KUELEWA TU WAZUNGU SIO WAZURI
@godshanthomas329718 сағат бұрын
Nakusikiliza kwa makini sana kenya watu ni maskini sana
@chumchum15264 сағат бұрын
😂😂😂😂hapa kwetu ni matajiri naona
@chacha-25511 сағат бұрын
Hatuna mazingira rafiki ya siasa ndio maana tunafuatilia zaidi mpira, Nchi imedhamiria kuwa ya chama kimoja, Bunge limejaa chama kimoja hawawezi kukosoana kila kitu wanajiona wanapatia, Rais anateua karibia kila mtu mzito kwenye system. Huku nje ukitaka kukosoa unaonekana threat, una risk familia yako, Biashara yako, uhuru wako na hata uhai, It takes courage, Acha tushabikie tu mpira, Mambo yakirudi kama enzi za Kikwete kulipokuwa na uhuru wa maoni, upinzani wenye afya, Kujadili kwa uhuru ripoti za cag na upigaji bungeni, n.k. watu wengi watafuatilia siasa kuzidi mpira.
@fatumajohn7037 сағат бұрын
Kikwete ALIFANYA nini ? Wewe unapenda siasa HAMIA KENYA haiitaji viza ni kama MTU anavyo Toka mkoa mmoja kwenda mwingine tu
@chacha-2556 сағат бұрын
@fatumajohn703 Kikwete angalau alikuwa tollerant na upinzani, hakuwa mkamilifu kwenye demokrasia lakini alianza kuweka msingi mkubwa, Ni awamu pekee ambayo ilikuwa na kiwango kikubwa cha tolerance kwa uhuru wa maoni, upinzani kuwa tolerated, Ufisadi ulifichuliwa na ulizungumzwa kwa uhuru Bungeni, n.k.
@fatumajohn7035 сағат бұрын
@chacha-255 kwenye list ya viongozi wabovu kuwahi kulitumikia taifa wa kwanza kabisa ni KIKWETE na wapili atakuja kuwa huyu wasasa SAMIA. BECAUSE THEY'RE PRO- WEST.HAWAWEZI KUFANYA MAAMUZI YAO MPAKA WAZUNGU WASEME.HAYUPO MZUNGU WA KUKUSHAURI WEWE MAENDELEO .HIYO TRAIN WANAISIFIA SASA HIVI WAZUNGU WALIKATAA KUTU FINANCE.HATA TRAIN YA KWANZA YA NCHI HII WAZUNGU WALIKATAA KUTUJENGEA TUKAENDA KWE NCHINA, BWAWA LA UMEME WALIKATAA WAKASEMA TUNAHARIBU MAZINGIRA .HAKUNA JAMBO LA MAENDELEO WAZUNGU WAMEWAHI TU SAPOTI. NI SIASA TU NDIO WAZUNGU HUSAPOTI .MAANA SIASA NI KUONGEA TU HAKUNA UTEKELEZAJI KAMA KIKWETE NA SAMIA
@KS-iw7qv17 сағат бұрын
Wakenya wanapenda UKABILA... THAT'S ALL
@felixmakinda768915 сағат бұрын
Historia yetu na yenu tofauti. Nyinyi mlitawaliwa na watu weusi, akida na wajumbe wakiwafanyia wakoloni kazi. Sisi tulitawaliwa na wazungu wenyewe moja kwa moja. Walitutenganisha ili kututawala kwa urahisi. Uingereza iliifanya Kenya kuwa nchi yao. Nashuku hata wangekuwa na uwezo wangetuua watumalize.
@francismichael125821 сағат бұрын
Waambie hao
@shabanihugo833219 сағат бұрын
Hatutaki democracy TZ
@ikulunimahalipatakatifu764217 сағат бұрын
UMEWAPA MAYAI YA KUTOSHA WAZEE WA UKABILA ,
@HajiKlein-so1rk19 сағат бұрын
Simba 🦁🦁 na yanga 💛💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿💕💯
@albertmbise2670Сағат бұрын
We ni mkundu
@josephngari3452Сағат бұрын
Kufuzu Afcon ndiyo sasa inafanya you lecture us???
@leonardchoma376516 сағат бұрын
Demokrasia ya magharibi ni ushetani tu.
@valerianrwebandiza7544 сағат бұрын
We una akili sana. Nchi za magharibi zinajua kuwa aina ya demokrasia wanayoitumia, tukiitumia hatufiki popote. Wanajua. Hata wao walipokuwa ktk hatua za kimaendeleo kama hapa tulipo sasa wasingethubutu kufuata aina ya demokrasia wanayotumia leo. Someni historia yao. Igeni mfe!
@village-Dreamer5 сағат бұрын
I'd like to disapprove you bro.. firstly Kenya has a higher pedigree in sports than TZ. Kenya is the leading country in Africa with Olympic Gold medals Gor Mahia is the only east african team to have won continental trophy Kenya is a top tier HSBC rugby 7s member Kenya has made to cricket world cup semis Currently Kenya is one the host nations of world safari rally series. TZ qualified for Afcon yes .. Kenya is better head to head vs Tz national team. So you are wrong ... in many ways
@EDWINKISIERO16 сағат бұрын
sasa kandanda peke yake ndio kujua michezo,michezo ingine mko wapi na hata hivyo hamuelewi haki zenu..kandanda ya kenya na shida zake hamuelewi na kama ni maendeleo mtafute huyo nyerere akuelezee namna kenya ilivyo mshangaza kimaendeleo na uwanja wa kwanza wa kimataifa ilikuwa wapi afrika mashariki kama si kasarani,timu ya kwanza kubeba ubingwa wowote afrika mashariki ni Nani kama si gor mahia kutoka kenya..,unatuambia nini wewe mpira ndio michezo ambayo mnajua,katika olympic mlitoka na nini kama sio mdomo mkavu,taifa gani ilibeba bendera ya afrika juu kama si kenya ndio upayuke,mbona nigeria hawapayuki kama mnavyopayuka tanzania..wacha kutubeba ufala ndio mumeamuka juzi ndio maana mnaona raha kenya inapoanguka au kuwaka moto ili mupate fursa,eti majumba ya aina hii huporomoka kenya ile iliporomoka kariokor ni kenya au tanzania..domodomo haifai sababu giza ikitokea kenya pia huko tanzania yaweza token ndio mzungumze kiswahili vizuri gizani
@odhiaodhia989816 сағат бұрын
Watanzania wanapenda michezo kwa sababu hakuna tume huru ya uchaguzi
@leonardchoma376516 сағат бұрын
Tume huru ndiyo nini kama hivyo vyama vyenu hatuvioni huku vijijini zaidi ya ccm?Huyu jamaa ameongea ukweli ndiyo maana mnachukia.
Non of your business on whether we like politics over football. An invalid premise.Balderdash!
@AliceAchila17 сағат бұрын
🎉 stop talking about Kenya , mind your own business...
@SuleimanJuma-dv8gt16 сағат бұрын
This guy is talking nonsense😂
@MosesMulambya16 сағат бұрын
Hayo maoni yako tu democracy ni kwa ajiri ya maendeleo is sivyo inakuwa domocracy kupiga tu kelele maneno mengi na maandamano mengi. Democracy for the sake of democracy not democracy for development. Hii michezo Tanzania ni mpira tu kwa sababu Yanga-Simba no timu za kitaifa sio kama Abaluya Foot ball Club AFC Leopards timu za kikabila. Mchezo Kenya ni Riadha na Rugby. Tanzania wanapenda soccer mingine hakuna. Democracy Africa ni guarana tu za uendeshaji nchi kuwa na wapinzani wanaopinga like kuti. Halafu na wabunge wenye mishahara minono.
@BrianOngattah20 сағат бұрын
National sport ya kenya ni athletics😂😂munapenda michezo na hamna any medal
@FahadAbubakari-y3f17 сағат бұрын
Hahaa wakenya bwana 😂😂 wht is medal sasa ? Hadi wajamaica wanamedal kipi cha ajabu sasa
@zaidiissa371417 сағат бұрын
Wakenya niwasenge wameruhusu ushoga LGBTQ mpaka makanisani mfano katholic chach angrykan charch namengine kibao haswa wasenge wengi wameletwa na ukristo
@leonardchoma376516 сағат бұрын
Dah,huyu jamaa amenigusa Sana.
@nyembobea728518 сағат бұрын
Yaani wewe ni mtu wa fact wajinga ndo watakutukana hasa chadema na padre kitime. Ccm oyee samia suluhu hassan mitano tena
@RemyShirima18 сағат бұрын
Umesimama wapi wewe..
@rogerabdallah43917 сағат бұрын
Upande wa kushoto
@BrianOngattah20 сағат бұрын
Sasa huyu anasema nini😅😅
@rogerabdallah43917 сағат бұрын
Uwezi kumuelewa ukiwa umevuta skanga
@harounmaarufu324116 сағат бұрын
Wakenya wanajitambua .weee ndo kilaza.siasa ndo inaamua mustakbari wa nchi.kiuchumi.kisiasa na kijamii
@mkude9 сағат бұрын
Siasa gani za kinafiki au siasa gani unamaanisha,kama siasa hizo unazoita mfumo wa democracy ni Unafiki na ndo sababu nchi nyingi zineingia kwenye mauaji ya wenyewe Kwa wenyewe Kwa hicho ulichokkita siasa