Hichi kiwanda kipo mbele ya nymba yangu, mita kama 50, Original plant ambacho kiwananda dada kinachotengeneza cement ya Diamond ilikuwa kama mita 200 kutoka makazi ya watu, na huko ndani kuna kimto unaokusanya maji ya mvua, wakaja kununua hizo mita 200, wakajenga Ukuta na wameziba mitaro yote iliyokuwa inapeleka maji ya mvua kwenye mto, Sasa mvua ikinyesha maji hayana kwa kwenda ninapata shida sana jamani na hakuna anayetusikiliza, sina shida na kiwanda lakini watengeneze mifereji ya maji ya mvua kuondaka kwenye makazi ya nyumba zetu
@AbuuRamadhani-o7k21 күн бұрын
Tuwe na viwanda vya kuchakatà madini Tanzania
@TuntufyeBrayson2 ай бұрын
Jamani hii spidi mbona kubwa mtatuuwa sasa
@PasserbyMan-ju8ky8 күн бұрын
😂 ndo I like Yani ndo I like
@davidluangisa4515Ай бұрын
Aisee hii nimeilewa
@AbuuRamadhani-o7k21 күн бұрын
Bila waarabu na wahind bc Tanzania haiwez kufika mbali tuache ubaguz tuwakaribishe waarabu wawekeze