No video

KESI YA KIFO CHA UTATA CHA MILEMBE WA GGM YAENDELEA, MASHAHIDI WAELEZA SIMU ZA MAREHEMU.....

  Рет қаралды 14,425

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mashahidi wa upande wa Jamhuri wameileza Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Geita namna simu za Marehemu Milembe Seleman aliyekua mfanyakazi wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Dhahabu ya Geita(GGM) zilivyopatikana kwenye shimo la choo.
Kesi hiyo imeanza kusikilizwa Aprili 8,2024 mahakamani hapo kwa upande wa jamhuri kuanza kutoa ushahidi.
Milembe Seleman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa kitengo cha ugavi katika kampuni ya GGML aliuawa Aprili 26, 2023 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali mwilini, ikiwemo kichwani, usoni na mikononi mauji yaliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
Mashahidi hao ni shahidi wa pili, H4050 Koplo Philemon, anayefanya uchunguzi wa kisayansi wa makosa ya jinai na Noel Ngasa (41) mwenyekiti wa Mtaa wa Mwatulole.
Akiongozwa na mwendesha mashtaka, wakili wa Serikali, Merito Ukongoji, Koplo Philemon ameieleza Mahakama kuwa Mei 7, 2023 wakiwa na mshtakiwa wa tatu, Genja Deus Pastory walifika eneo la Mwatulole na mshtakiwa aliwaonyesha eneo la shimo la choo alikotumbukiza simu hizo.
Kwa upande wake, shahidi wa tatu, Ngasa amedai kuwa Mei 7, 2023 saa 2asubuhi alipokea simu kutoka kwa askari polisi waliomtaka kwenda eneo yalikotokea mauaji ya Milembe, kwa kuwa mtuhumiwa alikuwa anakwenda kuonyesha sehemu simu za marehemu ziliko.
Mbali na Genja, washtakiwa wengine katika kesi hiyo namba 39/2023 ni Dayfath Maunga Safari Labingo ,Musa Lubingo na Ceslia Macheni ambao wote kwa pamoja wanakabiliwa na shtaka la kumuua Milembe Seleman.

Пікірлер: 19
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
PM Modi LIVE I  Indian PM Addresses World Leaders Forum I TOI Live
11:54:57